LIFE WISDOM : MAZUNGUMZO NA JOYOUS - JOEL NANAUKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 янв 2025

Комментарии • 46

  • @OmanOman-c9d
    @OmanOman-c9d 9 месяцев назад +4

    Joel umenitoa machoz na mwanao mm napenda watoto ❤❤

  • @zephaniahnkombe1607
    @zephaniahnkombe1607 9 месяцев назад +3

    Hongera sana joyous kwa ujasiri na kujiamini..

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 9 месяцев назад

    Mungu azidi kumtumia mtoto huyu akawe baraka kwa wengine❤❤

  • @MwisegeMwandemele
    @MwisegeMwandemele 9 месяцев назад

    Hongera sana mtoto mzuri ,nimependa sana ajachanganya changanya lugha.. swahili pure❤. Mungu akubariki Mr. Nanauka

  • @HELLENLAPUKENI
    @HELLENLAPUKENI 9 месяцев назад +3

    ❤Nanauka mdogo power songa mbele daima mwanangu poke neema ya Mungu

  • @Eziron9Vyats
    @Eziron9Vyats 9 месяцев назад +3

    Ahsante Kaka Joel Kwa elim unay tufundisha see you at the top Hakika Mtoto Wa Nyoka ni Nyoka Congratulations Kaka Endrea Kumnoa Huyo Dada Nimatunda Yakesho Huyo

  • @AbdulkadirHaji-dd4uu
    @AbdulkadirHaji-dd4uu 9 месяцев назад

    Nlichojifunza kuwa nanauka unawarithisha wanao elimu badala ya wengi kurithi Mali ww unawarthisha elimu good work.

  • @Fulgencemichael
    @Fulgencemichael 9 месяцев назад +1

    Mmmmmmm like father like son, watoto wetu wanabahati sana. Kama Joël Nanauka anatu inspire, vipi kuhusu Nanauka Junior ambaye anaandaliwa hivi Junior atashangaza dunia

  • @officialColB-fc9ok
    @officialColB-fc9ok 9 месяцев назад +1

    MUNGU akubaliki sana Kwa KAZI nzuri Moja wapo ya ndoto yangu nakupenda sana Joel nanauka Mimi Nitapataje vitabu vyako kaka nipo Dodoma mimi

  • @angelnjiku1979
    @angelnjiku1979 9 месяцев назад +1

    Wow nyayo za kufuata ndyo kama hii familia Ee 🤲🏼M/Mungu nijaaliie familia yenye kujujua na kukusifu🙏🏼

  • @hadidjaissa9154
    @hadidjaissa9154 9 месяцев назад +1

    Amina mungu awabariki wafikie malengo yk🤲🤲

  • @munisiaikande198
    @munisiaikande198 9 месяцев назад

    confident Girl like His Super Daddy
    May God bless your generation Pastor Joel

  • @mayanthony6323
    @mayanthony6323 9 месяцев назад +1

    Waaaoo! Like father like daughter. Great.....Keep it on Joy .

  • @brackskinyozi3280
    @brackskinyozi3280 9 месяцев назад +1

    Mungu azidi kumupa....ufahamu zaidi.... joyous 🙏🙏

  • @vulstanandrea523
    @vulstanandrea523 9 месяцев назад +1

    I love this episede

  • @onesmoalphonce3676
    @onesmoalphonce3676 9 месяцев назад +3

    Aah kwel wambea wambea sio wazuri😂

  • @mariamaroda320
    @mariamaroda320 9 месяцев назад +2

    Waoooh safiii daughter

  • @BukelebeTv
    @BukelebeTv 9 месяцев назад +1

    Nimependa sana. Na nimejifunza kitu kutoka kwa Joyous

  • @rehefehe8890
    @rehefehe8890 9 месяцев назад +1

    Hongera sana kaka nimependa ukaribu wa baba na mtoto ,ni vizur sana kumuandaa mtoto tangia akiwa mdogo

  • @neemajoshuannko4904
    @neemajoshuannko4904 9 месяцев назад +1

    Aiseee Joyous,MUNGU akutunze sana ...You are genius 😍Hongera kaka Joel

  • @meryshayo6500
    @meryshayo6500 9 месяцев назад

    Good girl ❤

  • @Udindigwa
    @Udindigwa 9 месяцев назад

    Mungu Ni Mwema Mungu Ni Mkubwa SANA Kwa Mapenzi Yake Makubwa Asimame Na Familia Yako Na Familia Zetu Ili Mapenzi Yake Yatimie Kama Ambavyo Amekusudia Katika Uzao Wafamilia Zetu Pamoja Na Ndogo Kubwa Za Watoto Wetu Mungu Asimame Nawe MH.Joel Nanauka ili Uzidi Kutujenga Unamchango Mkubwa Sana Katika Taifa letu la Tanzani Na Hata Nje Ya Tanzania

  • @tumainselestine3398
    @tumainselestine3398 9 месяцев назад

    Nimejifunza kuwalea watoto katika njia iwapasayo ambayo hata wakiwa Wazee hawataiacha.

  • @dullahtechtz3422
    @dullahtechtz3422 8 месяцев назад

    Mtoto mzuri

  • @OmanOman-c9d
    @OmanOman-c9d 9 месяцев назад

    Huyo mtoto ni wewe kabisa❤❤

  • @GodifreyNyamori
    @GodifreyNyamori 9 месяцев назад

    Somehow she has tried to explain, thanks ❤

  • @babaetusaitabau5445
    @babaetusaitabau5445 9 месяцев назад +1

    🎉🎉 thank you God bless you

  • @ahz6907
    @ahz6907 9 месяцев назад

    SAFI SANA mentor upo vizuri 👏👏👏

  • @hamisally974
    @hamisally974 9 месяцев назад

    hongera sana Mr.Joel n ur daughter mmetupa somo zuri

  • @MwamvitaMyombo
    @MwamvitaMyombo 9 месяцев назад

    Hongera sana mtoto joyous Mungu amekupa ujasiri wa kufafanua ulichojifunza

  • @rachelandrew2361
    @rachelandrew2361 9 месяцев назад

    wow wow wow, Joyous see you at the top

  • @bravomwakibango6485
    @bravomwakibango6485 9 месяцев назад

    Bro umetisha malezi yameeleweka I real real appreciate it

  • @carolinekalume934
    @carolinekalume934 9 месяцев назад

    Awwn Joyous is very smart ❤

  • @khaulamohamed
    @khaulamohamed 9 месяцев назад

    Nice

  • @ruthshangali5996
    @ruthshangali5996 9 месяцев назад

    Hahahaha eti pambania ya kwako 😂😂😂 beautiful ❤️❤️❤️

  • @dullah_fitness
    @dullah_fitness 9 месяцев назад

    👏🏽👏🏽👏🏽👌🏽🎯

  • @julianalaly2095
    @julianalaly2095 9 месяцев назад

    Safi sana kaka Joel

  • @hamisimsangi8274
    @hamisimsangi8274 9 месяцев назад

    Nyoka huzaa nyoka, hongera sana joel kwa maandalizi ya mwanao huwenda binti huyo akawa na uelewa mkubwa sana badae

    • @ahz6907
      @ahz6907 9 месяцев назад

      japo kusudio ni jema ila kutumia mfano wa nyoka sio sahihi.maana nyoka ni alama ya shetan 😊

  • @frolencialupilya6209
    @frolencialupilya6209 9 месяцев назад

    Nimejifunza kutoka kwa Joyous❤

  • @paulokuze9307
    @paulokuze9307 9 месяцев назад

    Aisee hongera sana joyous🎉

  • @ruthshangali5996
    @ruthshangali5996 9 месяцев назад

    Wooóoow

  • @MsangoDiesel
    @MsangoDiesel 9 месяцев назад

    Hawa ndio watoto wanaandaliwa ili badae wapeleke kijiti mbele cha mawazo mapya.

  • @edsonipaulo
    @edsonipaulo 9 месяцев назад

    Ndug, Joel Nanauka. naomba upitie ujumbe wangu nimesha utuma kama upivyokwisha nielekeza kwa njia ya namba yako ya Whatsapp 🙏