God bless you, enlighten your path and enlarge your territory, you are a blessing Joel. This is a great message that has planted a lifetime seed in my life,, You will see me at the top.
So touched with this teaching....l see myself living in this Esau system 😢 this is me for sure....oooh Lord help me to get out from it .....sir be blessed
Tubarikiwe sisi nyote👏
Mungu naomba uinue kiwngo cha kuhudhulia mafunzo Haya ana kwa ana,naomba kutembelea Tanzania kutoka kenya na kurudi na vitabu vyote
Nashkuru sana nimejifunza kitu kikubwa mno. Baraka hazitafutwi Bali uko nazo ni kufungua macho zaidi Ili kushughulikia Baraka ulizopewa na Mungu😮😮
Mimi nimwanafunzi wachuo, nimekua nikifatilia vipindi vyako vingi, lakin nimweshindwa kudepend on myself naomba unisaidie, Asante.
MUNGU akubaliki sana
Amen..... nimejifunza 🙏
Nitadhamini nilichonacho ndio kiniletee matokeo mengi ninayotaka ❤
Kenya watching bro thumb up....
Napenda mafundisho yako kakang mung akubalik San kweny kaz yako uzid kufunguaaaa watu wengiiii zaidiiii kifikra❤❤
Barikiwa zaidi kaka hakika somo zuri sana kaka Barikiwa zaidi ,Mungu anisaidie niweze kuheshimu nilicho nacho
God bless you, enlighten your path and enlarge your territory, you are a blessing Joel. This is a great message that has planted a lifetime seed in my life,, You will see me at the top.
So touched with this teaching....l see myself living in this Esau system 😢 this is me for sure....oooh Lord help me to get out from it .....sir be blessed
Kaka ubarikiwe sana
Somo kubwa sana hili, barikiwa sana
Hakika namtukuza kristo kunikutanisha nawewe maana akili yangu ilidumaa sasa naona pambazuko kwenye fikra zang
Kaka azina ni moto juu ya moto zuli sana
Mungu akubariki sana Mtumishi.
Hongera ndugu yangu
Asante kwa somo zuri mtumishi. Naomba Mungu anisaidie nitumie Leo yangu vizuri ili initengenezee kesho njema. Aniondolee roho ya Esau🙏
powerful
Ila nanauka you're so blessed
Amen
Amen, ubarikiwe Sana
Ameen Ubarikiwe Sana Coach,, Tangu nimeanza kukufwatilia Umenifungua Sana kwa Mambo mengi
Asant nimejifunza kitu
Umenisaidia sana kwenye maish yangu
powerfully
Asante nimejifunza
Asante
Sitajiachia kuwaambia watu changamoto zote nilizonazo kudhani watanisaidia maana hii inaweza kuwa pigo Zaidi