Amina kubwa mungu nimshidi ck zote asnte kwa masomo yako Lakin hatuna bud kukushukuru na kumshukuru mungu piah kwa maaana ye ndo katuletea mtu kama WWE 🙏🙏🙏🙏🙏
Naam mwalim kweli namm nilikua sina ham kabisa ata ya kusikiliza ila nimejikuta nafungua sim nilichokikuta kinanitoa kwenye hali niliokua nayoo!! Nakuelewa sana mwalim sitoacha kukufatilia nikiwa na bando!! Wenzangu tuzidi kumuunga mkono mwalim maaana anatusaidia sana kwenye mawazo!! . Asante mwalim joel mungu akubaliki❤🙏
Mungu aendelee kukubariki Mantor wangu. Akika video zako uwa zinanipanua mawazo pana Sana kweli. Mungu azidi kukupa nguvu kila siku.
MUNGU aendelee kukupa viwango vingine my life coach 🎉🎉🎉
Nikajua wa kwanza mie leo, niombe like 😜
Kumbe mzigo ni bado uko jikoni👏👏👏 ready to hear
Amina kubwa mungu nimshidi ck zote asnte kwa masomo yako Lakin hatuna bud kukushukuru na kumshukuru mungu piah kwa maaana ye ndo katuletea mtu kama WWE 🙏🙏🙏🙏🙏
Nipo kwenye wakati wa kuchoka,naona napoteza zaidi kuliko kupata,nimechoka sana kwakweli🙌😭😭😭
Our life coach🙏
Naam mwalim kweli namm nilikua sina ham kabisa ata ya kusikiliza ila nimejikuta nafungua sim nilichokikuta kinanitoa kwenye hali niliokua nayoo!! Nakuelewa sana mwalim sitoacha kukufatilia nikiwa na bando!! Wenzangu tuzidi kumuunga mkono mwalim maaana anatusaidia sana kwenye mawazo!! .
Asante mwalim joel mungu akubaliki❤🙏
MUNGU akubariki sana kaka, mafunzo yako yanatujenga sana
Ubarikiwe mentar wang
Ahsante saana kaka
Bro tuko pamoja sana
Thanks my brother for awaking me.. You climb my hope.❤
kwenda shamba
See you at the top 🙌
Kiukweli Mimi nina ndoto ya kua msemaji mkubwa duniani naomba sioni pakuanzia naomba njia brother
Ubarikiwe kaka
Ameeeen,,Mungu akubariki sanaa kaka Joel 🙏🙏🙏
Good job my mentor 🎉🎉🎉
God bless you brother 🙏
Thank bro joell.yr my role model.
😢 brother,kupitia video zako huwa napata nguvu sana kuendelea na ninachokifanya ahsante sana.
Shukran joel❤❤
Asante kaka Joel.
Joel
🙏🙏
🙏🏼
Bro
Unatisha ndg Joel haya yote wewe umeyajulia wapi
🙏🙏🙏