UCHAMBUZI AMBOKILE: AZIZ KI AMEONEWA | RAMOVIC AMKATAA MAZOEZINI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 7

  • @athmanhassan
    @athmanhassan 10 дней назад

    me yananiingia maneno yako broo

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v 10 дней назад

    Kweli wachezaji wa Simba wanamwangusha Kocha hawana uwezo wakiingia uwanjani wakifunga hawajui kulinda goli wanajifunga hovyo yaani wabasimama kama miti hawatumii hakiri

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr 10 дней назад

    KUNA SIRI KUBWA WW UJUI LOLOTE..UNAONGEA TU BASI

  • @alexmwingira7267
    @alexmwingira7267 9 дней назад

    Unabwabwaja tu kila mchezaji akiletewa msaidiz timu itasajili wangap?

    • @RashidiMwiga
      @RashidiMwiga 9 дней назад

      @@alexmwingira7267 ndio maana ya kikosi kipana Kila mchezaji awe na mbadala wake.

  • @RashidiMwiga
    @RashidiMwiga 10 дней назад

    Kweli mchambuzi umeongea vitu ambavyo watanzania au mashabiki wa Simba na yanga huwa atupendi kuambiwa ukweli Simba hatuna wachezaji bora then timu imekuwa ya kipindi kimoja tu,hawa wakina aweso,chasambi,balua, ahoua, mukwala,mutale na wengineo ni wa ligi tu uongozi badilikeni kwenye usajili jamani.