Jaribu hata kuelezea some positive changes, huyu mchambuzi kila siku hutafuta madhaifu na kuyaelezea, kama mchambuzi huelezi technical strength ya team ipo wapi na weakness ya team ipo wapi! Hapa ndo tuuanza kuona udhaifu wa wachambuzi wetu wengine kimpira mpo dhaifu mnooo mnajificha kwenye matokeo tuu au mkisikia mashabiki sisi tukisema yanga hawachezi vizuri na wewe undakia....mchambuzi anatakiwa awe kama mwalimu wa walimu aseme kiufundi kuna moja mbili tatu. Alafu huwa tunachambua mechi husika wapi team ime perform na wapi ime under perform badala ya kuangalia goli tuuuuu
Tatizo kamdomo 😂😂 Madrid, Barcelona wanafungwa game zao na bado wanabeba kombe ndio mazingira ya mchezo, muhimu point 3 , wachambuzi ni washabiki tu Hawa hakuna mchambuzi hapo .😂😂
Hahahaha wewe ni fala kweli eti kama dawa ya kuulia mende 😂😂😂 lkn hata Dube ulikuwa unamponda sana lkn sasahivi mambo ni safi kwa Dube.
Alishawahi sema dube ni kama nyanya mbovu haifai kwa mchuzi mchuzi Wala kachumbari,,,,,,,,,,mungu ni mwema juzi kapata htrick
We mzee kwani unashindwa kumpongeza Dube mbona roho mbaya kwa nini asipongezwe kwani we ujui mtu akiingia kwenye changamoto acha unafiki
Niliongea icho kitu juz Bora Yanga wangebaki na Metacha
Kipa Yanga ni mmoja Diara
Jamani anachokisema ni kweli timu inaruhusu magori ya kifala timu laxima iwe na beki mzuri
Tatizo watu hamtaki kusikia ukweli baka anafungisha timu tabgu mechi na Azam na ile ya juzi
Huyo Mzee mie sasa nimenza kumuelewa
Jaribu hata kuelezea some positive changes, huyu mchambuzi kila siku hutafuta madhaifu na kuyaelezea, kama mchambuzi huelezi technical strength ya team ipo wapi na weakness ya team ipo wapi! Hapa ndo tuuanza kuona udhaifu wa wachambuzi wetu wengine kimpira mpo dhaifu mnooo mnajificha kwenye matokeo tuu au mkisikia mashabiki sisi tukisema yanga hawachezi vizuri na wewe undakia....mchambuzi anatakiwa awe kama mwalimu wa walimu aseme kiufundi kuna moja mbili tatu. Alafu huwa tunachambua mechi husika wapi team ime perform na wapi ime under perform badala ya kuangalia goli tuuuuu
Kweli aisee ukweli ni kitu kizuri ili anae aambiwa afanye marekebisho
Kuna mtu anafrop kiwango sasa uyo anaongea nini kama ajui anacho kisema mchezaji mzuri anapewa gem tim ili awe bora
Tatizo kamdomo 😂😂 Madrid, Barcelona wanafungwa game zao na bado wanabeba kombe ndio mazingira ya mchezo, muhimu point 3 , wachambuzi ni washabiki tu Hawa hakuna mchambuzi hapo .😂😂
Aly.kwanidube amekukoseanini
Imekuwa kama Fauntein Gate.
Lakini usimbogeze kwa sababu ametokea kwako nyumbani wewe unaogea mwenzio anacheza wewe mdomo tu
Kuma ww ulisema yanga wamechoka na ukasema movich siyo kocha leo unaongea ujibga
We kwani simba nini mbn aueleweki
Umeingea
Mbwa wewe kila siku unatafuta mako tu kwenye yanga mbona ubora wao huwasemi ? Tatizo lako mchoyo wa fazila tu
Tuachilia na timu yetu mbwa wewe