KOCHA RAMOVIC, MSHERY WAIZUNGUMZIA MECHI DHIDI YA TZ PRISONS UTAKAOPIGWA - KMC, MWENGE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 29

  • @HabibaKhamisi-xo8tz
    @HabibaKhamisi-xo8tz 2 часа назад +7

    Kila atakae soma ujumbe huu naku like Ewe mwenyezimungu umfungulie kila jambo lake penye uzito umfanyie wepes na huu mwaka umjaalie avuke salama khery inshaallah Amin🙏🙏

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 3 часа назад +4

    Kila la kheri inshaallah kuelekea mechi ya kesho kikubwa point 3 daima mbele mbele nyuma mwiko kazi iyendelee 💛💛💚💚

  • @fatmasuleiman3885
    @fatmasuleiman3885 3 часа назад +4

    Allahuma Aameen dua zote kwenu kwa vijana wetu wapate points3 na magoli yakutosha tutakayo kadiriwa na mwenyezimungu In sha.Allah Allah kariim vijana gusa achia twende kwao💛💛💛🙏

  • @ErickKaigi
    @ErickKaigi 2 часа назад +1

    Allah awatangulie kwenye mechi ya kesho

  • @josephkapinga652
    @josephkapinga652 Час назад

    Mungu atuwezeshe tushinde kwa huruma yake, wachezaji wawe vzuri kesho Amina..

  • @BbasuleBasule
    @BbasuleBasule 2 часа назад +1

    Nashauri Tu Kama Mdau wa Soka Ni Boraa Ungeweka Subtitle Hapo Chin Tujue Kasema Nn Coach Wetu Ahsanten

  • @MuslihiShafii
    @MuslihiShafii 2 часа назад +1

    Kezi njema jeshi letu

  • @AlmachNestory
    @AlmachNestory 2 часа назад +1

    Yanga Sc chini ya Sead Ramovic iko mikono salama kabisa, muhimu tumpe muda atutengenezee kilicho bora zaidi, kuelekea michezo iliyoko mbele yetu, ikawe heri kwa wachezaji wote na benchi la ufundi, kwa neema na rehema zake Mungu tujaliwe kupata matokeo chanya.

  • @FredyPeter-rn2il
    @FredyPeter-rn2il 2 часа назад +1

    Mungu kwanza Ushindi mwingi Yanga bingwa

  • @AgenesMugema
    @AgenesMugema 2 часа назад +1

    Ee Mungu tujalie tupate point 3.

  • @SelemanMagambo
    @SelemanMagambo 46 минут назад

    YANGA BINGWA 💚💚💚👈

  • @HainesMbadzi
    @HainesMbadzi 3 часа назад +2

    Halo yanga sio kwa hao views kama siafu kwa md mfup

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 2 часа назад +1

    Muhimu point 3 na msiwadharau wapinzani wenu pia mkishambulia mkumbuke kukaba na kuzuia ili tusiruhusu magoli mengi yatayopelekea kutucost. Kila la kheri pia wachezaji wasiwe wabinafsi wacheze kitimu kwenye pasi watoe pasi kwenye sehemu nzuri yakufunga wafunge sio kulazimishwa sehemu ya kutoa pasi wanalazimisha kufunga na wajitume ata baada ya kufunga wasipunguze speed ya kushambulia

  • @ProsperFred-r6f
    @ProsperFred-r6f 2 часа назад +1

    Golini akae mshery

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 Час назад

    Insha Allah

  • @NuratyAthumani-sx5il
    @NuratyAthumani-sx5il 2 часа назад +1

    🙏🙏💚💚

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 Час назад

    Allaah Akbar

  • @avengerqueen1748
    @avengerqueen1748 3 часа назад +1

    GUSA ACHIA WEKA MALI KWA DUBE 💚💛

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 Час назад

    Kila la kheri kesho inshallah

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 3 часа назад +1

    KOMEN ASIKAE GOLINI TUNASHANGAA MNAMUWEKA WAKATI MSHERI YUPO😢😢😢

  • @Iam_cleva
    @Iam_cleva 3 часа назад +1

    Gusa achia twende kwao💛💚🔥 haya mje msikilize ngoma zangu wananchi wenzangu zipo kwa account hii yangu🙏🙏

  • @remy2559
    @remy2559 3 часа назад +1

    Yanga

  • @ElizaMaico
    @ElizaMaico Час назад

    Mishery mpeni namba acheze make ni Bora kuliko komenti cochar mpe namba mshery acheze

  • @lidialonginus3918
    @lidialonginus3918 2 часа назад +1

    Msheli kesho udake ww

  • @JosephChrisant
    @JosephChrisant 44 минуты назад

    Khomeni asije akatuletea mambo ya ajabu ajabu kama juzi. Yanga Bingwa.

  • @Chadomastafans
    @Chadomastafans 3 часа назад

    😢