HIGHLIHTS: TAZAMA PRINCE DUBE ALIVYOITEKA SHOO KWA HATTRICK YA KIBABE/KIBWANA SHOMARI MOTO UMEWAKA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии • 30

  • @halimasawa611
    @halimasawa611 8 часов назад +5

    Alhmdhulillah ndio neno kubwa 🙏🙏🙏Ya Allah tujalie ushindi kila match tutakanyo cheza

  • @BbasuleBasule
    @BbasuleBasule 10 часов назад +14

    Nimekua Wa Kwanz Leoo Kama Dube Kawa Wa Kwanz Kupiga Hat Hatric Like Here Wananchi💚💛💚

  • @PaulDotto-d3r
    @PaulDotto-d3r 10 часов назад +3

    Mungu nakuomba sana wananchi wana jagwani usimame imala point zilizopotea zilundi halaka kwa nguvu zako ❤❤❤❤

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 10 часов назад +3

    Daima mbele nyuma mwiko Alhamdulillah🙏 kwa ushindi wa Leo 💚💚💛💛

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 9 часов назад +4

    Hongera kwake yaani ingekuwa umakini zaidi ata angefunga hat trick 2 leo😂🎉🎉🎉

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo 8 часов назад +2

    Hii ndo yanga tuliyokuwa tunaitaka good rotation from our coach.

  • @FatumaAlly-z4s
    @FatumaAlly-z4s 9 часов назад +4

    Allah awaangazie wanangu

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 9 часов назад +2

    Hongera wanajeshi wetu tuko nanyi kwa maombi

  • @hafsamohammed3835
    @hafsamohammed3835 8 часов назад +2

    Ushauri wangu wachezaji,jifunze kutoa mpira kwa mwenzako,mwenye nafasi nzuri ya kufunga.

  • @AziCure
    @AziCure 9 часов назад +2

    Allahamdulillah 🎉🎉
    Nyuma mwiko🎉🎉

  • @nolascomahundi313
    @nolascomahundi313 9 часов назад +3

    mungu wetu sote

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 9 часов назад +2

    Ila endeleeni kukazia fitness Kuna muda wachezadi speed inapungua

  • @YussuMaulid-x5p
    @YussuMaulid-x5p 7 часов назад

    Wow mnatupa moyo yanga moto wazee jamani msawasahau 😊

  • @RahmaMfinanga-yg1yb
    @RahmaMfinanga-yg1yb 10 часов назад +2

    Sasa hii ndio yanga tulikua tunaitaka ban nguvu💪1

  • @ElitrudaMsaki
    @ElitrudaMsaki 30 минут назад

    Mlinifurahisha sana kwa zile dakoka kumi za mwanzo aisee

  • @MalinoKadwame-u1c
    @MalinoKadwame-u1c 7 часов назад

    Bravo chama langu

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 8 часов назад +1

    Allaah Akbar

  • @FaustarChanyama
    @FaustarChanyama 5 часов назад

    Kazi aliyo ifanya ricado momo tumeiona 😂😂😂 inatosha kaka inatosha kaka😂😂😂

  • @charlesshekibula6070
    @charlesshekibula6070 9 часов назад +1

    yanga juuu

  • @myself-T2
    @myself-T2 10 часов назад +1

    🎉🎉

  • @elishawilliam4722
    @elishawilliam4722 7 часов назад

    Ila kipa wetu ana shido ngingo

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je 9 часов назад +1

    Bado pacome ni wa moto mnoo

  • @ericknassary5827
    @ericknassary5827 9 часов назад +1

    ❤️

  • @FilomenaRaymond
    @FilomenaRaymond 10 часов назад +1

    Ila mpenja😂😂😂

  • @willymwasakyeni4393
    @willymwasakyeni4393 7 часов назад

    Ila huyu khomen hata sijamwelewa hayo magoli yote aliyofungwa hapana bora hata msheri

  • @kamaratsalimsafari8838
    @kamaratsalimsafari8838 5 часов назад

    Hamuoni ata aibu 😅Magoli gani hayo

  • @ElitrudaMsaki
    @ElitrudaMsaki 33 минуты назад

    A kk naye akaombewe aache ujinga.

  • @kamaratsalimsafari8838
    @kamaratsalimsafari8838 6 часов назад

    Mpira wa hovyo golikeeper aachia magoli kama haoni vile

  • @kamaratsalimsafari8838
    @kamaratsalimsafari8838 5 часов назад

    Upuzi mtupu hamna boli hapa

  • @RahmaMfinanga-yg1yb
    @RahmaMfinanga-yg1yb 10 часов назад +3

    Sasa hii ndio yanga tulikua tunaitaka ban nguvu💪1l