ASANTENU SANA WACHEZAJI WOTE SASA TTAFUTENI GOLIKIPA SANA SANA WACHEZAJI AMBAOWALIKUWA HAWACHEZI HONGERENI GOOD JOB AMBAOA WALIKAA BENJI MUDA USUTUPE CHAZAMANI MKOMBOZI DUBE DUBE DUBE THANKS
Hongereni sana kwa point 3 ila pressure juu juu upande wa bekiline Bado tatizo pia kipa anatatizo hajui kuwasiliana na kupangwa mabeki zake pia hana umakini golini kama goli la pili ni uzembe wake kabisa yaani timu inafunga na Bado kujilinda ni changamoto pia wachezaji wasiwe wanaridhika na matokeo wakishafunga tu speed inapungua yakushambulia inabidi wawe katili langoni mpaka dk za mwisho wa mchezo uzembe ndio kama waleo tumefungwa magoli mangi na tumeruhisu.mengi chupuchupu hingekuwa sare pia Kuna nafasi nyingi mno za wazi wanazikosa wacheze kitimi waache ubinafsi baadhi ya nyakati na waendelee kukazania fitness na plan za kocha naimani hipo siku tutafika tunapohitaji tuwepo all in all Kuna namna timu inacheza unaenjoy mpira ikiwa kwenye fitness nzuri nakuingia kwenye plan za kocha itakuwa timu tishio na haziwezi kuwa ikiwa wachezaji hawajitumi
Leo nimefurahi zaid pia hongereni wananchi tupo pamoja ila komeni mechi ijayo ampishe msheli ana udambwi udambwi w diara hivyo komeni atuache kidogo chupu chupu tuzimie
Sisi wanaYanga tuko imara and always we're strong 💪 and inshaallah all the times we're together and we love our leaders players and us one billions supporters allover the world 🌎 yanga Africans it's very simple we love our leaders players and us one billions supporters we shoulder to shoulder by peace ✌️ 😅yellow and Green 💚 💛 oyeee oyeee haya yanga Africans Tamu sugar muwaa cream maziwa chai Tea 😅😅😅😅😅
Yanga Africans it's like a FAMILY. Like MOTHER AND FATHER Youngs Africans vipi apo lakini kweli ama sio kweli jibu lake ni nikweli kabisa watuu wetuu wooote. Lakini sugar ama sio sugar jibu sugar Thank you very much all God bless our country TANZANIA TEAM 🇹🇿 😅
Mtoto wa kiislamu unaongea upuuzi. Umezungukwa na mabinti wapo vichwa wazi na we mwenyewe umenyoa denge. Omba Allah AKUONGOZE kwenye haki siyo kumshukuru upuuzi munaofanya.
Wana Yanga tuendeleee kumwombea Dube na timu yetu yote kwa ujumla.Kingine huyu kipa akipata nafasi mechi ya jumapili ajitahidi asirudie makosa yaani leo mimi binafsi roho ilikuwa juu sana
Yanga Sc chini ya Sead Ramovic iko mikono salama kabisa, muhimu wadau mpira, wanachama na mashabiki, tujifunze kuvipa vitu muda, muda umebeba majibu ya kila kitu, muda ukifika utaongea tu.
kipa sio mzuri kabisa anafungwa magoli ya kipuuzi sana bola kuweka mjamzito golini angeweza kusevu sio uyo mjinga anadaka au anaongezea mwendo goli liende wavuni
Me NI mwanayoung African ila Ali kamwe kwann tusichange pesa hata elfu 5 kwa mwanayanga mmoja tujenge uwanja wetu tuko wengi ujue tunaeza fika 5milion please msiogope aibu kwenye mafanikio tuna pesa ya kuchangia timu yetu pleeeeeeese tunataka KIWANJAAAAAAAAAAAAAA😔
Yanga Bado Utuliv Tu Wachezaj Wakifika Kwa Mpinzan Wanakua Na Papara Nyingi..Pia Wapunguze Ubinafsi..Wanapofika Golin..Mchezaj Hana Nafas Ya Kufunga Analazimisha Kufunga Hii Itatukosti..!!🤧
Timu bado haiko vzr tukinyang,anywa mpra tunaacha nafas Kwa mpinzani alafu mabek wazembe sasahv cjui shida nn baka kapatwa na nn mbona sasahv mbovu!!!!!!!
Ilikua tunatarajia hatrek ya kipekee ila kipa komen ameharibu sn had amekatish wachezaj wezak tamaa sn , kafungwa magoli y kizembe sn cjapenda ata km tumeshinda ila ipo cku atakuja tumiz mioyo yetu ajitasimin sn msheri hawez fungw kijinga vile. Yanga bingwa 🔰🇹🇿
Leyo nimeamini uchawi kweli upo dube kweli alirogwa waliyo fanya mungu wote akawachome
Asanteni sana wachezaji wote mlio cheza kipa kidogo utuuharibie siku jitahidi km dua maombi piga magoli yakijinga2 tusifungwe Daima mbele nyuma mwiko
Kweli mwishoni tulishika roho mkononi😂😂japo watu wanalaumu siku mbaya zinatokea kikubwa awe makini mbona congo walisifia
Kipa mbovu
Asanteni Mwenyezi Mungu kwa ushindi tulioupata YANGA
Allahamdulillah mwenyezimungu awajalieni kila mchezo ni fainali jmapili gusa weka chini twende kwao
ASANTENU SANA WACHEZAJI WOTE SASA TTAFUTENI GOLIKIPA SANA SANA WACHEZAJI AMBAOWALIKUWA HAWACHEZI HONGERENI GOOD JOB AMBAOA WALIKAA BENJI MUDA USUTUPE CHAZAMANI MKOMBOZI DUBE DUBE DUBE THANKS
Aiseee Leo nipo happy sana because of dube ya ga raha sanaa❤❤❤❤
Hongereni sana kwa point 3 ila pressure juu juu upande wa bekiline Bado tatizo pia kipa anatatizo hajui kuwasiliana na kupangwa mabeki zake pia hana umakini golini kama goli la pili ni uzembe wake kabisa yaani timu inafunga na Bado kujilinda ni changamoto pia wachezaji wasiwe wanaridhika na matokeo wakishafunga tu speed inapungua yakushambulia inabidi wawe katili langoni mpaka dk za mwisho wa mchezo uzembe ndio kama waleo tumefungwa magoli mangi na tumeruhisu.mengi chupuchupu hingekuwa sare pia Kuna nafasi nyingi mno za wazi wanazikosa wacheze kitimi waache ubinafsi baadhi ya nyakati na waendelee kukazania fitness na plan za kocha naimani hipo siku tutafika tunapohitaji tuwepo all in all Kuna namna timu inacheza unaenjoy mpira ikiwa kwenye fitness nzuri nakuingia kwenye plan za kocha itakuwa timu tishio na haziwezi kuwa ikiwa wachezaji hawajitumi
Wacheze kama pacome anavyojituma kusaka na kutengenexa chance ili ufungaji uje
Yaan kijana pacome mungu azid kukusaidia@@nickomdete7232
Kumshukuru Mwenyezi Mungu ni jambo la kheri Asante mungu Kwa kila kitu
mungu amjalieAfya njema mdaka mishale wetu Arudi mchezoni
Tajiri kafurah leo,🎉🎉🎉🎉eng,hersii,nakukubali sana mkuu
asante mungu kwa dube naomba mungu aendelee kumuimarisha pamoja na wachezaji wote
MUNGU Asante kutuondolea aibu umetupatia USHINDI!!!
Diarra iz ze best💚💛
Milango Zimefunguka Kwa Mwana Wa Mfalme Taa Zimewaka 🚨
InshaAllah Itakua Kheri🙏
Asanteni sana Leo nimefurah sanaaa
Asanteni sana wachezaji wetu Kwa kutupa furaha
Alihamundulilah walah nimefurahi 💚💛💚💛🇴🇲🇴🇲 sana
Leo nimefurahi zaid pia hongereni wananchi tupo pamoja ila komeni mechi ijayo ampishe msheli ana udambwi udambwi w diara hivyo komeni atuache kidogo chupu chupu tuzimie
Uyo dada mwenye rasta nimeshampenda siwezi kuishi bila yeye nikarembo sana
Nakuomba Allah tuzidishie mafanikio zaid Inshaallah
#macho yangu yapo kwa huyo dada mwenye dredi.....#mrembo sana
Sura ya Alikamwe sijaiona nilikua nasikia sauti tu,,Uyo dada mashallah
😂
😂😂😂
Huyu Komein asidake tena jamani tafadhalini timu yangu tafadhalini...!!
Kabisa kaka Tena kama vipi apelekwe papa Jiji or Ken gold
Hii sio sawa kk mpira lazma ukosee asicheze tena kwann wakat ni mchezaj wa yanga
Mjinga huyu syo kipaaa kabisaaaa huyu mweehu
Bora hata misheri
Huyu Khomeini hizi goals daah kwa waarabu tutatokaaa??😭😭💔💔🙌🙁
Hii Hat-trick ya Dube imewauma sana Wachambuz Uchwara wote
Mungu ni mwema kwa kweli asnte mungu kwa neema ya matokeo ya kufurahisha kwetu ss yanga africans 🙏
Ameniudh wallah komen magoal ya kipuuz kamuharibia prince Dube, afadhali hata kipa wa Kengold hebu ajitathimin Komen
Kaluhusu magoli ya kizembe kweli
@BullahSambiga asugue bench kwanza
Sisi wanaYanga tuko imara and always we're strong 💪 and inshaallah all the times we're together and we love our leaders players and us one billions supporters allover the world 🌎 yanga Africans it's very simple we love our leaders players and us one billions supporters we shoulder to shoulder by peace ✌️ 😅yellow and Green 💚 💛 oyeee oyeee haya yanga Africans Tamu sugar muwaa cream maziwa chai Tea 😅😅😅😅😅
Yanga Africans it's like a FAMILY. Like MOTHER AND FATHER Youngs Africans vipi apo lakini kweli ama sio kweli jibu lake ni nikweli kabisa watuu wetuu wooote. Lakini sugar ama sio sugar jibu sugar Thank you very much all God bless our country TANZANIA TEAM 🇹🇿 😅
Kuwa mvumilivu kawaida anajifunza kutokana na makosa timu kubwa ina presha
Mtoto wa kiislamu unaongea upuuzi. Umezungukwa na mabinti wapo vichwa wazi na we mwenyewe umenyoa denge. Omba Allah AKUONGOZE kwenye haki siyo kumshukuru upuuzi munaofanya.
Kwenda zako huko we mwenyewe mpuuzi ndo ndo maana umefungua video kusikiliza
@0maryMathias-e8y . UKWELI NDP HUO TUBADILIKE.
Abubakari Komeni bado ana shida
Wana Yanga tuendeleee kumwombea Dube na timu yetu yote kwa ujumla.Kingine huyu kipa akipata nafasi mechi ya jumapili ajitahidi asirudie makosa yaani leo mimi binafsi roho ilikuwa juu sana
Kila la kheri inshaallah yanga bingwa 💚💚💛💛
Mbona dada Anamwangalia sana Ali kamwe 😂😂😂
Anataka amtunuku
Anataka amtunuku
😂😂😅
Una vivu WW😂😂
@@frankishengoma9601 allooo
Azizi Ki Pia Mumuangalie Na Jicho La Tatu Mungu Atazidi Kuwatangulia Insha Allah
Tusimlaumu kipa , tushukuru tulichopata yote ni mipango.ya Mungu
Nasema hivii kocha haondoki labd waende waoo
mm binafsi namuamin sana misher❤
Alhamndulilah kwaushindi tulioupata Mashaallah
YANGA BINGWA 💛💚🔰
Hongereni sana kwa mchezo wa leo
Waambie wachazaji wapore mipira kama zamani aende watu wawili wawili, tunamshukuru MUNGU kwa siku yaleo,
Nikutokujua tu hii ndio ingekuwa DUBE day ingekuwa poa sana
Yanga Sc chini ya Sead Ramovic iko mikono salama kabisa, muhimu wadau mpira, wanachama na mashabiki, tujifunze kuvipa vitu muda, muda umebeba majibu ya kila kitu, muda ukifika utaongea tu.
Kabisa maana kuna vitu naanza kuviona
Nimekubali kweli wachezaji wetu wanarogwa mpelekeni azizi akaombewe na yeye jamani
Yanga bingwa💛💛💚💚
kipa sio mzuri kabisa anafungwa magoli ya kipuuzi sana bola kuweka mjamzito golini angeweza kusevu sio uyo mjinga anadaka au anaongezea mwendo goli liende wavuni
Asante sana MUNGU 🙏
Dube SINDANO zilikuwa hazijakaa.sawa. sasa zimekolea
Here We Go We Are Young Africans✅✅✅✅
Mungu ni mwema
Sana Dua la kuku hilo makolo mtakomaaa ndo tunakuja pira jeruman hiloo nyie koloooooo 😮😮😮😮😮😮😮🤯🤯🤯
Huna mpira ww bad takatak
@@IbraTz-n7x😂😂😂
Mnacheka kinafiki😂😂😂
Kamwe peleka azizi kwny maombi.
Utaniambia
Komeni sio bora akae mushery
742K and counting tuendelee kusubscribe wananchi target ni 1M subscribers Daima mbele nyuma mwiko pambaneni wanajeshi wetu tuko nanyi kwa maombi 🎉🎉🎉
Kipa kataka kutupa presha 😢
Kipa hovyooo kabisaa
Ushind mwingi 💚💛
Nimetizama magoli yote ma5, ila magoli aliyofungwa khomen ya kipuuzi sana
Msheri Yupo Wapi Jaman Huyu Khomen Apunzike Kwanz Magoli Ya Ajabu Sana Anafungwaje Khaaa
Me NI mwanayoung African ila Ali kamwe kwann tusichange pesa hata elfu 5 kwa mwanayanga mmoja tujenge uwanja wetu tuko wengi ujue tunaeza fika 5milion please msiogope aibu kwenye mafanikio tuna pesa ya kuchangia timu yetu pleeeeeeese tunataka KIWANJAAAAAAAAAAAAAA😔
Ahsante mungu kutupa ushindi Yanga
Ali kamwe uko sawa
Nic san dube
😂😂😂kibwana na kizungu
Huyu dada ni kweli apunguze kumtizama Ally kamwe au na yy ni shabiki wa yanga
Hisiaaa jamaniii
Kastus GOZI NDUMBE OYE
Baada ya MUDA SINDANO kupitia sasa zinaanza upyaaaa.
Uyo Komen kama hakula rushwa basi makusudi kawaibisha wachezaki wengine. Ila yanga bingwa.komen tu weka benchi.
Pongezi. Kwa wachezaji wote juhudi zenu zimetupa raha kibwana pambana sana 😮😮😮😮😮
Huyu ndo msemaji umri mdgo akili nyingi anaizungumzia timu yake na haizungumzii timu nyingine sio yule mwemwenzetu bila kuitaja ysnga hana raha😂😂😂😂
Dube dube🎉🎉🎉🎉
Uchezaji wa azizi kii ni kama shehan mpeni nafasi dogo namuona mbali sana.
Jamani ally huyo mdada aliye suka Fred naomba no zake
ALHAMDULILAH
Nimeachia wimbo wangu mpya Naombeni Sana support yenu wakubwa 🙏
Asante.mungu
Yanga Bado Utuliv Tu Wachezaj Wakifika Kwa Mpinzan Wanakua Na Papara Nyingi..Pia Wapunguze Ubinafsi..Wanapofika Golin..Mchezaj Hana Nafas Ya Kufunga Analazimisha Kufunga Hii Itatukosti..!!🤧
Wampe nafasi abutwalibu msheri anakitu
Kocha wa makipa angaalie vzr mazoezi anayowapa makipa kwakwel
Lile sio Kosa la kocha wa makipa...ni uzembe wake kipa mwenyewe
golikipa wa yanga leo katuangusha sana
Aise uyu dada sio poa Yan macho yote kwa semaji wetu
Golikipa muoneni makosa mengi kafungwa yaajabu
Timu bado haiko vzr tukinyang,anywa mpra tunaacha nafas Kwa mpinzani alafu mabek wazembe sasahv cjui shida nn baka kapatwa na nn mbona sasahv mbovu!!!!!!!
Komein sio kipa aseee aondoke dirisha dogo, asaniliwe ley Matampi wa coast union
Mungu Asante
Hakuna kipahapoo😢😢
KIPA,KIPA hapanaa
Jamani Komen nikipa mzuri ni bahati mbaya tu,,tusimkatishe tamaa
Mchunguze na Komen mbona wakiwa Tim nyingine Wana Daka vizuri ???
Ali unapendwa na huyo dada wa kushoto kwako
kipa katuchoma sana
Kipa ni tatizo jamani
Oohhhh yeessss
Allahamdulilah
A.kamwe kwa nini na wewe hujavaa jezi leo mpaka ume7bisha Komeni ashindwe kudaka mpira
Sioni coment ya madunduka 😂😂😂😂😂😂wameogopa hat trick
Tena akuna la penaty
Shukurani nyingi kwa allah
Tumshukuru Mungu
Kipa tatizo, mzize tatizo
Kipa saw nakubali ,ila mzize unamuonea bro anapambana
Huyo komen ajue anchezea yanga kanikera sana aache upuuzi
Ilikua tunatarajia hatrek ya kipekee ila kipa komen ameharibu sn had amekatish wachezaj wezak tamaa sn , kafungwa magoli y kizembe sn cjapenda ata km tumeshinda ila ipo cku atakuja tumiz mioyo yetu ajitasimin sn msheri hawez fungw kijinga vile. Yanga bingwa 🔰🇹🇿
Lile somo la Alhamdulillah lirudiwe😅