Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Hao wenye nishart huko wako hawachezi au ligi zao hazitumii nishati kama ligi yetu? Kiufupi kama mwili wa binadamu unachoka labda wakachikuwe ktk academy za anda 20 ndio hawatumiki sana ligi nyingi Africa.
Uko vzr sana
Hapo uliposema tupo ndio nimekuelewa zaidi 😂😂😂😂😂 huyo dada atakuwa aliongea akiwa mp😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Aise mnanikosha sana mnavyo ichambua timu yangu ya Yanga mwamunyanyi ni mtu na nusu
Umesema kweli kbs
Tutalejea katika ubora wetu wa 5
Wewe mwongo Bakari Nondo ni shida uzito bado ni mzito mno.
Faridi majeruhi ndio yanamsumbua
Tunasubir tuwaone ila tetesi huwa hazikamiliki
Kwakweli kibwana na musa na na faridi wacheze kabiss mbona wazuli tu!
Tutarudi kwenye ubora wetu hivi karibuni
Aamina Inshaallah
Watuletee winga km lunyamila
MUROOO TUKO PAMOJA,,