Mbowe tunakuheshimu sana pamoja na yote mema uliyofanya kwa maslahi ya chama sasa wakati umefika usikipasue chama Tumia busara zako usigombee achana na hao machawa hawana nia njema na Chadema ila uamuzi ni wako
Mapema sana kuongea sasa subirini, mpeni mda atakapoongea na waandishi wa habari. Be patient. Hizo ni siasa msianze kukasirika mapema. Siasa ni mchezo mchafu na wakati mwingine ni msafi. Huo ndio ubinadamu na mambo yao kama binadamu. 😂😂😂😂😂😂😂
Mh mbowe ww ni lulu kwenye hiki chama nakupenda sana nakuomba sana kama ikikupendeza mpatie nafasi mh Lisu nafasi nae tuone atafanya nn akishindwa aje mwingne hata ikibidi urudi ww mbona Ghana John mahame amerudi madarakani emu tuache maneno mengi Yale tunayolalamikia ccm yanakuja chadema
Maongezi yako unayo yaongea tayari kunaonyesha chama kimegawanyikatayari ukisema siwezi kukigawa chama,maana umesema kuwa wenzetu tuwasamehe maana kuna wa lisu, na kuna mbowe ,hamuoni kuwa shetani amewavuruga ili uchaguzi mkuu mwakani mshindwe ,
Kwanini maoni ya wengi ni kuwa umwachie Lissu ,sababuni kuwa chama kinaenda vibaya wakirejea matokeo ya uchaguzi mwaka 2019, 2020 na sasa 2024 cdm imefeli chini ya uongozi wako sasa unangangana nini nakufanya lobing kufanya kana kwamba wana cdm wanakuomba kumbe umewaandaa.Utakimaliza hiki chama ,sasa cdm imeshidwa hata kusimamishwa wenyeviti wa vitongoji na vijiji hapo ndipo ulipoifisha cdm.Amua kwa faida ya cdm na siyo hiyo kikundi cha mashabiki
msicho kijua ni kwamba tundu lisu hatoshi kuwa mwenyekiti kwa sababu mbowe kasha lala polisi zaidi ya vituo 20 nchi zima na tundu kuna mama yupo naye jirani sana anaye mshauri ili agombee ikumbukwe pita msigwa ndo mtu wake wa jirani na tundu lisu na msigwa yupo ccm pamoja bila kisahau huyo mama ndo aliwahi mshawishi mtu mwingine aazishe chama kingine akatimkia wazalendo
Kuna mamluki kibao kwenye chama.vibaraka kibao.Utaona baada ya uchaguzi ndio utajua waliotumwa na ccm ni akina nani kwani wataanza kujiengua na kwenda ccm kama msigwa.
Nikikumbuka Marehemu Lyatonga Mrema alivyoiua NCCR Mageuzi na Marehemu Membe alivyokwenda ACT halafu wanaharibu dakika za mwisho ninaanza kuelewa Tz hakuna chama cha upinzani chenye nguvu ambacho ndani yake hakuna makachero wa usalama ambao wanahakikisha chama hicho hakitoboi. Mambo ni mengi CCM haitokaa ife sahauni, Lissu yupo real na anajua kuna watu wamekaa kama mamluki na wanakwamisha mambo !!
Kumbe ukweli unauma.Chadema mkijua kupiga jua na kukinga fimbo ya mnyonge hulipwa na Mungu matusi na dhihaka kwa marehemu Magufuri sasa Mungu anamlipia
Chadema ina hali mbaya lissu akishunda chadema inakufa asiposhinda inakufa ,sasa mbowe aamue yeye ashinde chama kife mikononi mwake au ashindwe chama kife mikononi mwa wengine?
Wewe umebeba laana za usaliti tangu 2015 iendelee kukusagasaga wewe gombea urais wa kutangaza changamoto, watu tuna maumivu ya utekaji badala ukomeshe eti mnataka urais kw.matope hayo????
Mzee wa Mokoto!! Kamatia hapo hapo mpaka wakuwelewe wanajizima data eti hawajui mwanzo wa chama naona hao hawajui lengo la chama chako yanayo sema kwamba familia kwanza.
Kaka mbowe tunajua umechangia vingi adi hicho chama kufikia huko Sasa kaa upumzike miaka 20 na kitu mingi kuendelea kugombea ni kuonesha bado unangangania madaraka usigimbee muachie lissu agombee Mzee usirambe asali ya SACCOS Mwenyewe
*Nadhani wakati mwingine alipewa na woga wa kuwania urais wa nchi ya Tanzania kwa kuwepo na wagombea waliomzidi. Hii ni fikra yangu; ninaweza kuwa nimekosea kumtathimini F A Mbowe!*
Mbowe sio mjinga, anajua kwa katiba hii na kwa mifumo hii ya uchaguzi sio rahisi kushinda Urais, ndio maana anaruhusu wagombee walau kuleta Mwamko. Ndio maana Jimbo la Hai haachii wengne kwa kuwa anajua inawezekana kushnda.
Woiiiii woiiii mgawanyiko ktk chama km nauona hivi...sijui ninakengeza😂😂😂😂😂
Ninacho jua nikwamba mbowe hagombei tena na wamesha jipanga wakiwa ndani kwaiyo wamekuja kucheza na isia zetu tu kisha aje agombee urais 😂😂
Huyu mjinga kama uongozi chama chake hataki kuachilia JE TUKIKUPA NCHI si unakuwa kama KAGAME😢
Sasa freeman tufanyaje maana kuna kamsemo kanasemaga ::ALIEMPENDA BABA YAKO NDIE MAMA YAKO.. ndio kinachoendelea nchini
Mwenyekiti wangu umepoteana mzee wangu
Huyu mzee bwana kwanza nakuonga muoga acha lisdu achukue tuone mimi ni ccm damudamu
Wenye D mbili wameelewa kauli ya jmosi atakayo sema😂😂
Imetosha mwachie Lisu
Mzeee unazingua acha kiti wasikilize familia yko
Mbowe tunakuheshimu sana pamoja na yote mema uliyofanya kwa maslahi ya chama sasa wakati umefika usikipasue chama
Tumia busara zako usigombee achana na hao machawa hawana nia njema na Chadema ila uamuzi ni wako
Nawe achia ngazi na wenzio wajipime Kwa wanainchi
Ugomvi wa panzi furaha kwa kunguru😂😂😂😂😂!!!!.
Mapema sana kuongea sasa subirini, mpeni mda atakapoongea na waandishi wa habari. Be patient. Hizo ni siasa msianze kukasirika mapema. Siasa ni mchezo mchafu na wakati mwingine ni msafi. Huo ndio ubinadamu na mambo yao kama binadamu. 😂😂😂😂😂😂😂
Mbowe unazingua unaharibu chamaaa acha na wenzako
Kaka Usigombee,avoid divisions in what yô have built for years with tears,torture and blood plz dont
Ruzuku unakula peke yako unawasifia wanajitolea huku unqkula
Achiia ngazi Mzee miaka 20 is not democracy
Ungemwachia tu lisu kwan wewe nani.mpaka kukaa milele .toka utagawa chama na mtasambalatika wote.baadae ndo utasema ningejua
Lissu simkubali hata kama Mimi ni mwanachama wa kawaida
Mwongoo kila mwaka wewe waombwaa kugombeaaa chama cha wachagaaa
Acha lisu aongoze tuone tena ww ni muoga mwache lisu agombee apambane na ccm
Mbowe...
Wew ndo mwenyekiti...ongea na kamati yako ya maadili..mfukuzeni Tindu lisu kweny Chama...aende aanzishe Chama chake...
Hapo ndo itakuwa ubaya ubwera....
Mwana kulitafuta, mwana kulipata. Msipotulia na kuridhiana mtaivunja familia mlioijenga Kwa kipindi kirefu
hivi Aslam aleko ndo salamu siku hizi
Upo sahii kabisa mkuu
Hii ni yawanasiasa
Yalemaamkizi matakatifu yanatamkwa hivi
As-salam Allayikum
Maana yake amani iwe Yuu yenu@@PaurothyAcademy
Mh mbowe ww ni lulu kwenye hiki chama nakupenda sana nakuomba sana kama ikikupendeza mpatie nafasi mh Lisu nafasi nae tuone atafanya nn akishindwa aje mwingne hata ikibidi urudi ww mbona Ghana John mahame amerudi madarakani emu tuache maneno mengi Yale tunayolalamikia ccm yanakuja chadema
Baba uko sawasawa hata ikitokea changamoto ya kisiasa hutukimbii ila wenginene wameandaliwa makazi ulaya piga kazi mzee mbowe.pamoja sana baba.
Mbowe acha tamaa miaka 20 ya uongozi wako umetosha.
Hana tamaa manake anaweka mzigo mkubwa wa pesa kuliko mwanachama yeyote.
Huyu akiacha chama atakidai😅
Nakushauli mwachie lisu maonoyako yamefika mwisho
Lisu awezi kuijenga chadema.
Maongezi yako unayo yaongea tayari kunaonyesha chama kimegawanyikatayari ukisema siwezi kukigawa chama,maana umesema kuwa wenzetu tuwasamehe maana kuna wa lisu, na kuna mbowe ,hamuoni kuwa shetani amewavuruga ili uchaguzi mkuu mwakani mshindwe ,
Nduguzangu wana chadema tukisubutu tuu kumpa chama yule msema hovyo chama kimekufa
Kwanini maoni ya wengi ni kuwa umwachie Lissu ,sababuni kuwa chama kinaenda vibaya wakirejea matokeo ya uchaguzi mwaka 2019, 2020 na sasa 2024 cdm imefeli chini ya uongozi wako sasa unangangana nini nakufanya lobing kufanya kana kwamba wana cdm wanakuomba kumbe umewaandaa.Utakimaliza hiki chama ,sasa cdm imeshidwa hata kusimamishwa wenyeviti wa vitongoji na vijiji hapo ndipo ulipoifisha cdm.Amua kwa faida ya cdm na siyo hiyo kikundi cha mashabiki
Kijiti kupokezana wote msigombee kwani mafahari wawili hawaishi zz moja waachieni wanachama wengine wagombee
Hutuba hii ni nzuri. Lakini .atukio kama haya kipindi kama hiki kwa pande zote، huwa siyo nzuri kwa mtazamo wangu.
Mbowe imetosha wee mtu mzima inatosha pumzika wee Bado ni mwanajeshi we tu mwachie Lisu.
msicho kijua ni kwamba tundu lisu hatoshi kuwa mwenyekiti kwa sababu mbowe kasha lala polisi zaidi ya vituo 20 nchi zima na tundu kuna mama yupo naye jirani sana anaye mshauri ili agombee ikumbukwe pita msigwa ndo mtu wake wa jirani na tundu lisu na msigwa yupo ccm pamoja bila kisahau huyo mama ndo aliwahi mshawishi mtu mwingine aazishe chama kingine akatimkia wazalendo
Mbowee aliyezingua alipomuuzia lowassa kugombea uraisiii umepotezanga imaniii
Chadema tutakukumbuka sana umesababisha mengi maendereo mengi Tanzania
Usikigawe chama pumzika mzee acha wapambe hao wanakudanganya tu
6:00
Ushakula pesa ya Abdul wewe muachie Lissu nafasi kapumzike bhana
Nami pia nakuomba chukua fomu ya uwenyekiti ili tulumbane vizuri kushindania hoja
Muwe pamoja tupate Katiba kwnz
Tupe account ya chama--ina bei gan?
Huyu anatoa pesa nyingi kuliko yeyote katika chama kwanza hapokei mshahara
Mbona sioni watu ni familia yoko 2
Mbowe nafkil me namuelewa sana tundulisu,kama serikal ya ccm rais anakaa madarakan miaka 10 kwann wew uwe madarakan zaidi ya miaka 10
Tunajua unauwezo ila kwa sasa muachie na mwingine ajaribu...kila siku wew tu duu!! Unatupa mashaka wafuasi wa chama
Nani kasikia kama mimi ni mwenyekiti mwandamizi.
Kuna mamluki kibao kwenye chama.vibaraka kibao.Utaona baada ya uchaguzi ndio utajua waliotumwa na ccm ni akina nani kwani wataanza kujiengua na kwenda ccm kama msigwa.
Pumzika mzee
✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️Tnakupenda sana mboe usiache kugombea Tundu lisu atatualibia chama chetu
Mboye akitumia tu busara kwa kauli yake tu kwenda kulea familia yake basi mgawanyo upo tu😢
Maneno yote hayo ya nini mzee wewe ungeachia tu huo uenyekiti mzee,inatosha
Nikikumbuka Marehemu Lyatonga Mrema alivyoiua NCCR Mageuzi na Marehemu Membe alivyokwenda ACT halafu wanaharibu dakika za mwisho ninaanza kuelewa Tz hakuna chama cha upinzani chenye nguvu ambacho ndani yake hakuna makachero wa usalama ambao wanahakikisha chama hicho hakitoboi. Mambo ni mengi CCM haitokaa ife sahauni, Lissu yupo real na anajua kuna watu wamekaa kama mamluki na wanakwamisha mambo !!
Tatizo haya mahubiri hata viongozi wa dini hawaubiri hivi, ongea kama mwanasiasa ,,, kwa haya mahubiri dola ni ndoto ya mchana
Kwani mbowe ukiwa mshauli mkuu wa chama tatizo liko wapi hebu angalia msrahi mapana ya chama chetu nakuamini busala unazo zakutosha
Achia ngazi mzee unazingua sana
Mbowe aachie uwenyekiti kwa Tundu Lissu.
Tundu Lissu anawafuasi wengi kuliko mbowee.
Kumbe ukweli unauma.Chadema mkijua kupiga jua na kukinga fimbo ya mnyonge hulipwa na Mungu matusi na dhihaka kwa marehemu Magufuri sasa Mungu anamlipia
Wewe bado Una kasumba ya Magu ambaye ametuachia Malibu Kwa Watanzania!
Makovu
Achia ngazi
Sasa na tena wengi wape:: wakitaka uachie kiti apewe mwingine ili chama kiwe strong
Pumuzika nawengine waoogoze
mh! luzuku vipi mzee
Mungu asimame na weww
Uko sawa mbowe mimi niko pamoja naw
Ingekua ivoatanyelele asingetoka mandalakani mwalimu nyelele alitumia busala sana liachiya ichinawengine waongoze ichisasa wewe umekuwa mungu ndunguyangu tumia usitalabu ubakinaeshima yachama usikubali chawa wakujase sifa mbayaukakosa eshima
Mwaka huu fanyeni Democrats ya kuachiana madaraka
Mbowe ndo anaeweza kuijenga Chadema. Huyo Lisu ni mbwembwe za kuongea tu anazo.
Mbowe iyonibinu zaluswa umetengenaza awoviongozi wasiotabuwa manayakatiba yachama kamavipi bakinachama chako ataukifaumwachiye mwanao atamijukuwako ilawengine tumechoka naungoziwachama
Sawa kiongozi ila sikiliza sauti ya familia Yako na Mungu wako
Lisu anatamaa akuna kumpa uwongozi lisu
Mzee pumzika uwemshauri
Mbona umewapoteza dada zetu wapendwa?
Acha Lisu asimame kama mwenyekiti wewe inatosha sasa
Waachie na wenzako miaka 20 inatosha tena usiwe kama asad wa sirya
Chama kiwa na madiliko ndio maendele
Mbowe waachie na wenzako madalaka
Chadema ina hali mbaya lissu akishunda chadema inakufa asiposhinda inakufa ,sasa mbowe aamue yeye ashinde chama kife mikononi mwake au ashindwe chama kife mikononi mwa wengine?
Uhondoke wengine wagombee kwanini unang,ng,ania madaraka
Wewe umebeba laana za usaliti tangu 2015 iendelee kukusagasaga wewe gombea urais wa kutangaza changamoto, watu tuna maumivu ya utekaji badala ukomeshe eti mnataka urais kw.matope hayo????
Kazi ipo
Mbowe acha Lissu agombee.heshima yako i b akie palepale❤usigombee kaka
Aanzishe chama chake
Acha Chama mzeee ushazeeka
Mbowe ni yuda akimkana LISSU...
Busara sana
Kitila mkumbo ebu tupe uchambuzi wako baada ya uchaguz huu wa chadema taifa
Chadema hamtapata uongozi wa aina yeyote wakitaifa kwa sababu ninyi kwa nyinyi mnagombana ndo mtaweza kuliongoza taifa
Mdugai na Samia wanaelewana?
Mageuzi lazima
Mh,ukiona mtu anakizamisha chama chako inamaana chadema ni chama chako mzee.? Ni ulimi au unamaanisha?
Mboye achia ngazi ..ili kutunza heshima yako acha drama kaka mkubwa ..ww bakia kama muangalizi na mtunzi mkuu wa chama na mshauli
Mzee wa Mokoto!! Kamatia hapo hapo mpaka wakuwelewe wanajizima data eti hawajui mwanzo wa chama naona hao hawajui lengo la chama chako yanayo sema kwamba familia kwanza.
Waamini wenzako acha kungangania sio ww tu wape wengine mbona ww umeaminiwa sio kwamba ww unaakili kuliko wengine
Kaka mbowe tunajua umechangia vingi adi hicho chama kufikia huko Sasa kaa upumzike miaka 20 na kitu mingi kuendelea kugombea ni kuonesha bado unangangania madaraka usigimbee muachie lissu agombee Mzee usirambe asali ya SACCOS Mwenyewe
Mboe ni baba mimi ni mwana ccm ila ni rida nangalia mwananchi
Achia ngazi lisu ni jembe
Imetosha jighatue
Mwachie mwenzk akusaidie sas
Ondoka umeongoza kwamuda mulefu kaa pembeni nawengine waongoze
Mbowe achia ngazi kwa heshima ya wanachama wachedema. Ukigombea Tena utakibomoa chama
Sasa dunia watu wanapita tu duniani hembu wewe pita wacha chama
Kama chama chako
Lete stori ya sapraiz waliokuandalia
Namuelewa sana mzee
Exech
Mbowe kuachia madaraka ni kukomaa pia kisiasa
Mbowe tena.
Ninachokiona huyu jamaa hana tamaa kama angekuwa na tamaa angekuwa anataka kiti cha uraisi miaka yote
*Nadhani wakati mwingine alipewa na woga wa kuwania urais wa nchi ya Tanzania kwa kuwepo na wagombea waliomzidi. Hii ni fikra yangu; ninaweza kuwa nimekosea kumtathimini F A Mbowe!*
Ashagombeaga akakosa
Mbowe sio mjinga, anajua kwa katiba hii na kwa mifumo hii ya uchaguzi sio rahisi kushinda Urais, ndio maana anaruhusu wagombee walau kuleta Mwamko. Ndio maana Jimbo la Hai haachii wengne kwa kuwa anajua inawezekana kushnda.
Wajumbe nao wakikomaa kama wewe