Tazama Wafuasi wa CHADEMA Wakifunguka Mbele ya Freeman Mbowe, "Mission Bado Haijakamilika"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024

Комментарии • 14

  • @DavidJohn-i2d
    @DavidJohn-i2d 9 часов назад +1

    Yaani watu hawafikirii kabisa lissu akipewa uenyekiti wa chama, chama kitakufa kabisa

  • @kayombogregory8241
    @kayombogregory8241 День назад +1

    ACHENI kuvuruga chama. Mtakiuwa!

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 День назад +2

    Vibaraka wa CCM.

  • @JfourHumbi
    @JfourHumbi День назад +1

    Miaka 21 inakutosha tunakipenda chama sio mtu hawa niwanafiki ukumbuke kauri ya mwalimu Nyerere

  • @fidelialucassamkhumbi2476
    @fidelialucassamkhumbi2476 День назад +1

    Lissu is enough

  • @gtvonlinemdee7001
    @gtvonlinemdee7001 День назад +1

    Hawa wote wana maslahi yao sana sio jambo dogo😅😅😅😅 eti baba panya kweli

  • @KhalfanAbdalla-x7u
    @KhalfanAbdalla-x7u 8 часов назад

    Wewe mwanamke kasome hata dua hatujui umeomba nini unajivuruga tu mzee mwenzangu

  • @JacksonBayyo-uo3eg
    @JacksonBayyo-uo3eg День назад

    Mbowe karibu tena

  • @malackedson7706
    @malackedson7706 День назад +1

    Misukule watpu.

  • @NuruNurudin
    @NuruNurudin День назад +1

    Mbowe nakushauri hata kama ni kweli unashawishiwa ' kwa heshima yako mwachie tundu ant pac anatosha. Mimi nakuona unapwaya sana.

    • @HabibaChunganguo
      @HabibaChunganguo День назад

      Mwanajeshi shujaa ni yule anaekufa kwenye uwanja wa vita ili likitokea tatizo lolote kwa anae pita msiseme wewe hukugombea.

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm 8 часов назад

      Kuna tumbotumbo maslahi binafsi toka iringa ameongea upupu mtupu. Inasikitisha Freemon Mbowe hai I kama anatiwa kichwa na kukiweka chama na watanzania njia panda. Si nilivyotarajia kuona kwa muda huu. Kuweka maslahi binafsi mbele ya Taifa. Kuna matumbo makubwa pwani, Iringa hayashibagi.

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm 8 часов назад

      Kuna tumbotumbo maslahi binafsi toka iringa ameongea upupu mtupu. Inasikitisha Freemon Mbowe hai I kama anatiwa kichwa na kukiweka chama na watanzania njia panda. Si nilivyotarajia kuona kwa muda huu. Kuweka maslahi binafsi mbele ya Taifa. Kuna matumbo makubwa pwani, Iringa hayashibagi.

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam День назад +1

    Ujinga mtupu, hamaangali maslahi ya chama, ushabiki utwapeleka korongoni,