Nishike Mkono Mama Maria

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • Nishike mkono Maria Bikira naogopa kupita peke yangu mama
    Please consider supporting me @ patreon.com/mugisha

Комментарии • 14

  • @patrickmukambilwa584
    @patrickmukambilwa584 5 лет назад +2

    Nishike mkono univushe maria naogopa kupitia pekee yangu mama shetani aningoja kuniangamiza maria uniokoe asante sana kwamaneno ayo yenye kujenga katika maisha yetu yote Mungu awajalie neema nabaraka katika kazi yenu ya utume ili mpate kumtumikia sikuzote zamaisha yenu amina

  • @anny_perfume
    @anny_perfume 6 месяцев назад

    nishike mkono univushe salama Mama Maria mimi na familia yangu 🥹

  • @hellenmremi4862
    @hellenmremi4862 4 года назад +2

    Mama Maria nishike mkono na familia yangu shetani asituguse 2020 🙏🙏

  • @magdalinenekesa8550
    @magdalinenekesa8550 5 лет назад +1

    Ak mama mnyenyekevu mama wahuruma mm asie na doa nishike mkono wako niwe karibu Nawe Amen

  • @lucelightlight9477
    @lucelightlight9477 Год назад

    Sweet song,naogopa kupita pekee yangu mama,nisaidie kuvuka

  • @SaveraRwezaura
    @SaveraRwezaura 3 месяца назад

    EE MUNGU NISHIKE MKONO UNIVUSHE SEHTANI ASIPATE NAFASI JUU YANGU KAZI YANGU FAMILIA YANGU, MAHUSIANO YANGU

  • @mathewlutege7034
    @mathewlutege7034 5 лет назад +5

    Naogopa kupita peke yangu mama shetani aningoja kuniangamiza Maria uniokowe 2020 again

  • @elizabethwanza2688
    @elizabethwanza2688 3 года назад

    Maria nishike mkono sheteni asiniangushe na familia yangu

  • @Ceciliapampii
    @Ceciliapampii 3 года назад +1

    Hata Sasa 2021...nishike mkono Mama Maria

  • @jemamwalulili8440
    @jemamwalulili8440 2 года назад

    Nyimbo inayofariji sana

  • @felisterkisyoka3758
    @felisterkisyoka3758 4 месяца назад

    Uniombee maria mama

  • @dominicomrisho33
    @dominicomrisho33 5 лет назад +1

    Maria mama wa miujiza

  • @blandinakimbe8910
    @blandinakimbe8910 8 месяцев назад

    Mama mama mama nisaiidieaika yote,

  • @maryannnnyaga2960
    @maryannnnyaga2960 Год назад

    Nisaidie kuvuka peke yangu mama