Bikira Maria Mama Wa Mkombozi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • Mama wa Mkombozi

Комментарии • 16

  • @VishalNeinsi
    @VishalNeinsi 11 месяцев назад +1

    Wow so nice 💯✨🥰🤏, amen 🙏💖

  • @miguelkatumo1091
    @miguelkatumo1091 4 года назад +3

    Bikira Maria
    Bikira Maria mama wa mkombozi
    Dereva wetu mama Maria
    Shika usukani mama
    Tuongoze mama .. Tuongoze mama tufike mbinguni
    Njia tunayopita Maria
    Ina vikwazo vingi
    Safari ni ndefu mama Maria
    Magumu ni mengi mama Maria

  • @fidelischarles1403
    @fidelischarles1403 24 дня назад

    Safi sana ,barikiwa

  • @chrisjoseph8338
    @chrisjoseph8338 5 лет назад +2

    Mungu azidi kuwabarikisana mlioimba nyimbo hii inanibarikisana

  • @anethmbonabucha222
    @anethmbonabucha222 5 лет назад +1

    Bikira maria mama wamkomboz mungu awabariki kwa nyimbo nzuri

  • @marlenezaina2196
    @marlenezaina2196 6 лет назад +4

    Ewe mama Bikira Maria mama tuongoze katoka safari yetu huku duniani utujalie huruma yako mama wa Mungu. AMEN.

  • @kawawamamaya8543
    @kawawamamaya8543 2 года назад

    Mama Maria utuombee! Njia tunayopita Ina vikwazo vingi 🙏🙏

  • @linahassenga9186
    @linahassenga9186 4 месяца назад

    Guide us to the right way oh mother of God 🙏

  • @alexandermoki8373
    @alexandermoki8373 6 лет назад +4

    Everything through our Holy Mother Mary,She knows it all and will always intercede for us if we only ask.

  • @scholargabriel496
    @scholargabriel496 5 лет назад +2

    Bikira maria tushike mkono MAMA

  • @FateData
    @FateData Год назад +1

    anyone with music note of this song?

  • @auleriannjeri3725
    @auleriannjeri3725 6 месяцев назад

    ❤❤

  • @frankfidelis9016
    @frankfidelis9016 6 лет назад +1

    Thanks for the upload

  • @julianacellestine801
    @julianacellestine801 4 года назад

    Asante sana nimebarikiws sana