NISHIKE MKONO MARIA NA P. MWARABU KWAYA YA MT CESILIA MICHUNGWANI KIMARA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии • 76

  • @janemalamsha3071
    @janemalamsha3071 3 месяца назад +4

    who else watching this song 5/9/2024

  • @annancy9917
    @annancy9917 Год назад +2

    Huu wimbo umenibariki sana. Asante sana kwa mwenye kuutunga na waliouimba. Mwnyezi Mungu awabariki mno, tena zaidi na vizazi vyenu🙏🏿

  • @irenecharity356
    @irenecharity356 4 года назад +6

    Dear Mother Mary...Thank you for always praying for me and holding my hands....I love you mother🙏🙏🙏@Proud and humbled Catholic ..😇😇😇

  • @felicianholle3010
    @felicianholle3010 4 года назад +2

    Hongereni sana waimbaji wote hakika wimbo mmeutendea haki kwa muonekano na staili big up

  • @anny_perfume
    @anny_perfume 5 месяцев назад

    Nishike mkono univushe Mama maria mimi na familia yangu i will always love you and cherish you mother mary

  • @elizabethmusyoka8971
    @elizabethmusyoka8971 5 лет назад +1

    Wow nishike mkono mama Maria. ..Mungu awazidishie kwaya ya mt Cecilia. .nabarikiwa nikiwa Dubai

  • @GilbertGonnah-ox7zc
    @GilbertGonnah-ox7zc 7 месяцев назад

    Maria anishike mkono katika majaribu haya ambayo napitia nivuke salama

  • @jenifakesi5912
    @jenifakesi5912 6 лет назад +2

    Napenda sana nyimbo hizi za mama maria mko poa sana

  • @fortunatusmisana4150
    @fortunatusmisana4150 5 лет назад

    Umejaa neema tele daima umenigusa Sana use Daima nami pia

  • @shideashidea5570
    @shideashidea5570 5 лет назад +1

    Nishike mkono Maria nivuke mashimo na mabonde Mungu awabariki mnoo

  • @primimassawe7301
    @primimassawe7301 2 года назад

    Nyimbo nzuri sana

  • @marcksilayo413
    @marcksilayo413 5 лет назад +1

    MAMA MARIA ndiye msaada wetu pale tunapoogopa kupita katika shida za dunia

  • @albertOscar-bw2dz
    @albertOscar-bw2dz Год назад

    Wimbo mzur san

  • @mumbua004
    @mumbua004 4 года назад

    Natafuta wimbo... Palipo mama na mtoto yupo Palipo Maria na mwanae yupo... Nimeutafuta for two years now

  • @fabianmpangala4397
    @fabianmpangala4397 6 лет назад +3

    Nishike mkono Univushe Maria, pongezi kwenu Kwaya ya Mt. Cecilia

  • @clementdogoria4766
    @clementdogoria4766 6 лет назад +1

    Wimbo mtamu Sana jamany watauwa wa Mt.cecilia mungu atuzudi kutupigania tubaki imara katika uinjilishaji.

  • @suwinalwimba49
    @suwinalwimba49 5 лет назад +1

    I enjoy these Marian songs!
    Mr Mwarabu you're talented and God will reward you abundantly!

  • @bazilmdao4050
    @bazilmdao4050 6 лет назад +2

    : Hongereni kwa utume..! Nimebarikiwa na kufarinyika kwa Ujumbe Mzuri .

  • @danielawe3513
    @danielawe3513 5 лет назад +1

    Hongera Sana wanakwaya wote mungu awangulie kwenye kazi yenu nzuri

  • @maganyarobert7008
    @maganyarobert7008 2 года назад

    I pray for my young brother George kilanga Maganya who died few years ago, I hope he heard this when the angels carried him away

  • @AgnesKatushabe-bl8id
    @AgnesKatushabe-bl8id 6 месяцев назад

    Wimbo ni tamu

  • @yustasaidi5765
    @yustasaidi5765 Год назад

    Mungu awabariki

  • @clqudiaemmanuel7740
    @clqudiaemmanuel7740 5 лет назад +1

    Kweli tushike mkono peke yetu hatuwezi

  • @carlosndyetabula656
    @carlosndyetabula656 6 лет назад +2

    Aise nashukuru sana kwa huu wimbo huwa naupenda,unatafakarisha.

  • @amosmwazighe6504
    @amosmwazighe6504 5 лет назад +1

    Nishike mkono nivushe Maria!

  • @freddykulwa8190
    @freddykulwa8190 2 года назад +1

    Amina

  • @blandinakimbe4019
    @blandinakimbe4019 3 года назад

    MWe mama mzuri jamani

  • @jovinarybwoma7307
    @jovinarybwoma7307 6 лет назад +3

    Mungu ni mwema

  • @benoitrusanganwa4901
    @benoitrusanganwa4901 5 лет назад

    Nyimbo nzuli sana nilikuwa nazipenda utotoni mwangu

  • @triphoniakondrad9056
    @triphoniakondrad9056 4 месяца назад

    Nishike mkono univushe maria nateseka na magonjwa

  • @laurentsunta5169
    @laurentsunta5169 6 лет назад +2

    asanteni sana kwa utume mzuri

  • @freddykulwa8190
    @freddykulwa8190 2 года назад

    Amina 🙏 🙏 🙏 🙏

  • @drkaswalala
    @drkaswalala 6 лет назад +3

    Nyimbo imekuja muda mwafaka kwangu , baba wa mbinguni awabariki, ila tunaomba audio yake pia
    🙏🏃🏃

  • @chrysopaluku1791
    @chrysopaluku1791 3 года назад

    Mtutilie huu wimbo:"Siku ile ya kufa kwangu, njoo Maria uniokoe..."

  • @rithasabinus2828
    @rithasabinus2828 6 лет назад +2

    mbarikiwe wimbo mzur

  • @christinealoic8645
    @christinealoic8645 6 лет назад +1

    Tunaomba utushike mkono mama yetu Maria magumu ni mengi sana hapa duniani

  • @daboguyo5828
    @daboguyo5828 6 лет назад +1

    mbarikiwee sanaa

  • @luizercalistus729
    @luizercalistus729 6 лет назад +1

    Mbarikiwe watoto WA maria

  • @theo-xc3rz
    @theo-xc3rz 3 года назад

    Had moyo umefurahi

  • @hakikamwaikenda4548
    @hakikamwaikenda4548 6 лет назад

    Mubalikiwe daima

  • @frankkadege-ev9wg
    @frankkadege-ev9wg Год назад

    Utombe mama

  • @geraldfelician1951
    @geraldfelician1951 6 лет назад +1

    Asanteni kwa uinjilishaji

  • @sarahnorbert1736
    @sarahnorbert1736 4 года назад +1

    Ave Maria🙏

  • @tempochoir
    @tempochoir 4 месяца назад

    ❤❤❤

  • @chachathomasmatiko979
    @chachathomasmatiko979 4 года назад

    Cobra squad

  • @faustinemlebya8451
    @faustinemlebya8451 6 лет назад +1

    Tunaweza kufanya jambo kwa Mwl P.Mwarabu?

    • @KANISAKATOLIKITANZANIATEC
      @KANISAKATOLIKITANZANIATEC  6 лет назад

      jambo kama lipi ndugu ? karibu

    • @devothacredo1796
      @devothacredo1796 6 лет назад

      Kweli umekua na swali Kama langu

    • @luvisa2472
      @luvisa2472 4 года назад

      Tuchange pesa tumpe kama zawadi. Hizi nyimbo nilipenda sana nilipo kuwa mdogo mpaka leo naziimba nikiwa nahitaji baraka na nikiwa down

  • @agnesfaidamuhima3706
    @agnesfaidamuhima3706 4 года назад

    Naomba mnitumiye wimbo wa maria (Siku ile ya kufa kwangu uje maria uni okowe) +243990302155

  • @carlosndyetabula656
    @carlosndyetabula656 6 лет назад

    Naomba hii video kupitia email...ndyetabulacarlos@gmail.com au whatsp +255 754 550 632,asante huu wimbo naupenda kwani unatafakarisha vzr

    • @graceshoma8551
      @graceshoma8551 6 лет назад

      kwayakarorirwanga

    • @kanjesinta623
      @kanjesinta623 4 года назад

      Carlos Ndyetabula unaweza kuuchukua apo apo mbona udanlod tu

    • @blandinakimbe4019
      @blandinakimbe4019 3 года назад

      Tushike mkono mama na janga LA kolona mama mama twaangamia

  • @mercymacline658
    @mercymacline658 5 лет назад

  • @gabrielmikindo3756
    @gabrielmikindo3756 6 лет назад +1

    ASANTE MUNGU!

  • @gloryoiso7126
    @gloryoiso7126 6 лет назад

    Naombeni mnitumie jamani 254724476792

  • @freddykulwa8190
    @freddykulwa8190 2 года назад

    Amina 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏

  • @alphonsekyalo2571
    @alphonsekyalo2571 5 лет назад +1