NINA HAJA NAWE - SALOME DM | Kwaya ya Mt Cecilia | Bomang'ombe - Hai Mjini FT Lawrence Kameja.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 дек 2024

Комментарии • 479

  • @zenobiagenuine537
    @zenobiagenuine537 Год назад +11

    Hakika ukisikiliza unahisi utukufu wa Mungu unashuka,barikiwa Dada Salome,barikiweni Sana waimbaji wote , Mwenyezi Mungu aendeleee kukuza kipaji chenu,mumuimbie Katika Roho na kweli mpaka Mbinguni mkaimbe😍😘🙏

  • @BikiramariaMshindaji
    @BikiramariaMshindaji Год назад +5

    Wimbo mzuri sana, mbalikiwe❤

  • @papaamzalendo2460
    @papaamzalendo2460 Год назад +2

    Wimbo mtamu sana, ujumbe asilimia 💯

  • @FarajaMangu
    @FarajaMangu 8 месяцев назад +1

    Hongera mmefanya kitu kizur🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jamesmboyi30
    @jamesmboyi30 Год назад +3

    Mungu ambariki sana mtunzi kwa kutoa tafakari nzuri mno,Pia niwapongeze wanakwaya kwa kuutendea haki wimbo huu umekuwa faraja sana kwangu.Bro Kameja Mungu akubariki mno

  • @josephambrose2215
    @josephambrose2215 Год назад +7

    Hakika mtunzi Roho Mt. amekuongoza kutungu wimbo wenye ujumbe mzito sana. Kila neno ktk wimbo huu ni sala na fundisho tosha la Kiroho. Kweli kabisa Ninahaja na YESU hasa wakati ambao ulimwengu wetu umekuwa na matukio ya kutisha Kila kukicha. Wakati ambao tumelegea ktk Imani yetu, majivuno mengi, ubinafsi umetawala, uonevu, upendo umetoweka n.k. Kwa utulivu ukiusikiliza wimbo huu wenye uvuvio wa Roho Mtakatifu fukuto la mabadiliko ndani mwako linatokea unakuwa mtu mpya. Hongereni kwaya, mtunzi , organist na waandaaji wa Sauti na Video hii maana ni kazi Bora sana. MUNGU aendelee kuwabariki ili muendelee kutuinjilisha🙏🙏

    • @st.ceciliachoirhaimjini5607
      @st.ceciliachoirhaimjini5607  Год назад +1

      Amina barikiwa zaidi... Kwa sala zenu na maombi yenu twaamini twaweza fanya makubwa zaidi🙏🏼

  • @saxs1342
    @saxs1342 Год назад +7

    U made me cry😭😭😭😌 for God's worship for real....sichoki kuusikiliza kbx ,Mungu awabariki sana kwa kazi njema🙏🙏🙏

  • @oswaldmgaya8935
    @oswaldmgaya8935 Год назад +4

    ASANTENI SANA wapendwa Kwa wimbo huu mzuri na wenye tafakari kubwa. Hongera Kwa mtunzi na waimbaji.

  • @alfredtarimo
    @alfredtarimo Год назад +3

    Nimebarikiwa sana kupitia kwaya hii. Namuona mwanafunzi wangu hapo Dominica Hamaro. Mungu aendelee kuwabariki muweze kutuinjilisha kupitia kwaya yenu

  • @Kingdon8765
    @Kingdon8765 Год назад +4

    Asanteni sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi mliotuletea yenye kujenga katika maisha yetu, Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za Roho Mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina.

  • @mariammatinde8085
    @mariammatinde8085 Год назад +3

    Nimebarikiwa sana kwa wimbo mzuri sana, Bwana azd kuwainua ktk viwango vya juu...Kaka wa sauti ya 3 unakosha sio siri🙌

  • @gracetemba1997
    @gracetemba1997 Год назад +6

    Wimbo unaupako for real.Hauchoshi,hongera salome na kundi lako.Thadei,Bundala naona vema.

  • @christinamahembega4115
    @christinamahembega4115 Год назад +3

    Hongera sana Salome na kwaya nzima ya Mt. CECILIA; MWENYEZI MUNGU AZIDI KUWAINUA

  • @gabrielkweka8612
    @gabrielkweka8612 Год назад +1

    Hongeren sana kwa kazi nzuri... Mungu azidi kuwanyanyua viwango zaidi ya viwango.. Salome mahembega wewe ni 🔥🔥🔥

  • @marierobert42
    @marierobert42 Год назад +2

    Jamn tumain swai Huwa ananikisha kwakwel kwenye kusolo❤❤❤

  • @filipinadaud885
    @filipinadaud885 Год назад +2

    Hongereni Sana ,wimbo mzuri mno,una upako wa Hali ya juu.Roho Mtk awafundishe zao.
    Salome hongera sanaaa
    umeosha mwanangu

  • @reginatemba9752
    @reginatemba9752 Год назад +3

    Mungu awabariki kwa wimbo unaogusa mioyo yetu❤❤❤❤❤

  • @josephineogaro9749
    @josephineogaro9749 Год назад +5

    I really love this song especially in the morning before starting my day .

  • @kimanisimon400
    @kimanisimon400 Год назад +13

    For the nine months in the Claretian community,i enjoyed this choir...Wishing u well

  • @AnsbertNgurumo
    @AnsbertNgurumo Год назад +1

    Mko vizuri wana wa Mungu! Mbarikiwe sana. ❤❤❤ Nitaongeza neno langu baadaye. Mnastahili kufika mbali.

  • @johnmelias7757
    @johnmelias7757 Год назад +2

    Hongeren sana nmebarikiwa sana na huu wimbo Mungu awabariki!!!!! Big up.

  • @MamertiPeter-uo7ul
    @MamertiPeter-uo7ul Год назад +1

    Nawashukuru sana waandaaji WA huu wímbo.maana mwanzo mwisho ni sala.naúrudiarudia Kila saa nafsi inanituma Bado enndelea.mmbarikiwe sanaaa.

  • @mwlnoelbm24
    @mwlnoelbm24 Год назад +5

    Wimbo una Ujumbe Mzuri sana, Nimebarikiwa sana na huu wimbo. Hongera kwa Mtunzi, Waimbaji na Waandaaji, mmeutendea haki huu wimbo. Mungu Azidi Kuwainua.

  • @petronilajohn7748
    @petronilajohn7748 Год назад +1

    Hongeren sana mmefanya kitu kizuri kinagusa nyoyo zetu🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MagrethAman
    @MagrethAman Год назад +1

    Mbarikiwe sn sauti zimepangika sauti ya kinanda imeenda sawia honger nying kwa mpigaj pia roho wa vipaji akikuze kipaji kwa viwango vya juu

  • @gettymo12
    @gettymo12 Год назад +2

    Ni haja nawe kristu katika Kila jambo 🙏🙏,so sweet song it bless me big

  • @livingstonemasikonte916
    @livingstonemasikonte916 Год назад +7

    Sauti zenyewe kapangwa na kupangika. Wimbo mtamu sana.......mauthui/ujumbe ni wa kuelimisha na kufariji nyoyo zilizopondeka...mwalimu kameja na Rajo production, hongereni sana........tuzidi kumwimbia Rabana hadi nyakati za mwisho🙏🙏🙏

  • @deejayoliver2294
    @deejayoliver2294 11 месяцев назад +2

    nilikuwa naota nikiuliwa suddenly this song come oveer my dream nikagutuka haraka nikafunga nikasikia na nikakemea iyo ndoto......this is my best song forever since

  • @ladislausoisso7976
    @ladislausoisso7976 Год назад +1

    Ni vyema sote tukiri kwamba juhudi ya kutosha imewekwa ktk wimbo huu.
    Mungu arudishiwe sifa.
    TYKristo.

  • @batistamngullu9235
    @batistamngullu9235 11 месяцев назад +1

    Nina haja nawe Bwana Mponyaji, uniponye jeraha zote za roho yangu, uwaponye na wagonjwa wote wa Familia yangu na ukoo wetu ninaamini kwako mfalme Milele 🙏🙏🙏

  • @RobertEmmanuely-s1w
    @RobertEmmanuely-s1w Месяц назад

    Namshukur mungu maana huu wimba una nipa faraja na ni wimba unao nipa nguv na kusaha yaliyonikuta kwa kweli ninahaja na wewe bwana yesu

  • @kwayaviwawaparokiayabashne9281
    @kwayaviwawaparokiayabashne9281 10 месяцев назад +1

    Naomba jamani niwaombe Mungu awabariki wote kwa uimbaji wenu

  • @dianakitika
    @dianakitika Год назад +4

    Home Parish😍Hongereni kwa Utume kwa njia ya Uimbaji uliotukuka..Wabarikiwe wote waliofanikisha hii🙏

  • @danielkimaro8635
    @danielkimaro8635 Год назад +3

    hongereni sana majirani kazi nzuri keep it up

  • @marymkamwa3779
    @marymkamwa3779 Год назад +5

    Real Gifted voices ❤
    leo nasikiliza wimbo huu tangu asubuhi sichoki😂

  • @sr.paschalinasukum2076
    @sr.paschalinasukum2076 6 месяцев назад +2

    Asanteni sana ndugu Kwa kuinjilisha Kwa njia ya kuimba , nimeguswa sana na maneno ya wimbo huu.

  • @rosekagabo5120
    @rosekagabo5120 Год назад +1

    Nasikia kuzimia kwa upako mkuu uliomo ndani ya wimbo huu mbarikiwe kazi nzuri

  • @joycengolly547
    @joycengolly547 Год назад +2

    Hongereni sana wanakwaya wa mt sesilia bomang'ombe, Kwa kazi nxuri ya kumtukuza mbele ya mwl mahiri Salome. Mbarikiwe sana❤️❤️❤️

  • @eliudkamwaro2062
    @eliudkamwaro2062 Год назад +2

    A powerful piece! Tuna haja NAWE ...nina haaaaaajaaa NAWE Mfalme milele

  • @ReginaHeriel-sd3yg
    @ReginaHeriel-sd3yg Год назад +6

    Hongereni wapendwa wimbo mzuri Sana na mmeutendea haki,nimebarikiwa mno,Mungu azidi kuwainua!❤️

  • @isayachawinga1005
    @isayachawinga1005 Год назад +1

    Good 👍🏻 Naona kama tuko karibu na Malaikaaa wa Mbinguni!! Keep it up

  • @LightnessAndrew
    @LightnessAndrew 3 месяца назад

    Napata faraja sana kila niusikilizapo wimbo huu hongereni sana wana kwaya kwa wimbo mzur af kaka laurenc unasauti hakika mungu kakupa kipaji na unamrudishia kwa haki unatuzo yako mbingun 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @marymimina
    @marymimina Год назад +28

    Kila neno katika wimbo huu ni sala pekee. Asante sana waimbaji kwa Sala hii. Mbarikiwe sana. Connection muhimu bure hii Sala ingenipita tu hivi😂 asante sana mwalimu Lawrence Kameja kwa kunikumbuka 🙏🏻🥰😍💕

    • @st.ceciliachoirhaimjini5607
      @st.ceciliachoirhaimjini5607  Год назад +1

      😅😅Endelea kubarikiwa
      Atukuzwe Mungu

    • @anselmhamaro9756
      @anselmhamaro9756 Год назад

      AsanteSana nawe barikiwa

    • @DoricaEmanuel-ns7ut
      @DoricaEmanuel-ns7ut 8 месяцев назад

      Penda sana wimbo pamoja waimbaji bwana aendelee kuwajaza nguvuya kumuimbia bwana❤🎉

    • @elizabethngusye
      @elizabethngusye 8 месяцев назад

      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤l😊😊😊😊😊😊​@@st.ceciliachoirhaimjini5607

    • @rosemarybukajumbe5857
      @rosemarybukajumbe5857 6 месяцев назад +1

      Sichoki kumsikiliza mwimba mashahiri ya Wimbo huu❤

  • @kadodamilinga
    @kadodamilinga Год назад +1

    Wow jamani wimbo mzuri sana ❤👌🙏🏿

  • @bahatikidwangise8755
    @bahatikidwangise8755 Год назад +1

    Amina mbarikiwe wimbo mnzuri sichoki kusikiliza Dada Sarome asante sana

  • @PJMassawa254
    @PJMassawa254 9 месяцев назад +1

    what can I say? this song lifts my spirit to the level of tears. Indeed you have worked for God. You have restored hope to the people of God felt they are in their own Many blessings. Kameja and St.Cecilia Nawaombea Mungu Aweze kuwatumia kwa mda mrefu.Barikiweni. Kameja Uliteuliwa. Mtumikie Mungu atakubariki. Nami nakuombea sana maisha marefu 🙏

  • @marymimina
    @marymimina Год назад +8

    Hawa waimbaji wanaimba poa sana they deserve more than this number of subscribers. Mungu aitume kazi yenu kote ulimwenguni🙏🏻❣️

  • @eliudkamwaro2062
    @eliudkamwaro2062 Год назад +1

    NINA HAJA NAWE....
    TUNA HAJA NAWE...
    Wimbo mtamu sana huu

  • @helenagodwin7012
    @helenagodwin7012 2 месяца назад

    Huu wimbo umenibariki mno. Nautazama kila mara. Asante Mungu kwa zawadi ya waimbaji hawa.

  • @suzanamahali219
    @suzanamahali219 Год назад +1

    Mungu awabariki jamani ukisikia kundi la walio injilika simama pale kwa huu wimbo nimebarikiwa Nitasimama

  • @rosemalaba5205
    @rosemalaba5205 Год назад +1

    Hongereni.Asanteni na Mungu awabariki. KEEP IT UP LAWRENCE KAMENYA!

  • @praygodshuma605
    @praygodshuma605 Год назад +1

    Hongereni sana, Mungu awabariki, barikiwaaaa sana na ujumbe huuu

  • @GastonCanuty-tx6pp
    @GastonCanuty-tx6pp 5 месяцев назад +2

    Nina hajanawe bwana

  • @themanwithnoname5824
    @themanwithnoname5824 Год назад +2

    Hai mjini bomang'ombe nyumbani kama nyumbani mmhbalikiwe mno

  • @Raymon.2005
    @Raymon.2005 Год назад +1

    Hongereni saaana wapendwa wimbo huu uwaunanifariji saaana tu

  • @jontap.i.6980
    @jontap.i.6980 Год назад +3

    Kazi nzuri hongereni sana🙏🙏🙏🙏 salome unitafute

    • @st.ceciliachoirhaimjini5607
      @st.ceciliachoirhaimjini5607  Год назад

      Amina sana Zimefika😅 Baki hapa hapa
      Usisahau Kusubscribe

    • @matildambuya6844
      @matildambuya6844 Год назад

      Aki mmeimba vizuri nimefarijika nawapenda mno Wana Cecilia naona nyumbani kunazidi kunoga

  • @nicodemusokodoi4915
    @nicodemusokodoi4915 Год назад +1

    Kupitia nyimbo ni sawa na kusali mara mingi kulingana na Mtakatifu Augostino. Asanteni sana

  • @GloryNkya-yq8cr
    @GloryNkya-yq8cr 5 месяцев назад +2

    Nimebarikiwa na huu wimbo nina haja nawe Mungu awaongoze katika kazi njema utukufu kwa Mungu kuwatumia kama vyombo

  • @MarkWahito
    @MarkWahito 7 месяцев назад

    Nina haja nawe mfalme milele

  • @VicentMajaliwa
    @VicentMajaliwa Год назад +1

    Good work. nawakubali sanaa bila kumsahau mkuu wangu KAMEJA. Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki siku zote.🙏🙏🙏

  • @Cresensia-cq8qv
    @Cresensia-cq8qv Год назад +2

    Wimbo mzuri mnoo mungu awabrki Sala tosha hii🙏🙏

  • @Kingdon8765
    @Kingdon8765 Год назад +2

    Utume mwema katika Bwana wetu Yesu Kristu.

  • @MelodyNamelok
    @MelodyNamelok 13 дней назад

    Nishike mkono nitangulie uniongozee maana pasipo wewe sitaweza😢😢....such a soul touching song

  • @Anastaziamkama
    @Anastaziamkama Год назад +1

    Hongereni xana,wimbo umenibariki xana na kunifariji xana

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 Год назад +1

    Hongereni saaana mmeutendea haki huu wimbo,sauti nzuri ujumbe mzuri❤

  • @HabsonKaboma
    @HabsonKaboma 4 месяца назад +2

    Nimejifunza kitu katika nyimbo hii

  • @elielepetit8107
    @elielepetit8107 Год назад +3

    Lawrence Kameja, can't thank you enough, just i say you're blessed enough.

  • @anthonykimweri1386
    @anthonykimweri1386 Год назад +3

    Kazi nzuri sana, tumebarikiwa wengi katika wimbo huu, keep it up waimbaji 🎉🎉🎉🎉

  • @SalomeNicholausKitulusa
    @SalomeNicholausKitulusa Месяц назад

    Nime barikiwa sana kwa hii nyimbo kweli hata mmi Nina haja Naye sana yesu

  • @mt.cesiliampanda7062
    @mt.cesiliampanda7062 Год назад +1

    ❤❤❤❤❤ wimbo mzuri hongereni ndugu zetu

  • @SylvesterKameo
    @SylvesterKameo 2 месяца назад

    Mwenyezi Mungu abariki utume wenu kupitia vipaji vya uimbaji. Hongereni sana!

  • @ClotlidaFmayanja
    @ClotlidaFmayanja Год назад +2

    Mbarikiwe sana Mungu awainue wimbo mzuri sana

  • @MaureenGwiranani
    @MaureenGwiranani Год назад +5

    I'm Malawian, I feel blessed to be Catholic and you are just making the journey worthwhile...Beautiful❤

  • @timotheathomas6946
    @timotheathomas6946 Год назад +1

    Mungu awabariki sana na kwa kujitoa kwenu nasi tunafarijika mungu azidi kuwaongoza

  • @otienoapolo
    @otienoapolo 7 месяцев назад +2

    Asante kwa wimbo mzuri. Hakika tuna haja naye Mungu

  • @wilfredpaul2937
    @wilfredpaul2937 Год назад +1

    Hongereni tuendelee kutumikia na kuajibika mana aimbaye kwa akili husali mara mbili...

  • @bahatidominic8923
    @bahatidominic8923 Год назад +1

    Wanaimba vizuri sana. Mungu aendelee kuwabariki waimbe vyema

  • @TalentedMusiciansTMO
    @TalentedMusiciansTMO Год назад +1

    Kazi imetulia
    Hongereni sana 🙏🙏🙏

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 Год назад +1

    Nijalie nguvu niwapende adui zangu,asanteni saan waimbaji

  • @antoniabukuku5060
    @antoniabukuku5060 6 месяцев назад +2

    Nimebarkiwa saaaaassna na wimbo huu Mungu awabiki sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @rosenyabokee2209
    @rosenyabokee2209 Год назад +1

    Nishike mkono uniongoze maana pasipo wewe sitaweza. Congrats Kameja and your group🥰🥰🥰

  • @GastonCanuty-tx6pp
    @GastonCanuty-tx6pp 5 месяцев назад +2

    Kongowe kwa wimbo mzur sana mungu awa bark

  • @GraceSandy-bb5hj
    @GraceSandy-bb5hj Год назад +1

    Unyama ni mwingi💪🏽🥰 mbarikiwe sana

  • @Kingdon8765
    @Kingdon8765 Год назад +1

    Mubarikiwe watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya Utume.

  • @GastonCanuty-tx6pp
    @GastonCanuty-tx6pp 5 месяцев назад +2

    Good work

  • @catherinejullu6615
    @catherinejullu6615 Год назад +1

    Hongereni mt cecilia Hai mjini oeeeh❤❤

  • @edsonsambala4545
    @edsonsambala4545 Год назад +3

    Ninahaja nawe mwokozi wangu. Wimbo mzuri, utulivu mzuri na ujumbe mkuu. Hongereni sana kwa kazi njema ya uinjilishaji kwa njia ya uimbaji.

    • @st.ceciliachoirhaimjini5607
      @st.ceciliachoirhaimjini5607  Год назад +1

      Asante sana Barikiwa
      Usisahau kusubscribe

    • @GraceMbiki-zj4jt
      @GraceMbiki-zj4jt Год назад

      Asante sana mpendwa, tuendelee kusabusrabu na kushea Kwa ndugu jamaa na marafiki ili uinjilishaji usonge mbele.

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 Год назад +1

    Nijalie nidumu katika hali ya unyenyekevu,asante saan lauurence mwalimu

  • @eliudkamwaro2062
    @eliudkamwaro2062 Год назад +1

    Nimekubali kabisaaa...
    NINA HAJA NAWE

  • @beatrisikimario8233
    @beatrisikimario8233 Год назад +5

    Hongereni Sana wapendwa kwa wimbo mzuri, Mungu azidi kuwainua kwa viwango vya juu🙏

  • @winnieavit5985
    @winnieavit5985 Год назад +1

    Japo kuna tabasamu nimelimis 😢 ni hakika anaishangilia kazi hii na Malaika Mbinguni
    RIP ANGEL SUSAN 🙏🌹💐🌹💐🌹🌺🌹🌺🌹🌺🌹🌺🌺🌺🌹🌹

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 Год назад +1

    Nafarijika saaan nikisikiliza wimbo huu

  • @mariethlysumaye9656
    @mariethlysumaye9656 Год назад +2

    Nice song chukueni Maua yenu🎉🎉🎉🎉

  • @ValerianTopos
    @ValerianTopos Год назад +1

    Nice song barikiwa sana 🥰🥰🥰🙏🙏🙏

  • @emmylingopola2403
    @emmylingopola2403 Год назад +1

    Wimbo mzuri ubarikiwe sana🙏

  • @Luciakilyu
    @Luciakilyu Год назад +1

    Lawrence kameja,this is a Godly golden,keep it up bro,this song has made me to extend my prayers ❤❤❤❤

  • @LilianTemu-nj8md
    @LilianTemu-nj8md Год назад +1

    Hongeren sanaaaa nawatakia utume mwemaa 👏👏👏👏

  • @GastonCanuty-tx6pp
    @GastonCanuty-tx6pp 5 месяцев назад +2

    Congratulation laurence kameja

  • @stephenamota23
    @stephenamota23 Год назад +1

    Wimbo Mtamu sana... Hongera sana mwalimu Lawrence

  • @EufraziaNdazi
    @EufraziaNdazi 6 месяцев назад +3

    KAZI nzuri nimependa saana Mungu awazidishie🙏🙏🙏