Wewe Rudi Zanzibar usiwe mbishi hapafai huko Dodoma Rudi mshtakie mungu kuanzia hawo polisi njaa na hawo wadada nchi haieleweki na hawo walienda nchi njaa tupu
Usishangae wahalifu uliowatambua mubashara kuwa wanadunda kitaa kumbuka ni CHAMA chako ndicho kinachounda serikali na ndicho kinaisimamia serikali na wewe unaandaliwa kuwa kada wa CHAMA. Hayo ndiyo madhira ya wananchi wavuja jasho la nchi hii. Mara nyingi hao afwande hupiga mtonyo pande zote mbili na wakiukosa kwako basi upande wa pili huwa na nguvu kuliko uliyetendwa. Pole sana dogo
Sadock chama na mstukio hayo kinahusiana na nini hapo wewe kama chadema tulia mbona tundu lisu mmempiga risasi wenyewe mkasingizia serikali toka uko chama cha wasaka tonge nyie mmeshanunuliwa nyau nyie
Iyo ilikuwepo sana miaka hiyo mbeya unakuta unavyamiwa tu na mwanadada then anadai ulilala naye na hukumpa pesa yake na watu wakija wana msaport yy hivywa utatoa tu pesa
We Jieleze Mpaka Sauti Ikauke Lakini Ukweli Ukienda Sehemu Kikazi Wacha Umalaya Yani Mtu Unawaza Mimi Siwezi Kuja Uku Nikaludi Kwangu Bila Kula Demu Mbona Wenzio Tunaenda Mpaka Mwanza Lakini Lakini Atuna Tamaa Wala Mazoea Ya Wadada Japo Unakuta Wanajipendekeza Sana Wewe Kicheche Ao Awajakulupuka Sema Unaona Aibu Kwenye Familia Yako Nibola Ujipe Umwamba Aibu Ifutike Eti Nawajua Mpaka Kwao Wote Apo2 Waziwazi Wewe Cheche
Hao ndo police dawa yao nikuwa na watu KAMA HAMZA bac maana wameendekeza rushwa sana istoshe ao ma dada poa ni chakula chao unafkir hawawajui, hiv inakuwaje police akamate mtuhumiwa afu amwachie na vp aandike maelezo tofauti, hata huyo police ni mtuumiwa maana hakuna alie juu ya sheria.
Jamani sijataka hata kusikiliza sana ila nataka niwaambiehakuna watu waaminifu wa kingono kama madada poa, usifikiri niwazimu mpaka amfute ukweli ni kwamba huyo jamaa ni mjuaji yeye aseme tu kwamba alipewa penzi, ila hakulipwa
Hali ni tete nchi iko mteremkoni na dereva haioni peda ya breki. Hayo yapo maeneo mengi, vibaka kila sehemu za miji. Polisi wanafanya doria wakizunguka na Land cruiser na vibaka wanasoma magepu maeneo ya vichochoroni.
Ila hapa itakuwa mwanzo mlitembea nao sasa wakajuwa siku ya kuondoka wawaibie ila mlishatembea nao ndio maana wakaweka mazoea mbona hakufanyiwa lafiki yako.
Chako ni chako sisi tunaenda kila ck lkn hakunaga matukio ya hivi na madada poa wa chako ni chako ni wastaraabu sana sema wewe Kuna namna utakuwa ulizingua ongea tu ukwel
Nawew kijana masaa yote hayo usiku mkubwa watembea vip na Mali zote izo sibora ungekaa apo bus station usubiri ku pambazuke ndo ukapate nyumba ya kulala lolooo umeji fucked up mwenyewe
Kwa sisi tunaowajua polisi na mfumo wa haki kwa Tanzania, ninachoweza kumshauri mwamba aniongeze tu arudi zanzibar Hapo ashapigwa, coz hata akashinda hiyo kesi sada poa watamlipa hivyo vifaa? Hao wadada watakuwa washahama dodoma kwa sasa
Pole Kijana wangu! Mbona naogopa Hao ni wezi kabisa wakamatwe!
Wewe Rudi Zanzibar usiwe mbishi hapafai huko Dodoma Rudi mshtakie mungu kuanzia hawo polisi njaa na hawo wadada nchi haieleweki na hawo walienda nchi njaa tupu
Mungu akulinde na ukimwi mana apo amekutia meno kaka , apo sidhan kama kuna kesi cha msingi rudi zanzibar ukamshtakie mungu
Wazanzibari sawa tu
pole sanaa,Ata kama Ulipiga show siri yako,Hila bora wewe umeenda kwamadada poa,kunawengine wanabaka vitoto vidogoo,
Pole sana ndugu yangu
Wauwajihao ni wezi machangudoa Allah atawalipa kwa kazi yaohiyo iposiku watajuta
Muuzaji na mnunuzi kunautofauti gani?😂😂😂uyo Allah ndo anaruhusu udangaji?🤣🤣🤣
@@estherkibajiro3480 sinunajuatena hasila unaandika mpaja unaandikatena. Hahaaa kwanijamaa alikua mdangaji
Pole sana
Pole kijana Mungu akusaidie
Usishangae wahalifu uliowatambua mubashara kuwa wanadunda kitaa kumbuka ni CHAMA chako ndicho kinachounda serikali na ndicho kinaisimamia serikali na wewe unaandaliwa kuwa kada wa CHAMA. Hayo ndiyo madhira ya wananchi wavuja jasho la nchi hii. Mara nyingi hao afwande hupiga mtonyo pande zote mbili na wakiukosa kwako basi upande wa pili huwa na nguvu kuliko uliyetendwa. Pole sana dogo
Sadock chama na mstukio hayo kinahusiana na nini hapo wewe kama chadema tulia mbona tundu lisu mmempiga risasi wenyewe mkasingizia serikali toka uko chama cha wasaka tonge nyie mmeshanunuliwa nyau nyie
Ulitata nini kwa wadada poa?
Subhannallah!!!!!
Wale wadada hawawezi kukuzingua kama hujala shoo
Huyo unayedai unamfahamu mna lenu jambo. Sema vizuri.Safari ulikuwa wasafiri peke yako? Kumbe hata kwao wakujua.
Akujua kwao
Hi nchi saahv matukio ni mengi sana mimi sitembei tena usiku
Iyo ilikuwepo sana miaka hiyo mbeya unakuta unavyamiwa tu na mwanadada then anadai ulilala naye na hukumpa pesa yake na watu wakija wana msaport yy hivywa utatoa tu pesa
Mtihani
Hii nchi aseh,,,,mungu tu ndo anajua
Broo Rudi kweni usihangaike huom ni mchezo umepangwa
Umekula mzigo acha janja janjaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣maelezo yko tu yanajieleza😜
🥰🤣🤣🤣🤣🤣
Ukila ndo ukatwe mapanga hio c kweli njaa tu za dada zetu
Iv utanunuaje k ya elfu 5 na nyinyi wanaume wangekuuwa ndio ungejua
Haingii akilini saa kumi usiku unatembea kwa miguu na laptops na simu. Unafikiri uko Zanzibar
Weeeee nyoosha maelezo alaf ukiwasafarin ugenini uache umalaya rud kwenu
Hahaha 🤣 kweli kabisa
We Jieleze Mpaka Sauti Ikauke Lakini Ukweli Ukienda Sehemu Kikazi Wacha Umalaya Yani Mtu Unawaza Mimi Siwezi Kuja Uku Nikaludi Kwangu Bila Kula Demu Mbona Wenzio Tunaenda Mpaka Mwanza Lakini Lakini Atuna Tamaa Wala Mazoea Ya Wadada Japo Unakuta Wanajipendekeza Sana Wewe Kicheche Ao Awajakulupuka Sema Unaona Aibu Kwenye Familia Yako Nibola Ujipe Umwamba Aibu Ifutike Eti Nawajua Mpaka Kwao Wote Apo2 Waziwazi Wewe Cheche
🤣🤣🤣🤣🤣
kweli mezee baba huyu kayakanyagatu atulie
Ni maraya mzoefu 😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂pole jamani ila boss ulimkula kweli
Uyu dada kwa maelezo yako sema wamekosea sana ugempa tu ela yake
Wewe nimgeni huyo dada umemjuaje na kipindi yeye ni dada poa sema ukweli kaka
Alisha kwambia alipo fika mchana mnakutanan na watu sehem yoyoote zen mtu uyo uyo uje umkute usk anajiuza sasa cha ajabu nn
Sema We Jamaa Inaonekana Uyo Mdada Ulimtaka Kweli Kwasababu Kumbe Mlizoeana Ivo Kwanini Uzoee Watu Kiurahisi Ivo
Yote hayo NI ukosefu wa Ajira
Hao ndio police wetu
N ht hvy unazani police hawawajui madada poa wanawajuwa vzr sanaaaa
Taarifa hiyo mimi sina na sina taarifa nayo
Uzuri ni nyinyi kwa nyinyi ccm pili mzanzibar mama c huona poa watu wakifanyiwa uhalifu we rudi kwenu kajipande upya
Allah atakulipia. Hapa hapa ktk duniya. Poloc muwe makini na wahalifu
Hao ndo police dawa yao nikuwa na watu KAMA HAMZA bac maana wameendekeza rushwa sana istoshe ao ma dada poa ni chakula chao unafkir hawawajui, hiv inakuwaje police akamate mtuhumiwa afu amwachie na vp aandike maelezo tofauti, hata huyo police ni mtuumiwa maana hakuna alie juu ya sheria.
Mtihan huu wallah
kijana ebu njoo officen kwangu niku hoji vizuri
pole sana ndugu yangu😭😭
Usichokijua bro police na dada poa lao moja wakipata wanawapa kitu kidogo 🤣🤣
Mmmh!!!! 😏
Hao ni wezi ni madada wanaojiuza wanakuwa na mabwqnazao wezi, wanajitanguliza wanawake alafu wanadanganya umetembea nao ili wakuibie.
Jamani wanafanya vibaya sana
Jamani sijataka hata kusikiliza sana ila nataka niwaambiehakuna watu waaminifu wa kingono kama madada poa, usifikiri niwazimu mpaka amfute ukweli ni kwamba huyo jamaa ni mjuaji yeye aseme tu kwamba alipewa penzi, ila hakulipwa
Kama utembei ucku lala unaela.
Hali ni tete nchi iko mteremkoni na dereva haioni peda ya breki. Hayo yapo maeneo mengi, vibaka kila sehemu za miji. Polisi wanafanya doria wakizunguka na Land cruiser na vibaka wanasoma magepu maeneo ya vichochoroni.
Sasa aseme ukweli gani munaotaka nyinyi
Poole kijana we hao ndio madadas WA mjini
Pole sana dogo tz polis na wahalifu wote niwamoja hawana lolote rudi hom tu
pole sana kaka wanaotaka kujua ukweli wamuulize mungu😭😭😭
Yamekufika kama mnavyofanya nyinyi uvccm hapa Zanzibar, kwahiyo unavuna ulichokituma,tatizo unaona hapo ni Zanzibar, wewe umeshafanya mangapi hapa Zanzibar kwa ACT Wazalendo?
Madada poa hawana mdhamana tena wana roho ngumu kuliko paka,bro oa acha kuonja onja mtakufa
Nchi hii ya ovyo sana hao mapolisi watakuwa wanashirikiana na hao majambazi na wamepewa rushwa, rushwa ya hela au ngono
Ndo nashangaa kwann wamuache aende mwenyewe Hospital
Jamani mtoto wa watu.
Maskini pole kama kakungata asije akakuambukiza ukimwi pole baba
Wenyeji wa Dodoma mtuambie kama kuna hivyovitendo
Wanalipa tozo..hao..jamaniiiiii
Mwache
maelezo yko inaonyesha kbsa ujiamin coz umetenda jmbo na Hao mdada acha ujinga ww hongea ukweli upate msaada
Mbwa hso wameshapewa pesa na hao machagudoa hakuna ocd huko kuna kibaka mungu atakulipia
Rudi nyumbàni Allah yupo
Huyo OCD hafai
Subuhanallah
Wahuni hao hali ngumu wamejipoza
Ila hapa itakuwa mwanzo mlitembea nao sasa wakajuwa siku ya kuondoka wawaibie ila mlishatembea nao ndio maana wakaweka mazoea mbona hakufanyiwa lafiki yako.
Ndio mujihurumiye jamani tena nzazibari unaenda kununuwa kahaba wakati zina imekatwaza lakini pole ndio tujifuze
Una uhakika kamnunua?
Viongozi wa chama chako wasijifanye hawasikii
Hao.ni.watu.wa.viongozi.furani.ndi.maana.kesi.yako.inakuwa.ngumu
Mwongo huyu kayakanyaga tamaa zake tuu
Ebu rudi numbani ukameambie she maridhiya asome dua kuazia dada poa hadi askari
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 karibu Dodoma chako ni chako
Kapime
Hi ndio Tanzania 🇹🇿 nchi ambayo wahalifu wana haki kuliko watu wasio na makosa
Pelo kaka
Wanaume mmezidi hamtuli kutwa na machagundoa mtakufa
Ktka maisha yako usiamini police ndugi yangu police na wahalifu wote ni lao moja na hasa nchi za watu
Police wanashirikianaga sana na waharifu,hiyo iko wazi,na wanaweza kukugeuzia kesi ukashangaa aiseee,hivyo vitu vyenyewe wamechukua police wenyewe
Usishangae kama ww ni mwana ccm kapambane kuitafuta haki wanyonge wanakufa sn
Yaani inabidi upewe dawa ya kuzuia maambukizi
Huyu anaficha ukweli,acha wanawake wa aina hiyo wewe bado kijana mdogo.
Yani police 🚓 bana jamani jamani.police police 🚨
Chako ni chako sisi tunaenda kila ck lkn hakunaga matukio ya hivi na madada poa wa chako ni chako ni wastaraabu sana sema wewe Kuna namna utakuwa ulizingua ongea tu ukwel
Sasa huyu jamaa si ange panda boda boda ame zingua sana kutembea kwa miguu ukiwa na vitu vya thamani
Huyo polisi anaposema hamfahamu mwongo Ana mjua
Huyu kijana mamlaka ya juu iingilie kati, Jambo hili linatakiwa lifikishwe Mahakamani, kwanini police na DDP wag'ang'anie hii kesi?
🤣🤣🤣
Huyo jamaa kala mzigo
Inatisha
Tetenasi hiyo
Umaraya punguza 😂😂
Nchi Ile haina sheria wizi wakubwa
Una babaika kama ulimxingua sema tuu kunakitu hapo ongea yako tuu inaonyesha
Umeona ee
Itakua we umekula nyama ya watu hujalipa
Uokoke Sasa uachane na Dunia na starehe zake
Mh wewe sema ukweli
Kabisaa aseme ukweli alinunua au alikopaa🤣🤣🤣
Kumbe uliyatafuta mwenyew wajina
Nawew kijana masaa yote hayo usiku mkubwa watembea vip na Mali zote izo sibora ungekaa apo bus station usubiri ku pambazuke ndo ukapate nyumba ya kulala lolooo umeji fucked up mwenyewe
Kisheria OCD anatakiwa awatafute watuhumiwa na chama kiingilie kati
Hata maelezo yako tu yanajionysha wewe muongo ACHA UMALAYA
Hapana uko waliko dada poa ulifata nini nyie ndiomnawapa muendelezo wakazi hao wadada kabisa
😂😊
🤣🤣
Ushaur wangu usijitie umwamba nchi ya watu rud nyumban zanzbar uanze maisha mengine
Mmekwenda dodoma kusoma chuo na kazi leo mnapita vichocholoni wasomi elimu iwakomboe mnakuwa watumwa wa ngono acheni
Kwa sisi tunaowajua polisi na mfumo wa haki kwa Tanzania, ninachoweza kumshauri mwamba aniongeze tu arudi zanzibar
Hapo ashapigwa, coz hata akashinda hiyo kesi sada poa watamlipa hivyo vifaa?
Hao wadada watakuwa washahama dodoma kwa sasa
😂😂😂🙌