Hongera Dodoma kwakuwa na maji mengi mpaka majumbani mshukuru mungu kwa kweli.Tengenezenj mtaro na bwawa zuri la kuhifadhi maji na myatumie kwa bustani na kunywesha mifugo.Acheni kumnung'unikia mungu hiyo Ni fursa ya kulima mbogamboga na zabibu.
Mkuu nashukuru kwa ziara hii haya yote yanayotokea ni moja ya athali za iliyokuwa CDA ndo wakulaumuwa maana viwanja vulivyokuwa maeneo mazuri walikuwa wanajigawia wenyewe inauma Sana Mungu anawaona watumishi wa CDA

sio salama kwa watu kabisa ALLAH awarejeshe siku zijazo katika makazi yaooo.
Dodoma kuwa na bahari inawezekana kabisa sema mipango tu ndo inachelewa
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😆😆😆
😂😂😂😂tache bnana wagogo na siye tupate mafish fresh
Jaman bwaga hakufai
Kero za kujirudia kila mwaka mvua zinaponyesha. Tumieni akili mpate ufumbuzi wa kudumu.
Mwezi wa saba hadi wa tisa taarifa itakua ni watu kukosa maji hata ya kufulia 😀😀😀
Mkuu nashukuru kwa ziara hii haya yote yanayotokea ni moja ya athali za iliyokuwa CDA ndo wakulaumuwa maana viwanja vulivyokuwa maeneo mazuri walikuwa wanajigawia wenyewe inauma Sana Mungu anawaona watumishi wa CDA
Mmmh polen wakaz wa dodoma
Poleni
Weken mitaro hakuna mitaro mitaani yakupeleka maji kwny makorongo makubwa.
Kuna nyumba bd mpya nmezipenda sema ndo hvy hameni jmn uhai hauna spare
Tembeleeni na ilazo tunashida kubwa ya miundo mbinu ni hatari
polen sana
Poreni sana wandugu zangu
RC NIMEKUELEWA
Jamani hii ni Dodoma ya Wapi?
M'bwanga
Dah pole mjomba
Jaman bwaga hakufai
Weken mitaro hakuna mitaro mitaani yakupeleka maji kwny makorongo makubwa.