Dodoma: Ujenzi wa mji mkuu mpya wa Tanzania

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 окт 2024
  • Serikali ya Tanzania iliuchagua mji wa Dodoma kuwa makao makuu ya nchi hiyo mnamo mwaka 1973. Mji huu ulizingatiwa kuwa eneo sahihi katika kusukuma maendeleo ya nchi kwa sababu ya faida yake ya kijiografia kama makutano ya usafiri. Mwanahabari wa BBC Peter Mwangangi alitembelea mji huo kutathmini ujenzi unaoendelea kuleta hadhi ya mji mkuu wa nchi.
    #Dodoma #Tanzania #DarEsSalaam #MjiWaSerikali #MagufuliCity #JohnPombeMagufuli #SamiaSuluhuHassan #PeterMwangangi

Комментарии • 33

  • @princeofosun7451
    @princeofosun7451 Год назад +14

    As A Kenyan I love Tz so much the people the nature the umoja ya watu,

    • @hoseastephen4508
      @hoseastephen4508 Год назад +1

      Ahsante ndugu pia karibu TZ

    • @josephstephen1079
      @josephstephen1079 Год назад +2

      We love Kenyans too u're our blood brothers

    • @princeofosun7451
      @princeofosun7451 Год назад

      @@hoseastephen4508 Asante

    • @princeofosun7451
      @princeofosun7451 Год назад

      @@josephstephen1079Thanks

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 6 месяцев назад

      ​@@josephstephen1079 usitusemee na sisi wengine wengine ni maadui zetu hao pumbaaavuuuu zako 😂😂

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 6 месяцев назад +2

    Chonde chonde serikali ya Tanzania fanya mfanyalo jiji la Dodoma lijengwe vizuri majengo yake yawe bora na mazuri kuzidi yaliyo Nairobi na dar.Dodoma ndiyo image ya uzuri wa Tanzania.Tafuta wajapani,wakorea wachina waje wajenge magorofa marefu yanayo jengwe kwenye guides kuhimili matetemeko ya ardhi kwani Dodoma iko bonde la ufa.pia pale katikati ya mji majengo taka yote yabomolewe magorofa mazuri na fly overs zijengwe Tanzania ya Nyerere izidi kupendeza.

  • @kondoatown8765
    @kondoatown8765 Год назад +1

    Nipenda Dodoma aisee sijui kwa nn ?

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 Год назад +2

    Hayati Dr. JP. Magufuri hakuwa rais mstaafu, inasikitisha unaposhindwa kelezea ukweli.

    • @simpsonisoe8994
      @simpsonisoe8994 Год назад +1

      Ni mstaafu kwasababu nimareemu

    • @tanzanite9944
      @tanzanite9944 Год назад +1

      Msameheni ni Mkenya huyu kiswahili ni cha kupima. hawana maneno mengi ya kiswahili.

    • @simpsonisoe8994
      @simpsonisoe8994 Год назад

      @@tanzanite9944 ukweli kiswahili ni cha kupima

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 Год назад +3

    Mwandishi ni Mkenya ila amejitahidi kuongoea kiswahili fasaha, ila accent ya TZ bado hajaipatia.

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 5 месяцев назад

    😢💞💞💔💔

  • @mussamussa8181
    @mussamussa8181 6 месяцев назад

    Mbona kakazia apo rais wa zaman...anajua neno zaman

  • @saidimandala8342
    @saidimandala8342 Год назад +2

    Raisi mstafu..?.we vp muandishi au WA mchongo.

  • @pendolyimo5062
    @pendolyimo5062 Год назад

    @GLOBAL FORTUNE COMPANY LTD 👊✌

  • @albertngendelo5350
    @albertngendelo5350 Год назад +2

    Mwandishi wa habari mbona unatuangusha? Mji wa Dodoma watu milioni 3 wanatoka wapi? Takwimu unazitoa wapi hizi? Au hujui "MJI" ni nini?

    • @josephstephen1079
      @josephstephen1079 Год назад

      Wengi ni wafanyakazi wa serikali waliokuwa dar na sasa wamehamia dom

    • @ototek8037
      @ototek8037 Год назад

      Kama unapita mala kwa mala Dodoma bado hujaijuwa..mitataa yote imekuwa zaidi ya mala3, watu ni wengi sana, amini.

    • @albertngendelo5350
      @albertngendelo5350 Год назад +1

      Kama MJI wa Dodoma una idadi hiyo ya watu, mkoa wa Dodoma utakuwa na watu wangapi? Ninachokiona hapo ni maana ya "MJI" hujaielewa.

    • @filbert9138
      @filbert9138 Год назад

      Kwamba takwimu za sensa we hujazusikia Au

    • @albertngendelo5350
      @albertngendelo5350 Год назад

      @@ototek8037 Jiji la Dodoma lina Idadi ya watu kama 430000 tu.