@@SaidMkome-q5t Alikudanganya nani kama yanga ikifungwa mashabiki wanahama!!! Yanga ina mashabiki wanaojielewa, wasomi, wenye subra, wenye mapenzi ya kweli kwa timu yao na wastaarabu wa hali ya juu...usitegemee mashabiki wa yanga wakashifu wachezaji eti wameuza mechi😔😔
Goli.la Mama kwa haraka haraka tu huwezi kujua MADHARA yake hasa kwa timu hizi kubwa 2 na Timu ya Taifa 1. Wachezaji wanatumia nguvu nyingi sana kupita kiasi ili tu wapate magoli mengi wavune fungu kubwa 2. Siku ofa ikiisha timu zetu hazitacheza kwa uzalendo hasa mashindano ya Nje 3.Wachezaji tegemeo timu ya Taifa uwezo wao utashuka uwanjani kwa kiwango kikubwa sana wametumia nguvu nyingi pindi wanapokuwa wanashiriki mashindano makubwa. NB. Tuwekeze Uzalendo kwenye vilabu vyetu na Timu ya Taifa tutakuwa na vijana bora SIO KUTANGULIZA FEDHA KUPATA MATOKEO MAZURI
Wanaleta masiara xnaa yanga ,alaf na kocha analeta mazowea kikos kila siku ni kilekile tu kwan baleke hamchezeshi kwa nn!? Km ameishiwa mbinu asepe asizengue
mpila nikamali kushinda au kuto kushinda unapo kwenda kwenye ushindani yakupasa kuya kabili yote yanayo kuwa yameji tokeza mbele yako au mbele yao hivyo tu!! haina haja ya kujiuliza maswali
Miaka yote unayosema mingapi? Mnyama kawa bingwa miaka 4 mfululizo sasa mingi ipi au ndo kutafuta faraja kupitia Simba hamna kitu kama hicho .Mafuta na maji lazima yajitenge tu😂😂😂😂😂😂
Mama hajui Tena afanyeje.. Maana timu unaibeba lakini haibebeki inashinda kwa waganga wa kienyeji na dawa za kuongeza NGUVU... Inavunja Sana moyo timu haishindi mpaka ibebwe kila siku 😂😂
Kocha anafanya sabu za ovyo wachezaji viwango vimeshuka na yeye kocha kiwango kimeshuka huyu ni kocha au ni example ya kocha.... Ina maana ubora wa wachezaji ndio ulikuwa una mbeba.... Badala amtoe aziz na msonda aingie mzize na chama eti ana mtoa hadi pacoma ambae ndio alikuwa muhimili kule mbele hapa hamna kocha
Tabora nao wanafanya mazoezi ili washinde wasifungwe wao nani bhana Asante Tabora🌹🌹🌹🌹🌹
Ila sitaki like coz nina maumivu na hii yang yang mnipige mniuwe yanga siami
Sasa utamia wp simba imejaa😁😁😁🏃🏃🏃🏃🏃
@@SaidMkome-q5t Alikudanganya nani kama yanga ikifungwa mashabiki wanahama!!! Yanga ina mashabiki wanaojielewa, wasomi, wenye subra, wenye mapenzi ya kweli kwa timu yao na wastaarabu wa hali ya juu...usitegemee mashabiki wa yanga wakashifu wachezaji eti wameuza mechi😔😔
Nabado yanga hii unaifungajeee3eee
Ww bak h tu imepenya hii 😂 we uogopi
@@mamboshepea8888kajibiwa huyo alosema yanga hahami alaf unasem hmnangi wachezaj wenu na hamsemi bahash fatilia interview za wasbiki wenzio leo kimewaka inafungwajeeee
WAJUKUU WA MZEE ISIKE WAMETUFANYA VIBAYA LEO,DAH! CHOMBO NDO KINAANZA KUZAMA HICHO😢
Wakwanza nipeni like zangu
Hivi timu inafungwaje fungwaje mara mbili MFULULIZO, maana sisi Unyamani hayo mambo hatuyajui 😂😂😂😂😂😂
Hata mimi nashanga 😂😂😂😂😂
Nitasimama na yanga kwenye kila nyakati
Mama president Samia ni mdau wa simba juwen hilooo
Goli.la Mama kwa haraka haraka tu huwezi kujua MADHARA yake hasa kwa timu hizi kubwa 2 na Timu ya Taifa
1. Wachezaji wanatumia nguvu nyingi sana kupita kiasi ili tu wapate magoli mengi wavune fungu kubwa
2. Siku ofa ikiisha timu zetu hazitacheza kwa uzalendo hasa mashindano ya Nje
3.Wachezaji tegemeo timu ya Taifa uwezo wao utashuka uwanjani kwa kiwango kikubwa sana wametumia nguvu nyingi pindi wanapokuwa wanashiriki mashindano makubwa.
NB. Tuwekeze Uzalendo kwenye vilabu vyetu na Timu ya Taifa tutakuwa na vijana bora SIO KUTANGULIZA FEDHA KUPATA MATOKEO MAZURI
kweli kijana
Yanga hii unaifungaje unaifungaje nyoo najivua ciitaki yanga😂😂😂
Yanga najua kuwa mama......
@Yanga sc tafuteni uwanja wenu achaneni na viwanja vya kupewa nime waza kwa sauti
Wanaleta masiara xnaa yanga ,alaf na kocha analeta mazowea kikos kila siku ni kilekile tu kwan baleke hamchezeshi kwa nn!? Km ameishiwa mbinu asepe asizengue
mpila nikamali kushinda au kuto kushinda unapo kwenda kwenye ushindani yakupasa kuya kabili yote yanayo kuwa yameji tokeza mbele yako au mbele yao hivyo tu!! haina haja ya kujiuliza maswali
Hii yanga tutakuwa tumelogwa sio bure
Aisee leo nimeumia sana kama makolo miaka yote walikuwa wanaishi ivi basi hawa jamaa wanaweza hata kuishi kwenye moto😆😆
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kutesa kwa zamu
Miaka yote unayosema mingapi? Mnyama kawa bingwa miaka 4 mfululizo sasa mingi ipi au ndo kutafuta faraja kupitia Simba hamna kitu kama hicho .Mafuta na maji lazima yajitenge tu😂😂😂😂😂😂
@@taseleli9181amesahau uto mpaka walianza kupokea wageni wao ndo walipata shida sana Hawa sindano fc
UNYANYEMBE HOYEEEE!!!
Wachezaji hawajitumi pia pale kocha hamna
Humu hamna kocha alikutana na upepo wa nabii tu
😂😂😂, Sisi Real Madrid tuna firiwa alafu nyiye musi fiwe😅(kwa mulevi atasema kufiriwa)
Mama hajui Tena afanyeje.. Maana timu unaibeba lakini haibebeki inashinda kwa waganga wa kienyeji na dawa za kuongeza NGUVU... Inavunja Sana moyo timu haishindi mpaka ibebwe kila siku 😂😂
Mi.napita.tu
Hakuna kocha kabisa
Uwanja uxha chezewa tayali ule😢
Kumbe serikali ndo inatuma tufugee😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yaani rahaaaaaaaaaaa yamewashuka shuuu.... 🙅♀🏃♀🏃♀🏃♀🏃♀🏃♀
Rais samaiaaa lwo umewwbwaga wabao uliowapa ndege na kuizalau simba hahahahaha
Kwa nini yanga ikifungwa inakua ajabu? Mama wafundishe wajinga hawo🤣🤣🤣
Acha wapate azabu walijiona wakali sn
😅😅😅
Ayo ushawahi kupigwa kwenye mshindi😂😂😂😂😂😂😅
LEO WAKWANZA MIMI
Kocha anafanya sabu za ovyo wachezaji viwango vimeshuka na yeye kocha kiwango kimeshuka huyu ni kocha au ni example ya kocha....
Ina maana ubora wa wachezaji ndio ulikuwa una mbeba....
Badala amtoe aziz na msonda aingie mzize na chama eti ana mtoa hadi pacoma ambae ndio alikuwa muhimili kule mbele hapa hamna kocha
Mara hii kocha tena😂😂
Usisahau tuna mechi za kimataifa, isije jitokeza kama kwa mamelodi
Mateso yenu ndo furaha yetu😂😂😂😂😂😂😂
@@LindaMbilinyi-n3n Haswaaa😂😂😂
Rais anapaswa kuipongeza yanga inapofunga pia