MAGUFULI AMFAGILI BASHE AWALIPUA VIGOGO WEZI, "WAONDOE WOTE NCHI NZIMA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 ноя 2024

Комментарии • 13

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 5 лет назад +2

    Asanteni Sana viongozi wa Tanzania wallah watanzania huyu rais pombe magufuli musijaribu kumuondoe hiivi mlikua mnataka mumuache yy numuombe aendeelee Hadi aiweke sawa kabisa tz wallah natamani niwe mtanzania na mm hivi rais magufuli najua utanisikiliza comment yangu nipe na mm kiwanja unipe na citizen wa Tanzania mm nije kuishi Tanzania Kenya imenichosha hatuna viongozi nivinyozi tuuu maisha yametushinda Sisi wengine mungu akulinde pombe magufuli na akubariki inshaa llah

  • @semeningulangwa7111
    @semeningulangwa7111 5 лет назад +1

    Bashe ujue unatukosha sana sisi wakulima,maana tulikuwa na madonda makubwa kwenye mioyo yetu kwa miaka mingi lakini tunapona kabla ya jicho kupwesa.Baba Magufuli safiiiiiiiiiiii

  • @linusjohn5950
    @linusjohn5950 5 лет назад +1

    VIP waziri bashungwa kwa huyu kijana bashe utapona

  • @willingtonejohn1929
    @willingtonejohn1929 5 лет назад +2

    Huwa nakukubali sana mzee bashe

  • @dintazdintaz7311
    @dintazdintaz7311 5 лет назад +1

    Bashe mawazir wengi ni wanenee sasa na ulivyomwembamba nakuonea huruma utakondaa

  • @martinmagwe1505
    @martinmagwe1505 5 лет назад +2

    Viongoz km hawa waliogopa kujitokeza awamu iliyopita, awamu hii inawajali usalama wao,.. Hongera JPM nakupenda sana Rais wetu wa Tz

  • @tahiraabdul1701
    @tahiraabdul1701 5 лет назад +2

    Bashe mleteni Kenya awe Raisi wetu

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 4 года назад +1

    Uyu kijana yukovizur

  • @tahiraabdul1701
    @tahiraabdul1701 5 лет назад +1

    Safi sana Bashe

  • @dominicomakungwa729
    @dominicomakungwa729 5 лет назад +2

    Kwel br bashe piga kazi

  • @kenethjaphet8130
    @kenethjaphet8130 5 лет назад +1

    Baba kasema

  • @rabrojita1552
    @rabrojita1552 5 лет назад

    Bashe kichwa