MAGUFULI Ambana BASHE Mbele ya WANANCHI - "UMEFANYA UJANJA, SIKUTAKA KUPITA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 21

  • @josephbanzi7357
    @josephbanzi7357 5 лет назад +5

    Yaani kichwa cha habari na kilichomo humu tofauti!

    • @mtitimtiti376
      @mtitimtiti376 5 лет назад

      Kaka ndio Africa ilivyo......anway good job

  • @dr.mickymasanja8452
    @dr.mickymasanja8452 5 лет назад +1

    Nakukubali Sana Mh. Hussein Bashe.

  • @annethmmassy4178
    @annethmmassy4178 5 лет назад

    Ambacho ananichosha zaidi detail zote anajua hakuna konakona.Nashidwa kuelewa hivi vyote anavipitia saa ngpi.mmmh noma mnu.

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 5 лет назад

    Hongera rais magufuli

  • @clementmwaitebele7687
    @clementmwaitebele7687 5 лет назад +1

    Yaani Afrika tungepata Viongozi kama Mh.JPM tungekuwa mbali sana...pia Mh.JPM ni mkweli sana Hongera...pia huyu kijana Mh.Bashe yuko vizuri sana

  • @deusmauka9626
    @deusmauka9626 5 лет назад +2

    Safi sana Rais wetu.

  • @amraniissa530
    @amraniissa530 5 лет назад +1

    Mungu akupe afya mweshimiwa raisi kunawakati wa kulia na wakati wa kucheka pia Sasa tumeanza kuelewa wengi walio cheka Jana leo wanalia sisi tunao taka kufanya kazi tunacheka Mungu akupe afya tele

  • @movies_store01
    @movies_store01 5 лет назад +1

    Nakupenda mh rais kwa sababu unaongea ukweli na uwazi na uhakikaa

  • @cldmichashukim5864
    @cldmichashukim5864 5 лет назад

    tanzania you are blessed the brother your president is real ,i mean real african son ,mama africa must be proud of him,bless up.

  • @reinampona69
    @reinampona69 5 лет назад +1

    Jamani niseme tu ukweli mimi napenda ao magani naizo mashine jinsi walivyo zishika yaani ni skankadi.

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 5 лет назад

    Kweli kabisa bashe nikuambia huyu ni jembe kweli ni kweli anapenda maendeleo sio mbinafasi mpe kazi kubwa zaidi ni msema kweli wananchi wanapenda hata wapizani maana ni mpenda kweli na amani tufanye kazi mbarikiwe wote

  • @eliane8564
    @eliane8564 5 лет назад +1

    Wa safi

  • @simbawateranga7020
    @simbawateranga7020 5 лет назад +2

    🔥🔥🔥🔥

  • @songabaluku4153
    @songabaluku4153 5 лет назад +2

    Baba lao

  • @justinejustine6154
    @justinejustine6154 5 лет назад +1

    Mkuu nenda na kaskazin basii

  • @msumiclassic7542
    @msumiclassic7542 5 лет назад +2

    Baba Lao.Una urafiki

    • @linajames2653
      @linajames2653 5 лет назад

      Suhaila Mohd Huyu ni msomali

    • @linajames2653
      @linajames2653 5 лет назад

      I'la anajua kiswahili

    • @teddyoscar6876
      @teddyoscar6876 5 лет назад

      Tanzania hakuna ukabila Bashe ni mtanzania mzaliwa so hakuna shida

  • @johnstonemwesiga236
    @johnstonemwesiga236 5 лет назад

    MBONA ANATETEMEKA