Huyo Babu ni mwizi wa Imani na muongo kabisa 🤣🤣🤣alindanganya waislamu ati Bahebe amesilimu kumbe ni uongo . Yaani vile alizoea kusilimisha maiti Sasa anasilimisha wenye hai kwa nguvu 🙆🙆
@@hanifatanzania7258 tazama utube uone vile aliigopa Ndacha 😆😆Hadi anachangiwa pesa na waislamu aende Narok aka debate na Ndacha lakini akatoroka na waislamu 😂😂😂😂 Huyu Babu ni mdogo tu hakuna kitu Hata afuadhali akina Wambugu
Yaan me nampenda sana Mazinge jaman na mawaidha maashallah ❤❤❤❤💖💞💞🤲🤲🤲💫💫💫
mashallah
MASHA ALLAH ALLAH atupe mwisho mwema ss sote kwa ujumla AMIN ALLAH awangoze MASHEKHE awape afya njema awaifadhi awape urimrefu AMIN
Allah akuhifadhi mwalimu wetu mazinge kwa kazi za allah
Amiin
Aamiin Aamiin Aamiin
ASALAM SHEHE MAZINGE ALLWAA ,AZIDI KUKUPA AFYA NJEMA , NA AKUTIE NGUVU KWA UWEZO WAKE ILI UZIDI KUELIMISHA DINI YETU YA KIISLAAMU, INSH AALLWWAA
Masha allah nampenda Mazinge kwa jiri ya Allah
Mungu akulepe kabla yahapa nabaada yakutoweka duniani aaamiina
Mashaallah wajina wangu Michael nae kaslim kama mimi....ALLAH AKBAR☝🏾
Mashaallah nakupendeni nyote Masheikhe kwa ajili ya Allah
Dah! Kweli Maznge Anaitaji Duaa kwa Wingi Sana Mzee wetu huyu
Mie nampenda mazinge lwa ajili ya Allah wallahi
Takibrrrr Anllah akupe umli mlefu shekhe kipenzi cha wengi akupe firijanat ilio njema kabisa 🤲🤲
Allah akuzidishie siku na kumbukumbu sahihi katika kazi kubwa unayoifanya kwa waislamu na waliopotea
Ila Shekhe Mazinge mi nakupenda bwanaa for the sake of Allah🥰♥️😂😂 ila umenichekesha jamani💕💕😂😂💕
Allah akuhifadh akujalie nguvu afya njema yakuiongoza dini kiislam nakulingania na atujaalie maisha marefu yny manufaa na mwisho mwema amiiin
Masha Allah 🥰👏 🤗🤗
Jazaka Allah khaira shekh mazinge
Sheikhe mazinge huo mji uloutaja umealikwa Oman unaitwa Maabela
Mashalha mungu azid kumpa kher dunian na akhera inshalha yarabi
Amiin
Safi
Mashallah shukran sana kwa darasha wallahi babu mazinge mungu atupe mwesho mwema wallahi nakupenda kwa ajiri ya Allah ❤️
Shekh @Othman michael Mwenyez mungu akuhfadh
Assalam aleykum wahmatullah ustadh Mimi nikatika watu kutoka DRC tunao kuombeya umri mrefu wenye baraka pia na mwisho mwema
Tumswalie mtume 😘😘💕💕💕😍😍
Mwenyez mungu atupe mwisho mwema
Allah mpe mwisho mwema mazinge .nakupenda sana .mazinge
Ma sha Allah
Masha Allah shekhe othman Michael Allah akuhifadhi
Amiin
Mashaallah 💓💓💓
MashaAllah MashaAllah mazinge❤❤❤❤❤
maa shaa Allah ... mazinge
Rial [5,000 x 4,000] = 20,000,000.00
maa shaa Allah
alijitoa sana huyo bwana
Mashallah
Masha Allah
Mashaallah
Mazinge♥️
Mazinge mwongo
Sahihi
Mashaallah 👍🏾
Mazinge mungu akupe maisha marefu sana
🤣👏
Huyo Babu ni mwizi wa Imani na muongo kabisa 🤣🤣🤣alindanganya waislamu ati Bahebe amesilimu kumbe ni uongo . Yaani vile alizoea kusilimisha maiti Sasa anasilimisha wenye hai kwa nguvu 🙆🙆
MAHEBE ALISILIMU HIYO TAARIFA HATA KANISA WANAYO
Mazinge anasema ukweli wewe ndo mwongo
Roze mutinda uwe na Kauli zenye akili ww sheikh wetu sio muongo Maana anaongea kile anchokijua kuwa nikweli km muongo ni ww mjinga ww ungekuwa Kalib ww sijui ingekuwa je wallah
@@AKASHA.P Wewe ulimuona ama unafuata Mazinge 😂😂
@@abdikadirabdulahi731 Bahebe anaenda muskiti Gani?2, Kwa Nini hawakueka video ajisemee amesilimu? Wacha kubembewa akili na Mazinge
Huyu nilimwona akicharazwa na Ndacha huyu bwege🤣🤣😂👍
Ndacha anamuogopa mazinge na yule mwisho atasilim yule ndacha lnshaallah
@@hanifatanzania7258 we end RUclips Wacha mdomo mingi mazinge ni kafiri
@@hanifatanzania7258 tazama utube uone vile aliigopa Ndacha 😆😆Hadi anachangiwa pesa na waislamu aende Narok aka debate na Ndacha lakini akatoroka na waislamu 😂😂😂😂 Huyu Babu ni mdogo tu hakuna kitu Hata afuadhali akina Wambugu
Mimi Namenda mazinge nikiwa mtoto nilikua namsikiza 1996
Allah azidi kuahifadhi ma sheikh wetu,tunawapendeni sana
maa shaa Allah Dyana