Daz Baba Kamanda - (Video Official ) Lyrics -4k-

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 93

  • @Brutaltruth86
    @Brutaltruth86 3 года назад +58

    Kama unasikiliza huu wimbo 2021 wewe ni true fan

  • @happynyoni7723
    @happynyoni7723 3 года назад +38

    Rest in peace my President Magufuli nmeukumbuka huu mwimbo leo baada ya ww Kamanda kuanguka.

  • @MuzamilMahmoud
    @MuzamilMahmoud 8 месяцев назад +6

    daah wimbo huu unanipa huzuni sana japo na upanda sana " nawaza siku yangu ya kufa sijui itakuaje nawaza sana daah nitaacha ndugu zangu na vupenzi vyangu daah hii siku ngumu sana nipo nausikiliza wimbo huu mwaka huu 2024

  • @Kakamussa1856
    @Kakamussa1856 3 года назад +21

    Rip kamanda magufuli 😭😭😭kifo chako ndio kimerudisha tena kuskiliza hili song

  • @rosesilungu9347
    @rosesilungu9347 3 года назад +18

    Alale mahali pema peponi kamanda wetu magufuli😭😭😭😭

  • @sindayigaya9762
    @sindayigaya9762 Год назад +3

    Rip m'y Mum Dunia bila wew maisha hayapo Sawa tena

  • @leyrayyan1464
    @leyrayyan1464 3 года назад +22

    Nenda baba yetu MAGUFULI tutakukumbuka milele😭😭

  • @michaelmwaigombe1399
    @michaelmwaigombe1399 3 года назад +18

    Rest In Peace my dady 7.Dec2020. Dunia bila wewe maisha hayapo sawa tena.

  • @jacobomatandiko8341
    @jacobomatandiko8341 3 года назад +9

    Huu wimbo utakugusa tu
    Hata kama uko na happy

  • @zabronmfungo8503
    @zabronmfungo8503 3 года назад +5

    hadi machozi yanatoka kwa ujumbe, big up daz nundaz

  • @tamre_farm
    @tamre_farm Год назад +2

    2024 still listening and getting the emotions 😢😢

  • @josephmbaga2972
    @josephmbaga2972 3 года назад +13

    RIP ma beloved president u r the father of East Africa may God give u a good rest .......

  • @AmanzeAbdala
    @AmanzeAbdala 2 месяца назад +1

    Tunao sikiliza 2024🎉😢 Mungu awa jalie wote😢

  • @mrdrz2805
    @mrdrz2805 3 года назад +9

    R.I.P my beloved my friends my beloved babu zangu pamoja na my beloved president Magufuli

  • @kennethbahebenginilla1657
    @kennethbahebenginilla1657 16 дней назад

    Masahihisho kidogo 1:19 ni Sewaside(suwasaidi) masela,Scount Jenta masela ni makundi yaliyokuwa karibu na Daz Nundaz miaka hiyo 2001,nyimbo haichuji bado.

  • @kondelenews
    @kondelenews 2 года назад +1

    Mlale Pema Peponi mke wangu na mwanangu...duniani hatupo milele, mmetangulia tu

  • @JoycePascal-i1v
    @JoycePascal-i1v 4 месяца назад

    Pumzika kwa amani baba magufuli daima tutakukumbuka 😭😭😭😱😱

  • @JoycePascal-i1v
    @JoycePascal-i1v 4 месяца назад

    Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa aman amina raha ya milele uwape ee bwana na mwanga wa milele uwaangazie marehemu ote wapumzike kwa amani amina

  • @EsterEmmanuel-k8i
    @EsterEmmanuel-k8i Месяц назад

    Rest in peace my mom 😭😭my grand mother😭😭 ntawakumbuka daima 🙏🙏

  • @ericmsafiri8145
    @ericmsafiri8145 3 года назад +2

    Ngoma ii uwa inanikumbusha kifo Cha dady rest in peace mother and father

  • @flambeauxducentre5758
    @flambeauxducentre5758 3 года назад +2

    Muziki umesha Isha kabisa Sikiya Muziki

  • @omarimatola122
    @omarimatola122 3 года назад +6

    Rip Shemeji yangu Ali ausi I remember my shem

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 3 года назад +3

    Walikuwa wasanii wa kweli

  • @mussamassawe6491
    @mussamassawe6491 5 месяцев назад +1

    who else is Listening this old school in 2024 😢

  • @mariamgedi2694
    @mariamgedi2694 3 года назад +7

    R.I. P my president Magufuri

  • @adelashine3580
    @adelashine3580 3 года назад +3

    Miaka 22 sasa pumzika kwa Aman baba

  • @khadijahussein4319
    @khadijahussein4319 3 года назад +7

    Rip magufuli wallah naumia

  • @josephmwalai1039
    @josephmwalai1039 3 года назад +1

    Kabisa. Namkubali uyu jamaa

  • @LatifaIbrahimMohamed
    @LatifaIbrahimMohamed 23 дня назад

    Rest peace my mam nakukumbuka milele na daima 😭😭😭

  • @AllyJuma-me6gf
    @AllyJuma-me6gf Год назад +1

    Gonga like kwa tunaomalizia 2023

  • @ibrahimusalumu5880
    @ibrahimusalumu5880 3 года назад +6

    R.i.p our president magufuri

  • @albanbalayingwa4425
    @albanbalayingwa4425 Год назад

    RIP brother yangu nicholaus huu wimbo umetoa machozi !! anyway nakuombea kwa mungu akupunguzie adhabu ya kaburi kaka yangu😭😭😭

  • @ramaswales581
    @ramaswales581 6 месяцев назад

    Masterpiece

  • @mahamudabdallah7441
    @mahamudabdallah7441 3 года назад +1

    Huu wimbo hauzeeki yaan ndo unazidi kuwa mzuri day after day

  • @radaonlinetv1922
    @radaonlinetv1922 3 года назад +8

    Rest in Peace my parents.

  • @mynesvitus9430
    @mynesvitus9430 3 года назад +1

    Yani vilivoandikwa humu ni usenge tu unaharibu wimbo kama hujui inavoimbwa sio lazima ujifanye mwandishi

  • @Boss-Lyimo-ly7vx
    @Boss-Lyimo-ly7vx Год назад

    Rest in peace aucle wangu tulikupenda lakin mungu amekupenda zaidi😭😭2023

  • @kusekwapeter9921
    @kusekwapeter9921 3 года назад +2

    2
    0
    2
    1
    #Makongo na Jiteute

  • @sifabenjamin1759
    @sifabenjamin1759 2 года назад

    Rip bro Dun aka baba iany Enrico ,luck,Sis Dama,ancle john en all we miss u guyz...

  • @Rafikionlinetv
    @Rafikionlinetv 3 года назад +1

    Kamili 50k

  • @rashidisaidi8535
    @rashidisaidi8535 Год назад

    Rest in piece my mom sofy uliniacha nikiwa na miaka 28 duuu leo namiaka 34 pia na dada yangu mpendwa mama alitangulia baada ya mwaka sistr

  • @saitotingurumwa5457
    @saitotingurumwa5457 3 месяца назад

    2025 on stream daaah we acha tuu 🥲🥲

  • @bonfacemboi4543
    @bonfacemboi4543 9 месяцев назад

    Rip my friend Benimwaga Murira 😢

  • @ParloxyDarkzombie
    @ParloxyDarkzombie Месяц назад

    Now we got 2024

  • @malikkinuthia1611
    @malikkinuthia1611 3 года назад +2

    Rip mamaagu mugu akulaze pahali pema pepon

  • @jacksontellyus1139
    @jacksontellyus1139 День назад

    Mm naisikiliza 2025 Leo hii j,5 tar1

  • @hon.idrismohammed760
    @hon.idrismohammed760 2 года назад

    RIP kamanda Kibaki na Moi

  • @tumwebanyenza8789
    @tumwebanyenza8789 3 года назад +5

    R.i.p jpm

  • @getrudewakio7748
    @getrudewakio7748 2 месяца назад

    Rest in Peace Billy😭😭😭

  • @Jafaroo._
    @Jafaroo._ Год назад

    2023 Still VIBING 🔥🔥

  • @johonsamirkhondo8387
    @johonsamirkhondo8387 2 года назад +2

    Rest in peace bro melanzano always miss you bro

  • @samirimunguawazidishiekher7319
    @samirimunguawazidishiekher7319 3 года назад +5

    R I p JPM

  • @BIGDOGGIE1-q1w
    @BIGDOGGIE1-q1w 10 дней назад

    2024😢

  • @dennisnyakilambo3992
    @dennisnyakilambo3992 6 месяцев назад

    here 2024 bonge la song🎉 like hapa

  • @saitotingurumwa5457
    @saitotingurumwa5457 10 месяцев назад

    LALA SALAMA MAMANGU KIPNZI
    NIKIKUKUMBUKA
    MM NISINGEFIKA HAPA

  • @jumachangawa8283
    @jumachangawa8283 3 года назад

    Mbonahatu wezi kuzihukua

  • @chazkoillah2652
    @chazkoillah2652 3 года назад +2

    Verse ingine iko wapi mbna verse 1 tu

  • @Jirhley
    @Jirhley 2 года назад

    2022 bado nasikiliza

  • @kingdavidmoto6149
    @kingdavidmoto6149 3 года назад +2

    nyimbo ilitoka mwaka 2003 nilikuwa napitia majaribu

  • @Faraj-t4g
    @Faraj-t4g 2 месяца назад

    beat ya kamana hipo mtandaoni

  • @andrewkivua1974
    @andrewkivua1974 3 года назад

    Hatariii

  • @salimasabila631
    @salimasabila631 3 года назад +2

    R••I-P haidali'''

  • @sbizzowakunyumba4532
    @sbizzowakunyumba4532 4 года назад +1

    Noma

  • @ramahassan9171
    @ramahassan9171 3 года назад +3

    Aliuchagua askari mmoja nikama aliona kifo chake na alivyokufa waliuweka sitosahai tarehe4 mwezi2

  • @mwananyamalaz4427
    @mwananyamalaz4427 2 года назад

    Rest in peace my brother i will be always loving U mungu amuraze Mahara pema peponi 5/6/2022🙏

  • @danieldawa6371
    @danieldawa6371 5 месяцев назад +1

    R.I.P JPM Magufuli

  • @azizintalla7348
    @azizintalla7348 3 года назад +1

    R I P JPM R I P MWALIMU NYERERE P I P BENJAMIN MKAPA

  • @happysilili2563
    @happysilili2563 3 года назад +1

    Nice

  • @floriankaijage2273
    @floriankaijage2273 3 года назад +3

    Rip my daddy dead 25 January 2021

  • @mohamedmhando8548
    @mohamedmhando8548 3 года назад +1

    6/5/21rip MH JPM

  • @johnjoycemalusu4886
    @johnjoycemalusu4886 3 года назад

    2021 twende sawa!!?

  • @fadgachamberlain5676
    @fadgachamberlain5676 9 дней назад

    2024

  • @NickVictor-bv6gd
    @NickVictor-bv6gd 6 месяцев назад

    Rest in well

  • @mynesvitus9430
    @mynesvitus9430 3 года назад

    Mnanikeraga kuandika vitu halafu cvyo vnavyoimbwa kwan c muache

  • @michaelngusi9329
    @michaelngusi9329 3 года назад

    23.11.2023 mwaka unaisha

  • @berby_picxy23
    @berby_picxy23 3 года назад +1

    Feb 10 2021

  • @mwajumarashid7047
    @mwajumarashid7047 3 года назад +1

    🥵🥵🥵🥵🥵🥵🙏

  • @MuzamilMahmoud
    @MuzamilMahmoud 8 месяцев назад

    😢

  • @priscadaniel7
    @priscadaniel7 3 года назад +1

    🙏

  • @adinanimjomba2338
    @adinanimjomba2338 2 года назад

    Alah awahivaz mait zetu hasa maguful alah ampe kaul sabit

  • @raymondmsoffe909
    @raymondmsoffe909 5 лет назад +1

    Bei

  • @raymondmsoffe909
    @raymondmsoffe909 5 лет назад +1

    Okay being vp