Assalam Aleikum warahmatullah wabarakatu Masha Allah hii mijadala ni mizuri sana Sheikh Yusuf na Sheikh Suleiman nawa penda sana kwa ajili ya Allah swt na Mtume Swala llahu alayhi wasalam
Tunawapata vyema masheikh wetu kutoka tanzania na tunawapenda sana mnafanya kazi kubwa kazi ya Allah mwenyezi mungu awafanyie wepesi kwenye shughuli zenu. Ama kweli msomi duniani ni muislam pekeake mwenye macho haambiwi ona mwenye maskio haambiei skia uislam upo straight forward hakuna kupindisha maneno wala kuweka mawazo ya mtu
SubhannaAllah namuombea dua huyu Gelson aingie uislam kwani yupo karibu na uislam na hana ubishi6sana kama huyu mwingine comedian, M'mungu atuongoe tujue njia ya haki na tuifuate kwa rehma zake.
Mashallah kusema kweli minafunza wengi sana hata Sisi waislamu pia tunapata faisal kubwa sababu hzi video pia tunazisambaza kwa wengi ndio dini ijulikane
mtumishi yesu aliwaambia wanafunz wak nendeni kila nyumba mtangaze injili pale mtakapo ingia wakikataa kunguteni mavumbi muondoke kwahio kama hawakwelewi waache
Mjadala mzuri sana siachi kucheka nikimsikiliza uyu mchungaji bishop ananikata mbavu sana ila pia ni muelewa na anaonekana kutaka kujua more..Gerisson anaonekana mjuzi sana wa bible na hanaga uongo anasimamia anachokielewa si mtu mnafiq Wote hawa Allah awaongoze katika njia iliyonyooka ambayo ni uislam with no doubt.
Petro; 2:15-17 mnapaswa kuona uvumilivu wa bwana kuwa ninafasi mliyopewa kama paulo nduguyetu alivowaadikia akitumia hekima ya Mungu 16hayo ndiyo asemayo katika baruwazake zote anapozungumzia suala hilo yapo mambokathaa katika baruwa zake yaliyo magumu kuyaelewa mambo ambayo wajinga nawasiyo na msimamo huyapotosha kama wanavopotosha sehemunyingine zamaandiko matakatifu hivo wanasababisha maangamizi yao wenyewe lakini nyinyi nduguzangu mmeshakwishajuwa jambo basi muwe na tahathari msije mkapotoshwa na waasi mkaanguka katika msimamo wenu imara.
Geshoe umnyenyevu Sana ubarikiwe Sana. Paulo ni Jina sahihi .sauli au Shauli ilikuwa kabla hajamwamini masihi.kanisa ni sahihi yaani kusanyiko .neno wakiristo au wamasiya ni maneno yalio sawa yanamaanisha wafuasi wa kiristo ,au wa masihi. Watafsiri wamejitahidi .tusiwadharau.tena imeandikwa mtu yeyote atakayewanywesha ngaa kikombe cha maji KWA KUWA NINYI NI WATU WA KIRISTO HATAKOSA SAWABU YAKE. Hivyo ,ukisema wakiristo ,ni sawa, ni kama mtu anayesema mkenya au Wakenya. mtanzania au watazania .sisi wakiristo au wamasiya asili yetu ni KIRISTO au masihi .ni sawa na kusema, mtanzania.mtanzania Asili yake niTanzania. Tena imeandikwa tukimtazama Yesu mwenye kuanzisha na mwenye kuitimiliza imani yetu. tunaona mwenye kuanzisha imani yetu ni Yesu. Ila mtume paulo alitekeleza tu agizo la KIRISTO lisemalo enendeni mkayafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu mkiwabatiza katika jina la baba na la mwana na la Roho Mtakatifu.Mtume Paulo si mtume kwa waisilamu Bali ni mtume kwetu sisi watu wa kiristo aliyemtuma.Amina
Sasa hawa wachungaji Ata hawaeleweki vichwa vigumu kweli musilimuni bwana hapo mazinge Ashawaekea wazi Akili yeenu nyinyi wachungaji nimbovu kweli Aky humuna Diini munaona na Diini ya haki bwele ya mweyezi mungu ni uislamu munaona wazi
@sheikh Yahya daawa please mlete tena sheikh Mazinge kwa maada mbalimbali nimegundua hapo amebanwa mno wakati ana mengi sana ya kutufunza! Hao wenzetu ni shida tuu wanaelewa ila wanaogopa wataanzaje sasa kuambia watu wao waliokwisha amini mauongo yao!
Gerrison matusi mengi lakini uthibitisho hakuna sheikh mazinge ametoa aya na Maelezo vizuri lakini wakristo wakijua umewabana wanabadilisha majina mara yesu si issa mara God sio Allah mara hivi mara vile lakini hoja iko pale pale.. Paulo alikuwa mrumi hakuwa myahudi ndiye aliyemchukua Petro akampeleka Italy alipokufa akazikwa Vatican. Kanisa lile laitwa saint Peters square church sio saint Jesus.
Assalaam Alaykum. Sheikh unakosea unaposema Quran imesema Biblia pia ni kitabu cha Waislam, SI. KWELI. Vitabu vya Waislamu ni Taurat, Zaburi, Injili na Quran. Hivyo vitabu havimo kwenye Biblia, bali kuna baadhi ya nukuu zilizopatikana kutoka kwenye hivyo vitabu na porojo zingine
Na pia hii debate ni biased yaani mwenyekiti akiona uislamu ukiguzwa tu kindogo ana divert. Kama ni ukweli mnatafuta sikizeni kwanza halafu mkachunguze na mwenyekiti aache kudakia maneno yeye acontrol tu debate waalim waongee
Mm niko na rafiki yangu anasema yy alikuwa anaenda kanisa lakini huko mapasta anawaambia toeni sadaka kila wakati na sadaka ni nyingi sasa yeye haendi tena kwa sababu haoni faida eti paster anunuliwe gari lakutembea kama ww mwenyewe maisha yanakusumbua vipi utamnunulia mtu gari wa natapeli watu tu kufura matumbo yao hiyo niimani gani
Basi niwailimishe hiyo ibada munasofanya kanisani mulizo letewa na wazungu ilikuwa ni siku yakuabudu jua wakati wa nimrod inaitwa sun worship day wazungu wakatoa worship wakaeka Sunday munaabudu hamujui munato kiabudu ndio maana kanisani kuna salamu la mama na mtoto wake ama la yeso munaabudu sanamu ninawahurumia someni histori ya kikristo wteni kutukuwa itikadi za wazungu moto unawangoja
Usha ona kanisa ndio kiti taenzi cha shetani sasa una hanyahanya u kweli una unauma hamna roho za u kweli utapeli mtupu kanisani njo oni mskitini ni buree hakuna sadaka yakununulia mashehe magari wala nyumba huko mutafilisika
Hamna wokovu kivyovyote vile katika uislam aidha ukristiano, acheni kusoma maandiko kwa akili zenu wenyewe, historia inaeleza jinsi uislamu ulivyoanza baada ya waarabu kukataa mwokozi wa dunia yote ambaye alikuwa muebrania yaani Yahshuah Messiah, Daniel 8. Ukiristo ulianzishwa na papa Constantine akachanganya upagani na biblia kama alivyotabiri Daniel
@@manallove1 kuna huyo alovaa kofia ndefu nyeupe na juba jeupe liko na mistari ya black n mkristo ,huyo wa kati ndo sheik Yahya , anaemfatia mkristo pemben huko sheikh Yusuf na wa kwanza n sheikh Suleiman mazinge
MashAllah mjadala mkali kweli hawawezi hao wakristo..hakuna dini ukristo,proud to be a Muslim
Mashallah mashekh wetu muko vzuri nmefrai sana kuwajibia dini zabiashara na maslaih zao wasio. Fata dini ya hakkh al ISLAMIC al over worlds
Alhamudulillah kwa neema ya uisilam
Masha Allah mashekh nimepata elimu kweli nanimefurahi sana kwa wachugaji kutupa ukweli wao Allah Awaogoze
Linet Kikin Amin
Maashaallah. Nmecheka sana Allah awaongoze Bishop na Doctor
Kazi nzur Allah awabariki tunawaelewa sana waislam kwa sababu mnaogea kwa maandiko hamkurupuki mnajiamin.
Amin
Mwenyezi mungu awazidishie nguvu ma sheikh wetu
Amin sote
Swadakta masheikh Nawapenda kwajili Allah....Allah Awazidishiye Utajiri Wa Afya long life
Assalam Aleikum warahmatullah wabarakatu Masha Allah hii mijadala ni mizuri sana Sheikh Yusuf na Sheikh Suleiman nawa penda sana kwa ajili ya Allah swt na Mtume Swala llahu alayhi wasalam
Jas Hisham Thanks
Mashaallah mashaallah masheikh wamekuelewa sheikh wetu mazinge
MashaAllah masheikh wetu mnfanya kazi nzuri kabisa hii duniyani. Allah inshaAllah atawalipa bila hesabu
Amin sote
Mazinge anajua sana kuchambua biblia saluut kaka
Tunawapata vyema masheikh wetu kutoka tanzania na tunawapenda sana mnafanya kazi kubwa kazi ya Allah mwenyezi mungu awafanyie wepesi kwenye shughuli zenu. Ama kweli msomi duniani ni muislam pekeake mwenye macho haambiwi ona mwenye maskio haambiei skia uislam upo straight forward hakuna kupindisha maneno wala kuweka mawazo ya mtu
Amin sote
MashaAllah! Our educated sheikhs,,U are doing a great dawa
MCHUNGAJI porojo tupu...!...Maandiko hayasimami kwenye Imani yake...!
IN SHAA ALLAH KHEIR Masheikh wetu..!
Masha Allah mjadala mzuri, polepole tu watajua n ipi dini ya kweli, Allah awaongoze masheikh wetu
Amin sote
Allahumma amiin
Sukran sana ust mazige manake umezungumuza point mpaka mtumishi odare ameingia laini
Mashaallah..Sheikh nawaombeni huu madhali uendelee utawatoa Wakristo wengi ktk kiza kizoto wanachopotezwa na Maaskofu wao...Ajanta profs Garson
Aziza Mini Amin
Maa shaa Allah sheikh mazinge mungu akubariki
Amin sote
suleiman mungu awape maisha marefu
Amin sote
Aamiin yarabb
mashallah congratulation sheikh kwa kufundisha imani ya kiislam
Alhamudulillah
SubhannaAllah namuombea dua huyu Gelson aingie uislam kwani yupo karibu na uislam na hana ubishi6sana kama huyu mwingine comedian, M'mungu atuongoe tujue njia ya haki na tuifuate kwa rehma zake.
Amin
Mashaalaah masheikh wetu
Mashallah jazaka Allah kheir kwa kazi nzuri sheikh
Antikadharik,Amin thanks
Nimempenda sana Dr Gerisho Odare ni muelewa na ni mkweli sana . Hiv bado hajakua muislam dr gerisho ?
Mashallah kusema kweli minafunza wengi sana hata Sisi waislamu pia tunapata faisal kubwa sababu hzi video pia tunazisambaza kwa wengi ndio dini ijulikane
suleiman hua nakupenda sana ndugu yangu tz 2018.16.9
nimefurah sana ndg zangu pale watu wa dini tofauti wanakaa wanajadili nakufurah
Karibu
Mazinge ww ni kidume cha Allah. Ukweli kabisa Paulo ni tapeli
Ao wachungaji wanajua ukueli ispokua wapo kuenye biashara tu. Wanazani wakifuata wkueli allah atawanyima rizki.
mashaalah hiyo nzur xna tunaelimika
Shuweha Omar karibu
Sita choka kusikiliza mjadala kati ya shekhe yahya na gerison mwenyezi mungu awape afya Ameen
Elimu nzuri Sana kwa wakirsto
Alhamudulillah
Umechambua vzr shekh
uislam ni dini ya haki isiyokua na mashaka,,wachungaji tokeni huko kwenye ujambazi wa imani kujeni kwenye imani ya kweli
Hanifa haret ushaa sema ,sisemi kitu mie
mtumishi yesu aliwaambia wanafunz wak nendeni kila nyumba mtangaze injili pale mtakapo ingia wakikataa kunguteni mavumbi muondoke kwahio kama hawakwelewi waache
Ukweli munawapa... MashaAllah
Mjadala mzuri sana siachi kucheka nikimsikiliza uyu mchungaji bishop ananikata mbavu sana ila pia ni muelewa na anaonekana kutaka kujua more..Gerisson anaonekana mjuzi sana wa bible na hanaga uongo anasimamia anachokielewa si mtu mnafiq Wote hawa Allah awaongoze katika njia iliyonyooka ambayo ni uislam with no doubt.
😀😀😉 pastor anajibu kisela tu.
Hakuna maandiko
Mazinge hapo umegonga ndipo hao makafiri hawaelewi ata biblia yao paulo ni mtume wa shetani ushahidi 2corinthians 12:7 2timothy 1:18-25
Mazinge zote za Tanzania na Kenya ni hatariiii Allah azidi kuwapa afya tele
Amin
Al AQ Yusuf, Afwan.... Lini hili kipindi kitakua Live?
Hujanijibu swali langu Bro...... OK "ILE SIKU MUTAKUA LIVE KWA TV, PLEASE NIULISHA(0711257683)
elimu nzuri
Kabisa
😅😅😅 myahudi akianza kuongea river saikka spembleh bedo umbwedede😅😅😅
Allah awasamehe
Subhan'Allah this guy Masha'Allah
Manshallh ao ukweli wanaujuwa ispokuwa wapo kimaslai ukristo ni Biashara2
Maashaallaah
Petro; 2:15-17 mnapaswa kuona uvumilivu wa bwana kuwa ninafasi mliyopewa kama paulo nduguyetu alivowaadikia akitumia hekima ya Mungu 16hayo ndiyo asemayo katika baruwazake zote anapozungumzia suala hilo yapo mambokathaa katika baruwa zake yaliyo magumu kuyaelewa mambo ambayo wajinga nawasiyo na msimamo huyapotosha kama wanavopotosha sehemunyingine zamaandiko matakatifu hivo wanasababisha maangamizi yao wenyewe lakini nyinyi nduguzangu mmeshakwishajuwa jambo basi muwe na tahathari msije mkapotoshwa na waasi mkaanguka katika msimamo wenu imara.
Uyo bishop anawaga kichwa ngumu mpaka anaongeleshwa kisapere takbiir allahu akbar
Allahu akbar
Ma shaa Allah
Asante
Geshoe umnyenyevu Sana ubarikiwe Sana. Paulo ni Jina sahihi .sauli au Shauli ilikuwa kabla hajamwamini masihi.kanisa ni sahihi yaani kusanyiko .neno wakiristo au wamasiya ni maneno yalio sawa yanamaanisha wafuasi wa kiristo ,au wa masihi. Watafsiri wamejitahidi .tusiwadharau.tena imeandikwa mtu yeyote atakayewanywesha ngaa kikombe cha maji KWA KUWA NINYI NI WATU WA KIRISTO HATAKOSA SAWABU YAKE.
Hivyo ,ukisema wakiristo ,ni sawa, ni kama mtu anayesema mkenya au Wakenya. mtanzania au watazania .sisi wakiristo au wamasiya asili yetu ni KIRISTO au masihi .ni sawa na kusema, mtanzania.mtanzania Asili yake niTanzania. Tena imeandikwa tukimtazama Yesu mwenye kuanzisha na mwenye kuitimiliza imani yetu. tunaona mwenye kuanzisha imani yetu ni Yesu. Ila mtume paulo alitekeleza tu agizo la KIRISTO lisemalo enendeni mkayafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu mkiwabatiza katika jina la baba na la mwana na la Roho Mtakatifu.Mtume Paulo si mtume kwa waisilamu Bali ni mtume kwetu sisi watu wa kiristo aliyemtuma.Amina
Omukama yesu asimwe Mt) kiahya ubarikiwe mpendwa umejibu vizuri kwetu ni mtume by Mt f k tanzania
Kwa kweli mchungaji kachanganyikiwa
ma Sheikh mmetishaa😂😂😂😂😂✊✊✊
Sheikh yahya yuko wapi? Tume mkosa siku nyingi
hahahahah,, gerison asema wacha wanangane, Allah awape hekama in sha Allah.
Amin
Bishop aerewi swari
nimejifunza kitu sana ndugu yangu
Sasa hawa wachungaji Ata hawaeleweki vichwa vigumu kweli musilimuni bwana hapo mazinge Ashawaekea wazi Akili yeenu nyinyi wachungaji nimbovu kweli Aky humuna Diini munaona na Diini ya haki bwele ya mweyezi mungu ni uislamu munaona wazi
@sheikh Yahya daawa please mlete tena sheikh Mazinge kwa maada mbalimbali nimegundua hapo amebanwa mno wakati ana mengi sana ya kutufunza! Hao wenzetu ni shida tuu wanaelewa ila wanaogopa wataanzaje sasa kuambia watu wao waliokwisha amini mauongo yao!
muiteni mazinge kila mara kwenye mdahalo
Gerrison matusi mengi lakini uthibitisho hakuna sheikh mazinge ametoa aya na Maelezo vizuri lakini wakristo wakijua umewabana wanabadilisha majina mara yesu si issa mara God sio Allah mara hivi mara vile lakini hoja iko pale pale..
Paulo alikuwa mrumi hakuwa myahudi ndiye aliyemchukua Petro akampeleka Italy alipokufa akazikwa Vatican. Kanisa lile laitwa saint Peters square church sio saint Jesus.
Gerrison wapashe ndugu zako Naona Karibuni tutakuita abubakar
Ma Shaa Allah
Thanks
Mk ate
Kama tanzania wamezui hii mijadala (kama) sina hakika basi mje mmuombe rais wetu wasasa ni muelewa atawafungulia natumaini . Tafadhali
Mwalimu haki hii combination ya wewe na mazinge Suleiman ni kali mno
Alhamudulillah
Sheikh yusuf msalimie sheikh yahya...na lini mtakuja isiolo?
Zaituni Ashki Nitamusalimia,isiolo tunawapangia mkutano mkubwa soon
ukiristo ni biashara mm rafikiyangu alikuwa mtaliano aka niambia ss dini yetu ni kazi to hatuna diini
Kweli
Al islam dinul haq
msiongee kilugha Ongeeni kiswahili ambapo wengi tunaelewa
Assalaam Alaykum. Sheikh unakosea unaposema Quran imesema Biblia pia ni kitabu cha Waislam, SI. KWELI. Vitabu vya Waislamu ni Taurat, Zaburi, Injili na Quran. Hivyo vitabu havimo kwenye Biblia, bali kuna baadhi ya nukuu zilizopatikana kutoka kwenye hivyo vitabu na porojo zingine
🤔
Nasubiri video nyengine hapa kutoka Dubai kamakazi Kenya ndio nilipo zaliwa
Mjadala mzuri kwa mafunzo kwa njia ya amani
farid said kabisa
Garison huna msimamo banaaa huyo anataka potosha watu lapili mshikan ndo masai sasa kwake ama huyo muyahudi wa sinagogi la shantan
Jaman mfia maji haachi kutapatapa mchungaji anahaingaika na maandiko hayaleti maana
Akili zilovurugika ni zako mchungaji 😅😅
uki wasikia awa wa jama ndo Uta juwa Kama uislam ndo dini ya Kweli
huyo pastor hana point
Antony Kmani kabisa hana point
Nataka nione tasha apa ili ajibu kwa sababu kwenye miadhara urongo mwingi na kuruka ruka
Hawa wachungaji wanaruka tu, Paulo ndie alianzisha ukristo.
Kweli Paulo diye baba ya wagalatia,na diye kapoteza
Mkiristo unamuogopa MYAHUDI 😁😁😁
Myahudi mweusi 😂😂😂😂
Mchungaji hana point
Ukweli uko kwa dini yetu ya haki ya uislamu,pastor hana lake jambo
Wazee mnasiku chache zakuishi silimuni ili msalimke
Kutetea ukiristo ni kama kubeba ngunia ya misumari na kichwa na saa hio umenyoa kipara
Iko tamu ii kipindi
Saut ipochini mashehe
Wanatumia kitabu kimoja na wanapingana, baada ya kupinga bibilia wana pinga mazinge
Hawa wachungaji hawaelewani
Wemchungaji. MiTume huchaguliwa namungu mtume achague mtume tena wewe mchungaji umejifunika blangeti gani adi ushindwe kufikili
Bishop anatishaa anaamini lakini chakula
Huyu Pasta hamna kitu kbs
zainabu iddy mablukini.mkovizuri😂😂
Asante
Andiko mwerania
Andiko likiwagusa wanasema n fake hawa watu hawana dini wamesema wenyewe watuambie dini yao n gani
Na pia hii debate ni biased yaani mwenyekiti akiona uislamu ukiguzwa tu kindogo ana divert. Kama ni ukweli mnatafuta sikizeni kwanza halafu mkachunguze na mwenyekiti aache kudakia maneno yeye acontrol tu debate waalim waongee
Hahaha,Mwenyekiti pia ni mwalimu wa kisilamu
Mm niko na rafiki yangu anasema yy alikuwa anaenda kanisa lakini huko mapasta anawaambia toeni sadaka kila wakati na sadaka ni nyingi sasa yeye haendi tena kwa sababu haoni faida eti paster anunuliwe gari lakutembea kama ww mwenyewe maisha yanakusumbua vipi utamnunulia mtu gari wa natapeli watu tu kufura matumbo yao hiyo niimani gani
Hiyo ibada ya juma pili kila siku kanisani mumetoa wapi mumebuni kwa vitwa zenu hamutopata jawabu mpaka kiama kitasimama hahaaa
Basi niwailimishe hiyo ibada munasofanya kanisani mulizo letewa na wazungu ilikuwa ni siku yakuabudu jua wakati wa nimrod inaitwa sun worship day wazungu wakatoa worship wakaeka Sunday munaabudu hamujui munato kiabudu ndio maana kanisani kuna salamu la mama na mtoto wake ama la yeso munaabudu sanamu ninawahurumia someni histori ya kikristo wteni kutukuwa itikadi za wazungu moto unawangoja
Usha ona kanisa ndio kiti taenzi cha shetani sasa una hanyahanya u kweli una unauma hamna roho za u kweli utapeli mtupu kanisani njo oni mskitini ni buree hakuna sadaka yakununulia mashehe magari wala nyumba huko mutafilisika
Naja UTAELEWA TU
Shehe tunaomba mtoe CD
Salim Akidah Inshaa-Allah
Hamna wokovu kivyovyote vile katika uislam aidha ukristiano, acheni kusoma maandiko kwa akili zenu wenyewe, historia inaeleza jinsi uislamu ulivyoanza baada ya waarabu kukataa mwokozi wa dunia yote ambaye alikuwa muebrania yaani Yahshuah Messiah, Daniel 8. Ukiristo ulianzishwa na papa Constantine akachanganya upagani na biblia kama alivyotabiri Daniel
Kuhusu uislamu hayo ni maoni yako Paul sio maandiko,soma uisilamu uache porojo
Kkkkkkkk wamalizane wenyewe
Ni mkristo huyu au huyu wa kwanza?
Wamaanisha yupi ?
@@ukhtysakinaa7664 huyo wa kwanza
@@manallove1 kuna huyo alovaa kofia ndefu nyeupe na juba jeupe liko na mistari ya black n mkristo ,huyo wa kati ndo sheik Yahya , anaemfatia mkristo pemben huko sheikh Yusuf na wa kwanza n sheikh Suleiman mazinge
@@ukhtysakinaa7664ni ustadh Masha'Allah mazungumzo yake Masha'Allah
@@manallove1 eeh ndo hivyo n ustadh mazinge