IPI KITABU CHA MWENYEZI MUNGU kATI QURAN NA BIBILI?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 янв 2025

Комментарии • 73

  • @mohamedAli-vf8hp
    @mohamedAli-vf8hp 6 лет назад +5

    Elimu hawana wacristo waislam tulipewa hekma na elimu alhamdulillah ALLAH awape maisha marefu mashekh wetu amiin

  • @ramadhanisalum3548
    @ramadhanisalum3548 2 месяца назад

    Nawapenda sana masheikh Wang Allah awalipe kwa kaz nzr

  • @oman7710
    @oman7710 3 года назад

    Masha Allah Allah awahifadhi masheikh wetu

  • @ashajuma8686
    @ashajuma8686 5 лет назад +1

    Mashallah... asanteni masheikh wetu kwa elimu yenu.....

  • @siamabakwe4274
    @siamabakwe4274 4 года назад

    Huyu nusu muislam kabisa Allah Amuongoze big up ma sheikh's Allah bless

  • @zuhraabdi7
    @zuhraabdi7 7 лет назад +3

    Ma Shaa Allah nimeipenda sana,duh!mpaka wamechanganyikiwa😂😂😂Mola awajaze khery ma sheikh wetu

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  7 лет назад

      Zuhra Abdi # Allahuma amin thenks ukhty zahra

  • @enoughisenough1478
    @enoughisenough1478 3 года назад

    🌎💧🐓🙏ANA BI ISSAH A MUSLIM THOUGH 💧🌎

  • @musanike3079
    @musanike3079 3 года назад

    My favourite debate.. Mashallah

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 3 года назад

    Jadhaakallahu kheri

  • @enoughisenough1478
    @enoughisenough1478 3 года назад

    🌎💧🙏🐓Subhana Allah,(ALLAH HU AKUBAR YEAH ALLAAH 💧 ALQURAN KAREEM 🌎 ANA BI MOHAMMED HE DELIVERED THE MASSAGE AROUND THE THE WHOLE INTERNAL LANGUAGES.ALL MUSLIMIIN SHOULD THANKS (ALLA HU AKUBAR)🍞💧🙏🐓🌎

  • @salmaothuman9762
    @salmaothuman9762 5 лет назад

    Mwenyezimungu awabariki sana kwa kuwafundisha hawa watu maana huu ni msiba

  • @malicboy7973
    @malicboy7973 5 лет назад +5

    Hahahha.. huyu bishop nitakuja kumsalimia in sha Allah. Mana anajitetea kama samaki alie naswa na ndoana 🤣🤣🤣🤣👏🏼

  • @rkenea4262
    @rkenea4262 6 лет назад

    Mashaa Allah shekhe yahya ungeendalea 2 kusoma nipate raha zaidi

  • @timrex5722
    @timrex5722 3 года назад

    Biblia iko sawa vichwa vyenu ndio haviko sawa Kristo ni mwana wa mungu na Bwana wa wote kama biblia inavosema Mungu anawapenda sana kupitia kristo amen

    • @hamidukimaro5746
      @hamidukimaro5746 2 года назад

      sijui kama akili yako ipo sawa,mwalim wako ajui apo ww ndo unasema ipo sawa

  • @hansiselemani8025
    @hansiselemani8025 6 лет назад +1

    sheikh mm nakupend kwa ajiri ya Allah ,,nafuatilia sana mambo yako kla ukitoa news from Tanzania,,(iringa)

  • @abuuyaasinrashidirashidi9638
    @abuuyaasinrashidirashidi9638 5 лет назад

    بارك الله فيكم

  • @mirajisalehe6295
    @mirajisalehe6295 6 лет назад +1

    Bishop kujua kiebrania kidogo isiwe nogwa. Ukakufuru

  • @mariamawadhi4363
    @mariamawadhi4363 5 лет назад +2

    Pastor umependeza ukivaa kanzu

  • @siwajibufarida3428
    @siwajibufarida3428 6 лет назад

    Ma shaa Allah nice one

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 6 лет назад +4

    Sheikh Anwar umewakamata kwelikweli....
    Wachungaji wamechanganyikiwa ...mpaka wanakataa vitabu ...!...INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RAJIUUN..!

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  6 лет назад +1

      NAAM SHEIKH ANWAR ANAWEKA SAWA DUA ZENU

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 6 лет назад +2

      #IbnusharafDAAWAH ....Tunazidi kuwaombea dua Masheikh wetu’ ALLAH awape nguvu Kwa kila mmoja wenu na mchango wake katika kuitangaza dini ya haki na mwisho wa siku ndugu zetu katika Adam waione haki.....IN SHAA ALLAH ..!

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  6 лет назад +1

      @@ismailyusuph740 Allahuma Amin, Shukran jazilan Akhifillah.

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 5 лет назад

    Allah awalipe Kheir Insha Allah, sauti ilikua chini

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 6 лет назад +1

    mashaAllah

  • @Keymolin
    @Keymolin 5 лет назад

    MaasshaaAllah kama wanataka original Hebrew scripture Muhammad is mentioned there as muhammadim in song of Solomon

  • @isaa_ogutu
    @isaa_ogutu 8 месяцев назад

    Tora pia ilikuwa na hizo chapters za bibilia ama ilikuwa na different chapters with different names?

  • @hassanhabibu635
    @hassanhabibu635 6 лет назад +1

    Inna ddina i'ndallah huwa l islaam
    Allahumma aamin

  • @ukhtyhalima6342
    @ukhtyhalima6342 7 лет назад +1

    Nice debete

  • @abdulmnatii1027
    @abdulmnatii1027 7 лет назад +1

    Shukran Sheikh anwar umewapa ukweli,ni Abdul long time bro

  • @samisarwar3
    @samisarwar3 7 лет назад +2

    Masha allah

  • @happyarooun6037
    @happyarooun6037 6 лет назад

    yaani shekhe yahya Issa nakupendaga xna yaan ww ni handsome sijui ni msomali

    • @samxx411
      @samxx411 6 лет назад

      usimpe mtihani shehe wetu tafadhali umpende kwa ajili ya Allah

    • @asmaabdallah4055
      @asmaabdallah4055 6 лет назад

      Ukiuliza pastor yoyote beblia imetoka wapi watapata shida sana kujibu kwa maana hawajui nani ka waletea mpaka kiama kitasimama hawa pati jibu

    • @asmaabdallah4055
      @asmaabdallah4055 6 лет назад

      Wao wanafwata it kadi ya wazungu kula kwa kijike kujipangusa na magaseti na kuva min sket hiyo ndiyo shida ya wakristo kufwata tu hawajui wa nakwenda wapi

    • @asmaabdallah4055
      @asmaabdallah4055 6 лет назад

      Wewe wata ushindani musa alitelewa na wa misri akiwa mdogo hakuwa anajuwa wa zazi wake mtoto akilelewa mahali anaongea ile lugha ya hapo mahali

    • @asmaabdallah4055
      @asmaabdallah4055 6 лет назад

      Kwanza nyinyi wakristo hiyo ibada ya juma pili mumetoa wapi kila juma pili munaenda kanisa nani kawambia ama kitabu gani kawambia muende kanisa juma pili hamupati mpaka kiama kitasimana

  • @malicboy7973
    @malicboy7973 5 лет назад +1

    Hahaha.. pastor gershon aimba nyimbo ya alpha blonde 🤣🤣👏🏼👏🏼

  • @timrex5722
    @timrex5722 3 года назад

    Kama kuna litreture lugha ya picha mnapenda kila kitu kisemwe direct rekebisheni akili zenu kwanza

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 2 года назад

    Nisalimie Prisca na Akila...mwambie aniletee lile joho langu na vitabu nilivyoviacha Troa alafu mtu anakuambia ni neno la mungu hili?

  • @zaituniashki1894
    @zaituniashki1894 7 лет назад +3

    Quran ndio kitabu peke hakina shaka

  • @mahfuthamafuta8258
    @mahfuthamafuta8258 7 лет назад +3

    Quran is the only book ambae haina shaka naitizama nikiwa USA

  • @MrMbeva
    @MrMbeva 6 лет назад +1

    Kwanza kabisa hawa wachungaji hawana ufahamu na historia ya Bibilia. Torah imeandikwa kwa kihibrania lakini Injili iliaandikwa kwa lugha ya Kigreeki. Mwenye kiti wa huyu mjandala pia nikam anaengemea upande moja

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  6 лет назад

      Kaka wewe kama unajiamini karibu sana

    • @MrMbeva
      @MrMbeva 6 лет назад

      @@kenyadawahtv90 Asante Sana kwa kunialika. Nyinyi huwa based wapi?

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  6 лет назад

      @@MrMbeva Nairobi Town

    • @chidzore
      @chidzore 6 лет назад +1

      ...sikubaliani na wewe unaposema kuwa injili iliandikwa kwa lugha ya kigiriki....iliandikwa in Aramaic ndio baadaye ikatafsiriwa kwa kigiriki....then translated into Latin...then into other languages....

  • @happyarooun6037
    @happyarooun6037 6 лет назад +3

    hata mtoto mdogo anataelewa ipi dini ya kwel

  • @tysonsamamba1593
    @tysonsamamba1593 6 лет назад +1

    Imani bila ya akili jamani shida sana

  • @burbiddy316
    @burbiddy316 5 лет назад +1

    KAKA WAELIMISHE HAO NA MUNGU ATAWAFANYIA WEPESI NA KAMA BIBILIA IPO SAHIHI BASI ........
    UKOO WA YESU NI WAZINAA KWA MUJIBU WA BIBILIA
    Sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu a.s. alikuwa Nabii wa Mungu. Na manabii wote ni watukufu na wapendwa wa Mwenyezi Mungu. Wanatoka kutoka koo takatifu. Kuhusu ukoo wa Bwana Yesu Kristo Masihi Mwana wa Mariamu a.s. Qur'an Tukufu inaeleza kwamba:
    A. Masihi bin Mariamu siye ila ni Mtume tu, bila shaka mitume wote wamekwisha fariki kabla yake, na mama yake ni mwanamke mkweli.
    B. (Qur'an 5:76). B. (Ewe Mariam) baba yako hakuwa mtu m’baya wala mama yako hakuwa asherati. (Qur'an 19:29). Kwa hiyo sawa na mafundisho ya dini ya Kiislamu tunamheshimu Nabii Isa a.s. (Yesu Kristo) na vile vile wazee wake.
    Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia, tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana. Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia, Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu. Biblia inasema kwamba:
    1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).
    2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo
    1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1). 1 Basi, Yoshua, mwana wa Nuni, akawatuma watu wawili kwa siri kutoka Shitimu waende kufanya upelelezi, katika nchi ile na hasa mji wa Yeriko. Wakaenda, wakafika kwenye nyumba ya malaya mmoja aliyeitwa Rahabu wakalala humo.
    3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo1:3).
    Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18). 13Tamari aliposikia kwamba baba mkwe wake alikuwa njiani kwenda Timna kukata manyoya ya kondoo wake, 14-alivua mavazi yake ya ujane na kujifunika shela kisha akaketi penye lango la kuingilia Enaimu, kijiji kilichokuwa njiani kwenda Timna. Alifanya hivyo kwa vile aliona kwamba Shela alikwisha kuwa mtu mzima, lakini yeye Tamari hakuozwa awe mkewe.
    15-Basi, Yuda alipomkuta Tamari hapo, alimdhania kuwa mwanamke malaya, kwani alikuwa amejifunika uso. 16-Hapo, bila kujua kwamba huyo alikuwa mke wa mwanawe, akamwendea pale kando ya njia, akamwambia, “Napenda kulala nawe.” Tamari akamwuliza, “Utanipa nini nikikubali?” 17-Yuda akamjibu, “Nitakupa mwanambuzi kutoka kundi langu.” Tamari akamwambia, “Weka rehani kuthibitisha utaniletea huyo mwanambuzi.” 18-Yuda akamwuliza, “Unataka nikupe nini kama rehani?” Naye akamjibu, “Nipe hiyo pete na kamba yake pamoja na hiyo fimbo unayoshika.” Basi, Yuda akampa vitu hivyo vyote, akalala naye. Tamari akapata mimba yake.
    4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA
    (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5). 2-Siku moja, wakati wa jioni, Daudi aliamka kitandani akaenda kwenye paa ya ikulu. Alipokuwa anatembea huko juu, alimwona mwanamke mmoja akioga na mwanamke huyo alikuwa mzuri sana. 3Daudi akatuma mtu kuuliza mwanamke huyo ni nani. Mtu huyo akamwambia Daudi “Mwanamke huyo ni Bathsheba binti wa Eliabu, na ni mke wa Uria
    Mhiti.” 4-Basi, Daudi alituma wajumbe wamlete. Basi Bathsheba akaja kwa Daudi, naye Daudi akalala naye; (mwanamke huyo alikuwa ndio tu amejitakasa baada ya hedhi yake); kisha akarudi nyumbani kwake. 5-Mwanamke huyo akapata mimba, naye akatuma habari kwa Daudi kuwa ana mimba yake.
    Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu. Lakini sisi hatukubaliani na
    Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia. Na kama Wakristo wanang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema:
    “Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).
    Enyi ndugu Wakristo! Kama mnaona kwamba Biblia bado ni sahihi basi mjue kwamba Yesu ni kizazi cha wazinifu, hawezi kuingia katika mkutano wa Mungu. Kama hawezi hata kuingia katika mkutano wa Mungu, ninyi mnamtegemea nini? Karibuni, Muhammad s.a.w. mfano wa Musa anawakaribisheni kwa mikono miwili. Kama mnaona kwamba Yesu Kristo ni mtakatifu lakini Biblia imechafuka kwa mikono ya waandishi, pia karibuni katika dini ya Kiislamu. Qur'an kitabu cha Mungu kitawatoshelezeni. Maana sasa hakuna njia ya kusalimika isipokuwa katika dini ya Kiislam. Kwahiyo
    karibuni sana.

  • @rahmakishiwa1528
    @rahmakishiwa1528 3 года назад

    huyu mtu wakampime na akili😀😀

  • @mirajisalehe6295
    @mirajisalehe6295 6 лет назад

    Sasa ungeonyesha uongo uko wapi na kweli uko wapi katika hivyo vitabu viwili kimaandiko sio maneno tu. Aisee unatuchachanganya

  • @km-xv2eq
    @km-xv2eq 7 лет назад +1

    Hao wachungaji wamechanganikiwa kweli hhh

  • @abdullyarechannel9128
    @abdullyarechannel9128 4 года назад

    Mashaa Allah

  • @mohamedissack8053
    @mohamedissack8053 5 лет назад

    Masha Allah