IPI DINI YA MAJINI? //Sheikh Yahya Issa/Sheikh Hassan Kariuki

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 янв 2025

Комментарии • 105

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 3 года назад

    Hi Mambo ya majini ni uzushi wa Ndacha, Timothy na SDA.Masha Allah Ustaz

  • @mohamedmohamed-fs1tl
    @mohamedmohamed-fs1tl 2 года назад

    mashaallah Allah bariik my brothers

  • @jumakoga2179
    @jumakoga2179 4 года назад

    Hamuwafundishi watu ucha mungu kazi yenu ni kuhubiri majini na uchawi na kuwaaminisha wafuasi wenu kuwa hivi vyote ni vya waisilamu, tabia hiyo ni mbaya

  • @makenakendi282
    @makenakendi282 4 года назад

    Huyu pastor akisilimu atakua sawa kabisa

  • @ilaqosolentertainment7380
    @ilaqosolentertainment7380 4 года назад

    MshaAllah mzidiii kutuwapea mhadhara kama hizi

  • @othumaniladislaus2916
    @othumaniladislaus2916 6 лет назад +2

    Mashaallah mchunga anaogopa kufa

  • @ahmedmukoya6650
    @ahmedmukoya6650 5 лет назад

    JAZAKALAKHER USTADH YAHYA ALLAH AKUJAZIE

  • @mr.bokobokofamily6730
    @mr.bokobokofamily6730 7 лет назад +6

    Mdahalo mzuri sana
    Pliz weka more clip coz tunapata elimu mzuri sana
    Mungu awabariki sana sana
    Amiin

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  7 лет назад +1

      Mr .bokoboko Family #Allahuma amin,tutaweka midahalo mpy mpya inshaAllah.

  • @siwajibufarida3428
    @siwajibufarida3428 6 лет назад +1

    Ma shaa Allah Kazi Safi sana

  • @abdihazizmohammed7278
    @abdihazizmohammed7278 3 года назад

    Mashallah

  • @jamesondu2128
    @jamesondu2128 3 года назад

    Musa kuunda njia katikati ya maji alitumia fimbo,,,

  • @bahatihadijabahati7456
    @bahatihadijabahati7456 5 лет назад

    Mashaa Allah sheikh yahya

  • @bahatihadijabahati7456
    @bahatihadijabahati7456 5 лет назад

    Mashaa Allah shekh yahya

  • @zuhraabdi7
    @zuhraabdi7 7 лет назад +2

    Ma Shaa Allah

  • @AsifKhan-kv5pd
    @AsifKhan-kv5pd 6 лет назад

    Asante Allah awape muda mrefu

  • @km-xv2eq
    @km-xv2eq 7 лет назад +2

    Good job sheikhs

  • @ramadhankiponza6730
    @ramadhankiponza6730 6 лет назад +4

    Mchungaji Wa Kenya Anakubali Yakuwa MAJINI Wameumbwa Na MUNGU. Tanzania Wachungaji Wanasema MAJINI Wamejiumba Wenyewe.. Innalillahir Wa Innaillaihir Rajiuun.

    • @mtimazainabu4322
      @mtimazainabu4322 5 лет назад +1

      ramadhan kiponza Tanzania ubishi mwingi Elimu 0

    • @jamesswai6583
      @jamesswai6583 5 лет назад

      Si majini tu ata shetan unayemjua Leo aliumbwa na Mungu. But hawakuwa na majina haya mpaka pale walipo kengeuka!

    • @myself4128
      @myself4128 4 года назад

      Ni mtanzania gani alikwambia hayo kama sio uongo??? Majini ni malaika walioasi kama hujui uliza manaake mtume wenu alitokewa na jini ndio maana wote mnayo sishangai ukiyatetea,,,umekuja humu kuanzisha mavurugano tuu

    • @is-hakhamad2260
      @is-hakhamad2260 4 года назад

      @@myself4128 na yule aliemtoa bikira maria kumwambia atapata mtoto jina lake emanueli alikuwa nan

  • @rkenea4262
    @rkenea4262 6 лет назад

    Maasha Allah mpe sumu si yeye ana roho mpe2

  • @makenakendi282
    @makenakendi282 4 года назад

    Mashaallah

  • @salhamusa9009
    @salhamusa9009 6 лет назад

    mashallah kz nzur

  • @muhammedkhamis416
    @muhammedkhamis416 4 года назад

    Huyu mchungaji maneno mengi sana anazunguka mbabaishaji

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 4 года назад

    Mchungaji anasema Mungu haezi kufanya ushirika na yeyote lkn wanasahau kua wamemueka Yesu km ni mshirika wake.

    • @gabrielmahala2317
      @gabrielmahala2317 4 года назад

      Yesu anasema, nimepewa mamlaka mbinguni na duniani

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 5 лет назад +1

    Haha..Bishop ataondoka sio mchezo😂😂😂😂

  • @salhamusa9009
    @salhamusa9009 6 лет назад

    saf San shekh yahay

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 6 лет назад

    mashaAllah

  • @mbaroukabdi1918
    @mbaroukabdi1918 6 лет назад +2

    MashaAllah kazi nzuri sana Allah awape wepesi

  • @biramsakh9212
    @biramsakh9212 5 лет назад

    Ektas broth k 😁mchungaji

  • @ramadhankiponza6730
    @ramadhankiponza6730 6 лет назад +4

    Maustaadh Wa Kenya Mko Vizuri Sana. Kwani Tanzania Wachungaji Wanaogopa Sana Kufanya Mijadala Na Waislam Kwakuhofia MADA Inaweza Kumshinda Na Atakosa Waumini.

  • @langat-sp1zp
    @langat-sp1zp Год назад

    Yaayah, umetoka kwa jela??!

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 3 года назад

    😀😀

  • @frankjohn8570
    @frankjohn8570 5 лет назад

    kuna Nuru na Giza, YESU ndiye Nuru ,imeandikwa Nuru yang'aa gizani na Giza halikuiweza so waabuduo Mungu ni wa Nuruni na wasio ongozwa na ROHO wa Kristo hao ndio wa uongo,yani wa shetani haina ubishi hii

  • @graimignasy2662
    @graimignasy2662 5 лет назад +1

    Dini ni,,,,,

  • @herrythabit3861
    @herrythabit3861 5 лет назад +3

    Mbn mchungaji kafanana na brother k?

  • @ishaq9925
    @ishaq9925 5 лет назад +1

    KwAni Huyu mchungaji Ana matatizo ya akili yy si Ana sema bibiria wameandika warevi

  • @leonardgewa5875
    @leonardgewa5875 5 лет назад

    Mfufuaji ni yesu pekee acheni kumjaribu mungu hakuna mfufuaji tofauti na yesu

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 4 года назад

      Sasa baba ake anakazi gani ikiwa madaraka yote mmempa mtoto? Mnajizonga kweli

    • @weliaaqilofficial2483
      @weliaaqilofficial2483 3 года назад

      Unacho hitaji wewe ni usome vitabu Wacha kutoa maneno kama mtu asiyokuwa msomi

    • @hamzaswaibu9470
      @hamzaswaibu9470 3 года назад

      Yaaani ujinga ni kitu kibaya Yesu mnampa ukubwa hasokuwa nao

    • @hamzaswaibu9470
      @hamzaswaibu9470 3 года назад

      Kama ni miujiza manabii Wengi wamefanya miujiza msiwe mnadanganyika

  • @officialkamdudu
    @officialkamdudu 5 лет назад +1

    bishop kunywa sumu tuone kama umeamini kweli acha janja janja ...😂😂😂

  • @ramadhankiponza6730
    @ramadhankiponza6730 6 лет назад

    Mchungaji Analiteketeza Kanisa.

  • @leonardgewa5875
    @leonardgewa5875 5 лет назад

    Sasa shekh nambie wanyama wameumbwa Kwa nn km co uongo

  • @linetkikin4023
    @linetkikin4023 6 лет назад +2

    Mashaallah lakini mukaifanya mada fubi

  • @hilalhilal8400
    @hilalhilal8400 4 года назад

    Mcungaji nakusifu hutaki kusema uongo

  • @marcntware6086
    @marcntware6086 6 лет назад

    Majiini nimoto

    • @hilalhilal8400
      @hilalhilal8400 4 года назад +1

      Nyinyi hamuna elimu mpo tu. Ukila ngurue na akilizako inafanana nae

  • @evalineakuku590
    @evalineakuku590 5 лет назад

    Dini ya majini ni uislamu

    • @princemaster8779
      @princemaster8779 5 лет назад

      Ukifa uzikwe na veli ndio ukaliwe na wadudu hehehehe. Pole sana hujielewi

    • @alraident8068
      @alraident8068 4 года назад +1

      # Evaline akuku toa andiko lisemalo uisilamu ni dini ya majini

    • @athumanitanuke6795
      @athumanitanuke6795 4 года назад +1

      Nae jina alipomuona yesu alidondoka chini nakusema hakika wew ni Mungu
      Wakristo wanakubali yesu ni Mungu
      Wakristo na majini wote wanaamin yesu ni Mungu

    • @hamzaswaibu9470
      @hamzaswaibu9470 3 года назад

      Ww ujitambui

  • @agnesmisale7192
    @agnesmisale7192 6 лет назад

    hahahahaa dah achen uongo nitafuteni mm niwaonyeshe hakuna dn ya majin msilopoke

    • @asmaabdallah4055
      @asmaabdallah4055 6 лет назад +1

      Majini wako kanisani wanatoa mapepo makanisani kwa maana ndiyo nyumba yao huko kanisani

    • @asmaabdallah4055
      @asmaabdallah4055 6 лет назад +1

      Siku hizi kuna kanisa ya iblis hiyo mpya hatari sana kwenda makanisani

    • @asmaabdallah4055
      @asmaabdallah4055 6 лет назад

      Kanisani kuna chumba maalim ukiingia huko hutoki salama kwamaana huko wanafuga shetani

    • @asmaabdallah4055
      @asmaabdallah4055 6 лет назад

      Mungu hana wasimu kuwapa nyinyi uwezo uzinifu munao nyinyi ulevi munao nyinyi ukora munao nyinyi wapi muwe wataka tofu wadanganye wakristo matapeli kanisani

    • @wolfkidtz382
      @wolfkidtz382 5 лет назад

      Agnes Misale nakuomba tutafutane nna ishu na ww ya muhimi 0714908642

  • @mtimazainabu4322
    @mtimazainabu4322 5 лет назад

    Mchungaji huwa ananikata mbavu sana uyu jamaa Dah eti anaambiwa tusizunguke sana twende kwenye point anasema hapana hatuzunguki tumesimama Comedy sana uyu jamaa

  • @koomewamaziwa1811
    @koomewamaziwa1811 5 лет назад

    nonensese

  • @zuhulas1036
    @zuhulas1036 4 года назад

    Huyu.mchungaji.kazi.yake.anaongea.kama.anagombaba.ss.hatusikiliz.makelere.tunaangalia.pointi.na.mandiko.onge.kwa.busala.haki.hujitenga.we.kalia.makekere.tu

  • @myself4128
    @myself4128 4 года назад

    Sioni debate naona ni comedy tuu,,,
    Zaburi1:1 abarikiwe mtu yule asiyeketi barazani na wenye mizaha(Waislamu) usipoteze nao muda wapinga Kristo hawa

    • @hilalhilal8400
      @hilalhilal8400 4 года назад

      Na qurani inasema wanaoamini yesu ni mungu anakwenda motoni

    • @alraident8068
      @alraident8068 4 года назад

      Unajua kweli mpinga kristo ni nani ama tukufundishe

  • @leonardgewa5875
    @leonardgewa5875 5 лет назад

    Na Mohammed alimfufua nani nayy c alikua ni nabii

    • @faridaiddy6015
      @faridaiddy6015 5 лет назад +4

      Leonard Gewa ... kila nabii kapewa muujiza wake na ndio maana hata nabii Musa alipewa fimbo.

    • @alhaddajmohammed4768
      @alhaddajmohammed4768 5 лет назад

      Kila m2me na nabii alikuja/alipewa Miujiza yake kutoka kwa Mungu (miujiza imetofautiana kutokana na zama/awamu as mi2me na manabii). Chamdingi ni kusoma (soma/someni) mpate kuelewa. Msimfanye Yesu kuwa ni Mungu kwa miujiza alokuwa akiifanya kwa kuongozwa na Mungu. Ukisomo utaona/utafahamu kuwa kila m2me na nabii alikuwa na miujiza yake but bado ni binadamu/viumbe but ajabu mnamfanya Yesu kuwa ni Mungu wenu. Wacheni kudanganywa na hao watafurahi masilahi bunafsi ya kidunia (Wapagani/Makafiri na Wafuasi wa Shetani).

    • @alhaddajmohammed4768
      @alhaddajmohammed4768 5 лет назад

      Kwanini Mchungaji unaogopa kufa wakati unadai/mnadai mko na Yesu na yesu ni Mwokozi wenu ukifa/mkifa mnaenda Peponi sasa unaogopa nini kunywa hiyo sumu wakati umeshampokea huyo Yesu wako? Unakubali kuing'ang'ania dunia ambayo one dhiki na heavy nyingi wakati Yesu amekuahidini Pepo?!

    • @alhaddajmohammed4768
      @alhaddajmohammed4768 5 лет назад

      Mchungaji na Waumini wake hawana elimu ya kuwanuwa Malaika na Manini (uumbwaji wao) but wanafundishana kurithi kuamini kwa kukariri na ndomana Makanisani Waumini hawaruhusiwi kuuliza swali/maswali, huu ni utumwa wa kifikra/kiakili (ujinga).

    • @alhaddajmohammed4768
      @alhaddajmohammed4768 5 лет назад

      Mchungaji wacha uwongo...! Umeigopa kunywa Sumu umejitetea huwezi kunywa sumu coz Mungu hajaribiwi but at the same time una2eleza ulijaribu kufufuwa mfu/wafu....mmmh! Kujaribu kufufuwa mfu/wafu co kumjaribu Mungu?! Coz hapo kwa maelezo yako ulijaribu means hukuwa na uhakika/hukuamini unachokifanya/ulichokifanya. So which is which?!

  • @zainabomar5512
    @zainabomar5512 5 лет назад +1

    Dini ni yakiiislam t bas hakuna nyingine ukirsto ni kampun ya wazung na sio dini

    • @frankjohn8570
      @frankjohn8570 4 года назад

      Watu wanapotea kwa kukosa maarifa ati ukristo ni kampini ya wazungu wakati Kristo yupo mbinguni huu ni upotovu wa kuhurumia alafu mtu analazimisha ukristo uwe dini hii inaonesha ni jinsi gani mtu yupo gizani mambo ya dini na ya kidunia wala hayajui Mungu na kwa ushahidi ndio waliua mitume na manabii wa MUNGU leo vipi tena alie wa MUNGU awe wa dini,?YESU kasema huwezi kutumikia mabwana wawili

  • @jumakoga2179
    @jumakoga2179 4 года назад

    Wewe bishop ni muongo , wanafunzi wa yesu ni watukufu kuliko wewe, mbona wao hawakuweza kuwaombea watu ? Hii ilikuwa spesho kwa yesu tu kama nabii ili watu wamwamini kuwa huyu ni nabii ili wafuate Yale anayoyaamrisha

  • @josephbonday8510
    @josephbonday8510 5 лет назад +1

    BAADHI YA WAAFRIKA WANAPENDA KUPOTEZA MUDA KWA KUBISHANIA MAMBO YASIYOKUWA NA FAIDA AISEE. BAADA YA HAYA MABISHANO, WHATS NEXT?

    • @herrythabit3861
      @herrythabit3861 5 лет назад +1

      We usiopenda kupoteza muda saahii ukowapi.

    • @princemaster8779
      @princemaster8779 5 лет назад

      Wewe joseph hujielewi kabsaa

    • @josephbonday8510
      @josephbonday8510 5 лет назад

      @@herrythabit3861 Niko shambani Nalima kutafuta riziki kwa ajili ya manufaa ya familia yangu. Kuliko kubishania kitu ambacho hakina majibu ya kukubaliana pande zote. Waafrika tumekuwa tukipoteza muda kwa kubishania imani zilizoletwa wakati wa UKOLONI NA UTUMWA WENZENU WAARABU NA WAZUNGU HUWEZI UKAWAKUTA WAKIPOTEZA MUDA KWA KUBISHANA KAMA NINYI. FUNGUENI AKILI ZENU NYINYI

    • @josephbonday8510
      @josephbonday8510 5 лет назад

      @@princemaster8779 Emancipate your self from mental slavery

    • @josephbonday8510
      @josephbonday8510 5 лет назад

      @@princemaster8779 WAAFRIKA MNAKAA KUTETEA IMANI ZILIZOLETWA WAKATI WA UKOLONI NA UTUMWA HALAFU MNAMUHUSISHA MUNGU WAKATI WOTE HAPO MMEJAA UNAFKI TU. FUNGUENI AKILI ZENU NYINYI WAAFRIKA.