MJADALA KUHUSU PASSAKA ULIO ONYESHWA LOLWE TV

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 63

  • @Amishjuma
    @Amishjuma 6 лет назад +6

    Kiukweli yesu hakusulubiwa ....Dr.Gerishon nimtu ambae anafuata mengi ya mafundisho ....InshaAllah Allah amuongoze njia iliyo sawa.

  • @jashisham6280
    @jashisham6280 6 лет назад +5

    Masha Allah masheikh zangu Allah swt ame wapa ilmu. Dr. Gerishon hasemi ukweli Zero

  • @happyarooun6037
    @happyarooun6037 6 лет назад +8

    mashaalah hakika uislam ni dini ya mwezimungu 😘😘

    • @hassanimouigni6648
      @hassanimouigni6648 4 года назад

      alhamdullilah tumshukuru mungu kukuwekeni kua waislam

  • @hassanimouigni6648
    @hassanimouigni6648 4 года назад +1

    tunashkuru na mola akubariki akupe kila la kher duniani na akera amine

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 11 месяцев назад +1

    Yesu rehma n amani zimfike yeye hajasema niabuduni mm ata nukta. Ajaab baadhi y watu wanamuabudu hatari sana

  • @siamabakwe4274
    @siamabakwe4274 4 года назад +1

    Asante sheikh yusuf na bwana yahya mnaye kabisa hapo sasa sambamba kabisa shukuran

  • @jashisham6280
    @jashisham6280 6 лет назад +4

    Masha Allah Islam is the true Religion

  • @ishaq9925
    @ishaq9925 6 лет назад +2

    Askofu mungu anakuonaa wakiristo wanakuona

  • @StanChaz
    @StanChaz 9 месяцев назад +1

    Uyo mchungaj n muongooooo 2 anabadil aya2

  • @ashaboke8849
    @ashaboke8849 5 лет назад +2

    Maasha Allah hakika uislamu ni dini ya mwenyezi mungu...

  • @siamabakwe4274
    @siamabakwe4274 4 года назад +1

    Dam kwanini yipakwe mwana kondo jaamanieeeee gugu kabisa by sheikh Iman petro kweli kabisa ni ebola sasa khatari

  • @Amishjuma
    @Amishjuma 6 лет назад +4

    Malaria tuweke kando sasa tunaugonjwa wa Ebola 😂😂😂😂😂😂😂 huyu Dr.Gerishon Wallahi leo amechanganikiwa ...Huu ni msiba Mkubwa.

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 6 лет назад +4

    mashaAllah

  • @hassanmirambo5671
    @hassanmirambo5671 6 лет назад +4

    Huu ndiyo muda wa Wakristo wengi Kusilim kwa wingi yaani Wakristo wakijifunza Kiebrania tayari na mafundisho ya kanisa yatabadilika leo huyu mchungaji anasema Yesu hajafa kama tunavyoamini Waislam

  • @deqamoha7001
    @deqamoha7001 3 года назад +2

    Kama yesu ni mungu nani alileta Adam na yesu ni mdogo kuliko adam

  • @sulehassanshall6140
    @sulehassanshall6140 4 года назад +1

    Huyu myahudi mweusi Akienda Esrael Atakula viboko kwa kuhribu kabila lakiyahudi at yeye nimyahudi...mungu Amuongoze Atoke huko kwa u yahudi..Angewajua wayahudi vitendo vao vibaya hangejiita myahudi..

  • @hassanimouigni6648
    @hassanimouigni6648 4 года назад +1

    wuyu afadhali anakua mkweli mara moja moja ana ongea ki msomi sio ubishi kaa wengine

  • @siamabakwe4274
    @siamabakwe4274 4 года назад +1

    Halafu yesu kapewa injili nani kampa the man is confused ako kwenye kibano

  • @azizamini3226
    @azizamini3226 6 лет назад +1

    Wambugu upo vzr sannaa mashaallah waelimishe watakuelewa 2 kwauwezo wa ALLAH

  • @knifensharper2725
    @knifensharper2725 4 года назад +1

    Mashaallah

  • @mohamilah
    @mohamilah 6 лет назад +2

    Jezaka'Allahu kheiran

  • @kalulemusajr2201
    @kalulemusajr2201 6 лет назад +1

    Amir Yusuf NAOMBA ile VERSE Yesu aliopigwa kofi akalia.

  • @uwesusaid9764
    @uwesusaid9764 5 лет назад +1

    Dr. Gerishon Yuko WAP ))))) Yusuph

  • @ramadhankiponza6730
    @ramadhankiponza6730 6 лет назад +1

    Gershoni Nilikuwa Namuona Kama Ni MTU Aliyesoma Maandiko, Ila Leo Kaniboa Kwani Kadhihirisha Yakuwa Ni Walewale Wanaosoma Na Bila Kuelewa Kile Alichokisoma. Wakristo Mtapata Tabu Sana Kwenye Mijadala Kama Hii.

    • @ramadhankiponza6730
      @ramadhankiponza6730 6 лет назад

      Watapata Tabu Sana Wakristo. Waislam Hatuna Budi Ila Ni Kusema ALHAMDULILLAH Kwa Neema Ya Uislamu.

  • @timothy5669
    @timothy5669 6 лет назад +3

    تكبييييير

  • @MrMbeva
    @MrMbeva 6 лет назад +1

    Kulingana na Bibilia, Yesu alikua 100% Binadamu na Mungu. PHILIPPIANS 2:5In your relationships with one another, have the same mindset as Christ Jesus:
    6Who, being in very nature a God,
    did not consider equality with God something to be used to his own advantage;
    7rather, he made himself nothing
    by taking the very nature b of a servant,
    being made in human likeness.

    • @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
      @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp  6 лет назад

      Paulo alikupoteza soma maneno ya yesu"yohana 14:28 utaelewa

    • @MrMbeva
      @MrMbeva 6 лет назад

      Bona mnapenda kujificha kwa Paul Waisilamu? Yohana 1:1In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God. 2He was with God in the beginning.
      Yohana 1:14The Word became flesh and made his dwelling among us. We have seen his glory, the glory of the one and only Son, who came from the Father, full of grace and truth.
      Bado Yohana anatueleza kua Yesu alikua Binadamu na Mungu at the same time.
      Bado katika kitabu cha Zachariah Mungu muumba wa ulimwengu anakiri kua ni yeye alikua (PIERCED) hii inadhihirisha kua Yesu alikua Mungu.
      ZECHARIAH 12:10 And I will pour upon the house of David, and upon the inhabitants of Jerusalem, the spirit of grace and of supplications: and they shall look UPON ME whom they have PIERCED, and they shall mourn for him, as one mourneth for his only son, and shall be in bitterness for him, as one that is in bitterness for his firstborn.

    • @yusufmwangichannel6692
      @yusufmwangichannel6692 5 лет назад

      Pole Lex, Allah alieumba mbingu na ardhi na vilivyeko duniani akuongoze kwenye njia ilio ya Kheir Insha Allah

    • @mwajumamwajuma3756
      @mwajumamwajuma3756 4 года назад

      Mashaallah wisilam 🤝

  • @MrMbeva
    @MrMbeva 6 лет назад

    COLOSSIANS 1:15 The Son is the image of the invisible God, the firstborn over all creation. 16 For in him all things were created: things in heaven and on earth, visible and invisible, whether thrones or powers or rulers or authorities; all things have been created through him and for him. 17 He is before all things, and in him all things hold together. 18 And he is the head of the body, the church; he is the beginning and the firstborn from among the dead, so that in everything he might have the supremacy. 19 For God was pleased to have all his fullness dwell in him,

    • @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
      @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp  6 лет назад +1

      Those are words from Paul not from Jesus ,(Mathew 20:17 this are words from Jesus)

    • @salummohd7523
      @salummohd7523 6 лет назад

      Ass.alkm.w.w.vipihaliyako sheikh yahya

    • @salummohd7523
      @salummohd7523 6 лет назад

      Nakuomba kwa ajili ya Allah murudishe Gishohe kwenye debate

  • @MrMbeva
    @MrMbeva 6 лет назад +1

    Niko na swali Bwana @yusuf wambugu 0736253243,Whassapp Koran inasema kua Maneno ya Allah hayawezi kubadlilishwa (ALTERED),
    Koran bado inasema kua Torah, Zaburi, Injil zote ni maneno za Allah,
    so swali yangu ni, INAKUA AJE MTU KUBADILISHA MANENO ZA ALLAH?

    • @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
      @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp  6 лет назад

      Naomba aya inayosema kuhusiana na madai yako kwanza ,diyo nijibu swali lako

    • @MrMbeva
      @MrMbeva 6 лет назад

      QURAN 6:115 And the word of your Lord has been fulfilled in truth and in justice. None can alter His words, and He is the Hearing, the Knowing.
      QURAN 18:27 And recite, [O Muhammad], what has been revealed to you of the Book of your Lord. There is no changer of His words, and never will you find in other than Him a refuge.
      QURAN 10:94 So if you are in doubt, [O Muhammad], about that which We have revealed to you, then ask those who have been reading the Scripture before you. The truth has certain

    • @allyyussuf7419
      @allyyussuf7419 5 лет назад

      Lex Mbeva . Naam. Ni ukweli usiofichika kuwa maneno ya Allah subhanahu wataala yaani Qur- an haitoingizwa mkono wala kuchafuliwa Kwa sabb kimehifadhiwa na Allah subhanahu wataala. Kuhusu zabur injil Na tourat hivo vote vimeingizwa mikono

  • @ibrahimmarwa3502
    @ibrahimmarwa3502 6 лет назад

    katika siku mumesaya amesema vizuri nileo kwa sababu yesu ndivyo nilivyo

  • @ibrahimmarwa3502
    @ibrahimmarwa3502 6 лет назад

    hapo mumesaya kasema vema yesu ndie king of king of word