Alhamdulillah ya Allah nafurai sana kumwona mume wangu Allah anazidi kumpa afya inshallah .... nakuombea kwa Allah mume wangu akupe shifaa ,nguvu inshallah
Allah aku zidishie imani na akupe shiffah uwe mwepesi zaidi kwa Daawah,Aamin…uki pata fursa funahisha waja wa Allah kwa dawa ulizo tumia ama hawo madaktari walio kutibu,BarakahAllah
today i have felt soo good seeing you in good shape, as compared to the last post when you were in hospital. i came across your teachings when i was looking for guidance in islam and i have never regreted following you. may allah reward you and your team abandantly and restore your health ameen
Wambugu twakupenda kwa ajili ya Allah, na Allah akufanyie wepesi katika huu mtihani, akuponye kabisa uweze kurudi kufanya kazi Yake ya daawah insha'Allah, Allahu'Akbar Subhannah'Allah
Pole sana Yusuf..mimi sio muislamu but Mungu akuponye.Inshallah.
Shukran kwa hiyo....lakini karibu kwenye uislamu
@@abdiidaawah-yv9bg Inshallah.
Usijaribu kuingia uta regret siku ya mwisho Yahweh akirudi
@@cheruiyotpeter6640 mpe andiko ndo aridhike wacha maoni na chuki
Aamin thumma Aamin,
Alhamdulillah ya Allah nafurai sana kumwona mume wangu Allah anazidi kumpa afya inshallah .... nakuombea kwa Allah mume wangu akupe shifaa ,nguvu inshallah
MashaAllah tabarkallah.
ALLAH azidi kukunusuru
Amin
Mimi sio muislamu but pole sana mungu akuponye
Allah akupe shifaa ya haraka na akupe na subra wakati huu mgumu Amiin Ya Rabina Alamiin
ALLAHA akupe shifaa Sheikh. Amin
Allahumma Aameen
Alhamdullilah Allah atakuponyq
Maa shaa Allaah Allaah atakujaalia shifaa iliyokamilika Aamin
Amin sote
Allah yashfiik shifaan laa tughaadir saqma.
Aamiin aamiin
Allah azidii kukupa afya njema na umri mrefu inshaAllah 🙏🏿 may Allah grant you good health
Amin sote
Shukran kwa kutupatia update
Nami naomba kama itawezekana utuwekee hizo Dawa za Sukari Kwa :
Kuvitaja hizovyakula tuweze kufaidika zaidi
Amin❤❤
Ya rabbi ALLAH wewe ndio mjuzi kwa kila mazito na wewe ndio waweza kumpa shifaa kwa upesi ya ALLAH AMEEN
Amin
Ameeen Ya Allah
ALLAHU AKBAR? ALLAH akujalie shifaa ya haraka YARABY 🤲🤲🤲🤲🤲
Ya Allah inshallah utaskia vizuri naupate shifa ya haraka unafanya na Liya na mimi walai shekh Alhamndulilah
Wallai mwenyezi mungu ampe shifaa insha Allah...am crying as well wallai...May Allah s.w grant him shifaa
insha'Allah mungu akupe uzima na umri mrefu sheik wetu.
Amin
Allah akbar Allah akupee hafueni ya haraka inshallah
Ameen Allah atakupa shifaa inshallah Alhamndulilah
Oh Yusuf my bro😢😢.. Allah akupee Afya.. Inshallah nitakuja thru Kwa Mpesa
Amin
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp MarinahSportswear1 ndio mimi. Tuna miss Muhadhara zako.
Ameen Ameen Ameen nashkuru Amir sheikh wetu kukuona vizuri Alhamdulillah Allah yuko pamoja nawe usilie sheikh
Allah atakufanyia wepesi sheikh wangu
Waislamu woote ni ndugu..... Kidogo kidogo kila mtu amchangie amir wetu yusuf wambugu.. number hio hapo kwa screen in Sha Allah
Mungu atakupa Afya inshaallah 😢
Insha Allah
Waleykum salaam waramadhulahi wabarakatuh Ustadhi Yusuf
Allah aku zidishie imani na akupe shiffah uwe mwepesi zaidi kwa Daawah,Aamin…uki pata fursa funahisha waja wa Allah kwa dawa ulizo tumia ama hawo madaktari walio kutibu,BarakahAllah
Amin
Alhamdulillah
Afadhali masha'allah Allah akuponye sheikh wetu
May Almighty Allah give u quick recovery Ameen ya Allah
Allah akuponye sheikh wangu,pia narecomend utumie supplement ya edg3 itakusaidia sana kwenye kubalance sukari mwilini na kukurudishia afya biithnillah
ALLAH akupe shifaa pamoja na waislam WOTE INSHAALLAH amin
Amin
Nimefurahi sana kuona sura ya Amir Yusuf imerejea. Alahuakbar
Allah akufanyie wepesi sheikh yusuph(Simba wa daawah)
Amin
Ya rabi akupe shifaa ustadh yusuf wambugu
Amen
Walaikum Salam warahmatullahi wabarakatul,Allah akujalie afueni ya haraka in shaa Allah
Amin
Allah atamfanyia wepesi insha'Allah ❤
ربي يشفيك
Allah subhanahu wataalah akuondoshee mataizo ya kiAfya urudi ktk Daawah
Mashaallah wallah nakupenda sheikh wangu Kwa ajili ya Allah
Amini yesu utapona
Yusuf ni Muislamu. Huwezi kumpotosha kwa ujanja ujanja kama huo. Wa kutangulizwa katika imaan ni Mwenyezi Mungu.
ww nani kakwambia waislam awamwamin yesu
Pole sana sheh Wambugu,
Allah akuondoshee maradhi inshaAllah
Amin
Wallahi aki sheik. Nataka hizo dawa za sukari mamangu anatumia Sana na sukari inampeka mbio sana
Maashallah Allah akujalie uzima urudi katika hali yako kama zamani hayo ni majaribio tu kutoka kwa Allah mfano mzuri ni kwa nabii ayub (as)
Waalaykum Salaam Warhamatullah Wabarakatuh..Maasha Allah tunakupenda na kukuombea sana Ustadh Yusufu ALLAH akupe shifaa ya haraka urudi ulingoni
Amin
Mungu akuponye tunakuobea sana.
Amin
Ooh pole sana ndugu Yusuf ndio kwa mara ya kwanza kujua kama unaumwa hivi! Allah akuponye Akhy.
شفاك الله شفاء لا يغادر سقما شيخنا الفاضل
Ustadh Yusuf Allah akuponyeshe urudi katika hali yako uendelee na kazi ya da'waa Kama zamani ni Mimi rafiki yako kwenye mtandao kutoka tanzania
Allah akupe afya njema Sheikh in Sha allah
Alhamdulillah,
Allah atufanyie wepesi sote.
INSHAALLAH Ameen rablamin ALLAH Azidi kukupa afueni ya haraka
Amin
Pole sana ndugu, Allaha atakuponyaa Kwa haraka Kwa kazi nzuri unaofanya ya Dawaa
Amin
Allah akuponye insha'Allah
Amin
Pole saana Akhy shekh yussuf Allah akupe shifaa ya haraka
Amin
Alhamdulilah pole sana sheikh Mungu atakurejeshs full recovery na uendelee na dawa kumtangaza mungu na maiti yakukute katka dawa insha Allah
Waleikum salaam warhama tulahi wabarakatuh Alhamdulilah inshaAllah Allah atakupa afya sheikh yasuf
Walykm msalam warahmatullah wabarakatuh Shekhe wetu tunakuombea Allah Akupe Shifaa Alhamdulilah
ALHAMDULILLAH ALLAHUMMA LAKAL HAMDU WALAKA SHUKR
Allah akupe maisha malefu na afa njema sheikh Yusuf
Amin
Allah akuondolee kila linalokusibu urudi kwa afya njema.
Amin
Allah akuponye akupe afya
Amin
Allah ishallah atakujaliwa wepesi usiache dawa asilia zakuondosha sumu milini kama kitunguu thomu.
Pole sana amir Allah akupe shifa
Amin
Pole Sana wambugu.mungu akuponye ugonjwa ukija tafadhali tusiangalie dini ndugu zangu
Allahu Akbar. Allah akuzidishie afya njema na akupe umri mrefu sheik wetu🤲🤲. Na sheik Said Allah akujalie pia afya njema na umri mrefu
Amin sote
Allah akupe shifaa Sheikh wetu
Amin
Pole shekh wetu yusuf allah akupe shifaa inshaallah
Amin
❤❤Allah akupe shufaa kaka yetu yusufu
Amin
Asalamu Alekum warahma tullah wabarkattu shekh Allah Akupe shifaa ishaallah
Waleikum Salam warahmatullahi wabarakatu, Amin
Pole sana sheikh wangu wallahi umenitoa machozi,ni mtanzania huwa nakuatilia sana
Mweyezi Mungu Akucaafu Sheikh Yusuf
today i have felt soo good seeing you in good shape, as compared to the last post when you were in hospital. i came across your teachings when i was looking for guidance in islam and i have never regreted following you. may allah reward you and your team abandantly and restore your health ameen
Allah akupe afya zaidi in shallah
ALLAH SWT AKUPE SHIFAA
ALLAHUMA SWALLI ALA SAYYIDINA MUHAMMADIN WAALI SAYYIDINA MUHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM
ALLAHUMA AMIN YA RABBAL ALLAMIN AJMAIN
BARAKALLAHU FEEK
Assalam alaikum brother tunakuombea shifaa.na Allah akuhifathi na atuezeshe kurudi kwenye ulingo wa Daawa.
Amin.
Twehamwe. Mwathani agocco
Amiin
Amin
Nakuombea kwa Yesu akupe afya ameen
Subhanallah
Alhbdulilai wa jazakumo llaa haira
Allah akupe shifaa Ameen
Amen
Allah akupe shifa kakangu.
IN SHAA ALLAH, ALLAH ATAKUAFU MJUKUU WANGU
Mungu akuponyw shekhe wetu
Amin
Allah yashfik...amiin
Kila alie changiya kwa njia moja au nyingine Allah atawalipa katika hii duniya na kesho akheira.tunampenda soote Amir wetu Allah atamponya ❤
AMIN
Waalykum muslaam warhmatullah wabarakatuh pole sna Ustadh Yusuf Allah atakupa Shiffa ya haraka in shaa Allah 🤲😭
Amin
Kuna siku niliuliza ustadh yusouf alienda wapi. Kumbe hata anaumwa.. Pole Sana mwalimu wetu
Pole sna shekh mungu akuponye
Wallahi nimefurahi sana kkukuona umepata nafuu pia umenikiza kwa kwa maneno yako twakuombea kwa kweli mngu akupe nafuu na afya urudi kuelimisha ummah
Amin
Pole sana yusufu allah ukupe shufaa
Amin
WAALEKUM SALAAM OSTAZ WAMBUGU POLE SANA ALLWAH AKUINUE KITANDANI URUDI VIWANJANI INSHALAH
Allah akuponye na akupe umri mrefu amin
Amin
Alhamdulilah
Allah akuponye kakangu Allahumma Ameen
Amin
Allah atuajalie shufaa in shaa Allah
Amin
Allah atakupa shifaa mwanangu Yusuf
Amin
Amin yarab
Wambugu twakupenda kwa ajili ya Allah, na Allah akufanyie wepesi katika huu mtihani, akuponye kabisa uweze kurudi kufanya kazi Yake ya daawah insha'Allah, Allahu'Akbar Subhannah'Allah
Amin
ALLAH akupe afya njema amini
Amin sote
In shaallah mungu atakisaidia
شفاك الله الأخ الكريم يوسف
Insha allah Allah akupe nguvu, ni mitiani ndugu yangu
Pole sana mfatiliaji kutoka tz
Alhamdulillah na Allah Azidi kukufanyia wepesi sheikh Yusuf, Twafurahi kuskia waendelea vizuri.