Ai, hawa wotee wana sema ni 'WaKristo', LAKINI, kila moja ana KATAA maadiko za Biblia zinao tolewa na MaUstadi hapa! Ai, yaani, maana ya 'ukristo', ni ku KATAA Maandiko za Biblia? MOTONI hawa woteeee! TabarakAllah Team! Leo tena, mume kimbia MARATHON ya Dawah leo pia! MashaAllah!
@@hythamhashiem4458 Maa shaa Allah Ni kweli saizi sauti ipo nimerudi tena kuja kuangalia Kumbe mda ule niliwai sana yaani wametuma tu nika iplay juu juu ndio maana haikuwa na sauti
DOOH JAMANI WAKRISTO .YAANI MIMI NAMSHUKURU MOLA WANGU KUNIJAALIYA MUISLAM LAKIN KAMA NINGEKUWA NYINYI NINGE OKOWA NAFSI YANGU KITAMBO kWA HUBIRI MOJA TU KUWA YESU ALIKUWA MUSLAMU SIMKRISTOOO MUTAKUJA KURUKWA SIKU YA QIYAMA
Wakristo banaaaa....yani wameambiwa waulize masuali kuhusu uislamu wao wanauluza masuali ya ukristo ambyo wao wenyewe hawayajui. Hakika Allah nakushukuru kwa neema hii ya uislam.
Salim nduyangu shughuli ufanyazo ALLAH a'aalam silazi rahisi mashaallah ninavo fuatilia, Salim ww hapo jakar ground ulipo, sio kama kina abass na Anwar, coz we huwatefuti wakristo wako tayar, ALLAH, lakua
😂😂😂😂 ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR Quruan nikiboko Yani ikisomwa yanipa Raha tena hustadhi Salim unafundisha vizur sana unafafanuwa vizur zaidi Hadi mtu Aelewe ALLAH awape afya walimu wetu na umr tuko pamoja 💖💖💖💖💖💖
Masha Allah Kuna watu huku huwa wananiuliza kwa nn waislam Wana Amini mwezi huwa wanafanya vitu kulingana namwezi naomba munifundishe ili niweze kuwa elimisha
Sasa hawa wakiristo wanafuata maandiko gani maana ya kwenye biblia wanayakataa😢😢😢mtihani wallah yaaani wanachanganikiwa kabisa....hawajui wanacho kiabudu....Allah awaongoe na awaoneshe njia ya hakki🤲🤲🤲
Ameeleweka vizuri sana coz hiyo verse ya mungu aliupenda ulimwengu ilitumiwa kutoka sijazaliwa ..so yeye anaitumia akidhani ataponyoka lakin zii coz anaongea kuhusu yesu...mara mwana..mara yusufu mara mariam ..mara trinity
31:01 ninashaka na malipo ambayo yesu aliahidi Paul Hakimu ni mtumishi ambaye anatumikia malipo . Sasa Paul anauliza Yesu malipo watakayo pata wanaomfata Yesu Kwahiyo Yesu akijibu kwamba malipo watakayo pata ni kuketi kwenye viti kumi na mbili wakihukumu kabila kumi na mbili za Israel Mimi hapo sioni malipo Bali ni kazi ju yakazi
@@hythamhashiem4458 Sema nchi yako ni gani nikwambie mulikua colonized by which people ama pengine hujui history ya nchi yako.Kama wewe ni mtanzania Wajeruman na waingereza na kama wewe ni mkenya waingereza.
Ajabu. When it came to creating the ones in the trinity went to lunch . This is a laughter haki this people have no knowledge. The word Trinity is not found anywhere in the Bible!
Allah Akbar. Daawah safi kabisa Mashekhe wetu. Mungu Awahifadhi
Aamiin amiin amiin
Waleikum salam warhamatul wabaraqatu sheikh salim ngugi
Subhana Allah..Hawa viumbe ni wazito hata kwa akili ya kibinaadam.Umetakasika RABB wangu.
Allah awaongoze waione haki na waifuate
Semoga dikasih kesehatan salam dari Indonesia, syekh
Shekh Salim mungu akujalie maisha marefu unawafundisha vizuri sana mashaallah
Aamiin amiin amiin sote
Now my night is going to b complete with dawaah from my beloved sheikhs..peace be with u always
Masha Allah May Almighty Allah bless you always
Ai, hawa wotee wana sema ni 'WaKristo', LAKINI, kila moja ana KATAA maadiko za Biblia zinao tolewa na MaUstadi hapa!
Ai, yaani, maana ya 'ukristo', ni ku KATAA Maandiko za Biblia?
MOTONI hawa woteeee!
TabarakAllah Team!
Leo tena, mume kimbia MARATHON ya Dawah leo pia!
MashaAllah!
Yani wakristo bila kupinga bibilia hawawi wakristo
kwa sababu wanafuata mafundisho ya kanisa badala ya Yesu
ASalam Aleykum mashekh wetu Allah Awalipe leo mpka Akhera InshaAllah, mkikosa hata siku nakosa raha najifunza sana tokana na dawaa hii.
اللهم آمين يارب العالمين
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh Allah akulipe na akupe umri mrefu wenye baraka
Yani ata mm najifunza mengi, kwakweli waafrica tumefanywa wajinga na wazungu muda mrefu
Leo nimekuwa wakwanza ❤
Masha Allah tunakupenda kwa ajili ya Allah
Je sauti iko vizuri uko kwako? Huku audio haisikiki kabisa 😢
@@ommyf
Amna sauti ata kidogo sasa natoka
Tangia asubuhi naangaika kuitafuta video ya hii channel sasa kwabaati mbaya imekuja bila sauti😆🤣🤣🤣🤣
Kwangu iko sawa kabisa
@@hythamhashiem4458
Maa shaa Allah
Ni kweli saizi sauti ipo nimerudi tena kuja kuangalia
Kumbe mda ule niliwai sana yaani wametuma tu nika iplay juu juu ndio maana haikuwa na sauti
DOOH JAMANI WAKRISTO .YAANI MIMI NAMSHUKURU MOLA WANGU KUNIJAALIYA MUISLAM LAKIN KAMA NINGEKUWA NYINYI NINGE OKOWA NAFSI YANGU KITAMBO kWA HUBIRI MOJA TU KUWA YESU ALIKUWA MUSLAMU SIMKRISTOOO MUTAKUJA KURUKWA SIKU YA QIYAMA
asalumu aleikum warahmatulahi wabarakatahu nduguzangu
Wsalaam warahmatullahi ta'ala wabarakaatuh kaka etu
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Wakristo banaaaa....yani wameambiwa waulize masuali kuhusu uislamu wao wanauluza masuali ya ukristo ambyo wao wenyewe hawayajui. Hakika Allah nakushukuru kwa neema hii ya uislam.
Ma sha Allah tabaraka llah walim ngu Allah amfanyie wepesi kueneza dini y haki
Aamiin amiin amiin sote
Salim nduyangu shughuli ufanyazo ALLAH a'aalam silazi rahisi mashaallah ninavo fuatilia, Salim ww hapo jakar ground ulipo, sio kama kina abass na Anwar, coz we huwatefuti wakristo wako tayar, ALLAH, lakua
Wote walimu wakisilamu wanafanya kazi kumbwa sana sisi hata ni wanafunzi wao
Alhamdullilah mungu kituepusha na ili balaa ya ukristo tumshuru mungu
Mashalla ❤️
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh Allah awahifadhi
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin
😂😂😂😂 ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR Quruan nikiboko Yani ikisomwa yanipa Raha tena hustadhi Salim unafundisha vizur sana unafafanuwa vizur zaidi Hadi mtu Aelewe ALLAH awape afya walimu wetu na umr tuko pamoja 💖💖💖💖💖💖
Aamiin amiin amiin sote
Et yesu n Mungu ajaab mbona hajasema niabuduni mm ndimi Mungu alisema Mungu ngu ndie Mungu wenu
Hawa wakristo wanapinga hata bibilia
Eleza ni Kwa nini Wayahudi waliokota mawe kutaka kumpiga Yesu aliposema kabla ya Abraham Mimi nipo.Hivi alimaanisha nini kulingana na Wayahudi?
mashallah sheikh❤
Sheikh salim Masha Allah , Allah akupe maisha marefu unaeleza dini vizuri na Una subra pia Alhamdhulila
Aamiin amiin amiin sote
Mashaallah mungu awape nguvu
Ma sha Allah
Msomaji wetu wanamucerusha ila hawa watu nawo bana 😂😂😂 . Sheikh Ally taratibu mungu awajaliye kila la kheri ma sheikh
Aamiin amiin amiin
Masha Allah mungu azidi kuwapa moyo kuendeleza usilam 🤲🏽🤲🏽
Aamiin amiin amiin
M.a keep going
Masha Allah Kuna watu huku huwa wananiuliza kwa nn waislam Wana Amini mwezi huwa wanafanya vitu kulingana namwezi naomba munifundishe ili niweze kuwa elimisha
Inn shaa Allah
Tamuu kama sukari Allah awape janatul firdows mashehe wetu na waislamu wote na awaongoze ndugu zetu
Aamiin amiin amiin sote
Aaminayaarab
Sasa hawa wakiristo wanafuata maandiko gani maana ya kwenye biblia wanayakataa😢😢😢mtihani wallah yaaani wanachanganikiwa kabisa....hawajui wanacho kiabudu....Allah awaongoe na awaoneshe njia ya hakki🤲🤲🤲
Aamiin amiin amiin Allah awaongoze waione haki na waifuate
Huyu jamaa amejifanya mjuaji lakini alipopatiwa dose yake ngyvu zulimuisha kabisa.
Mashalla mashekh wetu 😅😅😅😅❤
Asalam Alykum warhmatullah wabarakat mashekh wetu
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Sheikh salim mungu aezi zalisha mariamu
Safi.
Allahu Akbar
Quran: chapter 5 verse 116
MashaAllah
Barikiweni
Mashalah jazakalahu kher
huyo wa yesu ndio mungu yuko na shida ya kufikiria......😮😢😢😢
Ameeleweka vizuri sana coz hiyo verse ya mungu aliupenda ulimwengu ilitumiwa kutoka sijazaliwa ..so yeye anaitumia akidhani ataponyoka lakin zii coz anaongea kuhusu yesu...mara mwana..mara yusufu mara mariam ..mara trinity
MASHA ALLAH 🤲
Sheikh Ali hunifurahisha sana akianza andiko "INASEMA" 😅
Masha Allah
Ni msomaji anayeleta Raha Sana, Maashallah. Allah Awahifadhi na kuwalinda wote.
Mashallah Allah awalipe inshallah
Aamiin amiin amiin sote
Asalaam aleykum warahmatullah wabarakatuh
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Maasha'Allah
Amna sauti
Bishop ame kuwa biduka
Maashallah Islam ❤ and peace
Asalam alaykum leo sauti imepotea
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Masha Allah
Sheikh wetu . Ali nimkorofi kisiri maneno yake. Yananiashahoi
Jamani eeTusikilize yohana.mojamoja.huko.tusikie.biblia.imeteremshwa.nanani
Dawaa tamu
Kibarua kubwa wallah😢😢😢 itakua hawa watu kna vitu wanatumia zimeharb akili zao mbona ni wagum kuelewa ivo🤔
Allah awaongoze waione haki na waifuate
Yaarabi.bismillah..Mwizi..kaachiwa.huru.wao.usherehekea.krismas
Hakuna sayti
Ni simu zenu
Mashallah
shida hawataki kujifunza
Yeah Allah awaongoze waione haki na waifuate
Waliambiwa wanapotea kwa kuwa hawajui maandiko na hata wakijua hawaelewi na hata wakielewa hawaamini.
Hapo umeingia chuo Cha kike tulia ufundishwe na walimu wetu tulia
Watu wasome bwana
Sasa bibilia iligeuka kitabu maana yanayoongelewa yote ni mageni kwake
31:01 ninashaka na malipo ambayo yesu aliahidi Paul
Hakimu ni mtumishi ambaye anatumikia malipo .
Sasa Paul anauliza Yesu malipo watakayo pata wanaomfata Yesu
Kwahiyo Yesu akijibu kwamba malipo watakayo pata ni kuketi kwenye viti kumi na mbili wakihukumu kabila kumi na mbili za Israel
Mimi hapo sioni malipo Bali ni kazi ju yakazi
Hahaaaaaaa ni kweli
❤❤
Hao hata ukiwaonya hawaonyeki
hii inaonesha kuwa yohana 1:2 ni ya kupachika
Alii hachana na watu wa nje mbona unasmbua kichwa chako na watu wa nje ambao wanaaribu mkutano
Yaani akili nzito halafu hawakubali ukweli wazungu wame wa brain wash vibaya. Colonisation of the mind.
Allah awaongoze waione haki na waifuate
😂😂😂😂😂
Wanafuata nafsi zao
Huyo mwana ni Yesu hata nyinyi masheikh muache kupotosha watu
Mume danganywa na wazungu ili wawakoloni na walifanikiwa walilo litaka wala hawakuwaletea dini
@@hythamhashiem4458 Sema nchi yako ni gani nikwambie mulikua colonized by which people ama pengine hujui history ya nchi yako.Kama wewe ni mtanzania Wajeruman na waingereza na kama wewe ni mkenya waingereza.
@@hythamhashiem4458 Kwani wewe nchi yako haikuwa colonized na wazungu? Ama historia hujui? Ama unataka uwe colonized na waarabu ndio usikie raha?
@@hythamhashiem4458 Kwani Yesu alileta dini? Yesu alihubiri na kufundisha kuhusu ufalme wa Mungu.
Acha kudeal na wanafunzi,hawajui bibilia vyema.kuna masters wa bibilia
Wewe uko wapi ukuje
Kila,mtu akae kwa Dini yake,kwaza. Mimi uchukia waslam sn,saitan manjini na ring 💍 za freemasonry kunyua bangi.na pombe c kwa ubaya nimekaa nao 5yrs
Hakuna anayekulazimiza kuwa muisilamu chuki zako kaa nazo
They are liging
Iyo niuongo siyo lazima uwe mslam
Lazima na kama hutaki nobody is forcing you
Ajabu. When it came to creating the ones in the trinity went to lunch . This is a laughter haki this people have no knowledge. The word Trinity is not found anywhere in the Bible!
Kabisa ila wakristo wanaingangania sana Allah awafungue macho waione haki na waifuate
many ads
We will check that
Mzee wewe utaki kushindwa seriously
Hatuko mashindano tuko kufundishana
Mambobad
Mpaka kieleweke inn shaa Allah
Kwanii ukristo ni dini ya kubabaisha babyish. ?
Mashallah
Allahu Akbar