"MAMA MKRISTO ASHANGAA KUSIKIA KUNA MWINGINE ALIZARIWA KAMA YESU" NIKATIKA DA-WAA GITHURAI 45 PART 3

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 37

  • @hafsakirao398
    @hafsakirao398 2 года назад +8

    MASHA'ALLAH. Vizuri kua mtaani kwenu. Kazi ngumu kufahamisha wakristo. Allah awape subra na awalipe kila la kheri.

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 2 года назад +3

    Masha Allah, mashekh wetu Allah awape afya njema pamoja na umri mrefu

  • @عبداللهباحميد-ت7ج
    @عبداللهباحميد-ت7ج 2 года назад +1

    Haswa. Huyo. Ndacha. IN SHA ALLAH. ALLAH. Alainishe. Roho. Yke. Awe. Muslamu. Haki. Ashaiona. Ni. Ile. Tuu. Anajikaza. Ki. Sabuni. Na. SI. Vizuri. Atakuja. Kujuta. Siku. Ya. Kiama. Amir. Yusuf. Wambugu. Na. Group. Yke. Wamekwisha. Msomesha. Vya. Kutosha. Na. Mbali. Ustadh. Mazinge. MASHALLAH.

  • @hijatumbo8709
    @hijatumbo8709 2 года назад +3

    Mungu aliumba watu wenye uwezo mkubwa kabla ya yesu. Suleiman. Zulkanine .huzeir. je hawanao mungu .

  • @aishaally6602
    @aishaally6602 2 года назад +1

    SUBHANAH ALLAH hawawatu mahodari sana kwakupinga mandiko

  • @عبداللهباحميد-ت7ج
    @عبداللهباحميد-ت7ج 2 года назад +1

    Hii. Kzi. Ni. Ngumu. Lkn. ALLAH. Atawalipa. Duniani. Na. Kesho. Akheera. Amin. Amin Amin.

  • @husnanancyatieno2391
    @husnanancyatieno2391 2 года назад +1

    Mashallah Tabarakallah

  • @hamzayesu2017
    @hamzayesu2017 2 года назад +1

    Mama alikuwa na kelele sana😂😂😂 mashallah kazi nzuri

  • @aminaabu1599
    @aminaabu1599 2 года назад +1

    Nimefika Mashallah Yani Uislam Raha Yusuf Mungu awepe Umri muzidi kutufunza

  • @fatumjumaa5563
    @fatumjumaa5563 2 года назад +1

    Allah atawalipa kila la kheri kwa yote munayo yafanya inshaallah

  • @maryammagenyo5087
    @maryammagenyo5087 2 года назад +1

    Subhanallah

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 2 года назад +1

    Raha kweli!

  • @ismilecheseremkip361
    @ismilecheseremkip361 2 года назад +1

    MASHAALAH

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 2 года назад +1

    Mashallah Allah 💕

  • @ahmedsalatbashir4380
    @ahmedsalatbashir4380 2 года назад +1

    Keep going bro 🤲🤲🤲

  • @yussufabdi8952
    @yussufabdi8952 2 года назад +1

    ManshaAllah

  • @abdikadirmuya6900
    @abdikadirmuya6900 2 года назад +1

    MashaALLAAH TabarakaALLAAH

  • @maherzain615
    @maherzain615 2 года назад +1

    Hawa washazoea kufru Agnes asema Abraham alipata mtt kwa uwezo wake wala sio mungu alompatia.kelele nyngi hamna maandiko.kaeni kwa meza mufunzwe kiwa mutafata haya kiwa hamutafata moto unawasubiri

  • @bashirmahero7021
    @bashirmahero7021 2 месяца назад +1

    Kiboko ya mafiri baba lao yusufu

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 2 года назад +1

    Huyu mama sijui anabisha nini kwani viumbe vyote vilioko dunia nivyanani hajui kua zote ni miujiza ya Allah ( s.w) havikujileta vyenyewe vimeunbwa

  • @hamissmohammed9461
    @hamissmohammed9461 2 года назад +1

    Yanga na simba lini

  • @عبداللهباحميد-ت7ج
    @عبداللهباحميد-ت7ج 2 года назад +1

    Jamaa. Kzi. Ya. Daawaa. Kma. Huna. Subra. Na. Hekma. Utapigana. Utakuta. Mtu. Uwaelezwa. Vizuri. Lkn. Bdo. Ana. Ushindani. Usio. Kua. Na. Andiko.

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 2 года назад +1

    Mana bii yote wametajwa kwenye kuruani tuna wasalia tuna wataja kwenye dua zetu za kuruani ya mwezimungu tukufu

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 2 года назад +2

    Huyu Agnes ni mjinga yupo hapo kwa kushindana.

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 2 года назад +2

    Hawa wanaojiita wakiristo ubishi tu na kelele!,alafu maelezo mengi na hata maandiko hawayajui, wanaushabiki tu,hawamuoni Adam na Hawa, hao hawana wazazi lakini hawaoni

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 2 года назад +1

    huyo mama anapressure na hajui maandiko,haelewi kabsaa

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 2 года назад +1

    Huyu dada kajuwa ukweli, akakimbia

  • @Sai.Mo69
    @Sai.Mo69 2 года назад +2

    Ustad, Kila mara ukiwa tolea andiko, mbona hawa ma Kristo huwa wanai kataa? Halafu, mtindo wao ni kutoa andiko lingine ambaohaina maana, wala hai pingi andiko ulio towa wewe! It doesnt make sense.
    Sasa, kabla wa towe andika nyingine, wa ulizage wao huvi: "na hili andiko amboa ya sema ukweli wazi wazi, TUI FANYE NINI? Tui fute?"
    Ni fulishness tupu wakati ume toa andiko wazi ilio mfano ya 'MANGOES', na wao watai jibu na ' NDIMU'.!
    Kwa hivyo, wa ulize kabla wao kujibu na 'Ndimu', kama ile andiko la wazi, u futwe au itolewe kwenye Biblia?

  • @ismilecheseremkip361
    @ismilecheseremkip361 2 года назад +1

    MASHAALAH