MHADHARA WA UPROFESA: DOLA, SOKO NA KUSHINDWA KWA TAASISI
HTML-код
- Опубликовано: 20 май 2024
- Mafunzokutoka katika kujifungua kwa uchungu wa kushinikiza, maisha ya mateso, na kifo cha maumivu cha MV. Bukoba.
Prof. Rwekaza Sympho Mukandala PhD (UC Berkeley), MA (Dar), BA (Dar), Profesa wa Sayansi ya Siasa na Utawala, Profesa wa Kiogoda cha Mwalimu J. K. Nyerer katika Taaluma za Umajumui wa Afrika, na Makamu Mkuu wa Chuo Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam.
Asante sana Prof. Mukandara kwa kufanya uwasilishaji wa madha kwa lugha za Kiswahili. Umetupitisha katika mambo mengi sana ya uendeshaji wa nchi, usalama wa watu, rasilimali, maamuzi ya mtu mmoja. Prof. Mukandara, umeonyesha njia kwa wataalam Maprof. Kuonyesha umuhimu wa taaluma kwa taifa na jamii. Watu wengine wameanza kusema Prof.hauna faida,bali fedha husema ina nguvu. Lakini Prof. Mukandara amegusa mambo msingi kwa taifa,bila kelele, wala matusi, lakini kwa umakini. Umetuelimisha raia wa kawaida. Asante sana. Mungu akulinde.
Hongera sana Prof. Mukandala kwa mhadhara mzuri.
Hii ndio mijadala tuliyoikosa muda mrefu. Ahsante sana Prof. Mukandala na walioratibu mhadhara.
Raha ya Udsm 👏
Ulimwengu Mungu azidi kukupa umri wa utoshelevu wa kutosha
Naona mambo mengi sana yanayofanana na haya ya DP World, Standard Gauge, Stigler n. k, naona professor Xyz akitoa mhadhara kama huu miaka hiyoooo, anyway tutakuwa hatupo tena
kongole