Nabarikiwa Sana Kwa mafundisho yako naomba unisaidie kwa mfano Mimi nimezoea nikipata ela natoa aslimia 10 kama shukrani kwa Mungu aslmia 40 matumiz ya lazma aslimia 30 naingiza kwenye kuendeleza ujez kijijini aslia 20 nakuza mirad midogo midogo kama ufugaj kuku na ela inaisha na ninanza kukusa ya mayai kidogo kidogo nasevu ikitokea dharura naitumia kwenye kusolvu ikishindikana nanza kuuza badhi ya kuku ili ni solvu io dharura embu nisaidia hapo nakosea 😮au ni njia moja wapo ya kusevu.
Aina hii ya elimu ni faida kubwa mno kwa jamii, maana Kuna mtu anaamini akiwa na kipato hawezi kusevu pesa kumbe anatakiwa aweke hata elfu 10 tu kwa mwezi baada ya mwaka una laki na ishirini ambapo unaweza fungua hata genge dogo kuliko kula hela yote
Najifunza mno kuna mahali nimesogea..
YESU akutunze Mtumishi
Yaah bajeti ni kitu Cha muhimu Kwa ajili ya ustawi
Uko sahih san Brother nakufwatilia
Unajua Hadi unakela mwalimu
Nabarikiwa Sana Kwa mafundisho yako naomba unisaidie kwa mfano Mimi nimezoea nikipata ela natoa aslimia 10 kama shukrani kwa Mungu aslmia 40 matumiz ya lazma aslimia 30 naingiza kwenye kuendeleza ujez kijijini aslia 20 nakuza mirad midogo midogo kama ufugaj kuku na ela inaisha na ninanza kukusa ya mayai kidogo kidogo nasevu ikitokea dharura naitumia kwenye kusolvu ikishindikana nanza kuuza badhi ya kuku ili ni solvu io dharura embu nisaidia hapo nakosea 😮au ni njia moja wapo ya kusevu.
Mbona hujatenga ya matumizi ya @ siku
Asant sana kk MUNGU akubarik asee
Hongera Kaka unatupa Hamas sana
Best logic person,congrats you kaka
Najifunza mengi sana kaka joel na toka ni kufatilie umenibadili kiakili sana.. Mungu akubariki
Asante ubarikiwe kuliko jana unazidi kutujenga sana
safizana💔💔💔
Na
kuelewa mwalimu w
angu
You are fine, boss, you know what you are talking about, I understand you too
LET’S TALK FINANCE WAS 🙌🙌🙌🙌🙌 bless you brother Joel.
Joel Nanauka mnyama.
Hakika mimi imenisaidia sana katika maisha yangu, tangu nikiwa kwenye ajira hadi nimestaafu, naandaa bajeti kabla sijachukua fedha.
Asante saana Mr joel hapa nimechukua ki2
Nimekuelewa sasa
Kabisa yaani tunakosea hapo
What a lesson!!!! .Our attitude for what we earn must change in order to achieve our financial freedom .I learned a lot be blessed bro
We braza wewee ........
One love
Nimependa
Nimeipenda na imenigusa sana,Asante kaka Joel see me at the top.
Lormodo wangu wasiku zote huwa ni ww
Naitumia hii kaka Joel inanisaidia sana shukran 👏🏻
Asante kwa elimu nzuri.
Mungu azidi kukubariki kaka Joel hakika unasaidia wengi
God bless you
Asante sana ndugu yetu Joel.
Aina hii ya elimu ni faida kubwa mno kwa jamii, maana Kuna mtu anaamini akiwa na kipato hawezi kusevu pesa kumbe anatakiwa aweke hata elfu 10 tu kwa mwezi baada ya mwaka una laki na ishirini ambapo unaweza fungua hata genge dogo kuliko kula hela yote
UBARIKIWE SAAAANA
Kaka mm nakuelewa na nimeanza kufanyia kazi masomo yko ubarikiwe 🙏
Mungu akubariki
Barikiwa sana kwa kutuelimisha kaka
Naendelea kujifunza 🙏
Najifunza mazuri sana
😂😂😂😂😂😂😂Ila. Joel 😅🙌🏿💃
Imeendahiyo
Asantee sana kaka nanauka najifunza mengi sana kupitia ww namuomba mungu akutunze uendeleee kutufundisha zaidi na zaidii
❤nice
Kweny ii video tumekua tukijifunza na kufurahi
Yaani hii ni zaidi ya njia ya kuifuata unarikiwe kaka mkubwa 🎉
Sijawahi kukupinga
Asante sana
Amina
Asante
Barikiwa sana kaka,
Mungu azidi kukuweka Kaka
Allocate acccording bg warren buffet How to manage money chapte 4. Ya 50,30,20 niko sqhiihi
Good idea broo
Hapo kwenye kula mkate na mbegguduuh shukran
❤❤❤❤🎉🎉🎉
Kaka nimeipenda hii na Kila nitazamapo video zako Kuna kitu kipya huwa nakipata.
Ada za wanafunzi zinaingia kwenye nini needs,wants au savings?
Great lessons!
Thank you
Ubarikiwe kwa somo nzuri
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Well said😅
Wasiofanya bajeti wengi kichaka Chao Cha kujificha,kipato changu kidogo nitafanyeje bajeti,😅😅😅
❤❤❤❤
Mr ningependa kujua ni ciku gan hiz clip mpya huwaga xinatoka coz nahitaji nifuatilie kwa karib xaid, ili nijifunxe maxur kutoka kwako brother
Bonyeza kikengele hapo juu kimeandikwa SUBSCRIBE utakuwa unapokea ujumbe Kila akipakia video mpya!
🙏🙏
U
Nice
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Well said😅