ELIMU YA FEDHA KATIKA UCHUMI NA BIASHARA - JOEL NANAUKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 37

  • @masoudamour
    @masoudamour Год назад +4

    mwalim sahihii namfatilia sana matokea mazr nayaona mashallah navazi lakislam lilivo mpendeza❤

  • @khdj-x3w
    @khdj-x3w Месяц назад

    waaoooooooooh umependez leo mashallaah😊😊❤

  • @hellyfridy
    @hellyfridy Год назад

    Nimetamani isiishe.ubarikiwe mtumishi kiukweli hii elimu unayotupatia ndio ilitakiwa iwe ya kulipia ada nyingi sana.🙏🙏🙏🙏

  • @mpeliakhim3770
    @mpeliakhim3770 Год назад +1

    ❤Vzr sna kaka

  • @SelemanChaku
    @SelemanChaku 6 месяцев назад

    Asante mtumishi

  • @vailetheanyambilile9749
    @vailetheanyambilile9749 Год назад

    Duuuuh Asante sana Kaka Joel

  • @MCmakore
    @MCmakore Год назад +4

    Tunao ujasiri wa kufanya tunavyo vihitaji kwasababu Mwalimu sahihi❤

  • @user-ipallangyo
    @user-ipallangyo Год назад

    Mbona umeishia katikati boss😃😃 nimelipenda somo

  • @plumbingtanzaniaplumber7570
    @plumbingtanzaniaplumber7570 Год назад

    Kumbe muislam

  • @AmiBoy-vs2td
    @AmiBoy-vs2td Год назад +2

    Mtumishi wa Mungu pekee ambae mahubiri yake aihitaji mpaka uwe na Imani ya kikristo ndio uyaelewe. Nakubali Sana Kaka Joel

  • @rafiyujuma2262
    @rafiyujuma2262 Год назад

    Ilaaaa icho kivazi ungeendaa wakufunzee vizur

  • @Mwanafundi
    @Mwanafundi Год назад

    Ubalikiw mtumishi

  • @marthaamosimaduhu1206
    @marthaamosimaduhu1206 Год назад

    Mung akubariki mtumishi

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 Год назад +2

    Tuko pamoja Sana Kaka

  • @issaalamry6664
    @issaalamry6664 Год назад +1

    😍😍🤗Mashallah naona leo umekuja na Vazi la biashara

  • @SaimonKazimoto-xt1zo
    @SaimonKazimoto-xt1zo Год назад +1

    Kweli kaka shule ni mfumo wa kumfanya mtu atumike kama mtumwa ni mifumo ya secret society tumeaminishwa ukweli lakini ukiangalia Kwa kina sio kweli shule aikufanyi uishi maisha huru apana.
    9:47

  • @vitarismujuni6889
    @vitarismujuni6889 Год назад

    Amen. Hakika mimi sikupongenz eti kanzu ndio imekubarki, laahasha!! Bali Mungu katujalia tuelimishwe na kijana wetu asiejali cha udini wala kabila

  • @johnbanda6601
    @johnbanda6601 Год назад

    Daaa ase kaka hii ni bonge la somo

  • @herimailo8183
    @herimailo8183 Год назад +1

    Asante sana kaka tunaendelea kujifunza tutimize malengo yetu.

  • @MrJuma-in5io
    @MrJuma-in5io Год назад

    Hongera kwa somo❤

  • @nurdinchilambo1486
    @nurdinchilambo1486 Год назад +2

    hili darasa la leo umezungumza mambo magumu watu kuya zungumza

  • @KelvinNyaitara
    @KelvinNyaitara Год назад +1

    Muendelezo Kiongozi... 😁😁😁

  • @MwanaishaHemed-xi6rj
    @MwanaishaHemed-xi6rj Год назад

    Asante sana

  • @yoshuasaiba4652
    @yoshuasaiba4652 Год назад

    Asante sana Kaka kwa maarifa

  • @nassoromussa2423
    @nassoromussa2423 Год назад

    Hapa ni muhimu kusoma Kitabu cha Mwl. Joel, 'Ongeza kipato chako.' Yaani lecture yote hii ipo hapo!

  • @legrandmsangi8405
    @legrandmsangi8405 Год назад

    Aisee.. nimepata kitu kupitia somo hili. Kweli tunahitaji elimu ya ziada ili tufike mbali

  • @daudkanyelele4862
    @daudkanyelele4862 Год назад

    Kaka nimekupata khsu mfumo wa elimu...

  • @gideonkipruto3987
    @gideonkipruto3987 Год назад

    Tunahitaji full video

  • @Yosia-g7w
    @Yosia-g7w 5 месяцев назад

    🎉

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 Год назад

    Mbona imeisha kienyeji bila kusema nini kifanyike

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  Год назад

      Endelea kufuatilia inakuja part zinazofuata

  • @Iringatalkshow
    @Iringatalkshow 6 месяцев назад

    ruclips.net/video/F3s4BgXZRgk/видео.htmlsi=eoXKjmqcPMK2WGWA Fedha ina miguu, ina masikio - Ukiituma inakwenda, ukiitunza inakutunza, ukiidharau inakudharau

  • @gobaonlinetv9690
    @gobaonlinetv9690 Год назад +2

    To be honest kanzu imekupendeza sana,!! welcome to Islam

  • @AmiBoy-vs2td
    @AmiBoy-vs2td Год назад +1

    Mtumishi wa Mungu pekee ambae mahubiri yake aihitaji mpaka uwe na Imani ya kikristo ndio uyaelewe. Nakubali Sana Kaka Joel