Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji kwa Njia ya Kisasa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 сен 2024
  • Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji kwa Njia ya Kisasa ‪@changamkiafursa‬
    Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni rahisi sana, na kila anaye vutiwa kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji anatamani kufanya ufugaji wa kuku wa kienyeji kwa njia ya kisasa.
    Ufugaji wa kuku wa kienyeji kwa njia ya kisasa hauna faida kwa sababu zifatazo:-
    1. Gharama ya uendeshaji iko juu sana ukizingatia unapaswa kuwahudumia kwa kila kitu
    2. Usipo walisha chakula chenye virutubisho vyote muhimu watapunguza uzalishaji na vifaranga hawata kuwa vizuri
    3. Kuku wa kienyeji wakifugwa kwa njia ya kisasa wapata msongo ambao pia hupunguza uzalishaji wa mayai.
    #changamkiafursa2021 #kukuwakienyeji

Комментарии • 60