UONGEZAJI THAMANI RASLIMALI UFANYIKE NDANI YA NCHI- DK. BITEKO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 июн 2024
  • Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko, leo Juni 12, 2024 amekutana na Naibu Waziri wa Nishati wa Marekani, David Turk, kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo uwekezaji katika Sekta ya Nishati nchini.

Комментарии •