BILIONEA LAIZER ALIYEPATA MADINI YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 3 AFUNGUKA TUSIYOYAJUA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 ноя 2021
  • Sendeu Laizer Mkazi wa Mundarara Wilayani Longido Mkoani Arusha ambaye ameingia kwenye kundi la mabilionea baada yakupata madini ya ruby yenye thamani ya zaidi ya bilioni 3 amekaa kwenye exclusive na amplifaya kuhusu maisha yake ambapo amesema amewekeza mabilioni ya fedha lakini kitu kingine ambacho hajawahi kukizingumza popote nikuhusu kazi yake ya mwanzo ambayo alikuwa anaifanya yakusafirisha abiria kupitia gari yake aina ya noah ambapo hadi tunavyozungumza pamoja na utajiri wake hajawahi kubadilisha gari yake na ndio anayoitumia hadi sasa

Комментарии • 117

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 2 года назад +12

    Wakati mwingine unaweza kudhani Mwenyezi Mungu anapendelea;lakini sivyo ilivyo.Hayo ni maamuzi yake.Ndugu Laizer hongera sana,kikubwa usimsahau aliyekupa.Wale husuda poleni saaaana.

  • @mungatanamedia5157
    @mungatanamedia5157 2 года назад +4

    Mzee yko humble sana,,mungu am'bariki sana

  • @ivanross8302
    @ivanross8302 2 года назад +6

    Jamaa yuko mbali sana yaani vision yake kubwa sana

  • @mubinaledroos7642
    @mubinaledroos7642 2 года назад +2

    Mashallah boos you saying true don't deepend on one business well said you r the real bussens man well said

  • @clintondabana7021
    @clintondabana7021 2 года назад +6

    (First comment)
    Jamaa ana vision kubwa sana

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 2 года назад +7

    "Kila kitu na muda wake"kweli kabisa ndugu laiser

  • @ellybrown5989
    @ellybrown5989 2 года назад +2

    Bless you.

  • @selemanjuma1595
    @selemanjuma1595 2 года назад +8

    Hizo hela anazo miliki huyu father angekuwa labda anazimiliki msanii angekuwa kama anamiliki zaidi ya hizo pesa

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 2 года назад +1

    Hongera sana

  • @daniellaizer8590
    @daniellaizer8590 2 года назад +4

    He deserve around of applause 👏👏👏

  • @majutofrancisco4106
    @majutofrancisco4106 2 года назад +1

    Mshukuru Mungu kukupatia pumzi

  • @josephvisenti1888
    @josephvisenti1888 2 года назад +2

    Leizer!mm naomba unikopeshe milioni 3 nijiajili niwe nakurudishia ndg yng mn daaaaah,au nipe kazi hapo kwenye kampun yako ht ya kupikia wafanya kazi zako

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 2 года назад +2

    Wamasai wazuri jamani he is so handsome and brilliant

  • @kanzimili66
    @kanzimili66 2 года назад

    uko sawa

  • @aminamtikaonlinetv7305
    @aminamtikaonlinetv7305 2 года назад +10

    Ni mfano wa kuigwa,sasa wenzangu na mie pesa kidogo tayari unataka umiliki Benzi

    • @emmanuelchizenga1572
      @emmanuelchizenga1572 2 года назад +1

      Kwanza jamaa anaongea point mwanzo mwisho kwa kifupi jamaa anajua kuzikontro pesa sio pesa imkotro yeye

  • @raquiztv4948
    @raquiztv4948 2 года назад +2

    Jamaaa anajibu kisom hatr

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 2 года назад +4

    Wamasai tuko bright sana! Big up

  • @jacquelinegideon1122
    @jacquelinegideon1122 2 года назад

    Laizer yuko Bravo sana👏👏

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 Год назад

    Safi sana.

  • @filismpangala2146
    @filismpangala2146 2 года назад +6

    Duh ana akili mno uyu masai

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 2 года назад +7

    Laizer kasema “Maisha ni kuchagua uanze kipi na umalizie na kipi mimi sijaona nianze na gari kuna kitu kingine naanza nayo; je unaweza sema mtu ni tajiri sababu ana nyumba ya million 400?

  • @agreyaloyce432
    @agreyaloyce432 2 года назад +1

    Sitaki sifia ila uyu raiya ako na namna yakujuwa jambo kiasi chake we learn from you brother sante sana

  • @imanmodern
    @imanmodern 2 года назад +1

    First to comment ✔️

  • @larickmtui2852
    @larickmtui2852 2 года назад +6

    Madin yanapatikana na wapo wanaopiga pesa zaid ya laiza ila hawawek waz kukwepa kod maana mikodi ipo juu sana

  • @youngsimbawcb1814
    @youngsimbawcb1814 2 года назад +3

    Nimejifunza kupitia hii INTERVIEW!!!!!!!!

  • @samaboy2592
    @samaboy2592 2 года назад

    Aisee pesa inajeuri sana

  • @emmamsamba4256
    @emmamsamba4256 2 года назад +4

    Huyu ana akili za kuzaliwa! Wacha tu awe billionaire! Kila mtu na fungu lake

  • @demycratia2567
    @demycratia2567 2 года назад +3

    Tafuta mteja kutoka ITALY WANANUNUA SANA KWA AJILI YA TILES NA MAtumixi ya kukupa nguvu MWILINI na katika Bible ruby hitajwa kuwa na DHAMANI Sana Kwa binadi

    • @demycratia2567
      @demycratia2567 2 года назад

      Hivi HAO vijana walio wapa mimba wanafanywa niniii

  • @IBENGM
    @IBENGM 2 года назад +3

    Mkipata nafasi ya kuongea na hawa wachimbaji waliofanikiwa muwe mnaandaa/mnauliza maswali ya maana!

  • @methodmwenda1373
    @methodmwenda1373 2 года назад +5

    jamaa akili kubwa sana kwa majibu anayotoa

  • @musason1680
    @musason1680 2 года назад +4

    Na unavomwona hajawahi haya kuwaza kumiriki siraha 😂😂 lakn mm sina hata m5 nawaza tureg na kuwa na mkuu wa kuku kweli vijana tuna ujinga mwingi.

  • @jumakhalid5554
    @jumakhalid5554 Год назад

    Umepigwa

  • @pastormzirayofficial2048
    @pastormzirayofficial2048 2 года назад

    Jesus

  • @hamzaadrin941
    @hamzaadrin941 2 года назад

    Bilious gani mnyonge ivi aisee

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 2 года назад

    SHUKA liko wapi?

  • @tanzaniaoman6423
    @tanzaniaoman6423 2 года назад +2

    Daah huyu jamaa ni kichwa sana yani majibu yake yamenyooka

  • @jamesmlokozi3545
    @jamesmlokozi3545 2 года назад +1

    Naomba mawasiliano yake Godfrey

  • @udakutv6973
    @udakutv6973 2 года назад

    HARMONIZE KWISHA HABARI YAKE
    ruclips.net/video/Toldeu_VYtg/видео.html
    ruclips.net/video/Toldeu_VYtg/видео.html
    ruclips.net/video/Toldeu_VYtg/видео.html

  • @kennethdc2577
    @kennethdc2577 2 года назад +1

    Jamaa ana akili sana yani saf sana kwake

  • @vononlinetv6396
    @vononlinetv6396 2 года назад +1

    I think I am one of his Kids

  • @amaniomballa1855
    @amaniomballa1855 2 года назад +2

    Huyu jamaa ana Elimu ya u professor lakn usikute kaishia darasa la saba kila kitu anacho ongea ni content..kwa kifupi ukitaka kuiona pesa iliyo ingia usibadilishe matumizi wala kuongeza matumizi invest.

    • @paullekunka2339
      @paullekunka2339 10 месяцев назад

      Kaishia lasaba lakini ana akili nyingi kama mtu aliye na phd

  • @macksonmagambo2197
    @macksonmagambo2197 2 года назад +2

    Mbona n kina laizer daily...kunanini ndan yao ...

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 2 года назад +1

    Muulize katumia gharama kiasi gn mpaka kapata b3 mana hata ukuta kashindwa kujenga

  • @shemelaruhinda6113
    @shemelaruhinda6113 2 года назад +4

    Mtu mwenye uzoefu wa madini anitafute nimpeleke sehemu privet yenye madini mbalimbali akifanikiwa asinisahau.

  • @shantellemwanakombo3703
    @shantellemwanakombo3703 2 года назад +1

    Tangu awe billionea ameacha kuvaa mashuka😁😁

  • @tranchescoanthony2509
    @tranchescoanthony2509 2 года назад

    Wakina laizer,,,balaaa

  • @mabenzimabenzi4348
    @mabenzimabenzi4348 2 года назад

    SAhv kawa kijana af hata shuka kaacha kuvaa

  • @placidiasilvanus9113
    @placidiasilvanus9113 2 года назад

    N kwel hatujui ndo maana uchumi co mzr

  • @alexprotas40
    @alexprotas40 2 года назад

    Nimeamini Tajiri ajionyeshi

  • @saidhamad9723
    @saidhamad9723 2 года назад +4

    Jamaa umezungumza maneno yenye akili ..wengi wakipata pesa wanatak kuji show kwa watu km wamepata lkn ww upo na fikra tofaut ukipata unata ku invest zaid ..congrat ni bilinionea wa fikra pia

  • @janemhango5884
    @janemhango5884 2 года назад +3

    Leo amebadilika kwavile amevaa shati

    • @IBENGM
      @IBENGM 2 года назад

      Usije kuwa unamchanganya na Saniniu Laizer

    • @judithmmari6316
      @judithmmari6316 2 года назад

      unamchanganyaa na saniniu laizer

  • @jumaharuna9899
    @jumaharuna9899 2 года назад

    Jaman ni madini yake yote Yale ??

  • @aminaj.mkwizu2497
    @aminaj.mkwizu2497 2 года назад

    Ana akili mingii sanaaa

  • @larickmtui2852
    @larickmtui2852 2 года назад +1

    Kwenye kununua hili gar walimuibia

  • @florencebudoya3814
    @florencebudoya3814 2 года назад +2

    Ruby hutumika kutengeneza vito vya thamani,urembo kama pete,hereni,mikufu n.k.Pia hutumia kiroho katika kumfanya mtu afurahie maisha. Mfano huimarisha afya ya akili ki imani.

  • @rinaldaoman7892
    @rinaldaoman7892 2 года назад +1

    Siyo kweli anatumika.huyo. yanaibiwa wanampa ili waie wagawane

  • @aminamtikaonlinetv7305
    @aminamtikaonlinetv7305 2 года назад +2

    Laizer unatuambia kuwa huwezi kuwa na kitu kimoja ni sawa kabisa,
    He ktk mahusiano nayo imekaaje hiyo?maoni yenu ndugu wasikilizaji

  • @stevenminja8628
    @stevenminja8628 2 года назад +2

    Laizer anatumia landcruiser lx mwaka juzi alinunua kwa kijana anaitwa frank

    • @wilfredelimeleki4543
      @wilfredelimeleki4543 2 года назад

      pole pole na umbea

    • @marthamarck3609
      @marthamarck3609 2 года назад

      @@wilfredelimeleki4543 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 tn ajishikilie

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 2 года назад +4

    Mzungu huwez kumtukana katika hii dunia mana wao ndo wnatupambañua akir Nashangaa mwendazake

    • @lastgospel706
      @lastgospel706 2 года назад

      Pole sana manake umelala mno na unaota.ivi ww unawajua wazungu walivo wanyonyaji ww au unabwata tu

    • @joycekombe7052
      @joycekombe7052 Год назад

      @@lastgospel706 kayachukue wewe hayo madini uyachakate kama una akili kuzid hao wazungu

  • @dille_td
    @dille_td 2 года назад

    huyu nae au anayatengeneza mbona anapata yeye tu

  • @perfectchoiceenterprises
    @perfectchoiceenterprises 2 года назад

    Huyu mwamba ni kichwa

  • @mcback4384
    @mcback4384 2 года назад +4

    Hilo gari kwa huo mwaka ulionunua na hata 2040 halitakaa liwe million 20 wamekupiga mzee wangu halafu wamekuuzia gari bila tairi aisee watu wahuni, isijekua na kwenye hayo madini wanakupiga hivyo

    • @TheBastarrrd
      @TheBastarrrd 2 года назад

      Dah nimeshtuka pia man😂😂

    • @paulokiruwa9879
      @paulokiruwa9879 11 месяцев назад

      Ndio bei yake hiyo mpumbavu wewe ukinunua gari mpya lazima ubadilishe tairi

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 2 года назад +1

    Mbona kina laiza tu ndo wanaonekana
    Mbona wingingehawaonekan wiz mwingi

  • @ramadhanjuma5526
    @ramadhanjuma5526 2 года назад +4

    Licha ya kuwa billionea, jamaa ana contexts kwenye brain 🧠🧠🧠...

  • @abdulwahababdulkadir9965
    @abdulwahababdulkadir9965 2 года назад +4

    Ukiwa unapesa akili wanakupa watu tu yaani utaskia tu jamaa ana akiliii,tafuta hela ndugu yangu akili itakuja kutoka kwa wanaokuzunguka

  • @thomasraiton7760
    @thomasraiton7760 2 года назад

    Nilikuwa naitwa mwakajoka mwambipile, kwa sasa naitwa Laizer Thomas, potelea mbali...

  • @barakanestory7366
    @barakanestory7366 2 года назад +4

    😂😂😂😂😂😂 mahela ya dawa hayo unamabilion ya pesa unatumia Noah aaaaah hayo ni mahera ya dawa kabisa usituambie kitu nyinge aisee daaah 😓😓😓😓

    • @devothasimbi1055
      @devothasimbi1055 2 года назад

      Ndio hayo uliyoyajaza moyoni mwako

    • @jacksontulito864
      @jacksontulito864 2 года назад +1

      Hiyo ndiyo fikra zako. Huyu ni kichwa anasaidia jamii anasomesha yatima na hiyo ndiyo matumizi ya fedh sio magar na wanawake

    • @frankmtei3017
      @frankmtei3017 2 года назад

      Kwani noa sio gari?

    • @saraphinajoely7047
      @saraphinajoely7047 2 года назад +2

      Tusikulaumu ndouwezo wako wakuwaza

    • @ndiiyolazaro4274
      @ndiiyolazaro4274 2 года назад

      Fikra za kimasikini hayo🤣🤣🤣acha ujinga utakufa maskin

  • @edinachami4318
    @edinachami4318 2 года назад +1

    Pesa humfuata mwenye pesa

  • @berthandollo3227
    @berthandollo3227 2 года назад

    Hatutokee Naye tushamchoka . Na nyie hayo tv

  • @geofreysadok4823
    @geofreysadok4823 2 года назад +1

    Kwahyo huyu ni ndugu wa saniniu laizer?

  • @eugenejr.8844
    @eugenejr.8844 2 года назад

    Business Mentality. No Lucky!

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 2 года назад +1

    Pesa nzur jamaa katakata

  • @thehunter5920
    @thehunter5920 2 года назад +4

    Na wala haringi

  • @matukiotvonline6366
    @matukiotvonline6366 2 года назад +1

    Ndioo nimungu kapanga

  • @phillipmatola6964
    @phillipmatola6964 2 года назад

    🤣🤣🤣Watu wananiomba hela....

  • @janemapoz6360
    @janemapoz6360 2 года назад

    Uwiiii ruclips.net/video/wxfTfu0_S6U/видео.html