Asante sana Padre nimejifunza mengi mno mafundisho ya dhambi ya kurithi inaathiri mno Mungu tunaomba utuokoe pamoja na vizazi vyetu na mababu wetu Padre Pio utuombee
Nimebarikiwa sana Father, naamini mahubiri haya yatatuacha kwrnye imani yetu ya asili. waumini wengi wanakwenda kwenye makanisa mengine pengine kufuata mafundisho na mahubiri kama haya. Nakuombea kwa Mungu aendlee kukupa nafasi yakutufungua na kuamini katika imani zetu
Hii ni changamoto kubwa ndani ya watu wengi wanateseka, watu wengi wanahitaji msaada wa kiroho sana,nimeyaona yote hayo katika huduma.ongera sana, Mungu hazidi kukutumia sana
Fr,ahsante kwa ujumbe huu....vita ya kiroho inatuangamiza...tunahitaji tumurudie Mungu ...hakika una kitu ndani yako Mungu akubariki sana... Nimebarikiwa mno ...
Nafarijika sana kwa mafundisho haya. Natamani kuona mapadre wengi wakifundisha mafundisho ya kina na pia huduma za kututoa ktk asili zetu Fr Mungu akubariki na kukuongezea siku. Machungu ya kuondokewa na marehemu padre Saba yanapungua.
Baba padre Mungu akulinde akupe afya njema, uendelee kutulisha neno la Mungu tuweze kuokoa familia zetu kwenye mikono ya adui , karibu roho mtakatifu utufumbue mioyo yetu tuweze kilisikia neno lako sikuzote zamaisha yetu............
Asante sana Padre nimejifunza mengi mno mafundisho ya dhambi ya kurithi inaathiri mno Mungu tunaomba utuokoe pamoja na vizazi vyetu na mababu wetu Padre Pio utuombee
Amina
Mtakatifu Padre Pio Utuombee 🙏
Hakika nimebarikiwa sana na haya mahubiri...Mungu azidi kukubariki baba padre
Hongera baba kwa kutulisha neno
Asante Mungu kwa ajili ya Mtumishi wako!!!
Ee Yesu ninakuomba nkuone leo kwa namna ambayo sjawahi kukuona🙏🙏🙏
Oh! Umeomba VIZURI mno! Nami naomba kama wewe pia🙏
Nimebarikiwa sana Father, naamini mahubiri haya yatatuacha kwrnye imani yetu ya asili. waumini wengi wanakwenda kwenye makanisa mengine pengine kufuata mafundisho na mahubiri kama haya. Nakuombea kwa Mungu aendlee kukupa nafasi yakutufungua na kuamini katika imani zetu
Fr ni mara ya kwanza kusikia mahubiri yako lakini nimebarikiwa sana Mungu akutie nguvu.
Tumsifu Yesu Kristu wapendwa katika Kristu,baombeni no za Padre patrice, Mungu akutunze milele
Padre Mungu akulinde Sana nimependa mahubiri yako sanaa
Asante baba ,,nimeoenda sana mafundisho yako
Hakika nimeguswa na kuhisi kupata upako Mtakatifu. Mungu abariki utume wako Baba Padre...!
Asante mungu kwa kumleta mtumishi wako. Baba patirs unakusudi na kanisa lako nina uhakika.
Asànte sana baba uko vizuri
Asante fr.tumeangamia kwa kukosa maarifa so nimebarikiwa sana
Nimeguswa sana .. Ubarikiwe Fr
Asante sana father,god may be with you.
Asante fr Kwa mahubiri,imenijenga sana
Fr u are a blessing to me. Watching from Kenya
Fr hongera sana kweli una kitu cha ziada Mungu akubariki sana umtume wako uzidi kutuombea na kutufundisha daima
Powerful homily thanks Father Patrice.God Bless you
Nimebarikiwa sana na mahubiri haya kuhusu sala.
Ukweli Padri Pio nimemtumia sana katika maisha yangu na mengi nimebarikiwa sana. Ubarikiwe sana Padre kwa maubiri mazuri.
Asante sana mtumishi wa Mungu, nimejifunza na kufarijika sana kusikia mfano wa familia yangu unafanana na huo wako sioni aibu tena kumshuhudia Kristo
Hii ni changamoto kubwa ndani ya watu wengi wanateseka, watu wengi wanahitaji msaada wa kiroho sana,nimeyaona yote hayo katika huduma.ongera sana, Mungu hazidi kukutumia sana
Hongera Baba Kwa mafundisho mazuri
Fr,ahsante kwa ujumbe huu....vita ya kiroho inatuangamiza...tunahitaji tumurudie Mungu
...hakika una kitu ndani yako
Mungu akubariki sana...
Nimebarikiwa mno ...
Àsante sana Baba umekuwa Baraka kwangu ubarikiwe Sana
Baba ubarikiwe sana kwa mahuburi yako yamenifanya kuikomaza imani yangu
Fr. Mungu akubariki sana. Nimejifunza sana juu ya maisha yangu. Nahitaji kutafakari zaidi na kumwomba Mungu sana kufunuliwa katika hili
Asante fr kwa mahubiri mazuri tumejifunza mengi
Huyu Padri ni kati ya mapadri napenda kufuatilia sana mahubiri yake.Be blessed Father
Barikiwa father Mungu akukuze zaidi na huo utukufu wa Mungu isiondoke kwako
Father ubarikiwe sana
Mafundisho mazuri, Asante
Asante sana BABA umenifundisha vitu vingi sana Mungu akubariki
asante fr. tunakupata vizuri kutoka nchi ya Pwani ya pembe
Mungu akubariki Fr kwa mafundisho yako mazuri
Asante sana fr ni mengi jimejifunza
M/Mungu akuweke injili yake ienee Duniani kote🙏
Amina baba Mungu akuongezea kila mbinu za aina zote ili uwasaidie watu wengi.
kweli maisha ni vita bila kisubaa/ kulala,,,nakubali
Mungu akubariki sana Fr.
Thank you, God bless you father ,umekua mbaraka mkubwa sana kwangu
Asant sana Mutume wa Yezu
Asante sana Baba. Ni kweli kabisa.
Nafarijika sana kwa mafundisho haya. Natamani kuona mapadre wengi wakifundisha mafundisho ya kina na pia huduma za kututoa ktk asili zetu Fr Mungu akubariki na kukuongezea siku. Machungu ya kuondokewa na marehemu padre Saba yanapungua.
Mungu azidi kumbariki Fr Patris
Amina sana
AAAMINA KUBWA FR.
Yes,maisha MENGI hayana kusudi na mwovu anaiba kusudi hizi akitudanganya na asili zetu.Asante MUNGU Kwa huyu mtumishi wa mungu
Full of wisdom
Amen be blessed padre
Mim n kkt ila nmebatikiwa mno na baba padr...safi hata wewe mungu unaye
Father niombee mimi niko hivo na hizo roho za asili
Naomba uniombee baba. Yangu aache ulevi
Asante sana
How can reach you father, tunabarikiwa sana na maubiri yake
Mafundisho mazuri sana
PADRE PATRISI,AKSANTE,NINACHO KUOMBA.MAHUBIRI YAKO KWENYE MTANDAO USITOKE
Ama kwa hakika umetuinjilisha vema sana.Zidi kutuombea tupate kumjua Kristu aliye hai.
Asante sana Mungu
Amina
Naomba no ya huyu Padre
Naomba no ya Father Patris plse
fr you tube account please
How can we reach there
ni somo zuri sana father analitoa naomba kujua anapatikana parokia gani father Patris
Anahudumu katika parokia ya Yohane mtume, na mwinjili - Tegeta
Tegeta
Naomba namba na huyu padri please...how can I get it?
Amina fr naomba namba yako father
Asante.tatizo. Waumini. Wengi. Hawajasoma. Uerewa. Ni. Mdogo. Erimu Tanzania. Mbovu. Hubirini. Kwanza. Erimu. Ya nchi hii. Iwe. Nzuri.iri. Mpate. Waumini. Waerewa. Shida. Nchi. Yetu. Shure. Hazina. Ubora. Ndoo. Maana. Waumini. Munahubiri. Sana. Rakini. Hawaerewi. Kwasababu. Hawajaenda. Shure. Hubirini. Kanza erimu
hubiri wewe elimu kila mtu amepewa karama take umeelewa,Mozes Joseph?Mwache mtawa apige Neno
Kwani Bwana Yesu alipokuja ulimwenguni alianza kuhubiri elimu kwanza? Huu ndio utume wa huyu Baba, waache wafu wawazike wafu wao.
Mungu akubariki Baba tuombee tumshinde shetani
Ee Mungu Baba tuokoe na dhambi za urithi
How can I reach that priest?
Nawezaje kupata mawasiliano ya huyu Padre Patris?
Tafadhali tutafute kupitia namba iliyopo kwenye bio tutakutumia
@@JugoMedia Nahitaji hicho kitabu kinachozungumzia maisha ya mtatifu pia, lakin pia kina Sala nyingi Sana

Mimi ni mkenya