Tafakari Nzito Juu ya Maisha ya Padre Pio, Pd. Patris Aelezea kwa Uchungu Kusudi la Mungu Kwetu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 янв 2025

Комментарии • 80

  • @agnesedward5694
    @agnesedward5694 2 года назад +3

    MUNGU MWENYEZI MUUMBA Mbingu na Nchi Akubariki Akulinde kwa DAMU ya Thamani ya Agano Jipya.
    Ni Jambo ambalo nilikuwa ninalitafuta sana kwa Mapadri wa Kanisa Katoliki kwa ajili ya Kuwavusha Waumini Wake.

  • @frankluswaga
    @frankluswaga Год назад +1

    Asante sana baba padre kwa homilia nzuri,binafsi nmebarikiwa sana.

  • @fellytemba9064
    @fellytemba9064 2 года назад +4

    Umenipa maarifa mengi ya kujitambua kupitia mahubiri yako Fr.Patris.Mungu akubariki sana.Mt.Padre Pio utuombee.

  • @gloriachristian1470
    @gloriachristian1470 2 года назад +8

    Mungu akutunze baba padre ,,how a young man can deliver a strong msg like this,be blessed baba padre

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 2 года назад +1

      God has shown the uniqueness in him. Be blessed always Father Patris🙏🙏🙏

  • @honorinaverani1057
    @honorinaverani1057 2 года назад +2

    oooh my God. I am proud Catholic
    Mungu akubariki sana Baba padre.

  • @florencejohn6427
    @florencejohn6427 2 года назад +4

    Asante sana Fr Uiso kwa chakula cha roho. Unanikumbusha mbali sana tulivyokuwa tunasoma falsafa pale Morogoro

  • @emmaachiengradonji6336
    @emmaachiengradonji6336 2 года назад +5

    Amen Amen thank you Padre for the enlightment. Wow ! St. Padre Pio pray for us

  • @patrickntalasha3956
    @patrickntalasha3956 2 года назад +2

    Mungu azidi kukuinua Fr. Natamani uje parokiani kwetu mbweni mpiji DSM

  • @GeorgeMmbando-u4k
    @GeorgeMmbando-u4k 3 месяца назад

    Mungu akubariki sana. Nimebarikiwa na mafundisho yako

  • @GraceMganga
    @GraceMganga 8 месяцев назад

    Asante sana baba kwa kutufundisha kuhu madhara ya madhabahu, ubarikiwe sana mungu akupe afya ya roho na mwiri.

  • @juliusmichael6191
    @juliusmichael6191 2 года назад +2

    Amina....Fr. Patris ubarikiwe kwa mafundisho na ujembe mzuri

  • @josephissob2076
    @josephissob2076 2 года назад +1

    Ahsante sana sana sana Baba Padre

  • @egidymaliga6209
    @egidymaliga6209 8 месяцев назад

    Baba Patrise hongera kwa wito na mafundisho yako.Nimejiona kama nimezaliwa upya.

  • @jeanm.2973
    @jeanm.2973 2 года назад +3

    Praise be to Jesus.May the Holy Spirit guide us to know what we were called for. Thank you Fr. Patris for your encouraging homily.
    From Kenya

  • @assumptamassoi4134
    @assumptamassoi4134 2 года назад +1

    I couldn’t blink my eye!! Powerful ! God bless you abundantly! I pray that I visit Tegeta Nyuki parish🙏🙏🛐

  • @assumptamassoi4134
    @assumptamassoi4134 2 года назад

    Nakushukuru sana Padre Ndemasi! Mungu akubariki kwa neno hili na Mungu anisaidie kufahamu kusudio langu maishani🙏🛐

  • @racheljohn7185
    @racheljohn7185 Год назад

    Wawoo! Asante kwa mahubiri manzuri,, God Bless you

  • @idachristopher8592
    @idachristopher8592 2 года назад +1

    Asante kwa tafakari Baba Padre, Mungu akutunze.. Mt.Padre Pio,utuombee 🙏

  • @lucymwasu2615
    @lucymwasu2615 2 года назад +1

    Asante Sana Padre kwa mafundisho mazuri,Mungu azidi kukubariki

  • @upendoeliudi5196
    @upendoeliudi5196 2 года назад +2

    🙏🔥🔥🔥🔥Mungu akutunze father, nimebarikiwa sana sana sana namafundisho haya

  • @revocatusfabian7399
    @revocatusfabian7399 2 года назад +1

    Mungu akubariki sana Pd. Paris kwa mafundisho bora sana. Pd. Pio Utuombee

  • @annanjau6716
    @annanjau6716 2 года назад +3

    Asante Fr kwa content ambayo iko very unique Mungu aendelee kukubariki

  • @rosetemba9858
    @rosetemba9858 2 года назад +1

    Mungu ni mwema sana, I was longing to hear from catholic for so long. Una maarifa na karama kuu. Mungu akulinde ili uendelee kuponya roho za waamini kwa kuwapa maarifa ambayo waamini ndio wanayatafuta huko nje

  • @albertjames6845
    @albertjames6845 2 года назад

    Padre Uiso nimesoma naye shule ya Sekondari Umbwe, alinitangulia vidato vitatu. Nafurahi kumwona akiwa na haiba ileile. Mungu ni mwema. 🙏🏼

  • @maniratungageorge6797
    @maniratungageorge6797 Год назад

    Asant sana mutumishi wa Yezu, mafunzo yako imenisaidia sana Mungu akupariki muzazi wetu wakanisa yetu%%.

    • @edwinelias8554
      @edwinelias8554 Год назад

      Tumemupata muzuri padre muzazi mukanisa yetu kutoka Kinshaza Congo 😝

  • @olivaellahenordm1742
    @olivaellahenordm1742 2 года назад +1

    Amina baba,you are so blessed kwakweli homily inaponya mioyo

  • @juliusmichael6191
    @juliusmichael6191 2 года назад +2

    Padre Pio Utuombee 🤲🏻🙏

  • @lugembesimon7035
    @lugembesimon7035 4 месяца назад

    Ubarkiwe sanaaaaa baba

  • @yolandaliyoya1839
    @yolandaliyoya1839 2 года назад +1

    Amina Fr🙏🙏🙏 MUNGU AKUBARIKI SANA KWA MAHUBIRI MAZURI.FR PIO NI MFANO WA KUIGWA .

  • @faustanyambuli2813
    @faustanyambuli2813 2 года назад +2

    Ni jambo jema kwa kila mtu kutambua kusudi la Mungu kwake,asante baba kutukumbusha

  • @raymondlaurent9403
    @raymondlaurent9403 2 года назад +2

    Waaaoh Mafundisho mazuri.. natamani kupata mwendelezo wake..

  • @sarafinafranci8481
    @sarafinafranci8481 2 года назад +2

    Amina sana father Mungu akubaliki mpaka uchangae.

  • @elizabethshayo733
    @elizabethshayo733 2 года назад +1

    Asante sana baba tumejifunza kwakweli. Mungu akutunze

  • @isaackisahali8743
    @isaackisahali8743 2 года назад +1

    Asante sana baba Patrice,nimebarikiwa sana na tafakari yako,hususani kuhusu kujua kusudio la Mungu kwa kila mmoja wetu

  • @mcparoko6186
    @mcparoko6186 2 года назад +1

    My father God bless you to sms

  • @sospetermpuya8217
    @sospetermpuya8217 2 года назад +1

    You show committiments good

  • @aloycemchuo7687
    @aloycemchuo7687 Год назад

    Baba ubarikiwe

  • @poncegk5263
    @poncegk5263 9 месяцев назад

    Barikiwa sana

  • @geraldtadeo4819
    @geraldtadeo4819 2 года назад +1

    Honger sana

  • @agnesmanonga3084
    @agnesmanonga3084 2 года назад +1

    Baba barikiwa sana

  • @mumyhendry2919
    @mumyhendry2919 2 года назад +1

    Oooooh My God 🙏🙏🙏Mungu akutunze daima Padre wangu,nmetamani usimalize kuhubur

  • @joycemrosso1896
    @joycemrosso1896 2 года назад +1

    Barikiwa sana Pd. Patris nimejifunza kitu.

  • @petromalimi6667
    @petromalimi6667 2 года назад +1

    mungu mwema sanaa asante kwa mahubiri mazuri mt pio utuombee

  • @neemaalberto
    @neemaalberto Год назад

    Amina baba Mungu akutunze

  • @polycarpedward-oo3iy
    @polycarpedward-oo3iy Год назад

    Thank father

  • @yolandaliyoya1839
    @yolandaliyoya1839 2 года назад +2

    Ndiyo Fr KWAJINA LA YESU NA DAMU YA YESU TUNAWEZA.MUNGU ÑI MWAMINIFU.

    • @tegemeajustice2602
      @tegemeajustice2602 2 года назад

      Yesu apewe sifa!

    • @fellytemba9064
      @fellytemba9064 2 года назад +1

      Hakika ndani mwako Mungu ameweka zawadi nzuri sana.Kipaji cha kuhubiri ni kikubwa na hata nguvu ya uponyaji ni kubwa sana.Mungu azidi kukubariki uendelee kuinjilisha.Nimejifunza mengi sana.

    • @lucylucyan5947
      @lucylucyan5947 2 года назад

      Amina baba mungu adumishe utume alioweka ndani mwako

    • @theresiamateru6426
      @theresiamateru6426 2 года назад

      Sisi wakatoliki huwa hatutafakari Biblia Bali tunapenda sana kitafakari watakatifu mtu unaweza kuta anajua Mt flani na mara nyingi yuko naye,mara nyingi ukimfuatilia unakuta huyu mtu ana maumivu ya ndani maana hamjui Mungu anajua watakatifu hata mstari mmoja kwenye Biblia hajui lakini watakatifu usiseme

    • @venancemsigala1701
      @venancemsigala1701 2 года назад +1

      @@theresiamateru6426 watu wa namna hiyo ni wale wasioyaelewa mafundisho ya kanisa. Kanisa alihimizi kukariri tu watakatifu, bali kujua mema waliyotenda na kuiga, watakatifu kwetu ni mifano (role models)ya mema ya Mungu waliyofanya wakati wao ili nasi tuige kutenda hayo kwa wakati huu na huwezi kuwajua watakatifu pasipo kwenda sambamba na neno la Mungu kutoka kwenye biblia. Unaona hata pd Patris hapo anamtumia mt Padre Pio kama mfano wa kuigwa katika kutafuta kusudi la Mungu katika kuubwa kwetu na anaelezea maisha ya pd Pio akitumia mistari ya biblia pia. Kwahiyo ni muhimu kuwajua watakatifu kupitia mafundisho ya biblia.

  • @ibrahimkatonkola1144
    @ibrahimkatonkola1144 2 года назад +1

    Proudly rc🙏🙏

  • @zakayoelias9532
    @zakayoelias9532 11 месяцев назад

    Asante Sana padre

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 2 года назад

    God bless u Fr

  • @michaelmagembe5069
    @michaelmagembe5069 2 года назад +1

    Amina baba

  • @lucianotodeschini
    @lucianotodeschini 11 месяцев назад

    Nilikuwa huko wiki iliyopita,kwa padre pio,kweli kuna maajabu sana.

  • @upendoj
    @upendoj 2 года назад

    Let us rediscover ourselves. you are Blesses and you bless us even more.

  • @rosemarysulle9288
    @rosemarysulle9288 2 года назад +1

    Amina

  • @ekahensa
    @ekahensa 2 года назад +1

    Ameniumba Kwa jinsi ya ajabu

  • @dativambaga6206
    @dativambaga6206 2 года назад +1

    Ubarikiwe sana Father❤🙏

  • @winjoymakena2864
    @winjoymakena2864 2 года назад +1

    May the lord continue to empower u so that u may continue blessing us. I'm really blessed by this message. Watching from Kenya

  • @igulampoki6312
    @igulampoki6312 2 года назад +1

    Mungu nisaidie nijue ulichoweka ndani yangu barikiwa pd Patrick

  • @frankzulu5901
    @frankzulu5901 2 года назад +1

    Amina Baba asante kwa chakula cha Roho...binafsi naomba namba yako baba kwa maombezi zaidi

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 2 года назад

    Amen Fr

  • @paskalinakilave4795
    @paskalinakilave4795 10 месяцев назад

    Kwa kweli Parokia ya Baruti tumepata neema kuwa paroko Baba Ndemasi

  • @josephinemaina1536
    @josephinemaina1536 2 года назад +1

    Naomba contacts padre

  • @melkizedeckminja9322
    @melkizedeckminja9322 2 года назад +2

    Nimepata kitu

  • @petertarimo5819
    @petertarimo5819 2 года назад

    Padri patrice yupo parokia gani

  • @RichardBwire-z1j
    @RichardBwire-z1j 6 месяцев назад

    Mapadre km wewe ndani ya kanisa katoliki ni wachache sana unapatikana wapi father

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 7 месяцев назад

    Amina