Hakika ni mengi yenye mungu amenitendea ukuniuliza si wezi sema yote hakika wimbo huu una mambo ya kufariji na kubariki na kupa mtu imani be blessed you all in your life.
Hakuna mtindo wowote wa kitematuni unaambatana na Neno la uzima wa milele. Kwanini mumevaa na kujipaka kitematuni wakati baba wa asili ya tamatuni ni shetani???!!! Please check on that!
Nmebarikiwa sana na huu wimbo mungu awabariki sana 😢 🙏
Ninaupenda nyimbo zenu mkuje Huku kwetu life
Naomba Kenya Mombasa mtu bariki Na nyimbo zenu, Hasan Huu wimbo
Hongera
Naomba mje Mombasa mtu bariki Na Huu wimbo Lutheran nyali
Mungu awabariki kwa uimbaji na uchezaji wenu
Naomba mwaliko wenu tumtukuze Mungu pamoja nanyi Mungu hwalinde
karibu sana willy EAGT Sayuni banana Dar es salaam
Greatest hit ever
Hongera sana banana heavenly
What a talented gospel singers! Nina barikiwa kutoka Mombasa Kenya.
Kipande kikuuubwa unaimbisha tu daa
napenda saaaaaana kazi zetu watoto wa babangu mkama
Sichoki kuwatch songs zenu aki. . be blessed 🙏🙏
amen
I appriciate the song, vocal, style and beats
Kazi nzuri vijana ni nguvu muhimu kwa injili
Mungu awabariki vijana hawa mna nibariki sana moyoni mwangu hata sana ile wimbo ya Pasika.
Que Dieu vous bénisse aujourd'hui et à jamais.
Amen
👏👏Ni wakati wakujidaii sasaaa 👍👍 be blessed all
"...KAMA MTATUULIZA ...HATUWEZI YAELEZA YOTE.."
Utunzi mzuri
Jaman natafuma nyimbo za Hawa watu sizipati,wanaitwaje?
Nimerikiwa sana
Mnamtumikia Mungu kwa ujsiri sana
Hakika ni mengi yenye mungu amenitendea ukuniuliza si wezi sema yote hakika wimbo huu una mambo ya kufariji na kubariki na kupa mtu imani be blessed you all in your life.
Hata nami naweza pata wapi huku Kenya naomba kusikiliza vizuri,nataka kanda hii jamani
mmmmmhhhh jaman nawapenda saaana
Ni msahata wakati wa mateso mbarikiwe sana wabendwa
Amina tuna Yesu mbarikiwe sana
Nawapenda sana
God bless you. nice songs
Agy kweli mungu yupo anatenda
Amen nawapenda
Nice song
makhirikhiri moves
Hey am looking for your full album, where and how can i find it please?
PRAISE HIM OUR LORD
annah cherono can you translate the song if its not too much problem
mbarikiwe
Viva África.
Mungu Mkuu
UKo powa
jaman nita pata wap kanda hii
wasiliana na namba za hapo juu eva utaipata
❤
Mweza wa ya yote
Hakuna mtindo wowote wa kitematuni unaambatana na Neno la uzima wa milele. Kwanini mumevaa na kujipaka kitematuni wakati baba wa asili ya tamatuni ni shetani???!!! Please check on that!
Be blessed All
Hatuvai mahirizi tumemvaa yaesu😂
mbarikiweeeee
Richard Joseph mungu awabariki sana
+Richard Joseph nawatamani ninyi dear yani siyo kwa Baraka hizo
Amen
Like u guys
let me get you numbers
Naombe namba zenu jamani
0712409032/0767409032 karibu
254717373796
Amen