hakika tunae mungu nyimbo kaa hizi mi hunipeleka mbali sana yani song umetulia neno Moja Moja unapata pia zinabariki Sasa hivi Dunia imekua ya biashara hawa ndo mashuja wetu kazi safi
I shed tears when I heard this song and it reminded me how God walked with through the storm since I was admitted in ICU for some days, I woke and the doctors got amazed..... It's a real testimoo
Ninapo usikiliza wimbo huu unanifanya nisimame kiroho zaidi nikijua kwamba mambo yangu si ya kubahatisha hivyo ni lazima nisimame vizuri kwa Yesu. Nampenda muimbaji amemaanisha anacho kiimba. Barikiwa.😅❤
Hakika Mungu wetu ni Mungu asiyefananishwa na chochote, unaweza mwamini kwa jambo lolote.Hatubahatishi kwake ahadi zake ni ndio na amina kwetu, hasinzii wala hakawii.Miungu inao uwezo wa kubahatisha kama ile ya baali lakini huyu Mungu wangu ambaye pia wa nabii Elia hatubahatishi kumwamini kwani tuna uhakika naye......
may the LORD hellp us worship HIM in spirit and truth that we may enter the kingdom of heaven, that even after we have sing the songs and gone to church every Sundays we may not be put to shame on that day
Thank u for my choir members let's continue working hard u can see t comments keep it up God with us we will make it, thank u Lord for all this. We love u father.
used to listen to this song for blessing in 2010, 2011 and 2012 pale home mbusyani Kitui kwa karedio Ka nyanyangu grace. continue resting in eternal peace susu.
I thank God for his plan! My Wife and I are beginning a mission work in Kenya, helping connecting the oppressed find their destiny helpers, and teaching them to be destiny helpers as they find Gods path of blessing… I would love to have this song as our theme song.
Wimbo mtamu sana huu! Nakumbuka,kuna mwaka fulani niliutafuta sana ili niweke kwenye simu yangu ilishindikana.Kuna mahali,nikiwa ndani usiku kule ugenini nilikoenda nikasikia mtu anapita nje kwa bodaboda yake kwa kasi huku akipiga wimbo huu.Nikakurupuka na kutoka nje haraka nimuombe anipatie lakini pia sikumpata.Leo nimeupa♥️🌹☑️
Ndio na wimbo huu pia ni mzuriiiii sana. Unaposema *"tunaye Mungu katika mipango yote"* mtiririko wa maneno haya kwenye wimbo mzima sijui tu uliutoa wapi❓
Somo hili hutufundisha ni jinsi gani tunaweza kuepuka magonjwa ya MOYO, BP, KU PARALYSE NK. Dawa kubwa ipo kwenye Uimbaji. *TUNAYE MUNGU NA MIPANGO YAKE NI SALAMA SAWA NA ULIVYO IMBA*
It's true we have God. My first time to come across this song. God bless women and Men of God who a blessing us with inspiring songs like this. May God open all your door.
Who else tuko huku 1 week to 2024 chstismas
July 2024 bado huu wimbo umekuwa faraja kwangu hakika tunaye Mungu
hakika tunae mungu nyimbo kaa hizi mi hunipeleka mbali sana yani song umetulia neno Moja Moja unapata pia zinabariki Sasa hivi Dunia imekua ya biashara hawa ndo mashuja wetu kazi safi
Baraka ziwe nawe
I shed tears when I heard this song and it reminded me how God walked with through the storm since I was admitted in ICU for some days, I woke and the doctors got amazed..... It's a real testimoo
Amen, give thanks to the almighty for he is good. Happy for you Beatrice.
❤❤❤❤❤🙏🏻
He did for me... It's a great Amen
@@beatricewanjirubush Amen Amen Thank you dear your Blessed
@@beatricewanjirubush Mungu akubariki sana
April 2023 and this song still hits..Hakika tunaye mungu katika mipango yote.
I am blessed so MUCH❤ and whoever listening to this song let him/her be blessed
August 10 2024 hakika tunaye Mungu
Asanteni wote kwa kuisukuma huduma hii,,,nawapenda
How can i get the skiza tune code for the song?
Mtumishi uko wapi chochoa huduma
Amina
2024.
Ubarikiwe
God bless you 🙏
From my teenage life to date this has remain a blessing n life blessed be to all listeners. gonga like ya kazi njema ya kusifu mungu.
Huu wimbo hunitia Moyo sana katika maisha yangu ya christo Yesu....Dada barikiwa Sana ....
This song blesses my heart a lot. Nimeiona kutoka kwa skiza tune advert from citizen tv.
Nimeamka na huu wimbo ndio ulionijia na kuanza kuimba,tunaye shujaaa..huyu Yesu
Hatubahatishi! Hakika tunaye Mungu
These song was and still a blessing to me.May God bless the singers
Dada ulieimba wimbo huu ubarikiwe sanaa popotee ulipooo ❤️❤️
Asante niko Tz mpenzi karibu
@@annannieofficialdada kwani uliacha kuimba?
Umeacha kuimba dada
Amen
Huyu hapa nilikuwanae siku tano nilibarikiwa sana mungu amlinde siku zote ❤️❤️❤️❤️
Ninapo usikiliza wimbo huu unanifanya nisimame kiroho zaidi nikijua kwamba mambo yangu si ya kubahatisha hivyo ni lazima nisimame vizuri kwa Yesu. Nampenda muimbaji amemaanisha anacho kiimba. Barikiwa.😅❤
When am in trouble i always sing this song na mambo inakua mzuri...hakika tunaye mungu...be blessed @Annannie
My best song tangu utotoni.safari ni ndefu ila kwa hakika tunaye mungu katika mipango yote.2023 still loving the song.
Hakika tunaye Mungu barikiwa Sana dada
Yanibamba sana hii wimbo nikiwa kwa Meri.......baharini all the way from Chicago to Mombasa....may God bless you........
A very Good song b blessed
Nabarikiwaaa sana na huu wimbo mungu akubariki muimbaji
Hakika tunae Mungu katika Mipango Yetu Yote ubarikiwe Sana kwa Injili nzur iloyo Safi Ann Annie
Hakika hapa Kenya, Tunayo Mungu wakati huu wa Uchaguzi.. God is control and his will will prevail..Amen
God bless u sister wherever u are ❤❤ I love the song
thanks to TikTok....imenisaidia kupata hii wimbo♥️
Barikiwa sana Dada Annie, bila shaka tunaye Mungu wa majira na nyakati zote
This song reminds me of our Highschool sunday services at kisii School. A timeless song.
Hakika Mungu wetu ni Mungu asiyefananishwa na chochote, unaweza mwamini kwa jambo lolote.Hatubahatishi kwake ahadi zake ni ndio na amina kwetu, hasinzii wala hakawii.Miungu inao uwezo wa kubahatisha kama ile ya baali lakini huyu Mungu wangu ambaye pia wa nabii Elia hatubahatishi kumwamini kwani tuna uhakika naye......
Here 2023 ... Hakika tunaye Mungu.... I pray for successful 2023
Amen Amen
For sure my favourite song ❤❤❤🎉🎉 Hakika tunaye mungu🎉🎉🎉❤❤
This song rings so new every day despite the days passing by. You are a blessing 😇
Wimbo wa baraka saana ❤
19 of Dec 2024 7:12 a.m ninekua blessed sana..hakika tunaye Mungu🙏
My favourite song since years back. Hakika tunaye Mungu
Oh Praise to God
@@annannieofficial 11 I up 6 Y7
G5[
This song was inspired by holy spiriy😢
may the LORD hellp us worship HIM in spirit and truth that we may enter the kingdom of heaven, that even after we have sing the songs and gone to church every Sundays we may not be put to shame on that day
Tunaye mungu,,,wale hatubahatishi hakika tunaye mungu
I like this song❤❤
you deserve more subscribers and likes...thankyou Ann
TikTok has brought me here,what a wonderful and a blessing song,hakika tunaye mungu🙏
Tunaye mungu hatubahatishi kamwe💪💪💪💪
Hakika tunaye mungu asiyeshindwa kabisaa. He is faithful and He never forsakes His people.
This song gives you hope when hopeless....hakika tunaye Mungu
Wimbo mzuri Sana wa kutia MOYO,Mola azidi kumbariki mwimbaji na kumwongezea nguvu na baraka zaidi katika uimbaji Wake
Listening from nanyuki town centre Kenya very blessing
When gospel had message
Makes me remember my primary school days how I used to hear it in our small radio
Hahaaaa Thank you
Iam here praising my God surely.I have God on all my plans 2024 will be a year of jubilee to me
Dec 1st 2024 watching from Dubai am blessed ❤💯🇰🇪
May God 🙏🙏 blessed you so much ♥️🥰 I love the song
Thank u for my choir members let's continue working hard u can see t comments keep it up God with us we will make it, thank u Lord for all this. We love u father.
Hakika tunaye Mungu, Artist May God bless you.
nnaye Mungu katika mipango yangu yotee,sibahatishi nnaye Mungu aliye hai.
Truly we've got God in all our plans.
Wow!! Kweli kabisa tunae Muweza yy asiebahatisha
Ooh yes tunaye Mungu hakika ,Ninaye Mungu Amin sana
Tunaye Mungu hakika tunaye Mungu my favourite song I recall the times when wr were suffering at nkararo this was our only hope song
Hakika ninaye Mungu na wala sibahatishi Ameen🙏💯
Huyo song hufariji roho yangu akh🙏🙏🙏🙏
Thank you God for being part of my life 🙏, Be blessed
Thank you
Ni kweli tunaye mungu wa kweli🙏🙏🙏
used to listen to this song for blessing in 2010, 2011 and 2012 pale home mbusyani Kitui kwa karedio Ka nyanyangu grace. continue resting in eternal peace susu.
I used to listen to this song back in 2008 to 2013.The anointing in it is high
Barikiwaaaaaaaa sanaaaa big up 😘😘😘
HATUBAHATISHI KABISAA, OH LORD YOU ARE WORTHY.
Ann' siku hizi uko wapi! Mara yangu ya mwisho kusikia ni wakati ulipokua ukihojiwa na mtangazaji wa redio habari maalum hapa Arusha ngaramtoni ya juu
Wimbo mzuri sana. Ubarikiwe zaidi Ann
This song was inspired by Holy spirit😢
God be part of all my plans.Hakika tunaye Mungu.Old is gold(song)
Hakika tunaye mungu
One of my favorites songs God bless you wherever you are
Wow♥️♥️♥️♥️♥️♥️hakika tunaye Mungu 🙏🙏 through all calamities and strategies tunaye Mungu 🙏
May the Almighty God keep on blessing you my sister. I love the song it's so nice.
...my wife knows it all 🤣📌 by the way congratulations Ann
So far so God coz we have him.
Naupenda huu wimbo sana.may God anoint you a fresh utupe nyimbo mpya.
I thank God for his plan!
My Wife and I are beginning a mission work in Kenya, helping connecting the oppressed find their destiny helpers, and teaching them to be destiny helpers as they find Gods path of blessing…
I would love to have this song as our theme song.
Amen
God bless you Man of God
Love you all
Thank you so much for your good work.Do you support Preachers in Kenya?. I'm a preacher Who want support in enhancing the gospel in my outreach work
Wow that great Pastor Roy Gross
Me dancing today on repeat mode as I usher in September
Tunaye Mungu.Hakika tunaye Mungu
Nakupenda sana mwimbaj Ann annie nyimbo inanibarik sana
Tunaye asie shindwa 👏👏
One of my favorite songs.God bless you my name sake
Mungu azidi kukubariki wimbo mzur sanaaa 👏👏👏❤❤❤
Be blessed
Nime Barikiwa, mwenyezi mungu akubariki na utuku na sifa zimrudie yeye
Asante sana endelea kubarikiwa na jumbe zangu ndani ya RUclips channel yangu
Mungu ni mwema kila siku ..amen be blessed
Ann has a golden voice. The voices are well balanced. Great vocals.
June 30,2024.Glory to God
Wimbo mtamu sana huu! Nakumbuka,kuna mwaka fulani niliutafuta sana ili niweke kwenye simu yangu ilishindikana.Kuna mahali,nikiwa ndani usiku kule ugenini nilikoenda nikasikia mtu anapita nje kwa bodaboda yake kwa kasi huku akipiga wimbo huu.Nikakurupuka na kutoka nje haraka nimuombe anipatie lakini pia sikumpata.Leo nimeupa♥️🌹☑️
Barikiwa Sana mtumishi wa mungu
Since the passing of dad, this song reminds me that I have an everlasting dad❤❤🎉🎉, Amen
Ndio na wimbo huu pia ni mzuriiiii sana. Unaposema *"tunaye Mungu katika mipango yote"* mtiririko wa maneno haya kwenye wimbo mzima sijui tu uliutoa wapi❓
Hahaaaaa Mungu mwenyewe
Somo hili hutufundisha ni jinsi gani tunaweza kuepuka magonjwa ya MOYO, BP, KU PARALYSE NK. Dawa kubwa ipo kwenye Uimbaji. *TUNAYE MUNGU NA MIPANGO YAKE NI SALAMA SAWA NA ULIVYO IMBA*
Tunaye Mungu niliona na macho Akinitendea
❤❤👏👏👏👍 amina 🙏 hakika tunae Mungu
Kweli dada uliimba huu wimbo katika Roho
I used this song the whole of this year every morning when I pray
It's true we have God. My first time to come across this song. God bless women and Men of God who a blessing us with inspiring songs like this. May God open all your door.
Always a get happy when I healing this gospel song
Enyewe wewe ndio ujae maisha yangu baba
Barikiwa my sister
Hakika tunaye Mungu barikiwa my sister
Hii wimbo inanibariki sana
Wimbo huu hatuwezi kuchuja milele,unanikumbusha mbali mno.Mungu akubariki sana.