UJUMBE MZITO KWA VIJANA: Kila kijana analo la kujifunza katika mafundisho haya, Usiache kutazama.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии • 4

  • @clementinalotary4913
    @clementinalotary4913 3 дня назад

    Asante sana Padri kwa mafundisho mazuri sana. Vijana tuogope dhambi.Ee Mungu utujalie moyo wa kukupenda wewe zaidi ya vyote.Tuogope dhambi,bora kufa kuliko kutenda dhambi.

  • @Yosephapaul-xp3ym
    @Yosephapaul-xp3ym 3 дня назад

    Ubarikiwe baba kwa mafundisho mazuri kwa sisi vijana wa siku izi tumekua watu wenye utovu wa nidhamu ,,kutojali ata afya zetu,,ujumbe umetufikia 🙏🙏🙏

  • @elidashirima194
    @elidashirima194 4 дня назад

    Barikiwa baba kwa mafundisho mazuri kwa vijana tusikubali kuangushwa ,tuikimbie dhambi tutapona

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 4 дня назад

    Haki tena wala hujadanganya baba kweli kabisa.Ubarikiwe sana😂😂🎉❤