Huu ndo muziki ukiusikiliza utajua unapendwa au umepakiwa kwangu mimi toka nakujua huu ndio wimbo the best yani namba moja kwa mashairi kaza wewe ninoma sana
Na jishaue haswaaaa ,wasokupenda na litawachoma Sanaa,more talented hope jamaaa kakolea maana sio kwa kubadilisha kofia huko Kila mkao kaweka na umempatia haswaaaa,one love from iringa,na utaolewa na huyo mwamba watu watafunga midomo yao
Always appreciate to ur works ni moto sana sister Zuchu zid kubamiza 😍 yaaan tyu niseme kwa niaba ya watanzania ww jembe mpini ni wengine pasipo ww hiii leo tanzania tungekuwa tunasikiliza sijui vi nn 😂
Oh my God, this lady Zuchu is not only poetic, she has a way of writing her songs that speak to one's heart/soul. I keep praying that she grows old and successful with our brother Diamond, because the two of them are just a bomb and they are our pride in East Africa. Love you....Mungu awabariki milele na milele
Ay, ay yo Trunk (Aiyolizer) Baby, baby Mi' na we' in a thousand life times Baby, baby Mi' na we' in a hundred ways Baby, baby Mi' na we' in a thousand life times Baby, baby Mi' na we' in a hundred ways, yeah, eh, eh Oh, la-la-la, mwenzenu nakuwa chizi Mambo tunayopeana, tunayopeana Ah, salala, kumbe mapenzi ndo' hivi Oh, maana naona nampendelea sana Akisikia joto (la-la-la), namuogesha (la-la-la) Namlaza mapajani (la-la-la), napepea vizuri Namrudisha utoto (la-la-la), namnyonyesha (la-la-la) Mkubwa ni kwenu nyinyi (la-la-la), kwangu hana kauli Kwa mapenzi moto moto (fire fire, fire fire eh) Oh-oh, (fire fire, fire fire eh) Mi' nna-tire (fire fire, fire fire eh) My baby keep it burning (fire fire, fire fire eh) Oh-oh (fire fire, fire fire eh) Mi' nna-tire (fire fire, fire fire eh) Oh, nisiongope, visifasifa nimevizidisha Mizungu yote as'oijua nimemfundisha Ahsubuhi sangara tope, jioni samaki papa namlisha Shobo zenu nyote, mie ndo' ndivu liwezi katisha Kidege wafikishie salamu (oh salamu) Vigwegwe vya Dar-Es-Salaam (eh Salaam) Nilizinguka sana oops (oo-ah), Mashariki mpaka Kusi' (oo-ah) Nikakutana na wazushi (oo-ah), walioniumiza Mola kanitunuku papuchi (oo-ah), mwana fundi bin nuksi (oo-ah) Penzi ka'eka bando, kifurushi (oo-ah), na hatutomaliza Oh nisijishauwe kwanini wakati ndo' kashakuwa wangu? Ntazimaliza yasini mie kupendwa ndio jadi yangu Na akisikia joto (la-la-la), namuogesha (la-la-la) Namlaza mapajani (la-la-la), nampepea vizuri Namrudisha utoto (la-la-la), namnyonyesha (la-la-la) Mkubwa ni kwenu nyinyi (la-la-la), kwangu hana kauli Kwa mapenzi moto moto (fire fire, fire fire eh) Oh-oh, (fire fire, fire fire eh) Mi' nna-tire (fire fire, fire fire eh) My baby keep it burning (fire fire, fire fire eh) Oh-oh (fire fire, fire fire eh) Mi' nna-tire (fire fire, fire fire eh) Ni'shalia kadi 'malize mchezo (amenipa jo-jo-joka) Jamani joka libeberu (amenipa jo-jo-joka) Kanilambisha vitamu (amenipa jo-jo-joka) Hata huruma hana (amenipa jo-jo-joka)
unstoppable ZUCHU, girl with no haters.... incredible Zuchu uko on fire km wimbo wako hakikza ww unajuwan jambo... ilikuwa ni issue ya time tu kusema km ww ni wa sayar nyengine. I really like u mmmmmmmmwah
When I listen to this song I juxt forget all my heartbeat na kujipa moyo kwamba ipo siku utapata anayekupeda usahau na madharau yote uliyoyapitia.Kiswahili is a romantic praise
For Kenya we see talent ,we see a banger for changing lives through the comfort you give us through your song,nana ambaye hajihisi mwenye penzi moto 🥵🥵nyimbo hii ikichezwa wewe ni dawa LA penzi.As your fans we adore and love you 💗 to more years of joy , prosperity and fun zuchu .TWAKUPENDA❤️❤️❤️
If you have listened to these songs cheche,litawachoma,mtasubiri and now fire you will realise that zuchu and diamond were born for music,hit songs is there nature
So zuchu you are just on a mission to make me feel that love is the sweetest thing ever existed.okay.thank you baby girl.Mapenzi ni fire ukweli🔥❤✌🏿👍🏿🙏🏾
This song is a master class,, it has a good motivation,good vibe, good message and good sounds,,, this queen 👑 she never disappoint Africa,, am listening this vibe on repeat,,, from Zambia 🇿🇲🇿🇲❤️
Motomoto 🔥🔥🔥 yanni the best female artist the voice is magic. She literally made me to learn Swahili language . Keep winning beautiful queen. We love you 🇺🇬🇺🇬🌍.
Zuchu zuchu zuchu zuchu zuhura weweeeeeeh mamangu weweeeee🔥🔥💯🙌🙌⚡⚡hili fire lichanganywe na umeme utanimaliza ata kabla ya kupendwa😂😂zuchu mara ngapi nakuita we mama weeeeeh penzi kweli linawaka fire 🔥🔥💯🙌🙌❤️😘
The queen of Africa you know very well what your are doing in this music industry,, this verbal song of love keep on bubbling in my head everytime 😜😜 Kidege mfikishe salamu....
Zuchu, the one and only East Africa musical queen that brings lots of talents to the entertainment stage. And she never disappoints her audience especially her fans!!! 💕 👍
Zuchu mi nakupenda sana jamaaani♥️ Wewe ni fire alafu nyimbo zako nazo pia fire🔥 Sauti tuuuu aah jamaani tupo site tupo site kata simu
Ushafikaaaaa ukuuuuu mjukuu wa papa Francis
🤣🤣uko uku
Nakubal
Mjukuu wa papa Francis mpka amefika huku its fire fire katamu jamani 🔥🔥
Tumekuona Sana😅
Malkia wa Bongo Fleva hajawahi niangusha,hatari sana hii UK tushaipenda🔥🔥
ruclips.net/video/L9hxFlKqODQ/видео.html
Wadau pitieni kwangu 🙏 @ musical comedy ruclips.net/video/L9hxFlKqODQ/видео.html
Hii ni Zaidi ya wimbo wa SUKARI
wacha tu parody yake iwe kali zaidi kwanza mfanye na Lyn petra
Kijana mara usa mara uk 😂😂😂
waaaaaaah zuchu unaweza kweli mtoto WA kislamu yaani wewe ni fire 🔥 kama taarabu
Aaaaaah mashaAllah jamani,una kipaji bibie,tumekubali👑👑👑👑crown iyo nakuvisha
Hatareeeee
👍💎🌎👑
suburscber🙏🙏
🥰
Enjoy
ruclips.net/p/PL8Vlnc2fNyY4UXwU3fZ6sDdNGS8Cw8mlJ
Zuchuuuu Siwezi choka kukusikilizw milelle we ni bonge la Artist yaan mistari imenyooka Mitaa yote Fire fire🔥🔥
Hongera zuchu uko vixur nyimbo nxur mungu akuongoze katika kazi zako . Unatufirahiaha sisi mashabiki. Kweli wewe ni namba Moja Africa. Unajuwa Sanaa.
Huu ndo muziki ukiusikiliza utajua unapendwa au umepakiwa kwangu mimi toka nakujua huu ndio wimbo the best yani namba moja kwa mashairi kaza wewe ninoma sana
ZUCHU HUNIFANYA NIONE MAPENZI NI MATAMU SANA❤️😭
Nawakati tunajua mapenzi ni nyoko tu
@@yolo5261 tena shenzi kabsaaa
Hii ni Zaidi ya wimbo wa SUKARI
ni matamu dear ila ukimpata anaye kufaa
Kwa marioo unaonaje 😄😄😄
Zuchu motoo wat a talent she never dissappints napendaa from 254🇰🇪🇰🇪twakupenda Sanaa keep up good work
What a perfect timing! What a coincidence! The song has dropped when I'm deeply in love bana! I love it already. Nipate likes from +254 🇰🇪 bana😀
suburscber🙏🙏
Bana perfect timing 😊
Just wait for your heart break, it will find you when Steve simple boy will have released fresh barida remix with mejja😹😹😹
@@amanisafari5588 😂😂😂😂😂wuiiii
Hahaha 😂
Huyu msichana ni hatareee. Thank you Zuchu. Kenya we say thank you. "Mkubwa ni kwenu nyinyi, kwangu ni mtoto hana kauli"
suburscber🙏🙏
Shes definately referring to Diamond😂
Na jishaue haswaaaa ,wasokupenda na litawachoma Sanaa,more talented hope jamaaa kakolea maana sio kwa kubadilisha kofia huko Kila mkao kaweka na umempatia haswaaaa,one love from iringa,na utaolewa na huyo mwamba watu watafunga midomo yao
Zuchu ur the most influence in East Africa, go go go lazima kiswahili kipenye hadi ulaya kieleweke. Nipeni even 10 likes please #swahilination
Tayari swahili on the world
napinda
Kaja juzi tu kafunika kina nandy na wengine wasanii wa kike tz biig up girl 😍
My favorite💓💓💓💓.. Inanimaliza💖💖💖💖💖imeweza hii👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼
Always appreciate to ur works ni moto sana sister Zuchu zid kubamiza 😍 yaaan tyu niseme kwa niaba ya watanzania ww jembe mpini ni wengine pasipo ww hiii leo tanzania tungekuwa tunasikiliza sijui vi nn 😂
Oh my God, this lady Zuchu is not only poetic, she has a way of writing her songs that speak to one's heart/soul. I keep praying that she grows old and successful with our brother Diamond, because the two of them are just a bomb and they are our pride in East Africa. Love you....Mungu awabariki milele na milele
Ay, ay yo Trunk
(Aiyolizer)
Baby, baby
Mi' na we' in a thousand life times
Baby, baby
Mi' na we' in a hundred ways
Baby, baby
Mi' na we' in a thousand life times
Baby, baby
Mi' na we' in a hundred ways, yeah, eh, eh
Oh, la-la-la, mwenzenu nakuwa chizi
Mambo tunayopeana, tunayopeana
Ah, salala, kumbe mapenzi ndo' hivi
Oh, maana naona nampendelea sana
Akisikia joto (la-la-la), namuogesha (la-la-la)
Namlaza mapajani (la-la-la), napepea vizuri
Namrudisha utoto (la-la-la), namnyonyesha (la-la-la)
Mkubwa ni kwenu nyinyi (la-la-la), kwangu hana kauli
Kwa mapenzi moto moto (fire fire, fire fire eh)
Oh-oh, (fire fire, fire fire eh)
Mi' nna-tire (fire fire, fire fire eh)
My baby keep it burning (fire fire, fire fire eh)
Oh-oh (fire fire, fire fire eh)
Mi' nna-tire (fire fire, fire fire eh)
Oh, nisiongope, visifasifa nimevizidisha
Mizungu yote as'oijua nimemfundisha
Ahsubuhi sangara tope, jioni samaki papa namlisha
Shobo zenu nyote, mie ndo' ndivu liwezi katisha
Kidege wafikishie salamu (oh salamu)
Vigwegwe vya Dar-Es-Salaam (eh Salaam)
Nilizinguka sana oops (oo-ah), Mashariki mpaka Kusi' (oo-ah)
Nikakutana na wazushi (oo-ah), walioniumiza
Mola kanitunuku papuchi (oo-ah), mwana fundi bin nuksi (oo-ah)
Penzi ka'eka bando, kifurushi (oo-ah), na hatutomaliza
Oh nisijishauwe kwanini wakati ndo' kashakuwa wangu?
Ntazimaliza yasini mie kupendwa ndio jadi yangu
Na akisikia joto (la-la-la), namuogesha (la-la-la)
Namlaza mapajani (la-la-la), nampepea vizuri
Namrudisha utoto (la-la-la), namnyonyesha (la-la-la)
Mkubwa ni kwenu nyinyi (la-la-la), kwangu hana kauli
Kwa mapenzi moto moto (fire fire, fire fire eh)
Oh-oh, (fire fire, fire fire eh)
Mi' nna-tire (fire fire, fire fire eh)
My baby keep it burning (fire fire, fire fire eh)
Oh-oh (fire fire, fire fire eh)
Mi' nna-tire (fire fire, fire fire eh)
Ni'shalia kadi 'malize mchezo (amenipa jo-jo-joka)
Jamani joka libeberu (amenipa jo-jo-joka)
Kanilambisha vitamu (amenipa jo-jo-joka)
Hata huruma hana (amenipa jo-jo-joka)
Nisijishau kwa nin wakati kashakuwa wangu the queen (mashariki mpaka kuss
unstoppable ZUCHU, girl with no haters....
incredible Zuchu uko on fire km wimbo wako hakikza ww unajuwan jambo...
ilikuwa ni issue ya time tu kusema km ww ni wa sayar nyengine. I really like u mmmmmmmmwah
Zuchu wangu mie daa... Aise huyu Queen wa bongo flavour nitammwagia urithi woteee
Zuchuuuu 🙌🙌🙌🙌
Hheu ruclips.net/video/HLqvhu8vj98/видео.html
😍😍😍😍
suburscber🙏🙏🤦
Watanzania nyimbo zenu zinapendwa sana Kenya jamani. You guys should reciprocate the love we have for you.
namnyonyesha
mkubwa ni kwenu nyinyi...😍😍
Wimbo ni moto kama jina Lake
FIRE 🔥...let's go the one n only Queen of bongo flava africa mashariki...simba jike
Ile kauli xaxa nimeiamini kwamba yawezekana *Zuchu anaimba kwa kutumia moyo na sio koromeo* 🙌🔥🔥🔥🔥
Huyu Dogo anajua🙌🏽🔥
Zuchu zuchu zuchu nakuita mara tatu shika hapo hapo uliposhika usiachie nikiwa zangu omani nafurahia mno
Baby zuchu unajua ,unajua na unajua tena😇😇😇👑👑👑👑👑mapenzi ndo yalivyo hehehehe👌👌👌👌
Wamoto
Mapenzi chikamo Kwa kwer
Ushasema mpenzi
Mapemzi matamu mno
Eeeeeish penzi lachoma jameni ....I love this girl
The queen is back,let's support our own African talent
Hii ni Zaidi ya wimbo wa SUKARI
Jeu ruclips.net/video/HLqvhu8vj98/видео.html
suburscber🙏🙏🤦
Shez for diamond now...
Suberscber🙏🤦🙏🙏
🔥🔥 fire wimbo wenyewe uko poa sana zuchu,,, nakupenda bure zuchu 🥰🥰 keep going dear
Hapo Kwamba boss kwenu ninyi Kwangu hana kauli
Nyimbo zako zina hisia nzito za mapenzi.Zidi kupaa malkia wa Simba.
Wale wa +254 gonga like kwa Simba jike
Pure African talent. So beautiful music with great rendition. Kenya 🇰🇪 is proud. #JumuiyaYaAfrikaMashariki
Mizungu yote asoijua nimemfundisha (diamond)🥰🥰,,,kweli zuchu malikia wa bongo ,,,
When I listen to this song I juxt forget all my heartbeat na kujipa moyo kwamba ipo siku utapata anayekupeda usahau na madharau yote uliyoyapitia.Kiswahili is a romantic praise
walai huyu dem ni fire....kila song lazima afanye poa
Honestly zuchu has talent na sio jokes...keep going Africa to the world
Napenda iyo sauti,ufundi wa mistari nayo iko level 2 yake..HONGERA ZUCHU!!
ruclips.net/video/ftgghVJGPAM/видео.html kindly check out my latest single
Zuchu is the G.O.A.T in Africa...dope music, mistari, kiswahili kitamu..keep up girl
Nakupenda ❤❤❤❤❤❤sana zuchu mungu akutangulie kwa kila jambo unanifulaisha sana sijaona mwenyesauti zuri kama wewe💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃
For Kenya we see talent ,we see a banger for changing lives through the comfort you give us through your song,nana ambaye hajihisi mwenye penzi moto 🥵🥵nyimbo hii ikichezwa wewe ni dawa LA penzi.As your fans we adore and love you 💗 to more years of joy , prosperity and fun zuchu .TWAKUPENDA❤️❤️❤️
love u zuchu
Kenyans🇰🇪🇰🇪🇰🇪where are you ! Let’s Approve the song and mooove to tiktok 😁😁 , the Queen of bongo has dropped it ! It’s veeery hooooot !
Heu ruclips.net/video/HLqvhu8vj98/видео.html
That's true
Promote fellow Kenyans too please.Hamutaenda TZ kuomba michango ya harusi,etc
Kenya yote nyie ni baraka sanaaaa🔥🔥🔥❤❤❤❤❤❤❤💎🌍👊
@@catherinemlughu4666 are you ok in your upstairs 🙄🙄🙄
Nilizunguka sana Ups 😄 Mashariki mbaka kusss 😉 Nkakutana na wazushh 😍 Woloniumiza😣
this girl is literally telling us everything that diamond and her are doing..anyway..we are happy for youuu...lawd knows she is in love woiyeee
Take notes and do them with your significant other.... thank me later
suburscber🙏🙏
😂😂😂 I swear!! Thank God I’m not the only one that thinks that.
Umeannalize vizuri🤣🤣
@@li9onlinetv 🤗🤗
Her uniqueness and originality it's what makes her the best 🙌 🙅🏾♀️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
💯
@@loymerwazard9196 💯💯
@@julietnaserian7242 and your pretty
@@loymerwazard9196 thank you mummy ♥️ ♥️ and you too ♥️♥️
💙💙💙💙💙💙💙
J'ai beaucoup suivre cette chanson yani ime imbiwa kwa hisia sana kama kuna mtu ana mpenda ivi kama sio platnamz zuchu tuambie
Wow! I can't get enough of this zuchu, kila saa narudia hii nyimbo, you're the best.
Kali sana nimekubali
Zuchu nakupenda ishi milele ilaa ombilangu kwa mwezi Mungu ufunge ndoa na boss wako iyi wimbo jamani naizimiyaaa asanti sana maman
If you have listened to these songs cheche,litawachoma,mtasubiri and now fire you will realise that zuchu and diamond were born for music,hit songs is there nature
Hii ni Zaidi ya wimbo wa SUKARI
true zuchu go na be got east africa like lion
Truee
Kataitwa kadai kazuri
@@Manumbu1 sana yaan
Aliye rudia huu wimbo zaidi ya Mara mbili gonga like tujuane 🙌🙌😍
Penda wewe bure ombi langu niolewe na unayetudaganyia ati bosi nawapenda pamoja saaaana 🇰🇪🇰🇪
So zuchu you are just on a mission to make me feel that love is the sweetest thing ever existed.okay.thank you baby girl.Mapenzi ni fire ukweli🔥❤✌🏿👍🏿🙏🏾
😂❤️
Zuchu I Love u hilo
Her special voice, lyrics on 👌, nampenda huyu dada love from kenya 💕💕💕❤️❤️❤️
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 fire fire fire fire fire fire fire fire......From KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 sauti nyororo yanitoa usingizi daaaaah 🔥
This song is a master class,, it has a good motivation,good vibe, good message and good sounds,,, this queen 👑 she never disappoint Africa,, am listening this vibe on repeat,,, from Zambia 🇿🇲🇿🇲❤️
Hii ni Zaidi ya wimbo wa SUKARI
Beh ruclips.net/video/HLqvhu8vj98/видео.html
🤝🤝🤝🤝🤝🤝
Asante sana kutokea Zambia. Nyie ni baraka sana❤❤❤💎💎🌍🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👊👊👊👊
Thanks boss ❤️❤️❤️
Motomoto 🔥🔥🔥 yanni the best female artist the voice is magic. She literally made me to learn Swahili language . Keep winning beautiful queen. We love you 🇺🇬🇺🇬🌍.
Hii ni Zaidi ya wimbo wa SUKARI
Buwu ruclips.net/video/HLqvhu8vj98/видео.html
Powerful song..🇺🇬..
suburscber🙏🙏
Zuchu zuchu zuchu zuchu zuhura weweeeeeeh mamangu weweeeee🔥🔥💯🙌🙌⚡⚡hili fire lichanganywe na umeme utanimaliza ata kabla ya kupendwa😂😂zuchu mara ngapi nakuita we mama weeeeeh penzi kweli linawaka fire 🔥🔥💯🙌🙌❤️😘
Am soo privileged to be the first kenyan here 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯💯💯💯💯💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥
Zuchu wee mie shabiki wako. Nakupenda sana unaimba kwa hisia. Ur voice is 🔥🔥🔥. Keep it burning
Mama zuu tumalize tuu mama maana cyo kwa mjimbo huyu hatari sana
From south Africa 🇿🇦 to Congo 🇨🇩 ♥ so much love
Hii ni Zaidi ya wimbo wa SUKARI
Mola kanijaalia papuchiii
suburscber🙏🙏
Here in Lagos we dey approve this hit. Every gal dey shake their nyash when this song plays abi !🇳🇬🇳🇬
😅
😂😂😂nyash
I dey like you from nigeria
Na wa ooo
Your nyaashiii 😂😂😂
Mbosso na Zuchu wanajua kuandika nyimbo za mahaba sanaaa
Zuchu can sing🔥🔥kidege fikisha salam👌
Everything is great starting from the lyrics,melody, vocal, beat. Guys, Tanzania is one of a blessed country in the world.
suburscber🙏🙏
Wat about kenya
@@sudawech8565 hahaha. Anyway our neighbor Kenya is somehow blessed as well.
Suberscber🙏🤦🙏🙏🤦
Everything is great listen very careful good melody, vocals beat it is so logistical
Natamani kesho iwe valentine day hongera xana zuchu ,halafu kuna watu wanamfananisha na vtu vya ajabu ajabu🔥🔥🔥
Zanzibarian ...👑the GOLDEN VOICE...👐👐👐👐👐😘😘❤❤🇰🇪
I'm from the land of thousand hills 🇷🇼🇷🇼 but I can't wait to say that Zuchu is a legend women in East Africa
Hongeraa mamaaa nakupenda burrreee😘😘😘
Diamond platnumz and zuchu 🔥🔥🔥🪂🪂🪂🪂🪂🪂🪂🪂 Kenya we love you
"Namrudisha utoto,namnyonyesha"
"Mkubwa ni kwenu nyinyi"
"Kwangu hana kauli"..
Beautiful and purely artistical...God Bless you😍🇰🇪🇰🇪
Zuchu baby girl i always love your songs,, very talented oooh my hope ungekuwa karibu unifunze🥰🥰🥰🥰
The queen of Africa you know very well what your are doing in this music industry,, this verbal song of love keep on bubbling in my head everytime 😜😜 Kidege mfikishe salamu....
Officially I can confirm now Zuuh is the Queen 👑 of bongoflava🔥🔥
Hujawahi kukosea...alaf ni mulele .. nakupenda nakupenda nakupenda mnooo zuchu wangu..I wish one day 🥺 nije kuhug emotionally
it never fades, every other day it hits differently. Twakupenda zuchu❤. all the way of Eastern Ug.
Wooooow, ni 🔥 kweli. Zuchu you are really talented and gifted. I like your songs.
Mshatumia hii beat zaidi ya mara tatu,wimbo mzuri lakini,good job Zuchu
Queen of Africa Number one Artist in Africa....Who is With Me...
Hu3h ruclips.net/video/HLqvhu8vj98/видео.html
Since i hve born, i had never listen such a nice song like this🤗 ZUCHU NI FUNDI BANA😎😉 big fun frm mombasa kenya💪
Its more than just fire,hii ni jahanaam sasa MASHA ALLAH.
Zuchu 🔥🔥🔥
Leo nimewahi naomba likes zenu
This song is fire 🔥 🔥 Zuchu is very talented..making Africa proud 👏 🇬🇧 🏴 🇰🇪
Kenya yoye piga keleleeeeeeeeee
@@kristofuraha3369 💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿🔥🔥🔥🔥
suburscber🙏🙏
Wow for sure this is fireeeee.... Mtoto wa bongo kazi nzuri saaana
Hapa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥
I leave this comment here so that when someone likes it I come back to check the masterpiece over and over 💯💯 #Zuchu Umetisha sanaaa
Hii ndoo maana ya msanii mkubwaa kutoka wcb
If Diamond breaks her heart, may he never find happiness haki. She's exceptional.
Shes is aware of what simba can do
This is the clue of how angels sing in heaven.
Zuchu hakika wewe ni nouma na nusu aisee!👊🔥🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤💪💪💪💪💪🌍💎
Good one keep the fire burning younger lady,, upcoming African Queen
Another Sukari,100 Million counting....Moto Moto Who is With Me
ruclips.net/video/9XreU4dIXCY/видео.html
suburscber🙏🙏
🔥🔥🔥💃💃💃zuchu mashallah nakupenda na nyimbo zako tamu
The queen her self representing East Africa 🇹🇿🇺🇬
Amazing jam💕💕 much love from Kenya 🇰🇪
The fevourite person, malkia wa bongo music nakupenda bure 🥰🥰🥰
Zuchu, the one and only East Africa musical queen that brings lots of talents to the entertainment stage. And she never disappoints her audience especially her fans!!! 💕 👍