Zuchu - Utaniua (Official Lyric Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии • 1,5 тыс.

  • @Ndoika_loboye
    @Ndoika_loboye Год назад +146

    Kama umeurudia huu Wimbo zaidi ya mara kumi kama mm gonga likes
    ~zuchu ndo 👸 Queen wa bongefleva. Anajaua mpk sio poa kbsa

  • @musembijay6618
    @musembijay6618 Год назад +16

    Kwenye mziki wa bongo huyu zuchu hana mwingine wa kupigwa mfano naye... it's you for me

  • @upendopeter8078
    @upendopeter8078 Год назад +8

    Waooo!! Huyu binti anajua ,, nakupenda sana zuchu,, from🇬🇦

  • @brendankatha8038
    @brendankatha8038 Год назад +18

    Roho yangu Mali yako,♥️💯💪💪💪zuchu always on point.👏👏👏much love from Messi kadenge 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👍

  • @LYANGASUPERSEMBE
    @LYANGASUPERSEMBE Год назад +12

    Zuchu umetuweza na aka kawimbo kanaenda mjin vzr na hiii Valentine Day🥰🥰

  • @rayanchidona2612
    @rayanchidona2612 Год назад +15

    zuuuh hii ni imara sana sijui kama kitu Gani,I give you the name you are:"The queen of super melody" nipeni likes zke zuchu.ila kna mdada kaitwa H girl mpe mkono wko afike mbali pia,collabo.

  • @rashidamahmmoud3659
    @rashidamahmmoud3659 Год назад +142

    My African queen zuchu another lit song always bringing the vibes, I ❤ this song.

  • @kenrifambi
    @kenrifambi Год назад +28

    Leo nimesikiza hii ngoma mara mingi sana, single boys hii ngoma ndo imekua our Valentine 🤣🤣🤣

  • @fedricklubigisa139
    @fedricklubigisa139 Год назад +47

    Wimbo special, kwaajili yangu kabisa 💪💪

    • @enocklihamba1222
      @enocklihamba1222 Год назад

      Curiously waiting for tha video superqueen, always with tha bang hit 🔥🔥

    • @sdtz344
      @sdtz344 Год назад

      Sawa babe wa Zuchu🥹

  • @tumainmwambala7526
    @tumainmwambala7526 Год назад +17

    Yan katika nyimbo umeimba dada hi umeweza na umeweza tena nasikiliza siku nzima Yan repeated ❤️❤️❤️ we fundi

    • @saumukiduma
      @saumukiduma Год назад +3

      Yan nyimbo nzur hongera sn mdogoangu zuch nikiwa dubai

    • @willy3447
      @willy3447 Год назад

      Dubai tuko wengi😊

  • @Ms.Nestler
    @Ms.Nestler Год назад +17

    My favourite ❤ song 🎵 ❤ 💕 😍 jamani zuchu utaniua ni hizi nyimbo walahi all love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @fatmamrihani6828
    @fatmamrihani6828 Год назад +17

    TONE flani hivi za kubembelezana kwenye mapenzi❤️❤️❤️
    Happy Valentine in Advance dia ZUCHU🌹

  • @jaydannychawaboy5418
    @jaydannychawaboy5418 Год назад +11

    unapendeza sana dada... yaani nishasahau maumivu ya mapenzi niliokutana nayo .. ❤️ ongeza juhudi mno....

  • @sultanaswaleh8892
    @sultanaswaleh8892 Год назад +7

    🥰😍😍🤩💕💕💃💃💃💃💃💃💃💃ZUCHUUUUUU..MWANANGU WEEE! WANIUWA.... HASBIA ALLAH !.....
    MU' NGU !.. AKUEPUSHE NA MAHASIDI..🙏🙏🙏

  • @Sugajoor
    @Sugajoor Год назад +57

    Zuchu tunakukubali sana Kenya🇰🇪 likes zifike

  • @lupitanyakisumo
    @lupitanyakisumo Год назад +92

    This is what happens when a song written from the heart of true lovers is finally out

  • @stevenmtalo4829
    @stevenmtalo4829 Год назад +13

    Kele uwiii nani ana mpinga na ni nani ana povu tuna imani na wewe must award winning number 1 romantic song 😍🥰

  • @scovydarlhabibi1602
    @scovydarlhabibi1602 Год назад +4

    Eeeii Zuchu jamani...sauti tuu❤️❤️❤️👌👌.Talented girl...watuacha hoi...wimbo ungeendelea kidogo...umemaliza ghafla ukaniacha taabani

  • @BAD__26
    @BAD__26 Год назад +5

    Dua lakuku limenipata mweee... dah dada zuu umetisha

  • @victorvillain466
    @victorvillain466 Год назад +11

    Hakuna msichana anaandika zaidi yako dunia nzima I'm sure🙌

  • @Okayafilm
    @Okayafilm Год назад +18

    Chama Cha wasoma comment Africa (CHAWACOA) Kinawatakia valentine njema ♥️

  • @charlesmaina7294
    @charlesmaina7294 Год назад +23

    Nyimbo yenyewe umeandika kweli... Shairi lenyewe 🔥🔥🔥🔥

  • @briindiana7306
    @briindiana7306 Год назад +50

    Nimerudia huu wimbo mara ka sita, walah mtamu🇰🇪🇰🇪❤️❣️❣️

    • @fatumomatano9752
      @fatumomatano9752 Год назад +1

      Unishindi tangia Jana nakuskiza Yani unajiskia uhuru na Raha wallah uyo msanii wa nani tumuone Sasa na uhindi wake

  • @eunicekasupuu947
    @eunicekasupuu947 Год назад +4

    Nimejihisi tu,yatima wa mapenzi,we! Zuhura all over world

  • @dodoman460
    @dodoman460 Год назад +89

    Queen zuchu Weka likes hapa 💎

  • @muntueric-oy1ty
    @muntueric-oy1ty Год назад +7

    African Princess.... Zuuuuu 👏👏👏

  • @DjchiboEntertainment
    @DjchiboEntertainment Год назад +6

    Watching from California USA we Love you ZUCHU

  • @alexnyabuto4196
    @alexnyabuto4196 Год назад +15

    Sidhani Kuna mwanamke East Africa anashinda ZUCHU kuandika

  • @qamaryasalim9531
    @qamaryasalim9531 Год назад +4

    Zuchu kama zuchu MASHA Allah mungu amuhifadhi. Happy Valentine sweety

  • @dawouhhaanassenga3288
    @dawouhhaanassenga3288 Год назад +5

    Dah Kwel Umeimba Dada Yangu Na Nilikuw Tu Nachukulia Masihara Lkn Baada Ya Kutulia Kusikiliza Vzr Yamenikuta Madhara Yaan Naipenda Balaa

  • @sherylgabriella
    @sherylgabriella Год назад +7

    Aaaah Zuchuuu😪too much talent 🥺🥺

  • @roziekaruri9316
    @roziekaruri9316 10 месяцев назад +1

    Zuchu ni mkali aki imba, anjua kuimba❤❤❤❤❤❤😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @patrickmatabaro804
    @patrickmatabaro804 Год назад +7

    Zuchu unajuwa kuimba 🤗🤗

  • @sayyidsayyid4582
    @sayyidsayyid4582 Год назад +10

    huyu dada anaandika utani tueke pembeni jaman❤️❤️❤️

  • @adrianalulea3712
    @adrianalulea3712 Год назад +12

    From Drcongo 🇨🇩 Queen zuchu 🥰🥰 like hapa wcb fan

  • @aliallan492
    @aliallan492 Год назад +3

    Zuchu ni mkali tuu,daah nakubali Hii kazi

  • @jackwinnerhustler5576
    @jackwinnerhustler5576 Год назад +209

    Our beloved African Queen is back with another banger🔥🔥🔥this song will hit more than 500000 million views within 24hrs🙏

  • @joangitau8166
    @joangitau8166 Год назад +13

    Zuchu kama zuchu,always delivering song zake zote ni hit,hiyo imeweza kwa umpendaye iko sawa na hii Valentine, hapy Valentine zuu

  • @gracewakati6002
    @gracewakati6002 Год назад +5

    Kawimbo katamu sana sikachoki kukasikiliza zuchu nimukali sana umeuwaaaaa mama😍

  • @patrickndumba7855
    @patrickndumba7855 Год назад +8

    Flava tofauti tunawapa kutoka WCB.,..$$$

  • @zaitunibendera7988
    @zaitunibendera7988 Год назад +5

    Mashaa ALLAH Mungu akulinde na husda dadangu nkupenda sana from kenya

  • @judykaitlin6965
    @judykaitlin6965 Год назад +10

    Zuhura la Zuhura....our east africa best vocality

  • @saleemmussah
    @saleemmussah Год назад +5

    Weee mtoto weweeeeee daaaaah bc tuuu🥰

  • @remymsangi4546
    @remymsangi4546 Год назад +3

    Shikamoo Zuchu,sio kwa utamu wa hii nyimbo👌na unajua unajua Tena🙌

  • @kimfix737
    @kimfix737 Год назад +5

    Good job like tano kwa zuchu 👍

  • @frankwelsonb1262
    @frankwelsonb1262 Год назад +7

    Jamani zuchu weweee utawauwa wapeleke polepole 💖💖💯💯💪

  • @hadijasaidi331
    @hadijasaidi331 Год назад +6

    Mashallah!!🥰binti uko vizuri kazi nzuri ✍️✍️,kaza buti achana na kelele,wimbo mzuri sana 👌💯🔥🔥🔥,nikucheza na kuimba tu!💃💃💃 Allah aendelee kukupigani udumu zaidi nikutakie usiku mwema

  • @nkizurimwinyipande8322
    @nkizurimwinyipande8322 Год назад +1

    Yaani Zuchu Mashallah mtoto
    ...kamwe jicho la hasidi lisikuone

  • @mrssalim5769
    @mrssalim5769 Год назад +79

    Honestly you have the voice MashaAllah. You never disappoint us. Keep shining girl. Stay blessed @zuchu

  • @mointowntv9710
    @mointowntv9710 Год назад +2

    Ngoma kalisa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️ Asante kwa kutujali shabik wa mzik mzur....

  • @shamtemidumo2867
    @shamtemidumo2867 Год назад +5

    Valentine gift umetisha bibie

  • @moussaayubuchris7491
    @moussaayubuchris7491 Год назад +1

    Zuchu anajuwa anajuwa anajuwa anajuwa tena😳😍😍😍😘😘daaaah ngoma tam sana yani naiskiliza nairudiya mara kwa mara yani ngoma kali sana aise WCB hatukoseyiiii kwenye ku signe wasani

  • @kabandilwafariala6093
    @kabandilwafariala6093 Год назад +59

    Happy Valentine guys…Love from 🇨🇦🇨🇦🇨🇦 Zuchu and you’re the best singer Zuchu.

  • @ivanfabian7304
    @ivanfabian7304 Год назад +1

    Mwaka jana ni mahaba ndindi mwaka huu umekuja na hiiii mama utatuua kweli na mahaba

  • @WRG.superbrands
    @WRG.superbrands Год назад +23

    Zuchu a girl from talented family Yani , Khadija kopa, Omar kopa,zuchu all very talented musicians ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🐐🐐🐐

  • @Loverboy-cy9mt
    @Loverboy-cy9mt 3 месяца назад +2

    Sauti nayo ulipewa ❤❤❤

  • @qamaryasalim9531
    @qamaryasalim9531 Год назад +6

    Sauti na matamshi yake ni original waige tu lkn mmmm Zuchu Sauti 3 anazibadili wakati mmoja kaziii. Tunakupenda baby Zuuu

  • @rachelkayuni9487
    @rachelkayuni9487 Год назад +3

    We mtoto wewe zuchu kiboko.... Mambo mazito haya..this is the best

  • @baruticlan3894
    @baruticlan3894 Год назад +9

    💕❤️💞 really song kazi imenyooka hii mamb ni 🔥🔥🔥

  • @esthercharles5945
    @esthercharles5945 Год назад +7

    Hakuna wa kukufikia zuchu🥰

  • @brsirmuhonjwa7863
    @brsirmuhonjwa7863 Год назад +82

    Aaaah ameimba nyimbo nzuri Sana jaman kama umeikubar hii nyimbo gonga like hapa 👍

  • @stivombiombayacomedian1928
    @stivombiombayacomedian1928 Год назад +22

    Very hot wapi likes za wakenya from Tanzania🇰🇪🇰🇪🇰🇳🇯🇲🇯🇲

  • @dottosospeter6759
    @dottosospeter6759 Год назад +15

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 From TANZANIA MWANZA

  • @lisigrace
    @lisigrace Год назад +3

    Atakuwa mama keep it up 🤲❤️

  • @leokadiaraphael5131
    @leokadiaraphael5131 Год назад +14

    Lioness zuchuu..queen of bongo forever ..unajua na unajua sanaa hadii unazidishaa zuchuu 🔥🔥🔥

  • @vlife_ke
    @vlife_ke Год назад +13

    dude zuchu is sickk!!! Watanzania mnaokubali mnipe likes!

  • @classicmediaenter10ment44
    @classicmediaenter10ment44 Год назад +499

    Number one in comment haa naomba likes za Lioness Zuhura Zuchu wa Simba wetu.

  • @kavumamuhammad6994
    @kavumamuhammad6994 Год назад +6

    My East Africa female artist zuu l was waiting this song so bad u are a queen gal love you from Uganda 🇺🇬🇺🇬

  • @princetenebae
    @princetenebae Год назад +44

    Nnahamu mwenzenu kusema nimeipenda hii ngoma💥💯congrats momaa💯 you lit it🦁💯

  • @kelvinmunene-lh8up
    @kelvinmunene-lh8up Год назад +2

    huyu mrembo anaeza toa nyoka pangoni hiyo sauti ni nyororo 🤩

  • @sisterkezuchu
    @sisterkezuchu Год назад +6

    The best song ,,kama unampenda weka like ulipita❣️❣️

  • @robertmakwinya124
    @robertmakwinya124 Год назад +25

    Always you're at the PEAK no one like you, congratulations the QUEEN of LOVE SONGS in 🇹🇿 and all over Africa

    • @marieclarissangani4006
      @marieclarissangani4006 Год назад

      Mmh huu wimbo naupenda Sana kbs zuchu nakufata nikiwa 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲

  • @MtotoWaJemo
    @MtotoWaJemo Год назад +385

    If you u believe zuchu has taken African music to another level gonga like hapa 🫶 ukitingika mdogo mdogo

  • @Angel-ru4km
    @Angel-ru4km Год назад +1

    Contrôle ya sauti ya Zuchu ninyine level, many kisses from Belgium 🇧🇪 tunakupenda sana baby girl

  • @jonster7973
    @jonster7973 Год назад +8

    Siku zote yani nyimbo za zuchu ni tamu tu 🤗

  • @andrewsimiyu1383
    @andrewsimiyu1383 Год назад +6

    Zuchu i just love you

  • @suzanyohana4882
    @suzanyohana4882 Год назад +5

    Zuu unajua mpaka unajua tena❤️🙌

  • @zidakapenda251
    @zidakapenda251 Год назад +3

    I love you zuchu kipenzi cha Africa (YOUR AFRICA QEEN ❤❤❤❤🌹👰👰👰👰🔥🔥🔥🔥

  • @beyondintrusion1663
    @beyondintrusion1663 Год назад +3

    Ooh usichokipenda ww chunga na mm usinifanyue 😍😍😍

  • @elizabethismile6827
    @elizabethismile6827 Год назад +2

    Wasafi mtatuua 🔥🔥. Hata mm nilianza ka masihala wallah zuuu umenipatia❤️❤️❤️

  • @meislive5234
    @meislive5234 Год назад +24

    Je suis très content dans cette melody.....belle voix....zuchu bravo....💥💥💥💥💥💥💥💥🇨🇵🇨🇵🇨🇵🇨🇵🇨🇵🇨🇵🇨🇵🇨🇵

    • @arletteaubian3537
      @arletteaubian3537 Год назад

      Aaah oui oui Zuchu sa musique m apaise l esprit tellement sa voix est douce. Franchement chapeau

  • @zainabmaulid9637
    @zainabmaulid9637 Год назад +8

    Zuchu utaniuwa kwa saut yako nzuri nikaisikia tu inafurahisha % wanao kukubali kama mm gonga like hp%

  • @sheyimacksontv8369
    @sheyimacksontv8369 Год назад +30

    Great Song👏👏👏👏🔊🔊🔊. I don't understand the lyrics but I love Zuchu's captivating voice. Wonderful delivery. One love Africa. Africa to the world

  • @TalentLinkHub
    @TalentLinkHub Год назад +8

    For years I wished someone would emerge and help Nandy push this musical wheel in East Africa and then God brought fourth Zuchu. Double blessings😍

  • @amanimapenzi571
    @amanimapenzi571 Год назад +4

    Aaaaaaah hii Kali bana!!!!!!! It rang in my head usiku yote......yet am 27yrs in the marriage game.........aaaah hii bwana inashika

  • @pendochimammy5013
    @pendochimammy5013 Год назад +2

    Ushaifinika zuena mama big up kwa nyimbo nzuri ya mapenzi

  • @ellieellie1469
    @ellieellie1469 Год назад +30

    The Queen of Bongoflava your voice is killing me #Utamiua🔥🔥🔥

  • @dvdkim224
    @dvdkim224 Год назад +2

    Na siku zote inaanzaaga kwa utani tu... sijui nimuimbie nani though naipenda sana

  • @jackievistas5
    @jackievistas5 Год назад +20

    Wow... this is really hot 🔥🔥🔥. Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    Wapi likes 🥰🥰🥰

  • @chapizj217
    @chapizj217 Год назад +16

    Really Zuchu your songs make me feel warm on my heart ♥ i wishing someday go to your concert. ❤️ Viva 🇹🇿 Tanzania! Viva Mama África! ❤️
    With love from Mexico 🇲🇽

  • @johnhanga7583
    @johnhanga7583 Год назад +13

    Nice song dear zuchu i like it and keep it up baby🙌🙌👏👏👏

  • @opengochris937
    @opengochris937 Год назад +1

    Jamanii...mtoto wa Kiafrika anatipeleka mbali sana. Toto langu la moyo Debby utaniua

  • @maobundala3376
    @maobundala3376 Год назад +79

    Team ZUCHU tujuane hapa❣️

  • @chizashungu1236
    @chizashungu1236 Год назад +4

    ZUCHU YOU ARE TOO MUCH.THIS IS NICE.2023 LETS GO ZUCHU AGAIN.

  • @felixmokua9469
    @felixmokua9469 Год назад +33

    Super woman ♀️👠 nipe likes za zuchu from Kenya

  • @bashiluyasini4175
    @bashiluyasini4175 Год назад +5

    Hivi kuna siku zuchu katoa ngoma mbovu?? kwa kumbukumbu zangu mpaka sasa zuchu ndo msanii tz ambae hajawahi halibu ngoma zote za moto 🔥

  • @zepembatv2813
    @zepembatv2813 Год назад +18

    Malkia wa hizi kazi ndo huyuu💥💥💥💥💥💥 nipeni like zangu mapemaaa

  • @langatevanskitolindet8675
    @langatevanskitolindet8675 Год назад +11

    Nyimbo nzuri sana. Hongera mrembo 😍. Kenya tunakuenzi💕🇰🇪

  • @jeandedieuirakoze9528
    @jeandedieuirakoze9528 Год назад +60

    Najiombea😂 like moja inatosha #utaniua❤❤❤❤❤🎉

  • @nahsraally1210
    @nahsraally1210 Год назад +4

    Afu ndo mnataka kumfananisha dada zuhura na viumbe wa ajabuu jmn ayaa tuliludiaa kuiskiliza mara mbil mbil tujuanee😊😅