Furaha ya Ndoa, Bwana Harusi Apiga Kinanda na Mkewe Akikonduct Mara Baada ya Kufunga Ndoa Kanisani

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 янв 2025

Комментарии • 220

  • @temuemanuel4671
    @temuemanuel4671 2 года назад +11

    Nimefurahishwa na maharusi lkn nimefurahi zaidi kuona hao watoto chipukizi ktk mziki. Nimefarijika sana. Hongereni wote

  • @marriah2504
    @marriah2504 2 года назад +63

    Wote mmewaangalia maharusi pekee ila mmesahau hivyo vipaji vichanga vinavyozaliwa hongera kwao watoto hao wanaopiga ngoma naufurahia ukatoliki🌺🌹💟

    • @mukafumumukafumu6100
      @mukafumumukafumu6100 2 года назад +2

      Ni kweli🤔🤔 ila basi tu siyo siku yao🤗🤗

    • @jojigeorige1056
      @jojigeorige1056 2 года назад +1

      Watoto hushika lao... itokee washike talent yako ni bahati

    • @josephlango5591
      @josephlango5591 2 года назад +5

      Vitoto hivyo vina vipaji lukuki. Vinapiga kinanda, vinapiga ngoma, na vinaimba kama malaika. Tafuta Misa ya Kipaimara Kinyerezi usikie binti alivyoimba Zaburi. Mungu kawekeza karama kwa malaika wake

    • @janefrolakalinga5664
      @janefrolakalinga5664 2 года назад

      Amina nimepend pia watot hao waliopig ngoma jaman mpaka rah honger sn kwao

    • @kingbrazioanticlockwise3667
      @kingbrazioanticlockwise3667 2 года назад

      Ila wewe unaona😅😅😅🙏🙏🙏

  • @sofiarugoye7929
    @sofiarugoye7929 2 года назад +4

    Huyo mtoto mpiga ngoma amenibariki,lakin pia hongera maharusi mmenoga

  • @maryjohn515
    @maryjohn515 2 года назад +23

    Anitha& komanya toka chuo mmejua kumaintain ua relationship. Mwenyezi Mungu azid kuwasimamia vipenz mdumu ktk Amani ,furaha na UPENDO 🥰❣️❣️❣️

  • @marthanyoni3634
    @marthanyoni3634 2 года назад +12

    "Amin.nawaambia, mmekwisha kuipokea thawabu yenu" yaani na amini kabisa! hata malaika mbinguni wameshiriki kuuimba wimbo huu, mbarikiwe sana ma arusi maisha.mema ya ndoa, msiruhusu shetani aharibu ushuhuda huu uliougusa malaika mbinguni kushiriki tukio jili jema! 🥰😍❤👏👏👏👏👏

  • @crispymedianairobi-kenya5167
    @crispymedianairobi-kenya5167 Год назад +9

    Marriage is more sweet if you marry a partner with common passion or interest

  • @wangariimmamndiritu4413
    @wangariimmamndiritu4413 2 года назад +2

    Hongereni sana woote mliohudhuria misa hii ya doa lakini toto anayepiga drum weeee acha 2 barikiwa sana toto bwana na bibi harusi hongera sana na mzalimie padri wenu

  • @PauloNyoni-p1b
    @PauloNyoni-p1b 9 дней назад

    🎉🎉❤npenda hiyo ndoa imewagusa wengi ,,🙏🎄

  • @malkiadmulda2620
    @malkiadmulda2620 Год назад +2

    Mbarikiwe, hakika MUNGU amekuwa mwaminifu Sana awalinde milele katika ndoa yenu,haya Ni maombi yangu kwa MUNGU kwa ajili yenu

  • @NYAKUBONDYATOSA
    @NYAKUBONDYATOSA 4 месяца назад +1

    Daaaaaaaaa jamani hadi raha mwenyezi mungu awajarie baraka tele katika Maisha yenu🙏🙏🙏

  • @josephmwaura8835
    @josephmwaura8835 2 года назад +9

    Hongera sana wanandoa kwa kumwimbia Bwana..... Mungu ailiende ndoa yenu daima na milele... 😊😊❤️🇰🇪

  • @peterelias2818
    @peterelias2818 2 года назад +3

    Kuna vipaj Hao wa Toto N Hatar Sana Mungu Awajaalie Uzma

  • @veronicaabelmathias9676
    @veronicaabelmathias9676 2 года назад +10

    Speechless Mungu awaepo katikati yao na kuiimarisha ndoa yao…… the kids were just wow 🎉🎉🎉

  • @fransiscarbrunoh6889
    @fransiscarbrunoh6889 2 года назад +3

    Hongrn San, Mr&Ms alchoungansha mungu na mwanadam asktenganshe, nyumba yen iwekansa ndogo, na mwishke Ile ya petro mm na nyumba yang tutamtumikia bwana

  • @johnmbatta9872
    @johnmbatta9872 Год назад +1

    Inapendeza sana kumusifu na kumshukuru .ungu siku kama hii. Bwana aibariki ndoa hii.

  • @amundalakolomoni
    @amundalakolomoni 2 года назад +4

    Muzuri sana na iyo témoignage ya hawa doa katika vipaji Yao . Asante na shukrani kubwa kwake Baba Mungu. Mbarikiwe na Baba Mungu kwa jamaa yenu. Asante sana.

  • @victoriazakaria6197
    @victoriazakaria6197 2 года назад +3

    Hongereni Sana MUNGU AWE KIONGOZI KATIKA MAISHA YENU

  • @donwilliamgerard2959
    @donwilliamgerard2959 Год назад +2

    Aiseee ilikuwa nifuraha Tele hongereni

  • @judithgeorge1756
    @judithgeorge1756 4 месяца назад

    Wow MUNGU abariki ndoa yenu nimebarikiwa nikiwa Italy usiku huu

  • @anthonymwendwa5702
    @anthonymwendwa5702 Год назад +3

    So beautiful Mungu awajalie neema na baraka tele katika ndoa yenu

  • @juliethhouseofdesigns147
    @juliethhouseofdesigns147 2 года назад +7

    Mungu abariki ndoa yenu, pia Mungu baba kuza vipaji vya watoto wapiga ngoma

  • @JacquilineBongo
    @JacquilineBongo 4 месяца назад

    Waooh parokia yang Mtakatifu Bonaventura
    Namwona Kaka yang Adama na Katekista Musa

  • @vivianachieng6781
    @vivianachieng6781 Год назад +5

    Wow...the children on instruments, heavenly❤

  • @RM3.
    @RM3. 2 года назад +17

    Absolutely beautiful 🌹. And I loved her gown sana. Love from Kenya

  • @mrtembakiboboy6145
    @mrtembakiboboy6145 2 года назад +13

    Be blessed,,,kuimba Ni raha,muwe na sacrament njeema ya ndoa

  • @niyongabojonas4760
    @niyongabojonas4760 5 месяцев назад

    Nimevutiwa sana wa Uimbaji wa hawa wanaharusi. Namuomba Mungu anijalie mke mwema

  • @TausiMokiwa
    @TausiMokiwa 6 месяцев назад

    Yani huu wimbo kila siku lazima niuskilize hongeren sana ❤❤❤

  • @JacklineMakyao-tc6ie
    @JacklineMakyao-tc6ie 10 месяцев назад +2

    Ashukriwe mungu hongereni sana biharusi na bwana harusi kwakumwibia Bwana Mungu wetu.

  • @JoharMrutu
    @JoharMrutu 5 месяцев назад

    Siwajui Ila kwa kupata mwenzia ukiwa na Imani ya dini raha saana

  • @petermumo2023
    @petermumo2023 Год назад +10

    Blessed couple ❤️❤️ Nimeishi kumwomba Mungu aniwezeshe nipate bibi mwimbaji kama Mimi. Ewe Mungu nakuomba unisikie. Drummer is super good. Congrats to that kid.

  • @thebioreligiotomist1939
    @thebioreligiotomist1939 5 месяцев назад

    This is the most beautiful wedding in my opinion, when the bride is a conductor and the drummers are young innocent children. What a beautiful woman the bride is!. I wished I could understand the song, but I still had fun though. The joy of the occasion was visible in the faces of all in attendance. Greetings from a Ghanaian bro in the U.S.💛💙❤

    • @josephlango5591
      @josephlango5591 2 месяца назад

      The Lord has done great things for me. The Lord heard my voice when I called Him

  • @rachelnyagawa6062
    @rachelnyagawa6062 Год назад +1

    Hongera sana classmate wangu,cute Anitha

  • @christinakennedy2031
    @christinakennedy2031 6 месяцев назад

    Nimeipenda sana Mungu ibariki ndoa yao ikadumu muda mrefu wapate kuona mema ya Mungu juu yao

  • @beatusidama6233
    @beatusidama6233 2 года назад +4

    Alichounganisha Mungu ni chema sana

  • @Leodecor-jp3zz
    @Leodecor-jp3zz Год назад +1

    Am speechless 😊😊😊😊

  • @sixmondchale3038
    @sixmondchale3038 Год назад +2

    Raha jamani kuimba ni raha👏👏👏👏

  • @beatricewakesho9153
    @beatricewakesho9153 19 часов назад

    Beautiful!! ❤❤❤

  • @mahelaolban8224
    @mahelaolban8224 2 года назад +2

    Asanteni sana wapiga vinanda Mungu anawaona na kondoo wenu😀😀😀

  • @delituskivike2471
    @delituskivike2471 2 года назад +1

    From Harvard room mdogo wang. Anthony komanya ,roommate KIVIKE

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 4 месяца назад

    Ameen kila la heri kwenye Ndoa yenu idumu

  • @marysona9999
    @marysona9999 2 года назад +5

    Pongezi sana kwa huyo mtoto mpiga ngoma, Hongera sana wanandoa 🌹🌹🌹🌹🌹

    • @happylynguya3464
      @happylynguya3464 2 года назад

      Yaaaani! nilidhani nimemuona peke yangu. Na yeye anakipaji chake cha kipekee

  • @barakawatu9226
    @barakawatu9226 Год назад +1

    Safi kabisaa, kumtegemea Mungu kuna faida 💯💯💯💯💯🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @musichealsTz
    @musichealsTz 2 года назад +3

    Hongera bwana haruc mpiga kinanda, school mate wangu alikuwa anaupiga mwingi toka mashule shule.

    • @salichuma7956
      @salichuma7956 5 месяцев назад

      Nilikuwa nae ndanda ,akinifundisha nota ,naweza pata namba ake

  • @happylynguya3464
    @happylynguya3464 2 года назад +4

    Unafurahi mpka unajikuta unatoa machozi , hongereni sana.

  • @PILICHIGILO-fm3yo
    @PILICHIGILO-fm3yo 3 месяца назад

    Hongeren sana mungu awtunze🎉🎉🎉❤❤❤ kwa utume

  • @winjoynkatha540
    @winjoynkatha540 2 года назад +3

    Hongera wanaharusi

  • @SaidHassan-q4n
    @SaidHassan-q4n 4 месяца назад +1

    Mngu atakusaidia Peter v 3:59

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 3 месяца назад

    Hongereni sana maharusi MUNGU awazidishie siku za maisha

  • @messiasulleydidy2585
    @messiasulleydidy2585 2 года назад +5

    Hakika Mungu atukuzwe Milele

  • @IchetaPeter-sh3zm
    @IchetaPeter-sh3zm Год назад +2

    Any one with the music piece of the song please

  • @LucyMkalawa
    @LucyMkalawa 3 месяца назад

    Yesu awatunze Mr and Mrs Komanya

  • @hildagardamassawe8819
    @hildagardamassawe8819 3 месяца назад

    Mungu awatangulie katika maisha yenu ya ndoa

  • @LevinaMuhamila
    @LevinaMuhamila 6 месяцев назад

    Hongera sana pendo lenu litawaliwe na Mungu daima ninawaombea

  • @CarolynoissoFamel
    @CarolynoissoFamel 2 месяца назад

    Ukatoliki raha sana ❤

  • @simbawycliff8634
    @simbawycliff8634 10 месяцев назад +1

    Hongera sana na mungu hawabariki 🙏🙏🙏

  • @gladnesswazir-zz9lk
    @gladnesswazir-zz9lk Год назад +1

    Waaoh nimebarkiwa saana♥️♥️♥️🙏

  • @scolasticaadam7403
    @scolasticaadam7403 Год назад +3

    Waoow wonderfully

  • @EmmanueliBahati-j8e
    @EmmanueliBahati-j8e 3 месяца назад

    Furaha iliyoyoje❤❤❤

  • @mongogwelaanthony6867
    @mongogwelaanthony6867 5 месяцев назад

    Nimefurahi the best couple

  • @peaceisrael8158
    @peaceisrael8158 Год назад +1

    Much love from Germany🇩🇪
    🍃❤🍃

  • @jamesmdegy3938
    @jamesmdegy3938 2 года назад +1

    👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼raha Sana kuoana waomba bigup sana

  • @UNCLEWANAIROBI
    @UNCLEWANAIROBI Год назад +1

    Beautiful ad admirable

  • @BatinangwizaCatherine-x6t
    @BatinangwizaCatherine-x6t 2 месяца назад

    Mwenyezi Mungu awatangulie❤

  • @Damarismutuku-of7mj
    @Damarismutuku-of7mj Год назад +1

    Mungu be with you ♥️❤️💜💞😘❤

  • @cecykahunde761
    @cecykahunde761 4 месяца назад

    Hongera kao Mungu awatanguloe ktk maisha yao mapya

  • @klotildasusuma2220
    @klotildasusuma2220 4 месяца назад +1

    Moyo wangu umebubujiaka machozi ya furaha,sithani kama utukufu huu uliopo katika Kanisa Takatifu Katoliki la mitume unaweza kupatikana mahali pengine popote.nauonja uwepo wa ukuu wa Mungu.

  • @ericanduye5876
    @ericanduye5876 2 года назад +5

    Mimi nimependa hao watoto hasa huyo mpiga ngoma anakipaji mno

    • @beatusidama6233
      @beatusidama6233 9 месяцев назад +1

      Vipaji na karama kwa ajili ya utukufu wa Mwenyezi.

  • @patriciamuganda4498
    @patriciamuganda4498 10 месяцев назад +1

    Very lovely. God bless you abundantly.

  • @jameselias5773
    @jameselias5773 Год назад +1

    So beautiful mwenyezi Mungu azidi kuwalinda na kuwaongoza

  • @MchainaJrs
    @MchainaJrs 2 года назад +2

    Hongera komanya na Anitha

  • @mariamashale6691
    @mariamashale6691 2 года назад +1

    lovely , ibada njema kweli inaanzia nyumbani

  • @kimlee001
    @kimlee001 2 года назад +2

    I must admit. I have never seen this

  • @LovelyBakedBuns-wo9cj
    @LovelyBakedBuns-wo9cj 4 месяца назад

    Hongera watoto wapigangoma

  • @oliewowanaluo1452
    @oliewowanaluo1452 2 года назад +1

    wapiga ngoma wamesahaulika... pongeziwapiga ngoma ..kenya

  • @kalikisige950
    @kalikisige950 2 года назад +1

    Safi sana Mungu awatetee kila iitwapo Leo

  • @evansmutuma909
    @evansmutuma909 Год назад +1

    My dream one day will make me fulfill it

  • @Emilianasulley-yp9uq
    @Emilianasulley-yp9uq 2 месяца назад

    Hongereni sn

  • @rahykimaru9829
    @rahykimaru9829 Год назад +1

    The most beautiful thing I have watched this year

  • @zuhurambonde3185
    @zuhurambonde3185 Год назад +1

    Safi sana hii nimeipenda mnoo

  • @naomymose1866
    @naomymose1866 Год назад +2

    ❤️❤️ We pray to receive same blessings

  • @yustosiwiti8991
    @yustosiwiti8991 2 года назад +4

    Hongera Mungu awabarikisana

  • @UNCLEWANAIROBI
    @UNCLEWANAIROBI 9 месяцев назад +1

    Vry nice ❤

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 2 года назад +4

    Hongereni sana wana ndoa Mungu aisimamie ndoa yenu

  • @laurentmaganga1027
    @laurentmaganga1027 4 месяца назад

    wow! so beautiful and lovely! may God bless you! happy couple

  • @johngichuki1847
    @johngichuki1847 Год назад

    Wow ,such a nyc couple ,I really feel humbled how nice it is🎉

  • @ArcadiusMukimara-fr4wx
    @ArcadiusMukimara-fr4wx Год назад +1

    Mmependezewa huo wimbo bi/bw harusi

  • @shukranitv2971
    @shukranitv2971 Год назад +1

    Nzuri sna hiii

  • @peternoga
    @peternoga 5 месяцев назад

    ooh wow🫡🫡i like this totally 💯

  • @barakawatu9226
    @barakawatu9226 Год назад

    Hongereni sana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🙏♥️🇹🇿🇹🇿

  • @margarethshirima5654
    @margarethshirima5654 4 месяца назад

    Yaani jamani, watu hawaji makanisani kujumuka kwenye ibada, wanasubiri reception jioni. Halafu watasema nimetoka harusini😢mtu asipokuja kanisani kwenye harusi yangu, na ukumbini nisikuone. Labda uwe na dharura ya kiukweli, and "I mean it" 😎

  • @gracemisokalya1061
    @gracemisokalya1061 2 года назад +1

    nimewapenda bure,mmejua kunifurahisha

  • @EmmanuelMugi
    @EmmanuelMugi 18 дней назад

    Nakubali

  • @AdventinaRichard-op9eu
    @AdventinaRichard-op9eu 3 месяца назад

    Hasahau wewe ❤❤❤❤❤❤❤

  • @Onesmus8301
    @Onesmus8301 2 года назад +1

    Hakika Mungu awabariki katika ndoa yenu

  • @winfridagama5832
    @winfridagama5832 Год назад

    Antony na Anitha safi

  • @paulngugi7793
    @paulngugi7793 2 года назад +1

    hongereni maharusi, huu wimbo mtungaji ni nani? wimbo mtamu sana

  • @euniceakinyi3188
    @euniceakinyi3188 Год назад +3

    The young girl on the drums

  • @rosepatrick8148
    @rosepatrick8148 Год назад

    Hongereni sana Sasa mwaendeleaje,?

  • @tempochoir
    @tempochoir 4 месяца назад

    Congratulations ❤

  • @florachogo243
    @florachogo243 2 года назад +2

    Bibi harusi hongera umekondacti vizuri