Frt. Justo Mwalemba OSB Akiimba kwa Sauti Kuu,Kengele za Mazishi Zapigwa Akilala Chini Kumfia Kristo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 янв 2025

Комментарии • 152

  • @julianandoweka7165
    @julianandoweka7165 2 года назад +31

    Ewe mungu nakuomba unisamehe nilipokukosea naomba mungu uimarishe Imani yangu ya kikristo Mimi na uzao wangu katika hali zote nikukili na moyo wangu uumie kwa akili Yako barikia uzao wangu jitwalie mtumishi katika damu yangu

  • @revocatusrubaba4416
    @revocatusrubaba4416 2 года назад +61

    Katoliki sitoki hata ikibidi nibaki peke yangu
    Im proud to be catholic❤💪💪💪💪💪

    • @annandunguru2678
      @annandunguru2678 2 года назад +1

      Amina sioni zaidi ya Kanisa Takatifu Katoliki

    • @anodearsulusi7536
      @anodearsulusi7536 2 года назад +3

      Tutabaki wawili Mimi na wewe Yani🙏🙏🙏

    • @evafunda932
      @evafunda932 2 года назад

      Ntabaki mm na wew

    • @henricamikambi6147
      @henricamikambi6147 2 года назад +1

      Cha muhimu litakufikisha mbinguni?? Hicho ndicho unachopaswa kujivunia

    • @emmanuelshayo4703
      @emmanuelshayo4703 2 года назад +2

      @@henricamikambi6147 ndio maana kasema hatoki maana anaamini kuwa litamfikisha mbinguni

  • @eunicekanumba8342
    @eunicekanumba8342 11 месяцев назад +2

    siku mwanangu akifikia hatua hii nitamshukuru sana mwenyezi MUNGU

  • @marysona9999
    @marysona9999 2 года назад +15

    Tendo la unyenyekevu sana, Mwenyezi Mungu akulinde katika wito wako🙏

  • @verogwerino6827
    @verogwerino6827 2 года назад +40

    Tendo kuu saana hili Mungu akuongoze katika safari yako ya utume, Mungu nami naomba baraka zako nipate mtoto wa kukutumikia

    • @agripinamunishi3757
      @agripinamunishi3757 2 года назад +1

      Nami ni kilio changu Cha Kila siku

    • @angelamhitu675
      @angelamhitu675 Год назад +1

      Nami naomba Kama si Mjukuu Basi kitukuu. Mungu nitimizie haja hii ya Moyo Wangu.🙏🙏🙏

    • @lutigardkomba1215
      @lutigardkomba1215 Год назад

      Amina,,Bwana na afungue tumbo lako Kama alivyofungiaa la mamayetu Sara,,upakate mtoto kwa nyakati na majira yake

    • @lutigardkomba1215
      @lutigardkomba1215 Год назад +1

      Nawaombea wote Mwenyezi Mungu awape kadiri ya haja ya rohho zenu,,,,majitoleo yenu yamkumbushe Mwenyezi Mungu kilio chenu

    • @SabathMganga-jm8jf
      @SabathMganga-jm8jf 9 месяцев назад

      Safi

  • @linahsemindu4261
    @linahsemindu4261 2 года назад +22

    Naomba Sana mwenyez mungu uwalinde watt wangu na wenye wito wa utawa uwaite kwako Mana watawa wanatoka kwenye matumbo yetu🙏

  • @merinachalinze6455
    @merinachalinze6455 2 года назад +13

    Mungu awe pamoja nawe asikuache hata hatua moja

  • @reginaandrew6891
    @reginaandrew6891 Год назад +4

    Mungu awabariki na kuwalinda wale wote wanaojitoa kulitumikia Kanisa lako Takatifu

  • @nangalebertha8168
    @nangalebertha8168 2 года назад +7

    Nimejikuta nalia tu. nimeona kiapo kigum sana. Mungu atusaidie tuweze kuwaombea mapadri wetu.

  • @deborakasuva5009
    @deborakasuva5009 2 года назад +12

    Tangu nimjue yesu na kumkaribisha moyoni mwangu,yalopita yamepita nimevaa utu upya ndani sijitaabishi yakale hayana nafasi

  • @DelphinaMande
    @DelphinaMande 11 дней назад

    Mungu akubariki frt nakutakia safari njema

  • @minjabaraka5538
    @minjabaraka5538 2 года назад +12

    Mwenyezi Mungu aikamilishe nia njema aliyoianzisha ndani mwako

  • @mamertarweyemamu3438
    @mamertarweyemamu3438 Месяц назад

    Shetani atashindwa atakuwa anakukimbia Kila siku. Big up

  • @gracbjackson-uq2ml
    @gracbjackson-uq2ml Год назад +1

    Hongera Frt nakutakia safari njema ya utume... Na tumtumikie bwana katika roho na kweli 🙏🙏🙏

  • @maurachorobi7683
    @maurachorobi7683 2 месяца назад

    Mungu Akubariki Frt Utume mwema

  • @evansmtalo9406
    @evansmtalo9406 2 года назад +4

    Mwenyezi Mungu hatakuaibisha kabisa.mtegemee yeye peke yake.

  • @naomibenjamini2088
    @naomibenjamini2088 2 года назад +1

    Mungu ni mwaminifu kwa ukamilifu wake kamwe hatakuaibisha ktk matumaini yako kwake. Mungu aliye anzisha matakatifu ndani yako ayakamilishe ktk Yeye aliye Mtakatifu wa Utakatifu. Amina.

  • @mamasara7587
    @mamasara7587 2 года назад +5

    Mungu Baba wa Mbinguni akayahitimishe yote yaliyoandaliwa mezani pake.
    Karibia Altare ya Bwana na ukamtumikie Kristo Mshindi na Mfufuka.

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 Год назад

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏Mungu tunaomba uendelee kuwatunza maaskofu, mapandre, watawa wote katika kuuishi with wao. Waepushe na kila majaribu na hila za ibirisi.

  • @kizitochibombo3019
    @kizitochibombo3019 2 года назад +4

    Kila la kheri baba, ukawe kuhani siku zote za maisha yako.

  • @redemptionmkanga3610
    @redemptionmkanga3610 2 года назад +8

    Ee Mungu bariki kizazi changu Nani nipate walau mtt atakae kutumikia hivi amina

  • @fideahyera2599
    @fideahyera2599 2 года назад +2

    Mwenyezi Mungu apokee maombi yako na akulinde ktk wito alio kuita. Wala asikuhaibishe.

  • @pelagiakarengi6666
    @pelagiakarengi6666 2 года назад +3

    Hongera sana! Frt,
    Mungu akubariki ktk safari yako yako utumishi. Sauti, maneno, matendo ni mbegu na chachu ktk mioyo ya wengi.🙏🙏

  • @josephatkhamsini9119
    @josephatkhamsini9119 2 года назад +6

    Mungu Yu mwema kwa unyenyekevu mkuu akulinde

  • @zipporahmwihaki6187
    @zipporahmwihaki6187 2 года назад +9

    May the Lord really guard you and never disappoint your faith.serve Him really with one desire.

  • @roselyneachieng7638
    @roselyneachieng7638 2 года назад +8

    AMEN 🙏🙏🙏🙏 proud to be Catholic

  • @marykweka4247
    @marykweka4247 2 месяца назад

    Naipenda sana dini yangu

  • @christianmsafirijunior7940
    @christianmsafirijunior7940 2 года назад +3

    Nami nitaziishi ahadi za bwana milele!🙏

  • @hiltrudatesha1350
    @hiltrudatesha1350 2 года назад +1

    Mungu awe kimbilio lako daima, namuomba Mungu abariki uzao wa tumbo langu angalau wamjue na kumtumikia siku zote za maisha

  • @DeboraJanuary-q4j
    @DeboraJanuary-q4j 3 месяца назад

    Amina sana mungu akusaidie

  • @JovitaChaula
    @JovitaChaula 7 месяцев назад

    Amenifurahisha sana, natamani angekuwa MTOTO WANGU ana wito huo WA upadre

  • @franciscamuindi9266
    @franciscamuindi9266 Год назад +1

    Congratulations Fr keep on serving God you a chosen one

  • @anithasemwano8276
    @anithasemwano8276 2 года назад +5

    Amina mtumishi wa Mungu,hakika hutaaibishwa

  • @harriethmtenga7830
    @harriethmtenga7830 2 года назад +3

    Mungu akutegemaze

  • @josephinemalley2857
    @josephinemalley2857 2 года назад +1

    Mungu akutendee kadir uombavyo mtumishi wake

  • @angelabarbuto8071
    @angelabarbuto8071 2 года назад +12

    Amen 🙏❤️che dio ti benedica e ti protegga 🙏Amen

  • @dainesykalinga7133
    @dainesykalinga7133 2 года назад

    Amen Amen Amen Mungu akulinde siku zote za utumishi wako azidi kukupa Moyo wa Unyenyekevu Barikiwa mno.

  • @gracemisokalya1061
    @gracemisokalya1061 Год назад

    Amina sn,mwili unanisisimka. Mungu akutetee ktk utume wako

  • @imeldamatoju2735
    @imeldamatoju2735 2 года назад +6

    Awesome really lovely so Beautiful

    • @julianaluhendemaliponihapa6784
      @julianaluhendemaliponihapa6784 2 года назад +2

      Ee mama yetu B.Maria malkia wa mitume umlinde mwanao.Nami nijalie katika kizazi changu Mungu ujitwalie mtumishi katika shamba lako

  • @princepiammanda66
    @princepiammanda66 7 месяцев назад

    Mungu akutangulie katika utume wako

  • @bettykaduma1260
    @bettykaduma1260 2 года назад +3

    Ainuliwe Mungu ni hatua kubwa kubwa sana hiyo 🙏

  • @priscasampa9453
    @priscasampa9453 2 года назад +3

    Mungu ni mwaminifu saana

  • @Sebastian-to4qd
    @Sebastian-to4qd 2 года назад +10

    Thanks for this Catholic Religion.

  • @Eva-f4n
    @Eva-f4n 5 месяцев назад

    Amina baba mungu akuogoze ktk utume wako

  • @ummimarunda5982
    @ummimarunda5982 2 года назад +2

    Hongera Fr kwa kuitikia Wito ❤

  • @gideonibatangaki1317
    @gideonibatangaki1317 2 года назад +2

    Amen,kwaimani ya Kristo.

  • @amadeokinyekile8804
    @amadeokinyekile8804 2 года назад +2

    Mungu akubariki nas sote

  • @monicagabriel4388
    @monicagabriel4388 2 года назад +1

    Mungu akupokee Mtumishi wake.

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 8 месяцев назад

    Waw,wapi hapa Mvimwa, Hanga au Peramiho? Nimemisis sana Ibada hizi🥰🥰🥰🥰

    • @ShimboPastory
      @ShimboPastory 8 месяцев назад

      Abasia ya Mvimwa

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255 8 месяцев назад

      @@ShimboPastory 🙏🙏🙏 nilijua tu maana nilimuona Abate Pambo kwa nini ni mtawa mmoja tu mbona sio kawaida.

  • @evaernest1867
    @evaernest1867 2 года назад

    Mungu awe nawe Kwa Kila hatua akuwezeshe na kukulinda daima 🙏🙏🙏❤️

  • @ibrahimemmanuel4780
    @ibrahimemmanuel4780 2 года назад +8

    Very beautiful 🙌🙌🙌

  • @neemalaurent3982
    @neemalaurent3982 2 года назад

    Mungu awe nawe ftr,justo

  • @Emy-magda
    @Emy-magda 2 года назад

    Hongera padre kwa kujitolea kufanya kazi ya Bwana , naye akupe nguvu na hekima. Amina🙏🙏🙏🙏

  • @happymarchiusnjungani1138
    @happymarchiusnjungani1138 2 года назад

    Mungu anaonekana Kati ya watu ..Mungu akuongoze

  • @omegakimaro1885
    @omegakimaro1885 2 года назад +1

    Mungu akutangulie

  • @simonsebastian9477
    @simonsebastian9477 2 года назад

    Nimebarikiwa sana Mungu akuongoze katika safari yako ya utume

  • @kwayayamt.fransiscowaasizi2574
    @kwayayamt.fransiscowaasizi2574 2 года назад +2

    Amina sana, Mungu na aendelee kukulinda.

  • @francism6675
    @francism6675 Год назад +1

    Sensational Catholic

  • @julianamalulu7459
    @julianamalulu7459 2 года назад

    Mungu Baba akusimamie ktk utume wako

  • @ZawabjohnJaccob
    @ZawabjohnJaccob Год назад

    Mungu amtunze

  • @babawataifa3725
    @babawataifa3725 6 месяцев назад

    Amina Ubarikiwe sana

  • @marysrevocatus1413
    @marysrevocatus1413 2 года назад

    Mungu akulinde, akutangulie kwenye utume wako

  • @nobertbamugimba9204
    @nobertbamugimba9204 2 года назад +3

    God bless you ♥️🎄

  • @carolynemassawe8447
    @carolynemassawe8447 2 года назад +2

    Tumsifu Yesu Kristo....M n mkatolik na najivunia sana ila naomben mnisaidie jambo moja hiv ibada ya hv inafanyikaga wakat gan ili na mim nieze kushiriki maana sjawah kushiriki ibadan ya hv ila nmevutiwa nayo sana....kwa yeyote anayejua naomb anisaidie sjui nmechelew kuiona lakin naamn ntapata jbu na mm nshrk kweny kupokea baraka

    • @teklasanga
      @teklasanga Год назад

      Huwa inafanyika Ibada hii wanapofunga nadhiri za milele mashirika ya Kibenediktini. Mahali popote walipo wabenediktini

    • @DignaMushi-b9z
      @DignaMushi-b9z Год назад

      Hapo unaposali uwe unasikiliza matangazo ya mafrateri kuweka naziri sionlazima wabenedictini

    • @EmmilianaMyovela
      @EmmilianaMyovela 5 месяцев назад

      Milele amina anaapa kiapo ili apewe daraja upadre

  • @kenanmalindisa6430
    @kenanmalindisa6430 11 месяцев назад

    Proud catholic

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 8 месяцев назад

    Kwa mbali kama namuona Baba Abate Pambo hii Mvimwa sio?🥰🥰🥰🥰🥰

  • @JohnKiwale-xt9wh
    @JohnKiwale-xt9wh Год назад +1

    Jaman mm sija paelewa hapa

  • @SilvanusMwakiyo
    @SilvanusMwakiyo 8 месяцев назад

    Haya ni maisha mazuri sanaaaa

  • @veronicangailo7644
    @veronicangailo7644 2 года назад +1

    Aise hivi mnakengeukaje mbona kiapo kigumu sana hichi Jehova mtunze mtumishi wako mfiche chini ya mbawa zako kama ulivyoanzisha kazi ndani yake ukaikamilishe mwenyewe

  • @stevekdaniel
    @stevekdaniel 2 года назад

    Wooow, ♥️ very beautiful

  • @julitamassawe3104
    @julitamassawe3104 2 года назад +3

    🙏🙏🙏 Amina

  • @helenamtunge2078
    @helenamtunge2078 2 года назад +11

    UNIPOKEE EE BWANA NAMI NITAISHI. NEEMA YA MUNGU IKUTOSHE

  • @flipaclipanimationz6790
    @flipaclipanimationz6790 2 года назад +3

    Powerful....

  • @mcorama
    @mcorama 2 года назад +2

    Crying for Joy🙏🏽

  • @francism6675
    @francism6675 2 года назад +1

    Amina

  • @catherinehamimu765
    @catherinehamimu765 2 года назад

    Mung akurind 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 2 года назад

    God Bless You

  • @williamhazal4222
    @williamhazal4222 2 года назад +5

    Kazi ya mungu iendelee

  • @sarahSavith
    @sarahSavith 4 месяца назад

    MUNGU akutie nguvu katika utume wako

  • @poncegk5263
    @poncegk5263 2 года назад +2

    Mungu akulinde

  • @MagdalenaPius-t7d
    @MagdalenaPius-t7d Год назад

    Amen🙏🙏❤

  • @cyriakusbaramba594
    @cyriakusbaramba594 2 года назад

    Amen

  • @winfredkobia3008
    @winfredkobia3008 Год назад

    Ooh God

  • @mungholomakalanga8958
    @mungholomakalanga8958 2 года назад

    Mungu usimwaibishe mwanao,maana amekukimbilia wewe.

  • @barakamisonge4688
    @barakamisonge4688 2 года назад

    Sumbawanga ❤️

  • @peaceisrael8158
    @peaceisrael8158 2 года назад +2

    Sehr schön gesungen

  • @kulemudogo6413
    @kulemudogo6413 2 года назад

    Heri wanakaa nyumbani bwana wanakusifu daima...

  • @InnocentNdigomo-m2s
    @InnocentNdigomo-m2s Год назад

    Frt nakutakia utume mwema

  • @ClarenceGaudence
    @ClarenceGaudence 3 месяца назад

    AISEEE KUJITOA NAMNA HII. MUNGU ATUKUZWE MILELE.

  • @Mdenya
    @Mdenya 7 месяцев назад +1

    Ukaliimarishe kanisa lako eeh bwana ukawabariki watumishi wako ukawalinde na kuwapa nguvu watawa wote

  • @lutigardkomba1215
    @lutigardkomba1215 Год назад

    Wala usiniabiishe katika natumaini yangu

  • @faridaaloyce7672
    @faridaaloyce7672 2 года назад +3

    Eeeh...naomba okoa kizazi changu...maana wewe umesema wamchao BWANA Wana Amani..na Akili njema.nisaidie

  • @mwituamweene9850
    @mwituamweene9850 Месяц назад

    These rituals, the color, the robes, the whole shebang..... drew Africans to catholicism.

  • @angelfrank9239
    @angelfrank9239 2 года назад +4

    Nimejikuta nalia

  • @JohnKiwale-xt9wh
    @JohnKiwale-xt9wh Год назад

    Kweli huu niu takatifu usio mfano

  • @victoriadati3473
    @victoriadati3473 2 года назад +3

    Hiki kiapo uwa kinagusa saaaana kama ni nduguyo machozi yatakutoka bila kutarajia. Kimenikumbusha mbali saaaana.

    • @henricamikambi6147
      @henricamikambi6147 2 года назад +2

      Kiapo kikubwa sana hiki,i wish wangeishi kwa kadri ya kiapo chao

    • @SizaAdolph
      @SizaAdolph 3 месяца назад

      Me ucku usingizi ulikata kabisa kiapo hiki ni kikubwa

  • @VenantMbinga
    @VenantMbinga 2 месяца назад

    Kwakweli upadre ni wito si lelemama

  • @teresakapinga7947
    @teresakapinga7947 2 года назад +6

    Nimejikuta machozi yananitoka

    • @angelsappy168
      @angelsappy168 2 года назад

      Mungu ni mwema kila wakati 🙏🙏🙏

  • @roseannakabeya1978
    @roseannakabeya1978 2 года назад +2

    Aisee kipindi kigumu sana hiki

  • @brigidharrietmunayi8917
    @brigidharrietmunayi8917 Год назад

    We know that st. Benedict had many friends as donas for what they needed and the brothers worked hard in cultivating their land and harvesting a lot foods of which they could not consume it a lone but also helped the poor around them.
    WE have not know of the Benedict that I use to employ terrorists for those that they thought would take the seat of the Abotish. HE WAS NOT AFTER THE KINGDOM 9F THIS WORLD AS HIS RULE SAYS. Look first for the kingdom of heaven, before do anything, put God first in front of all. 78 PAGES OF HIS RULE AND ADOPTED BY MANY OTHER RELIGIOUS COMMUNITIES. SO YOU CAN ADOPT THAT RULE WITHOUT HIS SPIRIT AND BECOME A FAILURE OF GOD IN THIS WORLD IN MESSING WITH THE RIGHTS 9F PEOPLE AND HUMAN DIGNITY. IT IS NOT JUST THE NAME BUT THE SPIRIT FROM 2HICH YOU OPERATE TLGOD'S WILL THAT THEY CAN SEE THE FACE OF THE SAINT IN YOUR ACTIVITIES AND THE WAY YOU TREAT THE BROTHERS AND SISTERS. AND THAT LT IS WHY ST. BENEDICT WAS CALLED LIVING FATHER, NEVER INVOLVED IN WAR ACTIVITIES BUT PEACE MAKER THROUGH THE MIRACLES OF THE FIRCIFULL PRAYERS OF THE COMMUNITY. And he said the good work depends on how you pray. And their Motto is PAX meaning Peace.. TODAY EXIST PEACE IN THE WORLD? TODAY THEY WANT YOU THAT THEY OFFEND TO ASK THEM FOR PEACE AND NOT THEM TO FILL GUILTY CONSCOUS AND ASK PEACE TO WHOM THEY OFFEND. WHEN ST. BENEDICT SAID, IF YOU OFFEND SOMEBODY, NEVER GO YO BED BEFORE YOU YOU HUMILIATE YOURSELF IN BEGGING PARDON.