@@johanajoseph878 ni watu wanao jitenga kabisa na Dunia wanaishi maisha ya Sala na upweke, kujitolea Kwa Mungu zaidi, ufukala miaka ya zamani walikuwa wanakaa jangwani or mbali na miji ni tofauti na watawa wengine wanao ishi maisha ya kawaida kama Hawa tunao waona Kila siku mara nyng wanaitwa bruda (monk) na Kwa wanawake Nun
Mungu alitangulia ktk utume
Kila lakher kaka yangu katika utume wako mwemyezi Mungu akutangulie
Mungu akutangulie kaka
Yanga na simba leo
Abate maana yake n nini katika kanisa katoriki naomba kujua jamn kwa anaefaham
Ni mkuu wa nyumba ya kimonaki
Kimonaki ni nini??
@@johanajoseph878 ni watu wanao jitenga kabisa na Dunia wanaishi maisha ya Sala na upweke, kujitolea Kwa Mungu zaidi, ufukala miaka ya zamani walikuwa wanakaa jangwani or mbali na miji ni tofauti na watawa wengine wanao ishi maisha ya kawaida kama Hawa tunao waona Kila siku mara nyng wanaitwa bruda (monk) na Kwa wanawake Nun
🙏🙏🙏
@@ikrissaidrissa8613 Asante nami nimeelewa leo sikuwa najua kabisa. Barikiwa