MASIFU YA JIONI YA MASISTA WA BENEDICTINE SHIRIKA LA MT AGNES NYUMBA YA MT GETRUDE IMILIWAHA NJOMBE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 72

  • @FaridaKayombo-fc5sp
    @FaridaKayombo-fc5sp 8 месяцев назад +2

    Mmenilea katika njia bora na njema ya kumpendeza Mungu utiii ikiwa nguzo bora kwangu barikiwa sana watawa wote wa nyumba ya mt.Gertrude imiliwaha

  • @ingbertkindimba666
    @ingbertkindimba666 5 лет назад +4

    Mungu yu mwema. Nawashukuru masista wetu ...nimekumbuka mbali sana miaka ya 1992 nikiwa Pre Seminary Matola...nimebarikiwa sana...

  • @sponsahaule6376
    @sponsahaule6376 6 лет назад +7

    Asante Mungu kwa zawadi ya watawa. Hongereni sana kwa jubilei ya miaka 50 katika nyumba ya Imiliwaha

  • @flattummy6319
    @flattummy6319 5 лет назад +1

    Mungu awabariki masista wote duniani. Nimeikumbuka shule yetu st.gertrude.2008

  • @Grace-of3xj
    @Grace-of3xj 4 года назад +2

    Shetani anahaha akiona hivi. Mbarikiwe kwa kujitoa na kutuombea.

  • @freddykulwa8190
    @freddykulwa8190 6 месяцев назад

    Mungu wangu uwe nasi siku zote amina

  • @lucyopande9028
    @lucyopande9028 5 лет назад +3

    Mungu Awabariki waimbaji wote kwa nyimbo za kumtukuza Mungu

  • @adrienblue452
    @adrienblue452 5 лет назад +1

    Asie mpenda mama malia yesu amsamehe maana hajuwi analolitenda,mungu awabaliki milele na milele amen

  • @flattummy6319
    @flattummy6319 5 лет назад +3

    Matron wangu Sr. Eliza, Sr.kanisia, sir. (Makodo) jina la utani Sr. Angela (rip). Sr Alexia Sr wency nawapenda Sanaa

  • @marystella3527
    @marystella3527 6 лет назад +6

    Hongera sana masista wa imiliwaha, Bwana awatunze daima

  • @FaridaKayombo-fc5sp
    @FaridaKayombo-fc5sp 8 месяцев назад

    Bila kusahau waliotangulia mbele za haki wakapunguziwe adhabu ya kaburiii wakapate kustarehe kwa amani👏

  • @lindezanoe2298
    @lindezanoe2298 3 года назад +1

    Grandes e lindas vozes dessas madres, junioras, noviças, postulantes e aspirantes👌👌👌. Deus seja louvado em todos os momentos🙏🙏. Deus abençoe e fortifica as vocações dessa congregação 🙏🙏🙏 🇦🇴🇦🇴🇦🇴

  • @prosperemorisho4006
    @prosperemorisho4006 4 года назад

    Ongera kwenu enyi wanakwaya Mungu awabariki sana kwa kutupatia kibao kitamu. Na muzidi kumwimbia nyimbo za mafundisho

  • @annampore1782
    @annampore1782 5 лет назад +4

    Nimekumbuka shule masifu ya jioni yalikuwa kitu nisicho kosaa😍😍

  • @shideashidea5570
    @shideashidea5570 6 лет назад +2

    Mwenyezi Mungu awatunze na kuwalinda katika imani kwa ajili ya Bwana wetu Yesu kristo

  • @marthamasue4009
    @marthamasue4009 6 лет назад +3

    Super. Mungu awatunze masista wetu

  • @muringimacharia6686
    @muringimacharia6686 4 года назад +2

    This reminds me of my life in formation house, I love what I'm seeing. May God be praised

  • @janenchimbi4633
    @janenchimbi4633 5 лет назад +2

    Nafurahia masifu haya,najiona kuwa kwenye uso wa Yesu

  • @maganyarobert7008
    @maganyarobert7008 2 года назад

    I pray for my young brother who died few years ago, I hope he heard this when the angels carried him away

  • @annastellakamugisha4158
    @annastellakamugisha4158 3 года назад

    Hakika, Mungu awatunze kwa kujitoa kwenu ilikumtumikia yeye,Amina.

  • @veronicajohn1050
    @veronicajohn1050 Год назад

    God bless more to more agein

  • @heavenlymusicproduction4360
    @heavenlymusicproduction4360 4 года назад

    Hongereni masista mnaimba juu sana duuuu mpaka wengine kikohozi kinawashika mpiga kinanda ajitahidi ku tune funguo za kawaida zisizo umiza koo

  • @fortunataleonce8028
    @fortunataleonce8028 4 года назад

    Nimebarikiwa sana na masifu haya usiku wa leo.. kupitia watawa nimeuona uso wa Yesu

  • @gevanethjuma2577
    @gevanethjuma2577 3 года назад

    Nimependa muno mungu azidishe imani katolic amin

  • @sophiaoholo578
    @sophiaoholo578 3 года назад

    Asante mungu kwa watawa wote na watumishi wako. Amen

  • @robertmayoka7424
    @robertmayoka7424 3 года назад

    Safi Sana Dada zetu mungu awalinde sanaaàaaaa

  • @agneskomba9814
    @agneskomba9814 6 лет назад +4

    Mungu ibariki jumiya yetu ya Imiliwaha!!

  • @felistamarandu8140
    @felistamarandu8140 6 лет назад +3

    Nimeyamiss sana masifu jamani.mjini sijui kukoje.

  • @anyesijacob2153
    @anyesijacob2153 3 года назад

    Mungu wabariki Masista wote

  • @MussaMussa-uq5cj
    @MussaMussa-uq5cj 3 месяца назад

    Glory.be to god

  • @SKWT2023
    @SKWT2023 5 лет назад +1

    Mungu awabariki

  • @pelagiakarengi6666
    @pelagiakarengi6666 3 года назад

    Wow! It is so beautiful. Thank you sisters.

  • @lizzyflowin1534
    @lizzyflowin1534 6 лет назад +4

    Mungu awatie nguvu katika kumtumikia yeye

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 3 года назад +1

    Muumba yu mwema atawalipa kila mmoja atakavyomgusa kwa imani yake. Mutuombee nasi wenye mapungufu.

  • @mariamlwilo4974
    @mariamlwilo4974 6 лет назад +3

    Nimevutiwa sana

  • @STEVENEDWARD-ic7ym
    @STEVENEDWARD-ic7ym Год назад

    Mungu awatie nguvu siku zote za utume wao

  • @julianacellestine801
    @julianacellestine801 2 года назад

    Ee mwenyezi Mungu uwalinde watoto wako hawa. Sauti za kimalaika. Mbinguni sijui panafananaje .Makerubi na maserafi .Nimepata faraja na kuinuliwa mpaka juu

  • @bernardnicholaus8942
    @bernardnicholaus8942 Год назад

    Walezi wangu

  • @givenxmcdonardmkolwe8135
    @givenxmcdonardmkolwe8135 6 лет назад +2

    Ee Mungu tunakusifu

    • @mariamlwilo4974
      @mariamlwilo4974 6 лет назад

      Mungu awasadie mdumu katika wito wenu ambao mungu amewaitia.

  • @zakayoogango2879
    @zakayoogango2879 2 года назад

    God bless you and wishing Almighty to be with you all.

  • @eliceelly9067
    @eliceelly9067 6 лет назад +3

    Hongera sana Masista wa Convent ya Imiliwaha kwa Maandalizi ya Jubilei ya Miaka 50 ya Nyumba yenu na Utume katika Jimbo Katoliki Njombe. Ora et Labora Daima.

  • @damasmahega5597
    @damasmahega5597 5 лет назад

    Asante Sana mungu uliye juu

  • @mariamlwilo4974
    @mariamlwilo4974 6 лет назад +4

    safi sana watawa

  • @agneskache8619
    @agneskache8619 6 лет назад +2

    Mungu awaongoze

    • @thobiasfuraha2709
      @thobiasfuraha2709 5 лет назад +1

      Du nimekumbuka seminar itaga nikiwa kidato cha kwanza muhula wa pili masifu ilikuwa jioni mpaka machozi yamenitoka mungu yu mwema asante masista mungu awabariki

    • @suzannakipapy5951
      @suzannakipapy5951 5 лет назад

      @@thobiasfuraha2709 Amina

  • @mariettagfyinagware9969
    @mariettagfyinagware9969 Месяц назад

    👏👏👏👏👍

  • @givenxmcdonardmkolwe8135
    @givenxmcdonardmkolwe8135 6 лет назад +1

    Mungu ibariki jumuiya yetu na

  • @chrismwanjalika9892
    @chrismwanjalika9892 6 лет назад +4

    mtuombee katika ibada zenu.

  • @nshimiyimanatresor1015
    @nshimiyimanatresor1015 5 лет назад +1

    Glory be to God

  • @harrisonmatano8186
    @harrisonmatano8186 3 года назад

    Let God be praised forever

  • @stargal8065
    @stargal8065 4 года назад

    Nafurahia Sana watawa wote duniani

  • @maganyarobert7008
    @maganyarobert7008 2 года назад

    Furaha ya milele umpe ee bwana apumzike kwa amani mdogo angu George kilanga Maganya

  • @ingbertkindimba666
    @ingbertkindimba666 5 лет назад +1

    ...nimekumbuka na ile zaburi...yanamacho hayaoni, yanamasikio hayasikii..., yanapua hayanusi,...yanamikono hayapapasi.....

    • @suzannakipapy5951
      @suzannakipapy5951 3 года назад

      Jamani, haya bhana nimecheka Kwa nguvu. Hongera Kwa kukumbuka, MPE MUNGU UTUKUFU.

  • @kapandajohn91
    @kapandajohn91 5 лет назад +1

    Nimebarikiwa sana nimehama dunian kw mda nkawa peponi

    • @stellapaul7743
      @stellapaul7743 3 года назад

      Hongereni sana. Mungu awabatiki. Nimekumbuka vespere ya Peramiho na akina Sr Faraja, sr. Fredeswida, + sr Martina na wengine jamani tuombeeni na sisi

  • @madumelandes
    @madumelandes 4 года назад

    ❤🙏❤

  • @cathyanne6476
    @cathyanne6476 3 года назад +2

    Nawaomba sala zenu,

    • @suzannakipapy5951
      @suzannakipapy5951 3 года назад

      Bwana akujibu siku ya Dhiki na kila umwitapo akuitikie. Jina LA MUNGU WA YAKOBO Likuinue. Akupelekee Msaada wake toka PATAKATIFU PAKE. Amina.

  • @freddykulwa8190
    @freddykulwa8190 6 месяцев назад

    Mungu wangu uwe nasi siku zote amina