Hbr dr. Mm naitaj msaada pia wa kpt watoto aidha pacha au single. Lkn mzunguko wng ndani ya miez 3 natumia cku 28 lkn kufkia mwez wa 8 ukaanza kbdlika napata cku 30 nilipofika mwez wa 9 ukarud 28 lkn mwezi huu kutoka trh 22 ya mzunguko wa mwez wa 9 ndo nimeingia leo hii. Hivyo ni cku 35 wkt huo nilifata calendar vzr ili nipate ujauzito but sjapata ila dam inayotoka leo ni ya rangi nyeus, ina mapande hlf marenda haifahamiki wala hrf yake ni tofaut na ile nilozoea na sjawah kuumwa na tumbo lkn leo linanikata sn. Yaani naogopa hii dam ndo inanitisha mno.
Kwema kaka, samahani kwangu mimi uwaga narudi nyuma siku mbili mfano mwezi april nikiingia tar. 9 mwezi mei ninaingia tar. 7 nashindwa kujua nini mzunguko wa siku ngapi. Ahsante
Ishu sio tar husika zimepishana, ila ishu ni kuangalia jumla ya siku za mzunguko ni ngapi kutokea siku ya kwanza ya hedhi, mpaka tarehe nyingine ya hedhi inayofuata, hapo utagundua mzunguko wako unasiku ngapi na ndipo utajua namna ya kupata ujauzito na namna ya kuuepuka huo ujauzito.....
habar kaka, naomba unisaidie, niliingia kwenye siku trh 24/9 mpka kufikia leo bado sijaona siku zangu, mwezi wa 10 upepita pakvu, na nimepima mimba sina, sijui shida inaweza kuwa nini na mzungo wangu haueleweli,
Umenitupa mbali,me mzunguko wangu , January 24hadi27, Feb 25hdi28much28hadi31 April 29 hdi2 may cikupata June 3hdi 6july 5hdi 8agust cikupata September 10 hdi 13 October cikupata je ni vp hapo naomba msaada
Kwa kweli mimi nakushukuru sana Dr nimeelewa vizuri mnoo...kumbe mimi nilikuwa naziacha siku za hatari natafuta mtoto katika siku salama. Umetusaidia mnoo na Mungu Akubariki.
Asantee sana Dr. Ramo kwa elimu hii nzuri.... Hivi kwa wenye irregular cycle, akitaka kutumia hii njia kupata siku salama na hatari.. ni lazima azingatie miezi sita ili kupick mzunguko mfupi? Au hataikiwa chini ya miezi 6??
Habari yako Dr..mm kwa miez cta iliyopita mpka Sasa mzunguko wangu n Kama ufuatao November-17days December-26days January-15days February-18days March-25days April-26 days Kwa mzunguko huu,how can I get pregnancy?plz help me
Doctor samahan m nataman kupata mtoto lakn mzunguko wangu hauelewek huu mwez wa kumi na mbil nmeenda tarehe 1na tar 2 bac sas apo naomba unisaidie sku ambazo naweza pata mimba
Kk angu habari doctal mm nimeingiya trehe 23 mwezi was Saba nanikimaliz treh 26 lkin treh 28 nikakutana nayee na treh 30 na 5 trehe 5 ssa apoo sjaelewa kwamb ndioo siku z hatlii nilizokutanananyee au nisiku z kawaida
Samahan naomb unielekeze juu y mzunguko Wang mwezio huu 10 uliopit 8 wantuma ten 3 je mzunguko Wang wa CK ngap maan n naenda 6 je CK Zang za htr n zip???@@ramonawatoto
Samahan Dr mim mzunguk Wang unanichangany nikiona ck zang mwez huu mwez unaofata naruka nitazion tena mwez ujao na tareh isiyojulikan naomb unisaidie kwa Hilo.
Dr.samahani nilikuwa nauliza kama mzunguko wa pld. Unabadilika hauko sawa umeingia pld. Talehe 1/3/ sasa hapo utajuaje siku zako za hatali ya kushika mimba na mwezi ukiwa bado ujaisha ili uweze kuesabu ili ujue siku ya kushika mimba mana hapo nilazima uwingie tena pld.ndo uwanze kuhesabu umeingia siku ngapi
Mimi niliona tarehe 25 mwezi wa tisa na sasa nimeona tarehe 20mwezi wa kumi je dokta taree ya atare kwangu ni ipi maana nisharuadia kuangalia ata sielew
Samahani Doctor mzunguko wangu ni siku 26, na hedhi ya mwisho nimepata tar 19 may, je nikutana na mwaume kuanzia leo tar07 june na kuendelea hadi nitakapata hedhi nyingine naweza pata ujauzito?
Kaka habar SoMo laki Zur sananimesikiliza je mm nisaidie nimeingia tar 21/2/2024 mwezi uliopita niliingia tar 23/1 je nifanyeje ili nijue siku ya hatari
Asante dokta ila bado kichwa yangu ni ngumu naomba kuhuliza kwa maesabu yangu ya myezi sita nimepata 27,27,27 nkapata tena 28 ,28, tena nikapata 27 hiyo myezi sita nikapiga hesabu kama ulivyo sema nikaichukua hiyo ndogo swali langu mwezi huu wanane nimeingia 8 talehe kumi na moja nikawa mkavu je siku ya hata ni hipi maana naomba mungu mwezi huu nipate mtoto
Habari kaka mm nashindwa kuelewa, mfano mwezi wa sita niliingia tarehe 13 mwezi wa 7,nikaingia trehe 17,mwezi wa 8,nimeingia 15 nafanyaje hapo na ninaitaji ujauzito sasa najuaje hapo siku yangu ya hatar
Dokta mimi nakumbuka mzunguko wangu mwezi wa 5 nliingia mzunguko wa ck 30 wmezi wa 6 nliingia mzunguko wa ck 30na wa saba nliiingia wa ck 23 na ndo tarehe moja nmeanza period natokwa na Dan ck 7 asa sjajua kwa apo ck yangu ya hatari ni unaanza linii
Doctor sasa vp mim huwa na anza kuingia kwamfano labda mwez wa 6 naingia tar 30 had tar 3 au 4 mwez wa 7 , haf huo huo wa saba tena naingia tar 29 au 30 hio imekaaje???
@@NancyDaniel-xc2orhua unachukua mzunguko wa siku ngapi? ukijua hilo basi ni rahisi kujua siku za hatar na siku za usalama..... Mfano kama unaenda siku 28, maana yake siku zako za hatari zinaanzia siku yab10 tangia siku ya kwanza ulipoingia hedhi, na siku ya 14 ni siku ya yai kutokea yani ovulation day, ambapo kuna uwezekano wa kupata ujauzito kabisa, na mwisho wa siku za hatari ni siku ya 19, na kuanzia siku ya 20 na kuendelea mpaka mwisho wa mzunguko zinakuwa siku za usalama..... Sasa mzunguko wako hua unachukua siku ngapi ili usaidiwe..... Karibu
Habar kaka mimi mzunguko wang haueleweki mda mwingine mwezi unapita bila kuona hedhi mda mwingine mpaka miezi minne inapita naomba unisaidie niweze kujua tatizo mme wang anatak mtoto nateseka sana jaman
Nzurii sana sasa Mimi naona nimejifunza lakini Mimi ndio Siku zangu hazieleweke kama ulivyo sema maana zinapita mpaka siku sita bado naona damu yanii kiujumla hazielewekii ila nimejifunza
😢mambo kaka nimeingia mwez wa nane talehe 18. nimekuja mwezi huu nimeingia talehe 14 ambae nijuz na nimepata hez juz jana na leo had mda huu nimekata damu so nataka nijue sku yangu ya kupata mimba
JazakaAllahu kher doct Allah akuzidishie kwa kutupatia elimu inshaaAllah
Kiukweli umenifungua asante saana
Mungu atusaidie tuwe na mizunguko inayoeleweka
Asante sana docror milikuw sijui hata maana ya mzunguko wa hedhi god blessing you.❤
Kaka kazi nzuri nimeona mimi naanza kupata siku za hedhi tarehe kumi na tatu sisaidie kujua siku za hatari nisipate mimba
Doctor samahn kwanini tunatumia mzunguk mfupi kijuwa siku zetu za hatari na tusitumie mzunguk mrefu kujuwa sik zet za hatari? Plz naomba nisaidie jibu
Asante sana Doctor nimejifunza kitu hakika umenifungua sana naimani kila kitu kitakaa sawa 🙏🙏🙏
Unaelezea vizuri sana Doctor barikiwaaa
Nashukuru sana Dr nimeelewa kichwa ilikuwa ngumu kuelewa ila leo nimeelewa
Asanteee doct me nilikuwaa sielewiii kabisaaa ilaa Leo Somo lako limenifundish Mungu azidii kukupaa ufunuooo zaid na zaidiii🙏
Broo uko pouwa sana Mungu akupe Afya njema uzidi kutuelimisha zaid
Uko vizuri Dr Ramo Mungu akutunze kwa ajili ya yetu ubarikiwe Sana wewe ni mwalimu .
10:46 nimependa hii elimu me Kuna Jambo linanitatza
Hongera sana kaka nimekuelewa
Asante dokta darasa zako ni nzuri leo nimefaham namna ya kuangalia cku zangu za hatari
Hbr dr. Mm naitaj msaada pia wa kpt watoto aidha pacha au single. Lkn mzunguko wng ndani ya miez 3 natumia cku 28 lkn kufkia mwez wa 8 ukaanza kbdlika napata cku 30 nilipofika mwez wa 9 ukarud 28 lkn mwezi huu kutoka trh 22 ya mzunguko wa mwez wa 9 ndo nimeingia leo hii. Hivyo ni cku 35 wkt huo nilifata calendar vzr ili nipate ujauzito but sjapata ila dam inayotoka leo ni ya rangi nyeus, ina mapande hlf marenda haifahamiki wala hrf yake ni tofaut na ile nilozoea na sjawah kuumwa na tumbo lkn leo linanikata sn. Yaani naogopa hii dam ndo inanitisha mno.
Thanks Dr. Naomba fafanua 18,5,na 4 zinasimamia nn au why them??
Nimekuelewa Kaka ngoja niifanyie kazi ahsante kwa kutuelimisha
Asante sana dr umenielezea vizuri sana hadi nimeelewa barikiwa Mungu akupe maisha marefu🙏🙏
Kwema kaka, samahani kwangu mimi uwaga narudi nyuma siku mbili mfano mwezi april nikiingia tar. 9 mwezi mei ninaingia tar. 7 nashindwa kujua nini mzunguko wa siku ngapi.
Ahsante
Ishu sio tar husika zimepishana, ila ishu ni kuangalia jumla ya siku za mzunguko ni ngapi kutokea siku ya kwanza ya hedhi, mpaka tarehe nyingine ya hedhi inayofuata, hapo utagundua mzunguko wako unasiku ngapi na ndipo utajua namna ya kupata ujauzito na namna ya kuuepuka huo ujauzito.....
Upo vzuri saana doctor.
Nashukuru kwa mafundisho
habar kaka, naomba unisaidie, niliingia kwenye siku trh 24/9 mpka kufikia leo bado sijaona siku zangu, mwezi wa 10 upepita pakvu, na nimepima mimba sina, sijui shida inaweza kuwa nini na mzungo wangu haueleweli,
Umenitupa mbali,me mzunguko wangu , January 24hadi27, Feb 25hdi28much28hadi31 April 29 hdi2 may cikupata June 3hdi 6july 5hdi 8agust cikupata September 10 hdi 13 October cikupata je ni vp hapo naomba msaada
Wow asant sna make wengin tulikuwa hatuelew kabis
Ubarikiwe saaana dr
Nimeelewa,,. Be blessed 🙏🙏
Kwa kweli mimi nakushukuru sana Dr nimeelewa vizuri mnoo...kumbe mimi nilikuwa naziacha siku za hatari natafuta mtoto katika siku salama. Umetusaidia mnoo na Mungu Akubariki.
Asantee sana Dr. Ramo kwa elimu hii nzuri.... Hivi kwa wenye irregular cycle, akitaka kutumia hii njia kupata siku salama na hatari.. ni lazima azingatie miezi sita ili kupick mzunguko mfupi? Au hataikiwa chini ya miezi 6??
Mungu akubariki sana .somo adimu.wewe umejua kufata Kona matatizo ya wengi yalipo.Barikiwa sana.
Habari yako Dr..mm kwa miez cta iliyopita mpka Sasa mzunguko wangu n Kama ufuatao
November-17days
December-26days
January-15days
February-18days
March-25days
April-26 days
Kwa mzunguko huu,how can I get pregnancy?plz help me
Nashukuru kwa elimu dr ramo
Asante kwa kutufundisha nimekuelewa sn kaka
Mungu akubalik kaka umeelezea ukwer mtupu
Doctor samahan m nataman kupata mtoto lakn mzunguko wangu hauelewek huu mwez wa kumi na mbil nmeenda tarehe 1na tar 2 bac sas apo naomba unisaidie sku ambazo naweza pata mimba
Kk angu habari doctal mm nimeingiya trehe 23 mwezi was Saba nanikimaliz treh 26 lkin treh 28 nikakutana nayee na treh 30 na 5 trehe 5 ssa apoo sjaelewa kwamb ndioo siku z hatlii nilizokutanananyee au nisiku z kawaida
Mungu akujaarie kila jambo ubarikiwe xan n umekua mwalim mzur xn yaan
Asante mkuu hili somo nitalirudia rudia
Mungu akutunze kaka,sikujua jamani oooh!!
Dah nyie huyu kaka mungu ampe umri mrefu kwajili yawote tunaomhitaji 🙏🙏🙏
Allahumma Amiin 🙏
Samahan naomb unielekeze juu y mzunguko Wang mwezio huu 10 uliopit 8 wantuma ten 3 je mzunguko Wang wa CK ngap maan n naenda 6 je CK Zang za htr n zip???@@ramonawatoto
Ubarikiwe sasa nimeelewa
asante doctor nilikua sielew kabsa nashkuru
Je naez pata ujauzito
Jmn ❤❤❤❤
Tunashukur kwa darasa zur nimeelewa .
Mimi mzunguko wangu haueleweki mpaka sijui,
Mtoto wangu wa 1 milibeba mimba siku ya 9 na mtoto wa 3 nilibeba siku ya 21, nisaidie hapo dr
Yani wew doctor unajuwa mungu akuweke unajuwa mpk unajuwa tena ❤❤❤❤❤❤
Asantee sana broo🍉🙏🙏nimepata kitu
Thanks for ur lesson Dr ramo
Mimi nimesabiya kwa 22 sa ni ivi nimekuwa nautical ivi na weza kuisabiy mwezi wa uyu wenye nimeigiliya ni tare 17/12 2023
Samahan Dr mim mzunguk Wang unanichangany nikiona ck zang mwez huu mwez unaofata naruka nitazion tena mwez ujao na tareh isiyojulikan naomb unisaidie kwa Hilo.
Habar dokta
Ahsante nmekuelewa broo
Unaelezea na kueleweka kwa urahisi 🎉
Asante saaana
Dr.samahani nilikuwa nauliza kama mzunguko wa pld. Unabadilika hauko sawa umeingia pld. Talehe 1/3/ sasa hapo utajuaje siku zako za hatali ya kushika mimba na mwezi ukiwa bado ujaisha ili uweze kuesabu ili ujue siku ya kushika mimba mana hapo nilazima uwingie tena pld.ndo uwanze kuhesabu umeingia siku ngapi
Hapa nimekuelewa vizuri sana kwa namimi ni muhanga wa jambo hili🙏
Shukran dr🙏🙏
Shukurani doct
Mimi niliona tarehe 25 mwezi wa tisa na sasa nimeona tarehe 20mwezi wa kumi je dokta taree ya atare kwangu ni ipi maana nisharuadia kuangalia ata sielew
Kwahy me nitkuwa ntumia mzunguk wangu huo huo mfup ck zote au ht km huwa znbdlk?? Yaan nyngn n 26,27,28,34hp natumia mfupii ty ck zotee au?
Samahani Doctor mzunguko wangu ni siku 26, na hedhi ya mwisho nimepata tar 19 may, je nikutana na mwaume kuanzia leo tar07 june na kuendelea hadi nitakapata hedhi nyingine naweza pata ujauzito?
Dah mi mzunguko wangu siku 17,18,,aah nachoka
Kaka habar SoMo laki Zur sananimesikiliza je mm nisaidie nimeingia tar 21/2/2024 mwezi uliopita niliingia tar 23/1 je nifanyeje ili nijue siku ya hatari
Asante dokta ila bado kichwa yangu ni ngumu naomba kuhuliza kwa maesabu yangu ya myezi sita nimepata 27,27,27 nkapata tena 28 ,28, tena nikapata 27 hiyo myezi sita nikapiga hesabu kama ulivyo sema nikaichukua hiyo ndogo swali langu mwezi huu wanane nimeingia 8 talehe kumi na moja nikawa mkavu je siku ya hata ni hipi maana naomba mungu mwezi huu nipate mtoto
Nisaidiye kaka mungu atakulipa ni meadika ivi memesha isabiya ila nauliza kama ni taisabiya mwezi kwa uyu nimeoneya 17/12 2023
Sijaelewa
Habari kaka mm nashindwa kuelewa, mfano mwezi wa sita niliingia tarehe 13 mwezi wa 7,nikaingia trehe 17,mwezi wa 8,nimeingia 15 nafanyaje hapo na ninaitaji ujauzito sasa najuaje hapo siku yangu ya hatar
Imenisaidia❤
Samahani na vizuri kukaa miezi zaidi ya tano bila kuona siku zako
Samahn dokt nimeshilk tndo la ndoa kish nkapt blid sik rano ila najiic kam mjamzit je inawezekan kuwa mimb kwer
Asante nataka ni isabiye
Mungu akubariki unatuponya wengi
Asante dokta umeeleweka sanaaa
Shukran daktari nimekueĺewa vzr
Habari doctor,mm nilifnya period tarehe kumi na tatu may ,nikakutna n mwenza wangu tarehe ishirini ,nikarud Tena kukutna nae tarehe 24 je ni swa au
Dokta mimi nakumbuka mzunguko wangu mwezi wa 5 nliingia mzunguko wa ck 30 wmezi wa 6 nliingia mzunguko wa ck 30na wa saba nliiingia wa ck 23 na ndo tarehe moja nmeanza period natokwa na Dan ck 7 asa sjajua kwa apo ck yangu ya hatari ni unaanza linii
Doctor sasa vp mim huwa na anza kuingia kwamfano labda mwez wa 6 naingia tar 30 had tar 3 au 4 mwez wa 7 , haf huo huo wa saba tena naingia tar 29 au 30 hio imekaaje???
Habali kaka mimi mzunguko wangu unabadilik na sielewi nifanye Nini naomba unisaidie
mimi nimeingia mwanzo wa mwezi yn trh 4 Je naweza kushika mimba tarh gan
@@NancyDaniel-xc2orhua unachukua mzunguko wa siku ngapi? ukijua hilo basi ni rahisi kujua siku za hatar na siku za usalama..... Mfano kama unaenda siku 28, maana yake siku zako za hatari zinaanzia siku yab10 tangia siku ya kwanza ulipoingia hedhi, na siku ya 14 ni siku ya yai kutokea yani ovulation day, ambapo kuna uwezekano wa kupata ujauzito kabisa, na mwisho wa siku za hatari ni siku ya 19, na kuanzia siku ya 20 na kuendelea mpaka mwisho wa mzunguko zinakuwa siku za usalama..... Sasa mzunguko wako hua unachukua siku ngapi ili usaidiwe..... Karibu
Doct samahanii me mzunguko wangu sielewi kabisa naomba nisaidie mwe niingi tareh21,mwez wa saba tarehe 16,mwezii wa nane 11 naomba nisaidie
Leo umenipa tumaini jipya Asanteee
Jaman dct m mzunguko wang wa hedh n unarud nyuma2 kil mwez sik tano zinarudi mara najirudia mara mbili kwa mwez hapo unawez nielewesha tafadhar
Nimeelewa
Mm doctor niliingia tarehe 28Novemb lkn decemb nimeingia 29 siku yangu ya htr itakuwa lini
Dr hujambo mm naomba nieleze lini siku yangu yakushika mimba nimeanza period tarehe 1mpaka tarehe 5nimekauka day yangu exactly ni lini
Habar kaka mimi mzunguko wang haueleweki mda mwingine mwezi unapita bila kuona hedhi mda mwingine mpaka miezi minne inapita naomba unisaidie niweze kujua tatizo mme wang anatak mtoto nateseka sana jaman
nimefulahi sana na nimelewa vizuli doct asnte umenisadia kutokutumia kondom kwa make wangu
Be blessed doctor shukrani 🙏
Karibu sana
Vizuri Sana kaka
Mambo naomba unisaidiee mm nimeshiriki kitendo cha ndoa baadae ya xku zangu za mwezi niko na Miata wa m mimba
Barikiwa sana nimekuelewa
Nzurii sana sasa Mimi naona nimejifunza lakini Mimi ndio Siku zangu hazieleweke kama ulivyo sema maana zinapita mpaka siku sita bado naona damu yanii kiujumla hazielewekii ila nimejifunza
Jamn duuuuuh yan sielew sjuii kwan hat nikihesabu inakataaa😭😭
Shkrn daktr Kwa maelezo yko mazr ,sasa nmeweza kuelewa🙏
😢mambo kaka nimeingia mwez wa nane talehe 18. nimekuja mwezi huu nimeingia talehe 14 ambae nijuz na nimepata hez juz jana na leo had mda huu nimekata damu so nataka nijue sku yangu ya kupata mimba
kazi zuri
Doctar mm nimeingia period tarehe 23 november, lkn nimewai kuingia tena tarehe 9 desember naomb nisaidie kujua cku zang za hatr
Samahani docta me nimepata hedhi tareh11mwezi wa 5hadi16mpaka leo sijaingia kwenye mzunguko sasa sijui tatizo nu nini?
samahan doct mzunguuko wangu ni siku 30 na hedh ya mwisho ni meingia taree14 mwezi wa sita imekata taree 18 naomb kujuw siku ya hatal ni zipi??
Asante nimeelewa vzr
Ramoo ni mmoja tu Dunia nzima
Jaman msaada dr ramo mzunguko wa sikuishirin nasita