Uislamu dini ya haki na kweli laiti ndugu zetu katika adamu wakiristo wangepata mdaa wakusoma uislamu wangejifunza vitu vingi namshukuru Mungu nimeingia uislamu nakujifunza na kujua mengi
Assalamu alaykum warahmatullaahi wabarakaatuh,,,jazaakallaahu khayra sheikh,,,mbona wengine hupata hedhi baada tu ya kujifungua tena kabla ya kujifungua ilikua kwa mwezi mara moja lakini baada ya kujifungua kwa mwezi mara mbili...
Shekh kuna sehemu mm umeniacha, yani cjakuelewa. Umesema anapo kua ananyonyesha anakua hazioni cku zake sasa mbona unasema tena anahofiwa kuingiliwa namume wake mtoto akiwa mdogo atapata mimba tena. Na ulisema kunyonyesha ni uzazi wampangoo . Nieleweshe zaidi apo
Mm nikinyonyesha sipati piriod lkn still nakhofia. Kwa sbbu ktk kunyonyesha inatakikana mtto anyonye sana ndio utakua hupati piriod lkn km itatokea amenyonya kidogo basi mwezi huo unaeza ukaiona inaanza kuja. Ss kibinaadamu mm maisha yote nilikua na wasiwasi mana sijui km amenyonya sana ile yakufanya nisipate period au not. Na ukitazama mtto akianza kula basi mda mwengine anaanza kupunguza kunyonya.
Mashallah Allahu Akbaru Allah atulinde na uchafu na atujaalie mwisho uliokuwa mwema jazakalahu kher
MashaaAllah tabaraka Allah Mola akuzidishie umri wenye kher tumejifunza
Maasha Allahu Sheikh Suleyman bin Abbas na Mwalimu Kabura Abedi mnanipaga raha
Uislamu dini ya haki na kweli laiti ndugu zetu katika adamu wakiristo wangepata mdaa wakusoma uislamu wangejifunza vitu vingi namshukuru Mungu nimeingia uislamu nakujifunza na kujua mengi
MashaAllah tabarakaAllah ❤️
P0pòòl
Kila mtu na iman yake shikilia ulichonacho
😊
Sasa hapa ndo nimeelewa vizuri,kumbe ndomaana U.T.I haziishi miongoni mwa watu. Alhamdulillah kwa Elim.❤
Nimejifunza neno Asante sana
MashaAllah. Allah akubariki mwana science wetu. Fakhari ilioje ma shk wetu wanaelewa ugynacologia. MashaAllah.
Mashaalaah allah akujaalie mwisho mwemaa
Mashaallah nimejfunza mengi kutoka kwako sheikh Allah akulipe gher.tunahitaji darasa zaidi khs mambo ya uzazi
Masha Allah jazzak Allah kheir
Maa shaa Allah
Allah akupe wepesi naazd kukulinda baba
Mashaallah shekh wetu Allah akuhifadhi
Maashallah shekh Allah akulipe na akupe mwisho mwema
Aamiin
Shukran Sana fundi wa A/Mashariki.
Allah akulipe inshaallah
Baarakallahu fii ilmika wajazaakallahukhayraniljazaa
ALLAHU AKBAR
ALLAHU AKBAR
ALLAHU AKBAR
SHEIKH UJUMBE UMEFIKISHA
Assalamu alaykum warahmatullaahi wabarakaatuh,,,jazaakallaahu khayra sheikh,,,mbona wengine hupata hedhi baada tu ya kujifungua tena kabla ya kujifungua ilikua kwa mwezi mara moja lakini baada ya kujifungua kwa mwezi mara mbili...
Leo Ostaz nimekuelewa
mkuu tupo pamoja
maashaallah maashaallah wanawake tunabeba vingi
Masha allah
MashaAllah.Shehe Allah akulipe heri FIL duniya Wal akhira
Walku musalm
Baraka llau fik shkhe
Mashallah. Asante
Allahu Akbar
Mash aallaaah ALLAH ibarik
Jazzakah Allah khair
jazakallahu akhail
Subhana llha alhamdulila ala kwa kila hali
Mashaa'Allah
Mashallah
Mashallaaaaah
Mashallah😂😂jmni Allah akuifadhi ssa nimeelewa kwa nni zinaa uchafu au haram😢😢
Masha Allah,
Shukurani shehe
great of allah
Na jee kwa wale wanawake ambao hua bado wanapokea hedhi ila pia hawashiki uja uzito hua tatizo ni nini...? Shekh jibu tafadhali
🙏🙏
Tushuku
Shekh kuna sehemu mm umeniacha, yani cjakuelewa. Umesema anapo kua ananyonyesha anakua hazioni cku zake sasa mbona unasema tena anahofiwa kuingiliwa namume wake mtoto akiwa mdogo atapata mimba tena. Na ulisema kunyonyesha ni uzazi wampangoo . Nieleweshe zaidi apo
Sheikh hajakujibu lkn nitakupa mfano wa mm mwenyewe halafu utaangalia.
Mm nikinyonyesha sipati piriod lkn still nakhofia. Kwa sbbu ktk kunyonyesha inatakikana mtto anyonye sana ndio utakua hupati piriod lkn km itatokea amenyonya kidogo basi mwezi huo unaeza ukaiona inaanza kuja. Ss kibinaadamu mm maisha yote nilikua na wasiwasi mana sijui km amenyonya sana ile yakufanya nisipate period au not. Na ukitazama mtto akianza kula basi mda mwengine anaanza kupunguza kunyonya.
Mashallah namwenye kuingia kwenyesikuzake tlh 28mpaka tareh 4 ndonimaliza sikuzake zahatali nizipi nisaidieni
🤝
No yake tunaomba ya huyu sekhe jaman
Waislam uyu anaitwe shekh nani nisaidien jina
Anaitwa sh Suleiman bin abass vp ndugu yangu ushaolewa
Namba zake
🙏🙏