NAMNA YA KUBEBA MIMBA NA MWENZA WAKO ANAISHI MBALI
HTML-код
- Опубликовано: 5 янв 2025
- Njia rahisi ya kubeba ujauzito ikiwa mwenza wako anaishi mbali na hamuwezi karibia Kila mwezi ni kuhakikisha
1: unakuja vizuri mzunguko wako wa hedhi ili kubaini siku ya hatari kwenye mzunguko wako
2: kufanya vipimo vya uzazi kwa Wote Wenza ili kuhakikisha hakuna kikwazo kinachoweza kuwa Kuwakwamisha kubeba ujauzito
3: Pangani kukutana Walau siku 4 kabla ya siku ya ovulation (siku ya upevushwaji)
4: kurudiarudia Mara nyingi na kutokukata TAMAA mapema kwani siyo kila mwanamke hubeba ujauzito mara ya kwanza wanapojaribu kutafuta ujauzito
Mawasiliano kwaajili ya matibabu ya uzazi na changamoto za ugumba wasiliana na Dr Ramo kawaida au WhatsApp +255 712 286 686
#fertility #uzazi #love #longdistancerelationship #womenempowerment
Duh!!hapo kwny siku kama tatu nyuma 😂😂😂 ngoja nicheke kama mazuri lkn ni hatar,asante dr
Kaka ninakubar maelekezo Yako ❤❤❤
Thanks doctor you are the best
Shukrani sana 🙏🙏🙏
Asante doc nitaendelea kujifunza naamini kitaeleweka❤❤
Amiin MUNGU akufungulie
❤❤❤ubarkiwe
Shukrani sana dr,naamini Mungu atanijalia licha ya kuwa mbali na mwenza wangu, ikiwa nimeshiriki siku ya 10,11 na 14 naweza kubahatika kubeba mimba?
Aa Mii naswari wakati yeye hataki
❤❤❤❤❤❤Asante sana
Usitumue kingeleza wengine ha tuelewi
Thanks doc
You’re welcome Dear
Nakubar kk😂
Asante dr
Dr mm nina mimba ila mimba yangu haikui na dam ilatoka
Hi
Je ukikutana nae siku ya mwisho baada ya ovulation?
thanks
Merci beaucoup docteur, félicitations
Merci à vous
Merci ma chère
@@ramonawatotongoja tupambane jaman maana tunakutana na Mr mara mbili kwa mwezi,je ni lzm kukutana siku zote mfululizo za hatar??ikiwa anakuja siku moja na kuondoka
@@ramonawatotoje dr kuna madhara gani hutokea baada ya kuacha kutumia vidonge vya uzazi wa mpango?? maana ni zaidi ya miezi 5 tangu niache kutumia vidonge vya uzazi wa mpango lkn sipati ujauzito licha ya Mr kuwa mbali
Asante naomba namba yako
Je unaweza kubeba mimba lini baada ya kutoka period tarehe18 ikiwa umetoka tarehe14??????
Nmeipenda nataman nikufuate inbox unisaidie vzuri
Great lesson. Thanks doc
Always welcome
always welcome
Kweri
je ukidet siku 12 tangu umeingia period unaweza kubeba ujauzito?
Je nambengu zikidumu kwasku 5hadi7 mwanamke unawezakupata hethi kwa mwezi huo wakwanza
Dr naomba namba yako
Dr ujibu maswali, UKIFANYA NGONO SIKU YA OVULATION NI MBEGU AU YAI ZINATAKIWA KUTANGULIA? YANI YAI LINATAKIWA LIKUTE MBEGU ZIPO TAYARI AU YAI LINAWEZA KUSUBIRI MBEGU????
Mbegu zinaenda kukutana na yai
❤❤❤
😊😊😊😊😊
Inbox docta ninataka kujifunza zaid
Jee ukikutana na mwanaume sku ya ovulation mimba unaweza kupta
Naam Ndiyo siku ya kupata ujauzito hiyo mpendwa
❤❤🙏
😅
Mimi na ninaswali wewe mwanaume utajuwaje kama umempa mwanamke mimba please 😢
F
Dokta naomba namba Ako Nina matatizo mengi naomba
❤❤